Mke Hakutaka Mume Aoe Mke Wa Pili, Akasubiri Siku Ya Harusi Alipize Kisasi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @sheickismail8482
    @sheickismail8482 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ndugu justin shedi ni vizuri utangaze usionekane

  • @nuubaby
    @nuubaby 9 หลายเดือนก่อน +10

    Bhna tangaza ukiwa huonekani maan hapo kuna kitu kinakuwa hakipo sawa, Raha sana kusikilzia sauti

    • @edwardgistave7808
      @edwardgistave7808 9 หลายเดือนก่อน

      Huwezi lizisha binadamu Mimi napenda akionekana wewe hupendi na una sababu zako nAmimi Nina sababu zangu ko yeye afanye kilichomo damani ❤

  • @abuusuheil3014
    @abuusuheil3014 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubali sana Justin Shed

  • @karimniyo1909
    @karimniyo1909 7 หลายเดือนก่อน

    Hahah nikajuwa ni mzee kumbe kijana baanaaa! Salaaalaa!

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 9 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana kuletewa mke wa pili yeye amaeza kubali kuwa mwanaume 2

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 9 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 dahhh mapenzi yanauma Ila huyu ajatumia Akil.

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa twende kazi 🔥🔥🔥🔥

  • @mercenary3890
    @mercenary3890 9 หลายเดือนก่อน +2

    Safii snaa brooh

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 9 หลายเดือนก่อน

    Bas nlikuaga najua n mtu mkuuubwa 😂😂😂ya bongeee kumbe kadogo dogo

  • @stankirua
    @stankirua 9 หลายเดือนก่อน

    Justin,,kale kabiti kananogesha bro kaweke

  • @DavidbecomMluli
    @DavidbecomMluli 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kusimulia unaonekana haipendezi pia hata sauti inabadilika sio poa ila nakukubali hivo hivo

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi saffi Ila nimekuzoea nyuma Ya oasis

  • @salimanguzo5553
    @salimanguzo5553 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mwenyesauti nnayopenda kuskilza niwewe

  • @salhaabdulrahman6323
    @salhaabdulrahman6323 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amekufa kaacha mwanaume anaoa tena...bora angeachana na mwanaume

  • @khadijazungu8627
    @khadijazungu8627 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn hujatwambia kuwa Bi harusi kapona au kafa 😢😢😢 INNALILLAHI WAINNAILAYHI RAJIOUN ALLAAH awasamehe wote walio dhulumiwa na Nasra

  • @fasamifaudy6058
    @fasamifaudy6058 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti haiko powa

  • @samuelbenedict1721
    @samuelbenedict1721 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka usionekane kunafreva tunakosa, ukionekana

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 9 หลายเดือนก่อน +1

    Duh ubaya una mwisho wema una mwendelezo khaaa inawaka taa au, iv kaka ched kuna hii yamiez miwili watu wanakufa arusin nayo naomba kujua

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 9 หลายเดือนก่อน

    Uko safi

  • @MozaniNalapa
    @MozaniNalapa 9 หลายเดือนก่อน

    Broo tangazo ikiwa atukuoni ndo tunapenda sana 😂kukuona tutakuona instagram 😊

  • @aishakondo5434
    @aishakondo5434 9 หลายเดือนก่อน

    Mke mwenza alikufa au mbona hukusema

  • @godfreykulaya2452
    @godfreykulaya2452 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti inakuwa chin san shed

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 9 หลายเดือนก่อน

    Mwamba unatangaza vizuri. Japo nadhani ukitangaza bila kuonekana ni bora zaidi. Nadhani ni kutokana na quality ya video, setting na sauti (hivi kiwango chake hakilingani na brand yako uliyokwisha itengeneza). Mf. Hakukuwa na ulazima wa kufungua pazia nyuma yako maana huo mwanga umeharibu sana video. Pia kama utaona ulazima wa kufanya video basi unaweza kushot "closeUp" n.k
    NB: inabidi pia kukubali kuwa "Si Kila Mtangazaji wa Redio anafaa kutaangaza TV) Mf. Hai ni Clauds Fm na Clouds TV.
    Lakini kazi ni nzuri mno.

  • @iddicalvin3865
    @iddicalvin3865 9 หลายเดือนก่อน +3

    Taftuta microphone nzuri bro

  • @Askari22
    @Askari22 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bola ujifiche mana watakuzowea

  • @254nicelovecomedy3
    @254nicelovecomedy3 9 หลายเดือนก่อน +2

    Leta story ya Yule dada amecheza movie ya nun 😅

  • @samuelimshiu6430
    @samuelimshiu6430 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama sauti imebadilika

  • @oscarlyrics5819
    @oscarlyrics5819 9 หลายเดือนก่อน

    Boring Bana tunataka sauti tuu😢😢😢

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 9 หลายเดือนก่อน

    Wivu wa mtu mmoja unasababisha vifo vya watu weng wallah nasra hizo nafsi zitakulilia siku ya Qyama watakuuliz kwa nn uliwauwa? Yaan wanawake wa kiarabu wanaroho chafu sana huu ni mwaka wa 4 naish nao ni htr wanawivu sijapata ona pamoja na kwamb din ilianzia huk kwao lkn hawana din wamejaa unafki tu Allah atuongoze wanawake sasa kanyongwa umemuacha mume na anaowa mke mwingn 😂😂😂😂yaan kabla hujafanya maamuz fikir kwanza

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 9 หลายเดือนก่อน

    Bora mpango ule ukee tukusikie sauti tu

  • @salimabdallah9095
    @salimabdallah9095 9 หลายเดือนก่อน +11

    Ukitangaza hivi nibora kuliko kutangaza hauonekani ❤

    • @annethgod6642
      @annethgod6642 9 หลายเดือนก่อน

      Umeona eee atangaze hvhv

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 9 หลายเดือนก่อน +1

      Utakua na matatizo kiufupi kapoteza sifa ya sauti yake ......

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@AishaAisha-rh1fckwel sauti yake imekua tofauti na ile akiwa haonekani

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jesseyobeid6836
    @jesseyobeid6836 9 หลายเดือนก่อน

    😔🙏🏼

  • @jenipherjackson3826
    @jenipherjackson3826 9 หลายเดือนก่อน +2

    inayovutia ni sauti yako lkn sio muonekano wako tunaipenda saut baasi🙅

  • @sheickismail8482
    @sheickismail8482 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ndugu justin shedi ni vizuri utangaze usionekane