GETO LA BAGA NI NOMA!! AMEISHI MIAKA KUMI/KITANDA CHAKE UTAPENDA - SHOWBIZZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 ปีที่แล้ว +35

    Speechless kabisa kwangu nina kitu kikubwa cha kujifunza kuhusu maisha kwa kweli. Mungu ana siri kubwa huyu jamaa hata hawa akina kitale wanaigiza style ambayo jamaa alipita nayo ndo alianzisha Enzi za jumba la zahabu miaka ya 2000 na kitu kule. Nikioona kwa Muda niliomjua kwenye sanaaa na Tv Aisee. Somo kwangu NIMEJIFUNZA MAISHA YANA SIRI YA MUNGU KUBWA
    Kama unanielewa usipite bila kuweka like yako. 🎉 . Huyu ndo Baba wa sanaa kwenye kipengere cha mtaani uhuni na ubabe mwingi, ni mahala pake

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya ปีที่แล้ว +1

      Huyu jama noma Sana aisee🔥🔥🔥🔥🔥🌺🌺

  • @glorialubengo2829
    @glorialubengo2829 ปีที่แล้ว +82

    nampongeza sana huyu kaka, maana amejua kuonyesha uhalisia ambao wasanii wengi hawawezi. hogera sana Baga

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 ปีที่แล้ว +28

    Respect Sana baga uko real
    Ata ukiitaji kuchangiwa kwenye tatizo ,akuna mbambamba

    • @somiasomia2306
      @somiasomia2306 ปีที่แล้ว

      tutachanga natusio changanga kwasababu ya ukweli wamaisha yake

  • @africano98.
    @africano98. ปีที่แล้ว +6

    Jamaa anaishi real sn bagga umetisha babaa your real G kbx

  • @faridadumasalhathoseni
    @faridadumasalhathoseni ปีที่แล้ว +13

    Amina Dar nilimkubari kwa kazi zake lakini Leo namkubari zaidi kwa kuwa muwazi wa Maisha yake harisi ILa mungu atazidi kumuongezea inshallah 🙏 alipopungukiwa

  • @VedaFundi
    @VedaFundi ปีที่แล้ว +13

    Yani uyu kaka ata kama anaitaji kuchangiwa nachangia kaonyesha maisha halisi safi sana kaka

  • @lorettahamaro9065
    @lorettahamaro9065 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baga kept it real, congratulations to him.Much love from Kenya😊🇰🇪

  • @VeronikaMarugu
    @VeronikaMarugu 15 วันที่ผ่านมา

    Jaman.uyo.kaka.nimemupenda.bure.warai.🎉🎉🎉🎉🎉.hayo.ndomaisha.yetu.hadi.raha
    Unaambiwa.mungu.akikupa.kidogo.rizika.nacho❤❤❤❤

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe mstarab baga nikajua km ambavyo anaongea kwenye muve ndio alivyo ❤🔥👌

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว +13

    Baga nakupendaga sana kama hujaoa mi nipo tayari ila nina mtoto nitaishi na wewe kwa shida na raha kabisa nakuhakikishia sina uzuri ule ila tabia yangu itajieleza wala sijimwambafai ukweli ndo huo nakupenda sana baga wangu ❤❤❤❤❤

    • @salamarashidi3262
      @salamarashidi3262 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaaa ungemjuaa

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      @@salamarashidi3262 yukoje jamani

    • @surajatul732
      @surajatul732 ปีที่แล้ว

      ​@@salamarashidi3262😂😂😂😂😂

    • @MbarakaHaji
      @MbarakaHaji ปีที่แล้ว +2

      wewe una mpenda banga ila na mm nakupenda ww

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      @@MbarakaHaji 😂😂

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri ปีที่แล้ว +101

    Mtangazaji ukimaliza kuonyesha manyumba na mageto ya wenzio mwisho utuonyeshe na kwako pia tukuone sio kwa wenzio tu kila siku

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 ปีที่แล้ว +23

    Maisha halisi, maisha rahisi 👊

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +7

    Salute hataukimwa nachangia baga wangu upo real❤❤

  • @AishaMeja-g9p
    @AishaMeja-g9p ปีที่แล้ว +15

    Nimependa maisha yako baga mwenyezi mungu akuzidishie achana na ao wanaofake maisha

