DUNIA IMEISHA SHEIKH KUTANGAZA UCHAWI MSIKITINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

ความคิดเห็น • 492

  • @mbarakamwande4071
    @mbarakamwande4071 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu atujaalie kuwa miongoni mwa watu wema,

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran ustadh kwa mawaidha mazuri Allah atuongoze waja wake yaarab🤲

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 4 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuhifadhi na akujaalie mwisho mwema sheikh.

  • @Nurudinidaudi
    @Nurudinidaudi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhallah sheikh wangu mm mafuatilia saana mawaidha yako ni mazuri na unaelimisha jamii yote nzima kwa ujuma Allah akuhifadhi Allah akulipe thawabu Allah akujaze kila la kheri InshaAllah

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah s.w. azidi kukujaalia Sheikh Mwaipopo.

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 4 หลายเดือนก่อน +7

    Dr kajenga jina na heshima kubwa sana miaka mingi kaja kuivunja siku moja tu

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 4 หลายเดือนก่อน +1

      Allah akitaka kumdhihisha mtu anayoyaficha, dakika nyingi huyadhihirisha mambo yake hata km ameshakufa

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 4 หลายเดือนก่อน

      Sio siku moja alikua anafanya chini chini saaa kaona atangaze wazi na sio yeye tu wengi wanafanya

    • @Sempay-cs9dr
      @Sempay-cs9dr 4 หลายเดือนก่อน

      Na uyo mkrito anae sema kuwa yeye alijua toka mda mreefu ushilikina huwa ila ukristo umemuokoa ktk watu walio potea yeye ni miongoni mwao

    • @Sempay-cs9dr
      @Sempay-cs9dr 4 หลายเดือนก่อน

      Shekhe allah akurinde nami nakusapoti katika hilo dini ni kuacha makatazo na kufuata maamrisho

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa kutuelimisha. Allah barik

  • @rashidimasoud558
    @rashidimasoud558 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana Sheikh Mwaipopo, Dr Sule anaichafua Dini yetu

  • @mainapaul8539
    @mainapaul8539 4 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah yasikitisha sana.. Allah atujalie khudaa.. jamaa hawa maseikh wa maulidi wangalieni sana

  • @Nurudinidaudi
    @Nurudinidaudi 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wangu ust wangu ndugu yangu mm nataka natamani nikutane na ww hawa masheikh wanaoudharilisha uislamu waache kwa ajili ya Allah Mungu Allah atuongoze waislamu waumini ukweli inaumiza ww endelea kuisoma haki usiwaogope hao wasiokiwa waislamu manaswara makafiri makuffaru na mayahudi fanya kazi sheikh wangu kwa kadiri uwezavyo InshaAllah

    • @banyankirubusamarc1727
      @banyankirubusamarc1727 4 หลายเดือนก่อน

      mungu wenu ni shetani kwa Nini munamdalau tena alifundisha utamaduni wadini? Huyu muhamadi aliwapoteza, kwanza aliwambia mashetani ni wenzenu kama mashetani ni wenzenu munataka viende vipi ? Dumuni.

  • @NuwayraHamidu
    @NuwayraHamidu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh mwaipopo Allah Akulipie

  • @CharlesDaston
    @CharlesDaston 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio Imani inavyotaka kukemea maovu, MUNGU akubariki mwaipopo

    • @kuluthumuzalari
      @kuluthumuzalari 4 หลายเดือนก่อน

      Mwamposa na wachungaji wengine wanatumia ulaghai na mafuta ya kichawi.

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@kuluthumuzalariunaelewa unachoandika au umekurupuka?

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 หลายเดือนก่อน

    masheikh mmekuwa washirikina sana sana muogopeni ALLAH

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho mazur sana kwa din zote hongera mtumish wa mungu

  • @issaisandeko6217
    @issaisandeko6217 4 หลายเดือนก่อน

    Sikuwahi kujua sheikh mwaipopo ana Imani na mapenzi makubwa na waislam na Uislam

  • @PieterSelestiane
    @PieterSelestiane 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera sana sheikh unaipeleka injili huko huko walipo wahubilie hao
    Injili inahubiriwa Kwa njia nyingi

    • @dullahsaleh8507
      @dullahsaleh8507 4 หลายเดือนก่อน

      Silimu kaka

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe unafuata biblia, Mungu katahiriwa

    • @mbarakamwande4071
      @mbarakamwande4071 2 หลายเดือนก่อน

      Msikilize shekhe mwaipopo vizuri, anautetea uislamu, washirikina wasiuharibu uislamu,

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishie kwa Naswih yako nikwil tukiyachilia haya kesho yatakuw kama nikwil

