Full video ya Dr Slaa kuhusu Lowassa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 438

  • @alfredjustinian6193
    @alfredjustinian6193 5 ปีที่แล้ว +6

    Nmeipenda saana hiyo ndugu ww utabaki kuwa na real siasa like that

  • @otswardowden9785
    @otswardowden9785 7 ปีที่แล้ว +10

    let me put a record here, this man is going to be some one in this country. is going to be selected some where 🇲🇷🇲🇷ths is tz

  • @joelpeter1815
    @joelpeter1815 6 ปีที่แล้ว +18

    This Video I will repeat watching for all of my lifetime Nice Dr Wilbroad Peter Slaa, here is really political science.

    • @owenkaden5378
      @owenkaden5378 3 ปีที่แล้ว

      I realize I am pretty randomly asking but does anyone know of a good website to stream new movies online?

    • @cruzotto608
      @cruzotto608 3 ปีที่แล้ว +1

      @Owen Kaden Flixportal :P

    • @owenkaden5378
      @owenkaden5378 3 ปีที่แล้ว +1

      @Cruz Otto thanks, signed up and it seems like they got a lot of movies there =) Appreciate it !

    • @cruzotto608
      @cruzotto608 3 ปีที่แล้ว

      @Owen Kaden glad I could help xD

    • @amossndundulu
      @amossndundulu ปีที่แล้ว

      {00/⁰,2s,,3vi

  • @mwampomacho6344
    @mwampomacho6344 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aongeze idadi ya kina Dr. Slaa na Magufuli. Mungu ibariki Tanzania!

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 ปีที่แล้ว +12

    Msema kweli mungu akupe maisha marefu

  • @paschalmartin7714
    @paschalmartin7714 6 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda Dr slaa speech yako inapendeza unaonyesha uzalendo ndani nchi hii wewe unafaa kufanya kazi na rais magufuli wote wazalendo

  • @evalinnkumbi4139
    @evalinnkumbi4139 6 ปีที่แล้ว +3

    ni Mungu anawatumia ili tujue hicho chama cha chadema ni matapeli asante Dr. slaa Mungu akubariki.

  • @emilymalembo8576
    @emilymalembo8576 6 ปีที่แล้ว +1

    ...siasa si uadui..ukweli utasimama daima..amani itadumu daima,viva Tanzania na watu wake wote(Hapa kazi tu...)

  • @musamuhemil2802
    @musamuhemil2802 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akuongoze katika njia iliyonyooka na akukinge na maasidi amini,nimeipenda sana hutuba ako

  • @johnmwambungu7434
    @johnmwambungu7434 5 ปีที่แล้ว +3

    Lowassa ni liability ndo maana hata ccm waliengua jina lake na sasa imedhihirika wazi...hongera sana Dr slaa wewe ulikuwa mkweli sana lakini wenzako walikuwa wasaka tonge tu.

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 5 ปีที่แล้ว

    Sasa mpo nyumba moja baba, naona mtaishi vizuri sana. Ukombozi wa nchi hii utafanywa na watanzania wenyewe na si mtu mmoja.

  • @joselinetibera7794
    @joselinetibera7794 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Dr. Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele,ulipo ongea baadhi ya watu hawakukuelewa hata badhi ya viongozi wa dini waliopewa vijisent walikupinga lkn ulichokitoa ndani ya moyo wako kilikua dhahabu na wenye akili tulikuelewa.Chadema Sasa iko wapi na walio ingia kuharibu walishachanja mbuga now na waliopo Wana mbwera tu.Mungu akubariki maana wale bendera fwata upepo hawana option now.Pia Ako Tz tutakukumbuka daima ulikua Jembe

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr Slaa ni mmoja ya wabunge wa upinzani waliokua wanamuumga mkono JPM akiwa waziri kwakuwa JPM alikua smart

  • @joselinetibera7794
    @joselinetibera7794 2 ปีที่แล้ว

    Miladiayo hongera Sana kwa taarifa hii iwe kumbukumbu kwa wale waliobeza

  • @paschalmartin7714
    @paschalmartin7714 6 ปีที่แล้ว +5

    Uko vizuri Dr wilbroard slaa hupendi unafki mwanasiasa mzalendo unafaa kufanyakazi na rais JPM

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 7 ปีที่แล้ว +16

    well say dr. silaha Mungu akuzidishie hekima na maarifa na siku zote ubaki katika kweli maana ukweli ndo unaomfanya mtu kuwa huru. nchi za afrika haziendelei kwasababu tunaongozwa na viongozi vipofu kwa wananchi wengi vipofu wa fikra.