  • @neemaiddy4396
    @neemaiddy4396 ปีที่แล้ว +17

    Big up Baga nimependa maisha yako na umekuwa wazi Sana ❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +6

    Mnapenda anavyoishi wasenge sana ninyi ni watu wanafiki wakubwa , kesho Mungu akimpamafanikio makubwa ni ninyi ninyi tena mnaibuka kumchukia nakumpachika majina kibao yakiwaki mara freemason mara choko , wabongo wanafiki sana ninyi uwaga mara nyingi mnapenda mtu anapoanza tu katika maisha ya chini lakini anapokwenda kuinuka tu mnaanza mkuchukia ovyo kabisa nyinyi

    • @naifathassan2607
      @naifathassan2607 ปีที่แล้ว

      Point

    • @PaschaziaFesto
      @PaschaziaFesto 11 หลายเดือนก่อน

      Nibora Maisha ya uhalisia kuliko Maisha ya maigizo

    • @FatmaKitiviii
      @FatmaKitiviii 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa mfano bora Kwa msanii wet diamond ameanza na jalala uko had saiv anamafanikio anaambiwa freemason wallah wabongo SI wema kabisa hatuna shukran

  • @leahsamwel1931
    @leahsamwel1931 ปีที่แล้ว +12

    Tumpongeze tuu kwakua mkweli ila atafute pesa that not life kwa level yake😊😊 msimfariji msela angu

    • @zaunamoody7311
      @zaunamoody7311 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona yupo safi tu chumba kimekamilika kabisa kujenga majaariwa

    • @NadeemSimu
      @NadeemSimu 7 หลายเดือนก่อน +2

      Utajuaje yawezekana akawa anajenga ila hataki show off usione mtu anaishi maisha ya kawaida ila anamalengo yake hataki fake life

    • @PendoNaftal-o1b
      @PendoNaftal-o1b 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna asiependa maisha mazuri,hujui nyuma yake ,wasaniii wangp wanafeki maisha ,hali ngumu ndugu

    • @MwanaharusiShafii
      @MwanaharusiShafii 2 หลายเดือนก่อน

      Hee w vp wivu au je ushafkia level Hy jmn mbn mpk hap kaupig mwingi jmn waja😮😮

  • @oniakussa3383
    @oniakussa3383 ปีที่แล้ว +5

    Sijakosea kumpendaga huyu kaka kumbe yupo real sana jmn🥰

  • @Rangoboytz2023
    @Rangoboytz2023 ปีที่แล้ว +12

    Ndo maisha yetu baga mteme unyama sana mwamba life style fln hivi amazing

    • @SophiaMsindo
      @SophiaMsindo 11 หลายเดือนก่อน

      Baga hana tofauti na mr..blue wapo wazi xana kifupi nimembenda xana iyo show

    • @Rangoboytz2023
      @Rangoboytz2023 11 หลายเดือนก่อน

      @@SophiaMsindo safi sana blood wapi hiyo ww

  • @JtmBcr
    @JtmBcr ปีที่แล้ว +12

    Nimependa saana maisha ya Baga ongera kaka

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya ปีที่แล้ว +2

    Huyu kaka noma anajuwa kuigiza kama mhuni na anakpaji pia

  • @khaledoman8266
    @khaledoman8266 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana kbx kaka yangu 🇧🇮🇴🇲❤❤❤

  • @consoponsiano97
    @consoponsiano97 ปีที่แล้ว +5

    Mwanangu mtangaji unachunguza sana duh adi kwenye hotpot

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

      Kwenye hotpot ndo zake anapenda kura

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +5

    Maisha ya simple sina ndoo ukweli wa maisha ayo bags unaweza kweli real life

  • @faidhacute
    @faidhacute ปีที่แล้ว

    😂😂et shoga angu halaf baga bhna but all in all i like it huyu anaishi uhalisia kabsa ni maisha ya kawaida maana kuna wengne wanafek kabsa ila huyu anaish mulemule haina haja ya kujikweza yaan saf kabsa