  • @RashfordOboray
    @RashfordOboray 4 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah sheikh Allah akutuhifadhie kwakweli aumeongea hkaki kabisa

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaipopo watakuelewa tu watu mie nilikua sikyelewi lkn now days nakukubali sana kwa juhudi hizi unazozifanya Allah akusaidie

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa na imani thabiti juu ya uislam wako hakuna atakae kuyumbisha.bahati mbaya sana has wenye dhamana juu ya dini hii wako kimyaa

  • @ramaamri831
    @ramaamri831 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujaalie taufiq yake uzidi kusema kweli .kwani leo hii wengi wana mafundisho ya ajab

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 4 หลายเดือนก่อน +3

    Uko sawa sheikh Mwaipopo

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @mbarakamwande4071
    @mbarakamwande4071 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe mwaipopo upo sahihi, hao jamaa ni washirikina,

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez 4 หลายเดือนก่อน

    duh kweli mtihani sana ndugu yangu mwaipopo hao mashekh dah hatari kweli mbaya kabisa

  • @rahmaomar9137
    @rahmaomar9137 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shehe Allah azidi kukusimami

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa Sijakuunga Mkono ,Hubiri neno la Mungu achana na Hao.Wasoma Dua ya kuua Watu,Watakutana Na Yesu Mwenyewe,period

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 4 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allah ukulinde

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah AllahuAkbar

  • @DaudMuhammedDjuma
    @DaudMuhammedDjuma 4 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akulipe Kheri Shekh Mwaipopo ukweli weka bayana usihofie mtu bali mtizame Allah atakulipa nini kwa moyo wako ulio jitolea kuibainisha haki🙏🙏🙏

  • @FadhilChai
    @FadhilChai 3 หลายเดือนก่อน

    Aslm alaykum, enyi ndugu zangu katka Iman,mtu usimuangalie mwanzo wa kitu, bali huwa anaangaliwa mwisho wake bimana huwa twamuomba Allah atupe mwisho mwema, Dkt sule, mhadhiri mwaipopo wote wanaeneza dini ya Allah awazidishie kwa Hilo, ila wenyewe waweze tu kuhishimiana coz, watu wa mmungu wanawaangalia sana kama kioo Cha jamii wasitukanane kwenye majukwaa, hiyo siunngwana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi kuna kipindi nilipata mtihani wallah nilipitia magumu mpaka watu wangu wakaribu wakawa wananishauri nende kawaangamize nikawaambia siwezi ingilia kazi isiyo kuwa yangu kwa sababu allah anayashuhudia haya ndo nana imu wakibwakata huwa sitafuti fatha kwake

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 4 หลายเดือนก่อน

      Kisasi ni haqi, lakini kwa njia ambazo Allah sw karuhusu! Kufanyiwa ubaya na kunyamaza haifai. Muombe Allah sw akuondoshee na amka usiku

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi, nikuwa nasumbuliwa na uchawi na mashetani, wallahi wa billahi watallahi, najifanyia ruqya mwenyewe, nitumia qur'an, nafanya adhkar asubuhi na jioni,

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

      RUQYA | TREATMENT AUDIO | BLACK MAGIC | 4 / Abu Nadeer
      th-cam.com/video/0gEDXBx7vDk/w-d-xo.html

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

      Tumieni hizi ruqya ninazozituma hapa, ama tafuta (Ruqya in london, wallahi hizi zimenisaidia mimi na jinni ashiq (mahaba)that wudhu, eleven qibla omba dua ya shifaa kwanza anza kumsifu Allaah yaani Laa-ilahaillallahu wahadahu laa sharika la lahulmulku walaulhamd wahuwwa-alaakullih shaiy-an qadeer,,kisha swalia mtume mara zisizogawanyika yaani3,au 5 au kuendelea,,kisha sema sifa zake na kumtegemea yeye tuu, allahuma yaa haiyu ya qayyum, ya qawiyyu yaa azia, allahuma ya kahaar, yaa jabbar ya muntaqeem,,allahuma ya maalik-al mulki, itakavyo alafu malizia tasleem, WEKA AUDIO ZAKO NA EAPHONE, ANZA NA AYA TUL KURSI, ALAFU SALA YA MTUME, ALAFU AUDIO NO 3 AMBAYO NI YA HASSAD YA AYN JICHO, ALAFU, AUDI NUMBER 9 YA JINI MZINIFU, ALAFU RUQYA YA KUWACHOMA MAJINI, KUNA PIA YA KUWAFUKUZA NA NYINGINE YA KAMA NIWASHINDANI UNAWAPA KUCHANGANYIKIWA NA KUWAUWA, HIO NI AUDIO NUMBER 12, AUDIOBYA KUWACHOMA NI NUMBER 7

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

      RUQYA | TREATMENT AUDIO | EVIL EYE & ENVY | 3 / Abu Nadeer
      th-cam.com/video/4hpl0lXFaZ4/w-d-xo.html

  • @jamil1547
    @jamil1547 4 หลายเดือนก่อน

    MaashaAllah wanyooshe

  • @nelsonzebedayo8281
    @nelsonzebedayo8281 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndugu yang pole sana!Rudi nyumbani uripotea!wislam huwezi kuutenga na ushirikina na kama uliingia kichwakichwa waulize waislam waliotangulia!

