Makomando wa TZ wakipambana bila bunduki
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2016
- December 9 2016 zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi.
Mbele ya Rais Magufuli Makomandoo wa JWTZ walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ikiwamo pamoja na namna ya kukabiliana na adui.
VIA AZAM TV.
Oh ALLAH! Grant us the ability to help each other, the wisdom to guide one another, the patience & understanding to deal with each other, the trust to talk to one another.
Oh ALLAH! Give us the ability to be there for each other, Ya ALLAH, do not abandon us when in need, for YOU are the best to turn to, Guide us towards your path for that is the path of true success, grant us the best of this world and the best of the hereafter. Amin
Jummat mubaaraq.
Muhammad Ashiru mh hawana rorote naoba kinuke niwaone hizo bwebwe
Sisi Tanzania tuko vizuri
mko vizuri makamada wangu mungu awabariki xana
kuna watu wana dharau sana wanafkiri nchi yetu kua na amani hvi inalindwa na kuku hawa ndo kla ktu kwetu wakilala sec1 ndo bas tena , god bless you JWTZ.
Acha kukufur ww MUNGU ndo anatulinda sisi wanaadam pamoja na hao makomando hao si chochote si lolote wanasubir kufa tu kama ss ww ni muislam.usifikie kusema hao ndo kila kitu kwetu ukamsahau muumba wa mbingu na ardhi ambae yy halali wala hasiinziii wala haf ndo kila kitu kwetu na sio hao
@baaliyanuun416 mwambie kk
Vzuri sana mungu ibariki tanzania
naipenda sna hyo kazi jmn
Nitafute baba angu yupo makao makuu nitamwambia akusaidie
0657149323
kwa ulinzi wataifa letu Mungu aliponye jeshi
kiwango kinalizisha sio mbaya sana
cha muhimu adui asielewe mbinu
Tanzanian prooved themselves to be capable when they conquered and chased Idd Amin out of Uganda.
wooooooooow guys mimi siwezi hiyo kazi kabisa nyinyi ni washuja kweri shukurani.
Hongeren Sana TZ tunajivia kuwa nanyi
hongeleni sana makomando wetu fanyeni kazi ya taifa
Very good makomando wetu wa tz mpovizuri sana sana hata mm nayatamani nice my brother s
Napenda sana uzalendo wa Taifa langu...soon Tutakuwa wote
wapi like za wakenya
hilo jeshi nalipenda sana hatari...
Tanzania tunaweza
Tanzania tuko vizuri
mh kwel Tanzania tunaweza
Excellent
Mm mwenyewe napenda ukomandooooo nakutetea taifa langu
safi san wanajexh hongeleni.
Tuko wengi tunaojivunia jeshi imara la Tanzania
Mung ibalik tz mung balik jwtz
Napenda Sana jeshi
Tupo vizuri
I love you tz
tusi pende kubeza jamani hakika ndio jeshi letu hatuna budi kupongeza
hatari sana, safi sana wanajeshi wetu
Mungu baliki jeshi letu much love military 💪👊
❤❤❤
good sana kwa kazi
daaah! hawa makomando wako vizuri sana sio watu wa mchezo mchezo
hadija abdallah ext
Hongereni sana ccm
safi sana komando we2
yes wako vizuri
Mambo mazur Sanaa
normal excise
mko vizur jaman hongeleni xana tena xana nimeipenda
Nilikua namcheka huyo mwenye kitambi. Kumbe anweza. Yupo vizuri.
l like oneday l will
Nice job Jwtz
Mungu awalinde wanajeshi wote wa tanzania
Kuna komando ana kitambi jaman?
Dah
Educational Resources &Entertainment
Yes
kweli jeshi letu liko vizuri sana
Mko vizuri sana wanajeshi wetu
nice
Maisha
Mazoezi hiyo hatari sana
ndo maana wakikukamata sehemu wanayokataza wanakufanya mpaka ukimwona aliyevaa vaz kama lao unahc kuingia ktk ardhi
safi sana
Rais Magufuli akitimiza yote anayosema katika hotuba zake kwa wamanchi bila shaka Tanzania itakuwa Nchi ya maendeleo na kushinda Nchi zote katika bara la Afrika.
wapi nani kakuambia
Susana Nyasani
Raisi
komando wetu Tz wako vzuri Big up sana
At least lakini kwa wale tuliopitia martial arts kwa level hiyo mkufunzi wa martial arts kwenye martial arts aongeze ufanisi.Ila wako fit kiafya na akili hicho ndicho cha kujivunia
ao maadui nao utawakuta wamelala au
Mahakama ya ngulla Kwimba ,Mwanza inachekesha sana viongozi Ngazi za juu hebu fanyeni himaa haki za watu Zinapindishwaa tu
Hili sio jeshi la anga ni la ardhi unaefananisha NA jeshi la marekani katka nyanja ipi ?alafu ni mbinu za kupigana pasina silaha INSHORT WALETE HAO MAKOMANDO WA KIMAREKANI TUWAONE "this is international " course HATA WAO WANAFANYA TENA TUNAWAZIDI
Walipigwa somalia operation black hawks tena sio na jeshi la serikali bali waasi tu wskiongozwa na mohammad farai didi America ardhini chai tuuu,hawawezi lolote
Mnaosema hawakovizir nenden nyie mkajaribu tuone kama lahis
goog i like it
great,no crimes!