  • @tvyetu4884
    @tvyetu4884 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uliona mbali sana

  • @saidalumuli4938
    @saidalumuli4938 5 ปีที่แล้ว +10

    Miaka yote Dr. Slaa sasa Leo nimekuelewa vizur hongera Dr slaa

  • @peteralfonce5848
    @peteralfonce5848 5 ปีที่แล้ว

    NILIKUA IGUNGA.KIPINDI CHA KAMPENI BAADA YA ROSTAM KUJIUDHURU.NILISHINDA NJAA KWA KUKUPENDA DK SLAA.ULIVOONDOKA CHADEMA NAMI NIKAANZA KUDHARAU MAMBO YA MACHADEMA.NIPO NZEGA KAMA VIPI POW.(I LOVE U)SILAA

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 7 ปีที่แล้ว +7

    You have always been an asset...big up Slaa.

  • @nsindeemilian2950
    @nsindeemilian2950 9 ปีที่แล้ว +5

    nakupongeza sana Millard ayo kwa kujitahidi kutujuza kila linalotokea.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว

    éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @agustinomiyangu7119
    @agustinomiyangu7119 7 ปีที่แล้ว +8

    hongera sana mzee wetu kwamsimamo wako.

  • @fidelmbai3642
    @fidelmbai3642 2 ปีที่แล้ว

    2021 naangalia kama unaangalia gonga like yako

  • @mkanduzmussaz2288
    @mkanduzmussaz2288 5 ปีที่แล้ว +1

    Lowasa alikuwa aset kubwa sana kwa mwaka ule kwakuwa ishu ilikuwa ni urais ndo mvurugano ukazaliwa ila kwa kuondoka kwake lowasa upinzani ni dhahiri kuwa sasa wapinzani hawatakuwa na aset nyingine zaidi ya lisu pekee sasa kazi upinzani munayo kwa mwaka 2020

  • @lucaskitego6311
    @lucaskitego6311 5 ปีที่แล้ว +3

    msema kweli ni mapenzi wa mungu......!!!!

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 ปีที่แล้ว

    Hakika natamani 2025 ugombee Kula yangu nawafus wangu 30 tukopamoja 🤝 nawe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli ulikuwa una maono ya mbali sana mungu akupe nguvu sana

  • @latifasaid2535
    @latifasaid2535 9 ปีที่แล้ว +5

    lof*z tunapenda ushabiki jman.....tnx mzee....mwnye macho haambiwi tazama mwny akili hafikirishwi ila anafikiria mwnyew....shukran sana mzee an shukran sana millard

    • @hamadmaulid4101
      @hamadmaulid4101 6 ปีที่แล้ว

      Latifa Said

    • @davidbalele7501
      @davidbalele7501 6 ปีที่แล้ว

      Siasa ni uongo usimwamini mwanasiasa yeyote Kwan hatakupeleka Kama gari bovu. Huyu mzee kwanini hakwenda takukuru kuripoti anataka kupewa rushwa

    • @meshaester2827
      @meshaester2827 6 ปีที่แล้ว

      Latifa Said good

    • @urbandigitaltz
      @urbandigitaltz 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @mawazotarimo1838
    @mawazotarimo1838 6 ปีที่แล้ว

    Padri ana mke et!!!!!!! Muogope Mungu wako Dk Slaa

    • @erastomichael1632
      @erastomichael1632 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna mahali popote ktk Biblia Mungu amemkataza mwanadamu kuwa na mke

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Dr Slaa umedanga mpaka umepata cheo asante baba

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri, Mh, MAGUFULI anapenda watu makini km Slaha. Nakutabiria Neema km Mama Anna RC KILIMANJARO.