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tofautisha dua na uchawi acha kupotosha sheikh Mwaipopo.

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna dua iliyokua n uadui.
      Na hakuna muisilamu amuonbee mtu duwa eti awd anaona nyoka, tuache apo

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 4 หลายเดือนก่อน

      Dua ya mayai viza tunainua hiyooo

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Una masikio lakini hayasikii.

  • @mussachichajr
    @mussachichajr 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mwaipopo

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mwaipopo

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +18

    Laaaa! Asante YESU KRISTO Kwa kuniokoa na dini zenye Shiriki!! Mimi nilishashitukia hiyo dini muda mrefu kuwa Ina Ushirikina mwingi wa majini!! Kisha eti Kila ukiswali lazima usujudia kuelekea Makka kwenye Qibra Kaaba🕋 yenye Jiwe jeusi Al hajar Al aswad hapana!!! Hapana Uislamu kaa mbali na Mimi!!

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 4 หลายเดือนก่อน +9

      Yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu ? Ushirikina uko kanisani mjinga sana wewe . Mungu watatu lakini ni mmoja. Baba mwana na roho mtakatifu . Wote ni moja. Ushirikina ndio huo kama hujui.

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 4 หลายเดือนก่อน +9

      Kinyago cha Maria na yesu si ndio mnacho kipigia magoti kanisani. 😂😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +4

      ​​@@ExcitedChefHat-ef5jt Leo umesujudia jiwe jeusi lililoko Makka kwenye Kaaba 🕋? Wewe unamiliki majini wangapi? MIMI namwabudu MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI anayesikia pande zote Lakini Allah wa Makka mpaka uelekee Qibra Makka ndiyo anasikia network yake kwenye Kaabaaaa ukigeukia tu upande mwingine network inakata hasikii😂😂😂 Sasa huyo Mungu gani?

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 4 หลายเดือนก่อน +6

      ​@@paulmushi2428wewe ni mjinga wa mwisho. Hujui hata shirki ni nini? Pole sana Alhamdulillah I'm a Muslim ☝️🕌♥️♥️♥️

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@HassanJaphari-rx7jy I LOVE JESUS, ❤❤❤THANK GOD I'M Christian 🛐🛐

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 หลายเดือนก่อน +1

    MASHEIKH pigeni vita ushirikina

  • @issahabdallah9018
    @issahabdallah9018 4 หลายเดือนก่อน

    Taratibu Tu mtawaelewa mawahabi.

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 4 หลายเดือนก่อน

    Ana msimamo mkali sana kukemea maovu

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza Allah tuna RB yako kwa kutudanganya sisi waislamu😂😂

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika uislam siyo kiarabu sheikh Mwaipopo

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 4 หลายเดือนก่อน

    YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA MTU HAWEZI ENDA KWA BABA BILA YEYR❤

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msiba, inna lillah wainna ilayhi raj'un

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 หลายเดือนก่อน

    mnasheikh wanaumaliza uislamu

  • @LatifaKilloh
    @LatifaKilloh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uislam ni dini Bora kwakuwa tunaamrishana Mema na kukatazana Mabaya, yaweza kuwa sahihi katika njia isiyo Sahihi, Unauwezo wa kuwafuata na kuwalingania kuliko kuja Mtandaoni, Hapo nani Anaudhalilisha Uislam.Mjitafakari sana katika ufikishaji kwa sisi Maamuma

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 4 หลายเดือนก่อน

      Na vp upande wa pili ambao washaamni uislam ni majini wataelewa wap acha mwaipopo aendelee kutetea haq

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@omariaman7818dini ya ushirikina na kichawi ikiongozwa na Muhammad na shetani

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Wao wenyewe si wameachia mtandaoni, Sheikh Mwaipopo s.w. Allah s.w. atakubariki.

  • @SaidSalum-p5h
    @SaidSalum-p5h 4 หลายเดือนก่อน

    Asalamalaykum sheikh Sayd Mwaipopo.
    Sheikh wangu tangaza ukweli tu hadi kieleweke hatakama ni muislam au kiongozi waambie Qur'an na Hadith waache mazoea

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dr Sule Ameuongea Hadharani na anatumia pete kuchuma mali hapo mnasemaje.

