RAIS JPM AMPIGA MASWALI RUBANI LIVE, AJIBU SIKUA PEKE YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 210

  • @mussasuleiman2287
    @mussasuleiman2287 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri unayoifanya. Mungu akubariki Mungu ibariki Tanzania

  • @mursalseleman5730
    @mursalseleman5730 5 ปีที่แล้ว

    Rais wa maajabu hakika ktk africa nimefanya utafti kdg kila taifa linatamani kua ña kiongozi wa kipekee kma magufuli rais mweny uthbutu anajitolea kwa moyo mmoja kuwatmikia watanzania ni neema kubwa sna kupata rais mweny moyo wa kizalendo kama unakuliana nami gonga like

  • @erigysimzosha6086
    @erigysimzosha6086 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante rais wetu uishi milele tunakupenda sana watanzania ukweli unachapa kazi ingekuwa vema uongoze mpaka mungu aseme inatosha maana umetutoa mavumbini unatupeleka kwenye asali na maziwa.hapa kazi tu.

  • @namugenyialima1720
    @namugenyialima1720 5 ปีที่แล้ว +4

    As a Ugandan am speechless cheeei Tanzanians u r blessed to have a president who loves his country may Allah continue to keep him as we Olso pray to Allah to give us a president who will a change our country

  • @monkodyna682
    @monkodyna682 5 ปีที่แล้ว +24

    Mimi Ni raiya wa Rwanda lakini nampenda sana huu rais wa Tz, ni mfanyakazi wa kweli, hongera wa Tz kwa kupewa rais kama JPM.

    • @yusuphchiwanga1527
      @yusuphchiwanga1527 5 ปีที่แล้ว +2

      Tawala mpaka vitukuu vyangu baba

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante ndg yetu wa Rwanda. Nasi tunamshukuru Mungu kutupatia mzalendo wa kweli.

    • @kurwpaul1134
      @kurwpaul1134 5 ปีที่แล้ว

      NDAYISABA GEOFFREY As ante kwa Sala Namaombi Yako

    • @emmanuelreuben5014
      @emmanuelreuben5014 4 ปีที่แล้ว

      Asante

  • @samwelsimon7204
    @samwelsimon7204 5 ปีที่แล้ว +18

    Kwa kweli katika history ya kuumbwa lea ulimwengu haitakaa atokee Rais kama Magufuli Asante Baba Mungu kwa kutupa Rais wa kipekeeeeee

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +3

    Tumewasha moto wa uzalendo daaaa machozi yananilenga Tanzania kwanza. Bigup pilot, mh. Rais wangu nakuombea Mungu akubariki uzidi kuikomboa Tanzania yetu

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 5 ปีที่แล้ว +35

    Jembe letu hilo
    Magu Mwenyezi mungu azidi kukulinda

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 5 ปีที่แล้ว +58

    hadi mwili unanisisimka kwa maajabu mh rais hongera sana baba mdogo wa taifa

    • @jonaskilomba4094
      @jonaskilomba4094 5 ปีที่แล้ว +2

      Hii ya Baba mdogo wa Taifa nimeipenda Sana

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 5 ปีที่แล้ว

      @@jonaskilomba4094 hata mimi pia

    • @boniphacetv739
      @boniphacetv739 5 ปีที่แล้ว

      Jonas Kilomba pamoja sana

    • @jemsichali5437
      @jemsichali5437 5 ปีที่แล้ว

      BONIPHACE Tv haaaahaaaa bora we umesema baba mdogo wa Taifa...kunajamaa m moja mshezi alisema ni baba wa kambo wa taifa haaaaaaahaaa

    • @emmanueljohn8970
      @emmanueljohn8970 5 ปีที่แล้ว

      Baba mkubwa ni Nyerere ☺️☺️😁🙏

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 5 ปีที่แล้ว +1

    Tazama Ramani utaona nchi nzuriiii....Tanzania,,Tanzania,,nakupenda kwa moyo woteeee...Mungu ibariki Tanzania..

    • @ellysilwani9287
      @ellysilwani9287 5 ปีที่แล้ว

      Barikiwa!!!Joseph Pombe Magufuli.

