Rais Magufuli Azindua Uwanja wa Ndege wa Kagera

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2017
  • Subscribe / uwazi1
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, yupo ziarani mkoani Kagera ambapo mbai na mambo mengine, atazindua uwanja wa ndege wa Kagera.
    WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 22

  • @pascalstaharabu4124
    @pascalstaharabu4124 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuzidishie hekima na maarifa utimize yote yaliyo mema kam adhima yako.Nakuombea.

  • @rashidshamte5971
    @rashidshamte5971 6 ปีที่แล้ว +1

    big up sana mh. magu cc tuko pamoja sana na wewe. nakukubali sana mkuu chapa kazi mpaka kieleweke watu waligeuza tz shamba la bibi

  • @japhetmwamlenga7078
    @japhetmwamlenga7078 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana jpm

  • @danielelias4639
    @danielelias4639 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki saana

  • @mwajumabulugu4115
    @mwajumabulugu4115 6 ปีที่แล้ว

    mungu akulinde rais wetu

  • @ayoubkibira646
    @ayoubkibira646 6 ปีที่แล้ว +1

    amen

  • @emmanuelnjau1311
    @emmanuelnjau1311 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe neema

  • @maishagokera6434
    @maishagokera6434 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe nawe akuzidishie hekima busara ili uendelee kutuongoza vizuri kama ulivyo sasa.

  • @josephngaila539
    @josephngaila539 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @georgepeter5814
    @georgepeter5814 6 ปีที่แล้ว +1

    kwa Kweli leo huyu Mzee kanifurahisha Sana, Tatizo liko kwa watendaji wa chini lakini kwa kauli yake ya kuhitimisha WATAKWAMA WAO. Big up My President

  • @zarinabhulji9919
    @zarinabhulji9919 6 ปีที่แล้ว

    God bossa u.

  • @renathatv1711
    @renathatv1711 6 ปีที่แล้ว

    tunashukulu muheshimiwa kwa kutambua uwepo wa wana kagela, lakin muheshimiwaa hivo viwanda hata vilivopo sasaivii mshaala bado ni mdogo saana ukilinganisha na maisha tulonayo kwa sasa, mtu anaingia kazn kwa siku analipwa elfu mbili miatano adi elfu tatu na unakuta mtu yuko na familia ya watoto watatu au wawili na mke, ukizingatia na maisha ya sasa kila kitu ni kununua kiukweli haitoshi kabisaa muheshimiwa tuangalie katika hili watu wa kagela. mungu akutangulie ktk kaz zako.

  • @geofreymwatonoka1628
    @geofreymwatonoka1628 6 ปีที่แล้ว +1

    Tutazidi kukuombea kiongozi wetu

  • @derickmujuni7058
    @derickmujuni7058 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unachelewa kutangaza Túlio

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 6 ปีที่แล้ว

    safi rais tunakukubali.tunaomba na morogoro.mgeta bado tunalipa kodi japo mkungu mmoja.pita na

  • @richardshibola2593
    @richardshibola2593 6 ปีที่แล้ว

    kaza but I tupo pamoja

    • @kassimjuma9779
      @kassimjuma9779 6 ปีที่แล้ว

      asisahau barabara zake zimebomoka na mvua wara miak 3 bado

  • @rashidjabirisumail2227
    @rashidjabirisumail2227 6 ปีที่แล้ว

    seme nn magu umebana sana

  • @tinomafanya7311
    @tinomafanya7311 6 ปีที่แล้ว

    bado uku dodoma wilaya ya CHAMWINO geti la Nzari kuna shida