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 4 หลายเดือนก่อน

      Yeye km yeye bibafsi yake.
      Haisababishi kuwa doctor sule kufanya hivyo ndio dini y kiisialmu kuwa ya kichawi au ushirikina.
      Uisilamu umekataza uchawi au ushirikina.
      Ukiona muisilamu ni mchawi au mshirikina badi ni tamaa zke tu,
      Na hiyo anamkosea Allah

    • @samwelimwanja4105
      @samwelimwanja4105 4 หลายเดือนก่อน

      @@zulekhaa6817 ingekuwa hivo basi mngekuwa mnaelewa na Baadhi ya watu wa kikristo wakiongea kinyume unapaswa kujua ni yeye na sio Dini

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Dr. hakosei ndugu yangu?

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaipopo,sule arekebishe kauli ya kuletewa Mali na majini,tofauti na hapo hamtaaminika mashekh wote

    • @usrahismail3196
      @usrahismail3196 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli maana,hiyo kauli ni ushirikina

  • @samxx411
    @samxx411 4 หลายเดือนก่อน +2

    Samahanini sana lakini ila wenzetu huko Bara, naona mpo mnasema sana hadi saivi naona mnaanza kuudhalilisha uislamu....hebu punguzeni hizi media na kupenda sana dunia (pesa)..mmeanza kugombana wenyewe kwa wenyewe masheikh, saivi mnaanza kuhusisha ushirikina katika uislamu..na hao wakristo hawana elimu wao kila kitu ushirikina isipokuwa kumuabudu yesu ambae ni mtu.

    • @gaitamaemmanuel
      @gaitamaemmanuel 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni ni mtu..!? Muulize sheikh wako maana ya RUHU nini..ujiue basi ndo Yeus

    • @samxx411
      @samxx411 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@gaitamaemmanuel sio lazima sheikh, Ruh ni roho ...Mungu ni Roho kwa biblia ina maana roho haionekani...je yesu alionekana au hajaonekana..

  • @annacletaambrose3639
    @annacletaambrose3639 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie wakristo mnashida mnacomment kumkatisha tamaa ili aludi kwenye ushirikina mkubwa wa yesu ni mungu sahauniiiiii

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo uko sahihi kuwakosoa waisramu wenzio wanaotumia uchawi kwa jina la Allah

  • @williamchihami4763
    @williamchihami4763 4 หลายเดือนก่อน

    Yohana mtakatifu 3:16 , marko 16:15_19 , ushauri okoka yesu ndiye mwanzo na mwisho

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaipopo Uneonaa!! Umeonaaa Mashallaah SIRI ZINATOKA ndiyo maana Sule anajiamini kusema mambo !! SIRI ZINATOKA 😂😂 yaani Sheikh mziwanda anatabasamu tu😅 Sheikh Walid kumbe naye anapiga vyuma vya kijini Laa! Hii Dini msiba!! Hata siitamani!!

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 4 หลายเดือนก่อน

      Dini haijaamrisha bali ni uchawi wa mtu binafsi.

    • @hafidhkhamis
      @hafidhkhamis 4 หลายเดือนก่อน

      ww elewa uslam haufundishi hayo,na ni dhambi kubwa, hao wanajifnyia wenyew tu kwa ujinga wao na wapata dhambi, ( ushirikna ni dhambi kubwa katika uslam) . km hujui uliza usiropoke

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sadikiissa7756 wewe ni Maamuma Huna Ilimu huoni hapo masheikh wamekusanyana wanatoa Siri wanazozifanya Misikitini? Hujui kusoma hata picha huoni?

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@hafidhkhamis Wewe ni Maamuma Huna Ilimu huoni hapo masheikh wanavyo ambiana tena msikitini!! Du! Kusoma hujui hata picha huoni? Dini ya Uislamu na uchawi na majini Damdam

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣
      Kumbe dini zinatamaniwa?

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lahaula walakuuwata ilah bilaah

  • @aproniamasatu5810
    @aproniamasatu5810 4 หลายเดือนก่อน +3

    we ndio umejua ulijichanganya eeh ,!? 😂😂😂😂😂😂 unaingia dini za watu kichwa kichwa?