  • @rajabumsonga6871
    @rajabumsonga6871 5 ปีที่แล้ว +30

    unalidunda hili vizuri unaenda nalo mpaka mwishooo kabisaa'" ndiyo tukiwa na wenzangu tulikuwa tunapokezana,Tz safii

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว

      Nimecheka kulidunda,mpira huo au

  • @noelmaruwa6662
    @noelmaruwa6662 5 ปีที่แล้ว +11

    Much congratulations mr president, really i have appreciated what you have been doing for good prosperity of our economic. may God be with you in your regime, really i like work done by you.

  • @farajimbiru6267
    @farajimbiru6267 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mzee Mungu akupe maisha marefu na Afya tele hakika nchi yetu sas inasikika kimataifa

  • @harounali9057
    @harounali9057 5 ปีที่แล้ว +47

    Huyu muheshimiwa rais ana ndoto nzuri na Tanzania 🇹🇿 lakini baadhi ya wa Tanzania hawaja muelewa.
    Hongera muheshimiwa Rais

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 5 ปีที่แล้ว +2

      Mafala sana hawa watu

    • @dungarufiji2989
      @dungarufiji2989 5 ปีที่แล้ว +4

      Wajinga wanataka kutulidusha tulipotoka utumwani wa wazungu ndio hao akina zito lisu mbowe wajinga tu

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +3

      Kaka siyo hawajamuelewa ni vile alivyowakatia mirija yao ilikuwa inaimaliza Tz yetu hivyo hawampendi kabisaaa. Mungu wetu mwema ametutoa kwenye mikono yao ya udalimu. Asante Rais wetu kwa uzalendo na unawaacha wanaaibika

    • @dungarufiji2989
      @dungarufiji2989 5 ปีที่แล้ว +3

      @@romanambelle6356 safi sana romana lazima tukubali ukweli wamekula sana wajinga wenye inchi tukawa tunataabika tu mpaka wengine tumepanda meli kuja ulaya kutafuta maisha saizi tunatamani sana kurudi home

    • @watakaniitaje1215
      @watakaniitaje1215 5 ปีที่แล้ว +3

      Wanamuelewa vizuri tu ila kibri c unajua kakaba hadi penati

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 ปีที่แล้ว +1

    Wew ndiyo rais wetu bwana

  • @efremmazingo7312
    @efremmazingo7312 5 ปีที่แล้ว +4

    hongera sana mheshimiwa rais @hapa kazi tu

  • @deboracharles2433
    @deboracharles2433 5 ปีที่แล้ว

    MUNGUBABA ubarikiwe milele,hongera magufuli raisi mzuri kabisa

  • @cheggykirui332
    @cheggykirui332 5 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania got a great leader as president

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 5 ปีที่แล้ว +4

    ubarikiwe sana Mh Raisi Magufuli nakupenda sana ndugu yangu

  • @charlesmayilla2926
    @charlesmayilla2926 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera afande wangu,sina zaidi

  • @abdulhakimmohamed3066
    @abdulhakimmohamed3066 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa hatua uliyopiga, kidogo kidogo tutafika tu.

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +8

    Africa tunaweza.

  • @55goodmen
    @55goodmen 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu mbariki rais JPM na serikali yake !! Huyu Baba Magufuli ni mzalendo jamani tujivunie hawa watu hawapo wengi duniani....

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 5 ปีที่แล้ว

    Baba! Baba! Baba! tunakupenda sana unatupa raha mpaka miili inasisimka kwa furaha ubarikiwe sana Baba Mwenyezimungu akulinde dhidi ya watu wanaokuonea wivu kwa maendeleo unayoyaleta ktk TANZANIA yetu. MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!

  • @rashidmohamed6584
    @rashidmohamed6584 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba magufuli mungu akujalie ulale pema

  • @josephNdichu879
    @josephNdichu879 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mnatuzidi kenya.hongera

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 5 ปีที่แล้ว +20

    Magufuliiii safiii!!! Ahsante Sana, napita tu.

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @ndebilemathias7115
    @ndebilemathias7115 5 ปีที่แล้ว +4

    Nafulahi sana kuona nchi yangu inazidi kung,aa .mungu bariki nchi yetu

  • @babarihana5896
    @babarihana5896 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuriinde baba

  • @sebastienjuma4995
    @sebastienjuma4995 5 ปีที่แล้ว +14

    Ipo siku watanzania wenzangu watakuelewa mh,Rais

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 ปีที่แล้ว +6

    JPM forever BIG BROTHER
    MAASHAALLAH🙏

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitu juu ya kitu inaitwa hivyo kinashuka hiki kinashuka kingine itakuwa kama emirates vile big up magu

  • @JOHN16verse33
    @JOHN16verse33 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe tulikuabna marubani wetu wengi tu wanazurula mtaani...Hongera Magu

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 5 ปีที่แล้ว

    Baba raisi love uuuuuuu san am proud of my country aiseeeee

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 5 ปีที่แล้ว +1

    Jambo la kupongezwa sana japo mifumo ya pesa kidogo sio rafiki. Hongera sana mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine kodi zetu tutoazo zinaleta impact

  • @chamwinoduka7446
    @chamwinoduka7446 5 ปีที่แล้ว +29

    huyu mzee kweli ni kiongozi sio mtawala!!!