  • @aminaayoub6400
    @aminaayoub6400 9 ปีที่แล้ว +1

    Mrudie mungu siasa wachie makada💪💪✌✌

    • @kastulielias5046
      @kastulielias5046 5 ปีที่แล้ว

      Historia itaandikwa kwa hekima ya huyo mzee

  • @hafidhyousuph7592
    @hafidhyousuph7592 5 ปีที่แล้ว +19

    Dr Slaa uliyo yasema wakati ule leo yametimia ulikuwa sahii. Lowasa kweli karudi ccm

    • @josephatmartin3449
      @josephatmartin3449 5 ปีที่แล้ว

      Nyote mnanyima vijana haki ya kuwa viongozi. Miaka ya mwisho ya kulitumikia Taifa ni miaka 60 sasa nini mnachongangani katika uongozi kama sio wizi.

    • @yusufukazamba2391
      @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว

      sasa km Leo hii amekukuta huko ccm ulikohamia je utarudi tena chadema? tunahitaji majibu;

    • @samwellwiza5339
      @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว +1

      YUSUFU KAZAMBA slaa alishaachana na siasa kwani ukumbuki..

  • @ramadhanikaita9672
    @ramadhanikaita9672 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nasema hivi huyu Mzee ana akili nyingi ni mkweli hayumbishwi na anafaa kua raisi ndo maana magufuli alimteua kua balozi namkubali sana DK slaa

  • @musaabubakary7711
    @musaabubakary7711 6 ปีที่แล้ว +6

    Big up doctor nakuaminia

  • @samwelndatta8453
    @samwelndatta8453 7 ปีที่แล้ว +10

    he was the icon of upinzani Tanzania

  • @ibraobed8273
    @ibraobed8273 5 ปีที่แล้ว +3

    Uncle magu mtafute silaa akupe ukwel wa nchi uyu jamaa anayo siri kubwa sana.

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 2 ปีที่แล้ว

    One among our legend politicians in our country, God bless you Dr. Slaa

  • @isayalalika6189
    @isayalalika6189 5 ปีที่แล้ว +1

    pole sana katibu wetu Mstaafu!!

  • @nas153
    @nas153 9 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana.....unatuokoa sana kwa taarifa na high quality vidoes

  • @leonardkigutu7716
    @leonardkigutu7716 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani huyu mtu anaakili sana,achoshi kumsikiliza...anaongea point tu....huyu ni kiongozi makini sana...nampenda sana.

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 ปีที่แล้ว

    Hii siku mzee aliumiza wengi Sana..ila Mungu mkubwa chadema inazidi kumea

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 7 ปีที่แล้ว +10

    slaa uko vzr, natamani Sana uje CCM usaidiane na mh magu kutumbua majipu!

    • @sylviaernest7422
      @sylviaernest7422 6 ปีที่แล้ว

      Ephraim Ndelwa mimi pia nataman aje

    • @mkabesamaashao6805
      @mkabesamaashao6805 5 ปีที่แล้ว

      Kwa kuwa ni balozi wa sweden tayari ni mwana ccm. Maana anafanya kazi na serekali ilio madarakani. Ameteuliwa na Rais wa nchi inayoongozwa na CCM

    • @mkabesamaashao6805
      @mkabesamaashao6805 5 ปีที่แล้ว

      Awe mmbo ya ndani

  • @mhhaji7321
    @mhhaji7321 5 ปีที่แล้ว +4

    Duh. Gwajiboy kumbe anapiga deal kote kote!! Deal ahera na deal Dunia.

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 3 ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya mzee, mzee mzima unanunuliwa kama mkate

  • @omariliwikila1979
    @omariliwikila1979 5 ปีที่แล้ว +3

    Dk silaa ni kweli ulikuwa mpinzani wa kweli lakn kina mbowe na lisu walikuwa wapiga deal tu.