Napenda sana.napenda mtoto wangu awe kama hawa wanajeshi wakakamavu
hongera sana wanajeshi wetu mmejitahd mmenitamisha nataman kujiunga
makomando
Wanahemaaaa, wanapishanaaa, hadi raha napenda kuona its luvly
awo jamaa cna ham nao walimfanya kitu ndgu yangu mpaka leo akiwaona anahadithia
Freemason
hongera sana wanajeshi wetu mmejitahd
Tunajivunia sana jeshi letu
Mohamed Mwakatika unanjivunia nn kwan jesh LA baba ako
Noma sana
Habar
Very competent people in Tz
It can be
duuhhhhh shikamoooo JESHI
tupo vizur tnz oyeeeee hongela jeshi lletu
Estamele Jomah mmmmm
Hatari
VERY TRUE KEEP AFRICAN HOPES ALIVE
ebana eeeh dah bado sana nawapongeza ila bado sana em kama unabisha andika hapo juu Saudi Arabia Special Forces Uangalie mwenyewe siamini mpk leo bado tunavunjiana na matofali hapo naona Ka gari lamoja kana sukumwa na watu wawili em andika Saudi Arabia special forces tuige kama hvyo maonyeshe yajayo yanoge kidogo
Mm nimetulia. Sana nikimcheki uyo. Mwenye kitambi. Kumbe. Yupo. Fiti. Ako. Wapi. Nimpatie. Zawadi
well done
Jwtz ni noma sana
AIBU KWA TAIFA!!!
Akili finyu
Kwanini
Nimemkumbuka mzee wa misimamo yote
ase ni binadam hao kwer
Ka mjomba kangu kipp hakinaga was
Maonyesho hayo tuu! Hawo wakomamdo wakikabliana na wacchunga ng'ombe kutoka Kagera hawawizi kufuwa dhafu......kutumbwiza uma tuu..
Police mnawaona wezenu siyo nyinyi mnanyanyasa laia
Tkklkk
😘😘😍😍😘😘😂😂hapn chezea Tz
Hatariii
mko juu sana jeshi letu jikaze
Iko powa
Hivi jamani mwadhani kua commando ni mzaha?Nijuavyo mimi,ni kwamba ili uwe commando ambae umepewa cheti cha ukomando,lazma uwe umepitia kozi hiyo Israel miaka 7 then ukamalizie miaka mingine 15 Cuba.Ndo unapewa cheti cha ukomando.Hayo mazoezi wanayo onyesha,katika karate hizo zaitwa kata.Africa si kila nchi ina komando.Tanzania ni yetu,ila kunako ukomando bado kabisa
Sasa unataka wakuonyeshe kila mbinu wanayotumia??? jiongeze hata kidogo, ukionyesha kila kitu adui, unategemea nini??????
Mbao laini sana wangetumia mipini ya jembe
Mbona mwenyefilimbi anakitambi sielewi
Iyo nondo milimiter 6😂
dah sijui nimalize chuo nikapige up up Mara ya pili tena maana hiyo molari nimeimici sana!!!!
JUMA J. MALELEMBA sana
JUMA J. MALELEMBA p
FFU macho kodo, kazi ya kulala malindon tu, mnaona wenzenu makomandoo
Sisi tuko vizur kuliko hawa sema hawa ni kikundi maalum na ss tupo wanao lala malindo na kikosi maalum kama hichi pia hawa wapo wanao lala malindon
si basi. Sasa ni wakati wa majeshi wa kenya na Uganda kuonyeha ujasiri wao. Hakuna uzembe Afika mashariki
My on ok
Daaah kwahali hii akuna cha all shabab bongo
na wajaribu
mmh kama unaona ya kawaida jaribu bsi
kevyn Wazza jr .
Hayo ni maonyesho tu, mnataka afanye nn ili uone wako vizuri? Makomamndo wetu wako vizuri sana, viva jeshi letu na hao wanao dhihaki mkome kabisaa
nice sana
like
ll Tsunami ll mpo vizuri Dani mungu awaongoze
Apo wamekopi kwenye movie ,waombe mechi na china
hongera sana mafundi wetu
Wasajo saimon pmp0