    • @michaelmrindoko2849
      @michaelmrindoko2849 5 ปีที่แล้ว +1

      Magu uko vizur

    • @richardtungaraza7509
      @richardtungaraza7509 5 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi kabisa,magufuli sio mwanasiasa,ni kiongozi mtendaji,ukitaka kujua ni jinsi asivyo mwanasiasa angalia hata speech zako akiwa jukwaani,anaongea vitu kutoka moyoni na sio kwa lengo LA kumshusha Fulani aliyekosea,anaongea kwa ajili ya watanzania wanyonge,may the lord in heaven bless this man in Jesus name,amen

    • @hamisihamza-i7d
      @hamisihamza-i7d 5 ปีที่แล้ว +1

      Hogera rais wetu kwa uzalebdo wako mkubwa

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 5 ปีที่แล้ว

    Statement nzuri sana Captain... Tunawasha moto wa kizalendo...
    Well done...

  • @sospetermathias4253
    @sospetermathias4253 5 ปีที่แล้ว +3

    Ninachoshindwaga kuelewa hapa wake watu wa disi like kwahabari Kama hii anakuwa anamana gani

  • @jobamampuya5933
    @jobamampuya5933 5 ปีที่แล้ว +20

    Ni heshima kwa taifa letu..
    Tulikuwa kituko tukichekwa hata na inchi ndogo kama Rwanda zenye ukubwa sawa na mkoa wetu mmoja ..
    Hakika JP Magu.. ni baraka kwetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 .

  • @afrobongobeats1686
    @afrobongobeats1686 5 ปีที่แล้ว +15

    Hongera baba

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 5 ปีที่แล้ว +26

    Nmekubali kuw viongoz wote wliopita walikuw wez xnaaa,haiwezekan mtu aongoz miaka 3 afanye kaz kubwa kias hki

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 5 ปีที่แล้ว

      Ni ukweli nchi hii ni tajiri kiasi gani miaka 3 jamani hizi pesa huyu baba anazitoa wapi haya ni maajabu wakati mwimbo ulikua nchi yetu masikini washindwe na wateketee aibu yao

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว

      Yaani hadi unashindwa kupata majibu kama miaka 4 mambo yote haya kafanya je miaka 10. Wametuibia sana jamani Mungu anawaona

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว

      @@romanambelle6356 Sio wezi ila kila mmoja kafanyakazi nzuri kama timu sasa tupo hapa. Pia kila mmoja ali concentrate kwenye eneo lake na ndio shida ya Tanzania viongozi au nchi haina shared vision, kila anaekuja kama vile anaanza upya. Rais anafanyakazi nzuri sana namshauri auangalie vyema Muungano.

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 ok

    • @eliahedward7490
      @eliahedward7490 5 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 hakuna ni wez xnaaa2,pesa ya tz ilmilikiwa na watu wachache,likabaki tabaka maskin ambao ndo weng nchi hii,saiv tnaheshimiana makazin hakna cha kuulzana unajuwa mm ni nan,awamu ya nne na ya tatu ulkuw ukimwomba mtu soda anakupa elf50 saiv mwombe uone anakupa soda kama soda

  • @lungusii
    @lungusii 5 ปีที่แล้ว +11

    Huyu Moyo ni uzalendo hongera mzee uta kumbukwa kwa mengi .

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +4

    Adi raha jamani pongezi kwako Rais wetu kipenzi

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 ปีที่แล้ว

    Wasukuma tumejulikana kwa sifa za ushamba mmeona ushamba rais kafanya mambo makubwa tena ya kizungu mungu akulinde baba kila uendapo 🙏

  • @ibrahimmungure7493
    @ibrahimmungure7493 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe uwezo huu tulikuwa nao lkn tukawa hatujampata mzalendo,hongera rais wangu.