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂 Ataelewa tu kuwa ameingia Cha kike

  • @Husenimuddi
    @Husenimuddi 4 หลายเดือนก่อน

    We we mwenyewe mwaipopo no mganga eti tiba za kisuna uongotu jitafakali ukatubu mrudiye mungu,kama hayomaneno yanatoka moyoni mwako bila unafiki sawa ila kama na we we ni moja wao tubu

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaipopo hata mtume alisema uislamu Karne hii utatetewa na waliosilimu waambie ukweli wao

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi nampenda yesu milele,na peponi nitaenda

    • @DRHaroonShaarawy
      @DRHaroonShaarawy 4 หลายเดือนก่อน

      We nae acha bangi, Kinacho ongelewa hpo ni kuwepo utofauti kati ya Muislamu na waislamu. Wako wanaotumia dini kwamaslahi yao binafsi

    • @mkilwaabdul9230
      @mkilwaabdul9230 4 หลายเดือนก่อน +1

      pepo hiyo labda ya babu yako

    • @NuwayraHamidu
      @NuwayraHamidu 4 หลายเดือนก่อน

      Utaenda motoni milele

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 4 หลายเดือนก่อน

      Pepo hiyo rabda ya shetani ambayo ni moto jahannama

    • @esthersawiga9979
      @esthersawiga9979 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi kumbe kuna watu wanadhani kinachompeleka peponi mtu ni dini😂😂

  • @angle3600
    @angle3600 4 หลายเดือนก่อน

    Masheik mnatukoroga.

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 4 หลายเดือนก่อน

    kutegemea majini qur'an inakataza. Usiuhukumu uislamu kwa matendo ya waislamu, pia siwezi kuuhukumu ukristo kwa matendo ya wakristo, hukumu dini kwa kitabu chao.
    Al Quran: As-Saffat/37:158
    ---
    وَجَعَلُوا بَيْنَهُ وَبَيْنَ الْجِنَّةِ نَسَبًا ۚ وَلَقَدْ عَلِمَتِ الْجِنَّةُ إِنَّهُمْ لَمُحْضَرُونَ
    Translations:
    ---
    Na wameweka makhusiano ya nasaba baina yake na majini; na majini wamekwisha jua bila ya shaka kuwa wao watahudhurishwa.
    -- Ali Muhsin Al-Barwani
    ---Al Quran: As-Saffat/37:159
    ---
    سُبْحَانَ اللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ
    Translations:
    ---
    Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia.
    -- Ali Muhsin Al-Barwani

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaio papa avolusu ushogaa maana bublia na wakristo wote mwapenda ushogaaa uyo shekhe ni wao sio uislam

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 4 หลายเดือนก่อน

      sasa ukristo umeingiaje hapo ndugu mbn akili yako ndogo sana

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 4 หลายเดือนก่อน

      @@khloevibe7569 sio uyo Shoga mwenzenu anaukashifu uislam kwa shekhe ambae ata Balaza la waislam hawamjui sie ndio baazi washirikina Sawa lakin nyiny kiongoz wenu mkuu shogaaaa anataka mfirane Bora SS icho kishee kinasapot uchaw lakin marina yetu yapo salama

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 4 หลายเดือนก่อน

    UIslam hawezi kudhalilika hata siku moja atazalilika anejidhalilisha hii dini yupo mweyewe anaelinda anaona anasikia halali hasizia

  • @mussakarata6650
    @mussakarata6650 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo umedanganya soma tena shekhe majini ni viumbe wako watiifu na waovu hivyo tafakar na kam ni biashara hiyo ulipaswa utangaze biashara yako maan naon kundi ni moja tuu

  • @unyeseupdatestv
    @unyeseupdatestv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wew mwaipopo we umeacha ukristo Kwa tamaa zako Kwa sababu Leo hii unawasema masheh wengine Kwa ubaya na kufanya kama wewe hujui chochote akati nawe sasa ni mmoja wao nmekushuhudia mara nyingi ukitangaza dawa zenye jamii hy iyo huo ni ukweli Acha kutupaka matope na kitambaa cheupe huo ndy uhalisia wa dini yako umeruka mkojo umeyavagaaaa

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unyeseu naona unaporoja tu tangu lini mafuta ya zaituni ikawa ushirikina? Unaongea pumba zakijinga tu inamana ukienda Hospital ukapewa vidonge navo pia Ni ushirikina? Wacha ujinga wa kishoga uwo

    • @unyeseupdatestv
      @unyeseupdatestv 4 หลายเดือนก่อน

      @@badruseif1318 sasa wewe ndy unaongea ushoga we ulisikia lini mzaituni ni dawa kama sio ushirikina au mungu wako wa mchongo humuamin mpaka utumie mzaituni au umefundishwa Aya gani usimwamin mungu uamini mzaituni na toka lini ikawa dawa Kwa andiko lipi lete andiko kama na wew sio mshirikina na dini yenu ya mchongo