    • @alexrichardmgonela539
      @alexrichardmgonela539 4 ปีที่แล้ว

      Sana tena wanatia aibu ndio mana wanaenda kuomba omba nchi za watu ili walete machafuko kwetu, wanashindwa kusimamia taifa kwenye mambo ya msingi wanalikandamiza ..kama lisu hawatufai kabisa

  • @daudshaza1221
    @daudshaza1221 5 ปีที่แล้ว +3

    Wee mzee unakili sana

  • @michaeltv9008
    @michaeltv9008 5 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Leo nimeamini ulikuwa sahihi kabisa

  • @kiharasadiki7009
    @kiharasadiki7009 7 ปีที่แล้ว +33

    Mimi ni CCM,ila mzeeukopoasana,barikiwa

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +1

      Kihara Sadiki huyu Slaha , MAGUFULI atakuwa yuko anampangia Neema yuko vizuri sana.

    • @arendethomas3695
      @arendethomas3695 6 ปีที่แล้ว

      Kihara Sadiki unachengwa

    • @kafumugaspal477
      @kafumugaspal477 6 ปีที่แล้ว

      enderea kua ccm

    • @dinomorea7453
      @dinomorea7453 6 ปีที่แล้ว

      Kihara Sadiki wakati mlipokuwa mnamtukana Kuwa kaiba mke Wa mtu hukumkubali?

    • @mariyamzuheir6255
      @mariyamzuheir6255 5 ปีที่แล้ว +3

      Kihara Sadiki CHADEMA SIYO CHAMA CHA KUWEZA KUONGOZA NCHI hawana ubavu huo , maana hawako na msimamo thabiti . VIZURI Dr. SLAA ulivolitambuwa hilo na UKASEPA MAPEEMA , na kuwachia kina-TL , Mbw na wengine watafunane

  • @mpokimwaseba2301
    @mpokimwaseba2301 8 ปีที่แล้ว +9

    nimeupenda ukwel na hotuba ya mheshmiwa

  • @katekistabussongocharles4058
    @katekistabussongocharles4058 6 ปีที่แล้ว +1

    Sawa baba Slaa,umenena vema, Gwajima ni mwanachedema,na si Askofu wa kanisa,maana hata mahubiri yake ni ya kichama na si yanayomhusu Mungu.

  • @noellyamuya556
    @noellyamuya556 5 ปีที่แล้ว +1

    Tatika wanasiasa waongo Tanzania docter slaa nae yumo

  • @allyshabanishabani8909
    @allyshabanishabani8909 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtanzaniyaaaa mwenzanguuu, ebu fikiria lowasa akigombeyaa ccm je chadema watamwambiajeeee???????

  • @SQaedSharaffSQS
    @SQaedSharaffSQS 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh Dr Slaa,Sema chochote kuhusu, mh Lowasa kurudi nyumbani, nyumba ambayo Lowasa aliihama, na kuomba hifadhi mahali ulipokuwepo, lakini wakati anapokelewa ulipokuwepo, ukatoka mbio kukwepa ujio wake ulipokuwepo!! Je ule uzalendo wako uliotuaminisha kuwa wewe ni mtu Safi na mwenye msimamo bado unao huo msimamo, wa kutokukubali kuwepo alipokuwepo usiyemtaka

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa yuko sawa sawa

  • @innocentnicholus3264
    @innocentnicholus3264 9 ปีที่แล้ว +2

    They say everybody has got a price I wander how much his was.
    No body is perfect slaa no body I didn't know one has to be a saint to join chadema and run for the presidency haha

  • @issahkibona9146
    @issahkibona9146 9 ปีที่แล้ว

    Ahsante millardayo we tujuze

  • @jastinistivini9687
    @jastinistivini9687 2 ปีที่แล้ว

    Mkuu kamanda wetu tusamehe baba rudi ktk chamachako

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 7 ปีที่แล้ว +16

    Mkweli huchukiwa na wapumbavu na kupendwa na werevu. Dr silaha nakukubali siku zote unabaki kama kiongozi mwenye nia njema na wananchi ndo maana unasema ukweli huku ukionesha msimamo kwa kile unachokifahamu tangu zamani hata kumbukumbu zako zinaonesha hivyo, wenye tamaa na fedha wamebadili msimamo wao kwa tamaa zao bila kujali maslahi ya wananchi na wapumbavu stil wanawashangilia bila kujali hatma ya maisha yao hapo baadae.