  • @conection24hrs12
    @conection24hrs12 5 ปีที่แล้ว +11

    Kinachopendwa na wote ni Pesa tu anko magu piga kazi mzee baba

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 5 ปีที่แล้ว

    Uishi maisha marefu mtukufu rais wetu

  • @angeloludovick8465
    @angeloludovick8465 5 ปีที่แล้ว

    hongera JPM baba wa PILI wa Taifa letuuu...Tunakuombea afya njemaa MUNGU AKUBARIKI SANAAAAAAH💪💪💪💪💪

  • @axa29
    @axa29 5 ปีที่แล้ว +3

    Oyeeee!!!!! The president🤗💚💚💚

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 5 ปีที่แล้ว

      Acha tu dada nizaidi ya oyeee kwakweli

  • @komanyaamin6732
    @komanyaamin6732 5 ปีที่แล้ว

    Mjomba magu l love u. Asiyekuoenda sio mzalendo maana hata nchi jirani zote wanasema wanakupenda mungu akubariki sana na tunaomba uendelee kua kiongozi wetu bila kikomo

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 5 ปีที่แล้ว

    Wapinzani wataamka kesho kutwa,we love u Magu...kazi kazi

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah mzee magufuli huyu ndio kiboko yao

  • @farajirashidi8186
    @farajirashidi8186 5 ปีที่แล้ว

    aneamini magufuli atabaki kuwa shujaa zaid ya marais wote waliopita Tanzania aje na like.

  • @gerrymainmunisi6677
    @gerrymainmunisi6677 5 ปีที่แล้ว +10

    daaaah am speechless 😭😭😭😭

  • @tullomengele902
    @tullomengele902 5 ปีที่แล้ว +4

    Naomba atuongoze kwa miaka 20 tu tutafika mbali

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 ปีที่แล้ว

    Honger magufur

  • @aliy3303
    @aliy3303 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaka Said nyingi salaam zikufikie popote ulipo

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyerere huko ulipo pumzika kwa aman tumempata rais anai ishi kwavitendo ndani ya tanzania ulokua unaililia

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +1

      Amina. Kweli kama kuna kuona mambo uloacha nyuma basi Mwalimu atakuwa amepata amani. Anamwona JPM anavyotekeleza yote alokuwa akiyasema kwa uchungu. Mungu akubariki Rais wetu.

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 5 ปีที่แล้ว

      @@romanambelle6356 nikweli sana dada yangu tulilia sana kupata rais mzando kama huyu jpm

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +1

      @@alijuma6502 ubarikiwe kakangu Mungu pamoja nasi

  • @doctor.doctor9352
    @doctor.doctor9352 5 ปีที่แล้ว +12

    Waliopita walishindwa nin? Viva jpm

    • @dungarufiji2989
      @dungarufiji2989 5 ปีที่แล้ว

      Nitafute nikufahamishe na nafikiri unajua lakini ubaitaji muongozo tu umesahau matamko??

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wangu mimi sina hata chakusema wewe magufuli ulikuwa wapi

    • @kharidzuberi7692
      @kharidzuberi7692 5 ปีที่แล้ว

      Kila mtume alikuja na kitabu chake ndyo rais wetu alivyokuja kutuongoza watanzania

  • @robertchuma6408
    @robertchuma6408 5 ปีที่แล้ว

    waache wenye hiana wapige kelele ila Mungu ametufurahisha kupitia JPM

  • @nicomedimartin7540
    @nicomedimartin7540 5 ปีที่แล้ว

    Unalifunda tyu hili unaenda nalo JPM 💥

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 5 ปีที่แล้ว

    mjomba magu shikamoo...hongera sana mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania mjomba magu bado tuletee boeing A380 hata moja tu inatosha jamani raaaahaaaa......👋

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 5 ปีที่แล้ว +15

    4:29 huyu mzee ananifurahisha sana kama na wewe umefurahishwa hapo gonga like😂😂

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

      Unalidunda hili vizuriiiiiii tuu unaendanaloooo

    • @iffahbahet1499
      @iffahbahet1499 5 ปีที่แล้ว +1

      @@Basagamp4 😂😂😂

    • @kidojunior
      @kidojunior 5 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁

  • @wilsonnyabagaka2265
    @wilsonnyabagaka2265 5 ปีที่แล้ว +8

    Viva magu viva

  • @gerasmwita2030
    @gerasmwita2030 5 ปีที่แล้ว

    Big up Mr President

  • @osianamwaiteleke4913
    @osianamwaiteleke4913 5 ปีที่แล้ว

    Gari tunazo, pikipiki, bajaji, pawtila na biskel iwaje ndege ahsante me, rais

  • @lilomo9323
    @lilomo9323 5 ปีที่แล้ว +8

    Nimekaaa weee nimewaza weee nimejiuliza sana haya mambo mazuri namna hii hawa wengine waliopita ukimuacha mzee mwinyi,walishindwa kivipi?