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 4 หลายเดือนก่อน

      @@unyeseupdatestv unapokwenda hospital inakua humuamini Mungu? Kumbe ndio mana kule shakahola mkafungishwa mpk mkafa Kwa mafungu Kwa imani za kijinga,na wewe andiko kwenye bibilia linalosema ule Panadol ukiumwa, wacha ujinga uwo babu

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 หลายเดือนก่อน

    Uislam unapotoshwa na Waislam wenyewe

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa shehe Mwaipopo, unaona ulivyoiacha ile Njia? Unaona?
    Uko uliko siko!
    Kwani tangu mwanzo hujui uchawi na ushirikina na chanda na pete na uislamu? Unajua sana!
    Wakristo tuliookoka tunatumia Jina la Bwana Yesu kwa mambo yetu yoote; waislamu mnategemea Majini (mapepo/mashetani).
    Mwaipopo mdogo wangu mrudie tena Bwana Yesu kristo, anakupenda na anakuhitaji sana uje kumtumikia. Ni hayo tu.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe hiyo fitina unayoitengeneza juu ya huyo shehe itakugalimu wewe umesilimu imeikuta umeingia cha kikke ng'oo🎉🎉 Rudi kwa Yesu ewee mwana mpotevu😢😢😢😢😢mwanzo ulianza na Sule sasa na huyu tena,

  • @athumanijuma6553
    @athumanijuma6553 4 หลายเดือนก่อน

    mtume muhammad saw alishasema kuwa hiii dini imekuja ngeni na itarudi kuwa ngeni.....mkweli ataonekana mwongo na waongo wataonekana kuwa wakweli kabla kiama kusimama
    sheikh wangu umesema kweli kabisa...wewe ni mgeni ktk uislamu lakini unaujua uislamu vizuri sana kuliko wengi walio katika uislamu
    hawa masheikh uchwara nawachukia sana maana ndio wanaoweka road block kwa makafri wasiupende uislamu

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mwaipopo wewe ulijichanganya kwa sababu ulijua kava la kitabu hukujua yaliyomo ndani yakee,ndivyo ulivyo uisilamu.Ukweli zipo aya katika Qur'an zenye dua za kuharibu watu,mfano albadlu akisomewa mtu lazima afee.uyakubali yote maana wanazuoni walikubaliana kwamba aya zote zatoka kwa Mungu.hayo ndiyo yaliyomo.rudi kwa Yesu atakuremu

    • @khalidmainala2570
      @khalidmainala2570 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sorry Albadiri sio Qur'an ndugu

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      @@khalidmainala2570 kisomo cha albadri kimo kwenye kitabu chenu.vyote wanazuoni walikaa wakasema wakubaliane ku wa vyote vyatoka kwa Allah maana kipindi muhamadi amerogwa hakujua ni aya zipi zilitoka kwa Mungu na zipi zilitoka kwa shetani,msichanganyikiwe jamani huyo ndo Allah aliyeapa kwa aliyeumba kike na kiume

    • @yusufngare3438
      @yusufngare3438 4 หลายเดือนก่อน +1

      Albadri sioquran na niushirikina,wewe ndiwe umejichanganya

    • @khalidabdalla6836
      @khalidabdalla6836 4 หลายเดือนก่อน

      Huna elimu kabisa..albadiri si Quran ..ni kitu kimetungwa,uislamu wabaki vilevile msafi...dini huangalii mafunzo ya mtu binafsi soma vitabu.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      @@khalidabdalla6836 hivyo ndivyo mlivyo na mtaendelea kubaki na ujinga wenu,maana mtu akiwaeleza iliyo kweli mnasema hana elimu,ila pole kwa kuwa hujui unayeongea naye,lakini je hayajaandikwa kwenye kitabu chenu.kabla sulle hajasema mambo ya uchawi mlimsifia anavyojua na alivo na elimu,sasa mwenye elimu kaanza kuwaeelezea mnavyoshikamana na uchawi nyinyi mnasema tena hana ilimu ya dini kweli nyinyi ni wabishi

  • @AM-rr3jr
    @AM-rr3jr 4 หลายเดือนก่อน

    Mafuta ya Upako mpaka kwa Mashehe?? Au hayo ni mengine??

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo ingia kaone sheikh mwenzio alivozungumza kwenye ARKAS ONLINE TV sheik kaelezea malaika waliotumwa kufundisha uchawi utajua Uko na watu gani😅

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 4 หลายเดือนก่อน

    Ni ukweli but KAA CHINI USOME KWANZA ndio ufundishe dini

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha Mungu aitwe Mungu Sema yoteeee,Yaani utasema yote,Kwa kuchambana nakuaminia wewe mdandia dini kwa mbele, umewakuta wa2 wanainama inuka nawe inama inuka elekea kuleee,Baadae ndo utakujaga kujua Yesu ni Bwana,utajutia utoro wako nakuapia.