  • @CatherineJohnson-y2h
    @CatherineJohnson-y2h ปีที่แล้ว +1

    Yea safi Sana..nmependa ajui kufake lyf🥰🥰

  • @safian.9518
    @safian.9518 ปีที่แล้ว +9

    Nani kamuona huyu Saleh amekaa kijuma lokole lokole?😅😅😅haeleweki vizuri na yeye😂😂😂😂

  • @MonicaMzava-h2i
    @MonicaMzava-h2i ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kaka kwa kutoa video ya maisha yako

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu หลายเดือนก่อน

    Huna madoido baga mtu mubadi maua yako brother🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @teddyleonard9237
    @teddyleonard9237 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakusaidia utafika mbali utafanikiwa tu

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka 3 หลายเดือนก่อน

    Hongeraa sana baga ❤nakukubali upo ktk uhalisia ❤❤

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly ปีที่แล้ว +2

    Ni mwanaume smart ❤👊🏾

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera san nimependa vile unavyo hishe hauna majigambo 😊

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji amepewa sweta na baga,kasema anaenda kuweka tu kwa maana hio amedharau sana kitu arichopewa na mhuni, anaringa ana nini nawakati kwenye mtandao watu wanasema anapenda kura, cheki kwenye chakura amenawa haraka haraka utadhani sahani ya chakura irikuwa inachukuriwa😅😅😅😂😂😂

  • @pharleserasto3114
    @pharleserasto3114 ปีที่แล้ว +3

    Baga mwanangu San hajivung na maish kam wasanii wengn kufek so anaish na uhalisia wakwanz likes zanguuu

  • @matridasambali6432
    @matridasambali6432 ปีที่แล้ว +10

    Nimependa sana unavoishi uhalisia ila sema mshikaji kama anakuchora vile sjapenda interview yake hadi mahotpot anafunua kwani kwaambiwa we mama ntilie aache ivo

  • @Mima-theboss
    @Mima-theboss 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekupendaa bure mkweli ❤❤🎉🎉🎉

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys ปีที่แล้ว +24

    Mwamba Nimempenda Yaani 😂😂😂😂😂😂 Sisi Wanawake Tunapenda Mwanaume Mkweli Sio Muongo Muongo 😜🙈😎❣️🙏

    • @mohdloushmoney9994
      @mohdloushmoney9994 ปีที่แล้ว +1

      Mmmhh ahhhh wapi

    • @HassanHassan-sr3fq
      @HassanHassan-sr3fq ปีที่แล้ว

      njoo kwangu

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 ปีที่แล้ว +2

      sio kweli wanawake wanapend a mwanaume muongo

    • @AyubHaji-j9b
      @AyubHaji-j9b 7 หลายเดือนก่อน

      Nyie hamujawahi kueleweka mukiambiwa ukweli Inakua uongo mukiongopewa ndo ukweli so nyie bado hatuja jua munatakaje Hadi sasa

    • @bakarimohammed9851
      @bakarimohammed9851 2 หลายเดือนก่อน

      Bac ujange kwangu mim ni mkwel pia😁😁

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +12

    Haya sasa ndio maisha yetu haliso , big op BAGA

  • @ZainabuNahimana-qv8el
    @ZainabuNahimana-qv8el ปีที่แล้ว +1

    Big up sn Bruuh👊nimepend uhalisia wako wa maisha yn👌

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

    Nirikua namtafuta sana sikujuwa anaitwaje , nikijana mwenye kipaji, mzuri muonekano na hafeki maisha

  • @iwambimpya1924
    @iwambimpya1924 ปีที่แล้ว +2

    haya maisha ukiwa na roho nzuri utakuwa maskini ,baga anaroho nzur sana anaonekana ndio maana yuko hvyo,

  • @MwanaherySalary
    @MwanaherySalary 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂ila salehe jamn anapenda kula kila intavew nilazma atamn misosi😂😂😂

  • @btylove1870
    @btylove1870 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa maisha yake yapo kihalisia hadi raha,hajaonesha maigizo na makorokoro ya ufeki ❤

  • @abdallahhassansaitoti8325
    @abdallahhassansaitoti8325 2 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh mtangazaji mmbea kinoma Hadi chumbani wataka kuingia
    Njoo chuga ufanye hiyo interview yko 😅😅

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 ปีที่แล้ว +1

    Woow baga maisha simple uhalisia kbs

  • @sultansuleiman-940
    @sultansuleiman-940 ปีที่แล้ว +2

    goood presenter.namuona mbali sana...!