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 5 ปีที่แล้ว +1

      Weee acha tu kesho kwa Mungu kuna mengi watatuchelewesha saana hawa watu siku ya mwisho

    • @josephtewele3884
      @josephtewele3884 5 ปีที่แล้ว

      Kinacho nifarahisha ni vile Rais anavyo thubutu kutekeleza mambo makubwa ambayo yatia hata woga, lakini yeye anayatekeleza.

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P BABA YETU MEMA YOTE ULIYOTUTENDEA UKAYAKUTE KWA BABA WA MBINGUNI UKETI MKONO WA KUUME KWA BABA. AMINA

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 ปีที่แล้ว +1

    I wish MTT wangu mmoja aje awe km Rais Magufuri jamani.

  • @mariamusingano3514
    @mariamusingano3514 5 ปีที่แล้ว

    Asante baba

  • @fahadfaraj1263
    @fahadfaraj1263 5 ปีที่แล้ว +1

    Well said captain "umewasha moto wa uzalendo ndani ya mioyo yetu hatuwezi kukata tamaa"

    • @erickmarcus2321
      @erickmarcus2321 5 ปีที่แล้ว

      Jamaa mnaa kwelii ameuwasha Moto wa uzalendo.

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 ปีที่แล้ว +2

    Umewasha moto wa uzalendo mioyoni mwetu, unawaka, kwakweli hata mimi nimeusikia...

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +9

    Magufuli ndie mkombozi wa tanzania zidi ya mafisadi

  • @oscarmwambene4411
    @oscarmwambene4411 5 ปีที่แล้ว +3

    Tunakuombea baba

  • @Tiner_cakes
    @Tiner_cakes 5 ปีที่แล้ว +11

    Waoooooh! Nawaza ukiachia madarak nan atatufanyia hay mambo? Anaweza fata kivuruge akavurug yote uliyofanya!

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 ปีที่แล้ว +2

      Betina Mapunda . Itungwe sheria kali ambayo itakayowabana wale wote vivuruge, wasiendelee kuivuruga nchi, inakuwa haina maendeleo

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว

      @@corrolesscps yaani ndg yangu kama hakuna moyo wa uzalendo hata kama ikatungwa sheria kali mifisadi itavuruga tu. Rais asiye na uchungu na watu wake huwezi kumdhibiti tumwombe Mungu aendelee kutusimamia na kutupatia marais wazalendo kama huyu ndo tutafika.

  • @sponsalfaThedjalfani
    @sponsalfaThedjalfani 5 ปีที่แล้ว +5

    Rais wa mwanzo Tanzania ambaye amewasha moto wa maendeleo sijui Kenya watapata Rais ambaye atamaliza ukabila na ufisadi ( Napita tu sijataja mtu)

    • @kabete1099
      @kabete1099 5 ปีที่แล้ว

      254 tuna matatizo yetu lakini mambo ya kununua mindege fahari ya kubeba nyama tumepita

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kabete1099 hahaaa hamna Kenya airways pili ufisadi ndo sifa yani kuiba Ni jambo la kujidai uliza tz Nani anaiba

    • @amouramour3421
      @amouramour3421 5 ปีที่แล้ว

      Gg

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 5 ปีที่แล้ว

    Hii salamu ya mwisho nimeipenda sana. Tanzania oyee, oyeee! Tanzania safi, safiiii.
    Kumbe hata watu wawili wanaweza salimiana!!!!!! Nzuri hiiiiii....