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 4 หลายเดือนก่อน

      kale kimba

    • @tyronemofekeng7152
      @tyronemofekeng7152 4 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka aendelee kuamini kitu kisichoingia akilini kua eti Yesu Mungu!

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 4 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣
      Yaaan kwel hapo ndo umefikia mwisho wakufikir

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 4 หลายเดือนก่อน

      Yakunda hata Mimi pia Ni bwana, kama wewe Bibi kaa na ubibi wako

  • @maddybongo
    @maddybongo 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo bwana Hamisi Chang’waru refalii wetu amebugi japo haya mambo yapo lakini asingeongea hadharani au mbele ya camera.

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 4 หลายเดือนก่อน

    Yani hasa hivi ukiumwa mambo ya kimajini sijui uwende wapi maana msiba huu 😢😢

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 4 หลายเดือนก่อน

    TAWHEED NDIO DINI
    AHSANTA SAAANA SHEIKH

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kumpwekesha Allah (S.W) .

  • @IYEGU-p3n
    @IYEGU-p3n 4 หลายเดือนก่อน

    Majini Ni majini tu 😮 hakuna jema

  • @bogoakassim8714
    @bogoakassim8714 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti Hakuna

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwipulumusi(popo)
    Acha njaa wewe,hakuna uisilamu bila Amjad(uchawi wa Quran)
    Ili uwe sheikh lazima usome Ilimu Akher na Ilimu Dunia.
    Ilimu Dunia ndiyo Ina Amjad(sihir).
    Hakuna sheikh asiye mchawi acha kujikosha.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 4 หลายเดือนก่อน

      Maher kama ilivokua hakuna ukristo Bila ushoga

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน

      @@badruseif1318
      Huo ni uzushi na chuki binafsi ya Imani.
      Toa Aya au Andiko linalothibitisha kauli yako,maelfu wapate kuelimika na kusalimika
      Msingi wa Ukristo ni huu hapa;juu ya liwati(dubri)
      👇
      Walawi 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume kama alalavyo na mtu mke:wote wawili wamefanya machukizo,hakika watauawa:na DAMU yao itakuwa juu yao.
      Au hamjuwi kuwa wadhalimu,hawataurithi UFALME wa Mungu?Msidanganyike,waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu,Wala waabudu sanamu,Wala wazinzi,Wala WAFIRAJI,Wala WALAWITI.👉 1Korintho 6:9.
      Toa Aya inayoonyesha Ukristo unaruhusu ushoga.

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 4 หลายเดือนก่อน

    Si mnasema kuna majini mazuri yanawafaa kuwaletea fedha yakiiba pesa za watu 😅😅

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna Aya zenu zinasema malaika walishuka kufundisha uchawi tunaona pengine ni kweli ukienda mbagala na sehemu mbalimbali kuna maduka yanauza vitu vya shirki na ni waumini wa kiislam niliwauliza siku moja je nilifungua hapa duka la nyama y nguruwe mtafurai wakasema tutakufukuza siku za mwisho vitu vyote vilivyofichwa vitakuwa dhahiri

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 4 หลายเดือนก่อน

    dini ya kishetani mtaendelea kujiumbua wenyewe na video mnazo record wenyewe

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 4 หลายเดือนก่อน

    Washirikina wote niwale wanaopiga madufu nawenye kukimbiza moto,na wote walioko ccm,

  • @mussakarata6650
    @mussakarata6650 4 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Nilisubiri hapo tuuuu kumbe hata wew ni mfanyabiashara na hiyo ilikuwa ni mbinu ya kutangaza biashara

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu wewe

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 4 หลายเดือนก่อน

      @@jabirkasunzu6841 Ndo njia ya kunieleza hiyo kumb bhas vyema

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimklisto huoko umepotea hayo unayajua leo kaka

  • @NasraAbdallah-k8r
    @NasraAbdallah-k8r 4 หลายเดือนก่อน

    Uwo ndo usufi bwana hhh akismama bachu kukemea bidaa nyinyi mnakuja juu sasa kikowapi na bado apo kuna wengine wanai halalisha albadili😅😅😅

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 4 หลายเดือนก่อน

    Sura yake tu unagundua ni mchawi wa wachawi aibu hii😢kheri sisi tunamuabudu Mungu kwa imani kuliko hawa wachawi wasiy0 na aibu

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelakutulaga9756
    @emmanuelakutulaga9756 4 หลายเดือนก่อน +1

    MANENO MENGI MWAIPOPO KUMBE NA WEWE MFANYABIASHARA TU....