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar ปีที่แล้ว +3

    Ila Bagga umenenepa 'Mashaallah

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar ปีที่แล้ว +5

    Nampendaga sana bagga❤️

  • @IrakozeSandra-di1co
    @IrakozeSandra-di1co 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie natokea kumpend Baga jaman kumb ndo jinsi alivy ?? Kumb mkwel jaman 😘😘😘😘😘😘😘

  • @KelvinSimon-d8y
    @KelvinSimon-d8y หลายเดือนก่อน

    Safi sana ukiishi maisha halisi Kuna Raha yake

  • @MputuDavid
    @MputuDavid หลายเดือนก่อน

    honest guy i wish can be my freind 🤦🤦🤦🤦

  • @NasraNasa-mp7mf
    @NasraNasa-mp7mf ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana yuko real big up baga

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana kipindi chenu

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 2 หลายเดือนก่อน

    Heshima kwako bro Baga ure so perfect

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya ปีที่แล้ว +1

    Msera noma sana🔥🔥🔥

  • @AbigaZomgwe
    @AbigaZomgwe 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MunahHassan-v1y
    @MunahHassan-v1y 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependaaa sana nakupendaa sana

  • @Blackmar229
    @Blackmar229 ปีที่แล้ว +1

    Me kwangu sipendi watu wa hivo acha mwenye geto akuoneshe sio wapekenyua kila Kona kaa mwako kenge weeee😅😅😅

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

      Kweri kabisa mara kijora Mara kanga, yaani unamuumbuwa mutu,

  • @JemimaKijiu-xx7lg
    @JemimaKijiu-xx7lg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hakunji kabisaa nguo duh!!!

  • @fatmahrashidi1533
    @fatmahrashidi1533 11 หลายเดือนก่อน

    ❤nampenda sana huyu bro😊

  • @sudyally6886
    @sudyally6886 ปีที่แล้ว +3

    Daaa sema bagg umetisha sn mwanangu 😂

  • @iwambimpya1924
    @iwambimpya1924 ปีที่แล้ว +1

    mpunguze hyo background sound mbwa nyie

  • @officialronaina7592
    @officialronaina7592 ปีที่แล้ว +2

    Eagleee❤❤❤❤nampenda he is real man

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa unaenda kwa watu Sana na kwako pia utuonyeshe

  • @SINTACLEMENSBYABATO
    @SINTACLEMENSBYABATO ปีที่แล้ว +3

    Nmeilewa maisha ya huyu guy yako poa sana

  • @emiguymnyama1996
    @emiguymnyama1996 ปีที่แล้ว

    Saleh classic nakuona mbali sana emiguy mnyama hapa

  • @OthmanJuma-zm3fq
    @OthmanJuma-zm3fq ปีที่แล้ว

    Kitambo kwenye game Baga nakubal I huoo ndio uhalisia sio wengine wanaect dadekiii😮😮😮😮

  • @AwamoPro-rt3sl
    @AwamoPro-rt3sl 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii kbx Good life no kufeki life yan

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unatamaa Sanaa

  • @MariamSalim-wd3nz
    @MariamSalim-wd3nz ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana
    Kiukweli anaitaji tuzo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +3

    Nimependa hii he is true guy no fake

  • @zakypaul724
    @zakypaul724 ปีที่แล้ว +1

    Saleh vitonge kama wakike😂😂😂

  • @SuzannaLaizer
    @SuzannaLaizer 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana mchizi wangu

  • @TujuzeTv
    @TujuzeTv 11 หลายเดือนก่อน

    Sound iko Poa ila kwenye lighting Yaani mataa yangekuwepo hiki kipindi kingependeza zaidi aiseiii hongereni sana ila ushauri wangu kwenu wekezeni kwenye lighting ili video iwe na quality nzuri

  • @mariamumsanzu8266
    @mariamumsanzu8266 11 หลายเดือนก่อน

    Nimepnda sana maisha ya baga ❤❤❤

  • @arya-star53
    @arya-star53 ปีที่แล้ว +2

    Nimempenda ghafla baga jmn hajasita kuonyesha uhalisia wa maisha anayoishi na tabia zake