    • @jamesndunguru276
      @jamesndunguru276 5 ปีที่แล้ว

      ahahqhah ilibd nfatilie ad mwsho nione hki ulichkisema ahaha nmefurah sana LKN hii ni athar ya uzalendo yan uzalendo ukizd mambo kama hya kawaida VIVA Magufuli

  • @thobiasmosha60
    @thobiasmosha60 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuongoze milele tu wapinzani awanajipya. wamekwisha 2020 kabisa

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 5 ปีที่แล้ว

    Haya ni maajabu aisee,ngoja na mimi nijitume aisee kumbe kila kitu kinawezekena haa duniani ukiwa na MUNGU WALAI

  • @favourmusic4692
    @favourmusic4692 5 ปีที่แล้ว +5

    Unajua zaman ukiw unasomea uruban unajiuliz ntaendesh ndeg gan mbna nchi haina ndeg hta moj kwel? Lakin sas hta sisi wazaz tuyasomesh uko kwel maan ndeg tunazo na zinaendelea kuj yan mpka zifike mia watanzania si tunasif na hasila za maendeleo hap kaz tu mengne tumewaachia wazung

  • @MwangaG
    @MwangaG 5 ปีที่แล้ว

    Hureeh my Presidaah...

  • @mokhimji
    @mokhimji 5 ปีที่แล้ว

    hahahahahahaha UNALIDUNDA HIYO SAWASAWA? Asante Maguuuuuu..We love u

  • @nurumunguakutangurirabdull4472
    @nurumunguakutangurirabdull4472 5 ปีที่แล้ว +4

    viva vivab

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 5 ปีที่แล้ว +1

    "tumewasha moto wa uzalendo ndani ya mioyo yetu ..hatukati tamaa mzeee" rubani

    • @daudimlamka1239
      @daudimlamka1239 5 ปีที่แล้ว

      Kauli inatia hamasa sana hadi najiona kama bado sijawa mzarendo

  • @triples5828
    @triples5828 5 ปีที่แล้ว +4

    Ayo tv safi👍👍

    • @triples5828
      @triples5828 5 ปีที่แล้ว

      Tanzania oyee👍👍

  • @nicquewes6744
    @nicquewes6744 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli has a genuine passion and cares for his country for Tanzania, unlike the bastards we have in Kenya who are elected on tribal platforms. and continue to polarise the county to nowhere.
    Magufuli needs to elate media freedom, however.

  • @annampuya8253
    @annampuya8253 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU akubaliki saaan

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 5 ปีที่แล้ว

    Cku moja tutanunua Antonov🤫🤫,i swear

  • @salimnassor687
    @salimnassor687 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Captain Said Hamad kijana kutoka Zanzibar kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kurusha Ndege kubwa Boeing 787--8 kutoka kule Seattle Marekani hadi Dar es salaam, takriban masaa 18 angani.

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 5 ปีที่แล้ว

      Huyo sio mtanzania wa kwanza kurusha dreamliner babu

    • @salimnassor687
      @salimnassor687 5 ปีที่แล้ว

      @@josephstephen2047 Nazungumzia Ndege hizi mbili Boeing 787--8 zinazomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ile ya mwanzo ililetwa na wazungu wenyewe lkn hii ya pili imerushwa na Watanzania wenyewe, na huyo Captain Said Hamad ndie alikuwa Rubani kiongozi, au Ile ya mwanzo unakumbuka ilirushwa na Nani?

  • @shabilmagalla8291
    @shabilmagalla8291 5 ปีที่แล้ว +1

    Tz niiotayo

  • @beatricemarandu8132
    @beatricemarandu8132 5 ปีที่แล้ว

    Da nice

  • @finiacefick8166
    @finiacefick8166 5 ปีที่แล้ว

    Ivi kunashida gani baba akiwa mkali ndani but huduma zinaenda vizuri. Endelea kupambana mheshimiwa tuendelee kushuudia matokeo ya juhudi unazozifanya kwaajili ya nchi.

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 ปีที่แล้ว +1

    Karibu nyumban Boeing Dreamliner

  • @zuwenahumud305
    @zuwenahumud305 4 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +3

    Pipa kubwa hatar

  • @christopherbandeke8821
    @christopherbandeke8821 5 ปีที่แล้ว

    Unajua napata shida na kigugumzi kwamba watanguliz wake Ina maana hera walikuwa hawana..??? Maana miaka 3 mirad mikubwa unaenda bwana rufiji,reli ndege jaman Mwenyezi Mungu tunakushuru kwa kutupatia kiongozi mwenyew uchungu nchi yetu

  • @kashiagrosama3952
    @kashiagrosama3952 4 ปีที่แล้ว

    Bahati ya kiongozi

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 5 ปีที่แล้ว +1

    20 more yrs for u.