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na ule mckiti ulotangsxwa na Sulle kwamba umejengwa na majini? Sulle alisema anitaga majini,🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 4 หลายเดือนก่อน

    muda sio mrefu ukweli upo tu ingawa unachelewa tu mashekhe umma mnaupeleka wapi ? YESU KRISTO ni jibu na ninjia ya kweli wanao silimu hawana misingi maskini kuna namna inayowanya wanakosa namna aisee

  • @josephmashaury5538
    @josephmashaury5538 4 หลายเดือนก่อน

    Hatali dini ya haki lakini inafanyiwa ushirikina

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo nidua alizosema hajasema uchawi vp mwaipopo wasingizia

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna dua yenye uadui ndani yake.
      Na mifano aliotoa huyo inaonesha dhahiri mambo y kishirikina hayo
      Allah hapokei dua km hizo.

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 4 หลายเดือนก่อน

      @@zulekhaa6817 utasemaje hakuna Dua zakumuombea adui anaekufanyia ubaya soma kwanza usikurupuke

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uislamu.by by nimehakikisha leo niuchawi😂😂

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwaipopo waislamu Kama majini akuna waislamu akuna

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe sheikh tukueleweje wakati Quran inasema waislamu wanaeda kuzuru makaburini na wanatia ushirikina pia..alafu swala la uislam kumfukuza shetani ni uongo huyu ni dunguyenu alisilimu pia kwa mujibu Qurani 72,1,14😂😂😂😂😂😂

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwaipopoooooo!! Bado hujasema Uislamu ni kama Sumu ya panya iliyopakwa Sukari kwa juu!! Uliona kava la kitabu lina ng'aa ukakumbatia!! umeanza kusoma yaliyoko ndani unalalama!! Hiyo dini haukuhusu wewe hiyo ni dini ya Waarabu Maqureishi wa Makka

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน

    Tuingie wapi weye? Sule ashasema ukweli wote,km mmemshindwa Harmo,Sule mtamuwexea wapi? Muache.Tajiri Sule Sule unawacheki kwa mbaali 7:22 7:25

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shida mwaipopo huujui uislamu, wewe uliambiwa machache mengine ukafichwa, hayo unayo yaona ndio uislamu wenyewe, uislamu na majini huwezi kuvitenganisha, ndio maana huwa nasema waislam wakiweza kusoma wenyewe quran na hadith wataritad wote ila kwa sababu wanasubiri kuelezewa na walimu wao basi watafichwa mengi sana, na mengine ndio hayo wanajisahau na kuanza kuweka hadharani,
    Juzi tu sule ametuonesha msikiti uliojengwa na majini na watu wanaswali, sasa akiyatumia majini hayohayo kupata pesa mnamsema, sasa mnataka nini na vitabu vyenu vimeelezea kabisa kuwa wapo majini waislamu? (walislimu) Na ni ndugu zenu ktk imani.
    Narudia tena mkiisoma dini ya uislamu wenyewe kwa kina mkaielewa mnaritad, mmebaki kuwa waislamu sababu hamuujui uislam mnasubiri msomewe.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 4 หลายเดือนก่อน

      Ukienda iringa %99 Ni wakristo lkn kila penye mti mkubwa kuna kijibanda na bendera nyekundu, vinakua vya Kazi gani kama sio ushirikina, ukienda sumbawanga ndio kunaongoza Kwa uchawi na wakati %90 ya watu WA sumbawanga Ni wakristo, nyamazeni tu musifikiri hatujui manyago yenu, wakristo wote Wana matambiko Yao kila mwaka lazima wakatambike vijijini kwao

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 หลายเดือนก่อน

      @@badruseif1318 Yani nyie hamna hoja ndio maana huwa nasema nyie mnadili na watu sio Biblia, ila sisi tunadili na vitabu vyenu ndivyo vimewaelekeza mfanye hivyo lakini hayo yote yanayofanywa iringa mara sumbawanga ni wapi yameandikwa kwenye Biblia?
      Swala la majini kuslimu na kuwa waislam lipo kwenye quran, swala la kwenda kuabudu jiwe jeusi ili msamehewe dhambi lipo kwenye vitabu vyenu, kusomea watu albadlu sijui vipo kwenye vitabu vyenu pia na upuuzi mwingi kibao ila bado hamshituki, so sisi hatudili na vitu vya kubuni na watu tunadili na maandiko yenu, chekecha kichwa ndugu. Kwa kifupi hayo yanayofanywa na masheikh wenu wanayatoa kwenye vitabu vyenu vya dini ila hivyo wanavyofanya wakristo havipo kwenye Biblia wanatunga tu fanya research.