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anajielewa namkubali sana

  • @fatmamangallah8263
    @fatmamangallah8263 11 หลายเดือนก่อน

    Home kwetu Maa Sha Allah

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Baga Mungu akuongeze ufike mbali

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj ปีที่แล้ว +4

    Twakupenda burger. ❤❤Unaupigamwingi

    • @kennethedgar923
      @kennethedgar923 ปีที่แล้ว

      😂😂😂dah eti burger 🍔😂😂😂😅

  • @RAMLATHAJI-ig4pf
    @RAMLATHAJI-ig4pf หลายเดือนก่อน

    saleh exclusive kwako week hii

  • @SelemanemohamedeChilangade
    @SelemanemohamedeChilangade 2 หลายเดือนก่อน

    We ni 🦅 Eagle bro warning tunaishi hivyo Mozambique tunakukubali muhunimoja

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

    Mnamusifu, saivi ira kesho akijariwa mafanikio mtaanza kusema anatembea namama yake,mara ametowa kafara, wabongo bhana

  • @trixieriri7778
    @trixieriri7778 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Hiyo mic ulibeba ya kazi gani?

  • @Prudentmusic99
    @Prudentmusic99 ปีที่แล้ว

    I appreciate it bro ❤❤✊🏻💎

  • @AssOii
    @AssOii หลายเดือนก่อน

    Jmn watangazaji munatia watu aibu wallah dah 😅😅😅😅

  • @MatungwaZacharia-pl3ro
    @MatungwaZacharia-pl3ro ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana baga miaka kibao dah afu haunaga makuu home boy afu muhuni ile kinoma an ukitoa kitale kuigiza muhuni na katili hua ntakuweka wewe

  • @HarrisOthman-p7i
    @HarrisOthman-p7i ปีที่แล้ว

    Sasa ww mda wote movie ,,katafute mitikas mingine maisha yaende

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji ปีที่แล้ว +1

    Wanawake watz wanafki sana eti nampenda anioe tamaa tu zilizowajaa apo kwanini haujaolewa adi leo inamana barehe yenu hamujawai pata nwanaume wakukuta kukuoa tabia zenu mbaya mukiwekwa ndani mwezi 1 mushabadilika amuliziki mwanamke akikuambia usimwamini niwaongo tamaa mioyo yao aliziki pia aikawii kusahau

    • @ZeyanaKhamismashaka
      @ZeyanaKhamismashaka 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂 ndo utuambie tuna tamaaa na ww

  • @KhalifaAli-rp1mf
    @KhalifaAli-rp1mf หลายเดือนก่อน

    Baga ww umetisha kweli kaka ww mkwel kaka

  • @VeronikaMsigwa-v1c
    @VeronikaMsigwa-v1c 2 หลายเดือนก่อน

    alf kamera man anakosaga vng kwenye mambo ya kula kula

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว

    Mama anakuambia baga anafwata totozzz😂😂😂

  • @mpendwamwendela1025
    @mpendwamwendela1025 ปีที่แล้ว

    Yan nmempenda sana huyo kaka jic alipo ajivungi

  • @RahmaAngwazi-o3r
    @RahmaAngwazi-o3r ปีที่แล้ว +2

    Huyu kajenga kwao

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 ปีที่แล้ว

    Kuna aliyepita hko nmemuona, chukua namba uniletee we SALEHE 😁😁😁😁

  • @ZaynabadamZaymzur
    @ZaynabadamZaymzur 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana

  • @nasrybilal4451
    @nasrybilal4451 ปีที่แล้ว +2

    Huyu muhuni namkubaligi Sana anaishi live yani

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +4

    Ivi mtoto wakiume ukivaa Helen nani kawaambi mnapendeza😢😢😢

    • @niahunique7604
      @niahunique7604 ปีที่แล้ว

      We nae tuliza komwe

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 ปีที่แล้ว

      @@niahunique7604 ukweli unauma

    • @SantiaQwer-ij1ws
      @SantiaQwer-ij1ws ปีที่แล้ว +1

      Sema ww kiazi nikisema Mimi muhogo nitabiwa namizizi

  • @JacobEckland-ug2dq
    @JacobEckland-ug2dq ปีที่แล้ว

    Nampenda huy kaka yup vizur