    • @emanuelfransis8637
      @emanuelfransis8637 6 ปีที่แล้ว

      Timoth Mwakakusyu mheshimiwa umetuangusha. Uuuuuuuuuuu

  • @shafiihakeem1016
    @shafiihakeem1016 5 ปีที่แล้ว +2

    we mzee nomaa xana uliona mbali leo lowasa kaenda ccm duh!

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uliongea Maneno yanayo Ishi maana yashatokea kweli Dr uliona mbali.

  • @faustinedudiyek9141
    @faustinedudiyek9141 5 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Dr wherever you are.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe nguvu sanaaaa kwa sababu wenzio walitaka wamkombe pesa tu wakati walikuwa wanamtuhumu kwa richmond sasa ilikuwaje wakampokea wasaka tonge hao

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 9 ปีที่แล้ว +18

    oh poor Tanzania,, tunapoteza viongozi mashuhuri kama hawa kwa kung'ang'ania wezi ...thats why nchi yetu hatuendelei .. tuamkeni watanzania ...ili nchi iendelee lazima tupate kiongozi anaepigana na rushwa ... angalia nchi za wenzetu ,, kiongozi akionekana kala rushwa ananyongwa ... china, korea etc wangalieni leo hii wako wapi ?

    • @starjafarisaidi.mungunimuw1880
      @starjafarisaidi.mungunimuw1880 7 ปีที่แล้ว +1

      Doctor.slaa we ni nomaaaa!!!! nilienda siasa kwa ajili yako na zito kabwe hawa wengine ni vilaza tu na wamekalia maslahi binafsi

    • @barrackbarrack2171
      @barrackbarrack2171 5 ปีที่แล้ว

      amalakh aak una akilisanawewe safisana gd

    • @makameabdalla8928
      @makameabdalla8928 5 ปีที่แล้ว +1

      Ulipokosea ni kutaka ukombozi wa Taifa. Tayari ukombozi Dr. Slaa ulishafanyika kupitia TANU kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar chini ya Mwl Nyerere na Mzee Karume. Viongozi hao wakaunganisha nchi za Tanganyika na Zanzibar kuunda Taifa la Tanzania.
      Kwahivyo kosa ni dhamira mbovu ya ukombozi. Usahihi hapa ni kutaka kuongoza nchi.
      Mengine yote uliyoyazungumza uko sawa Dr. Slaa. Unafaa kuwa Rais wa nchi kwani una uthubutu na unasimamia unachokiamini. Aidha inaonekana unachokisema moyoni ndio kilicho moyoni mwake. Hana unafiki. Hongera kwa Rais Magufuli kukuteua kuwa Balozi wetu nchini Sweden. Uko vizuri sana Dr Slaa

    • @abassalehe6371
      @abassalehe6371 5 ปีที่แล้ว

      Hiyo sheria utaambiwa tanzania hatuna utu

    • @ernestsinje9532
      @ernestsinje9532 5 ปีที่แล้ว

      ILA NCHI INAENDELEA WE RUDI BONGO UONE MMH!

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 5 ปีที่แล้ว +4

    Viongozi wangu wa chadema kama hayo ni kweli hebu jisafisheni,

    • @utukufumatengenezo4809
      @utukufumatengenezo4809 5 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo wanaendekeza njaa kuliko kua viongoz wazalendo

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

      @@utukufumatengenezo4809 Yako na ccm kuliko hayo kuendekeza njaa zao kwa migongo yenu

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 4 ปีที่แล้ว

      Kwasasa wanajisafisha nn wakati too late.Mimi hili sakata toka nimeliona mwanzoni kabisa wakati Chadema wanamkaribisha Lowassa.Niliona kuwa kuna shida ndani ya chama chao kwakuwa watu maarufu chadema walikuwa kama wamepigwa butwaa.Mdee alikaa kimya,Lissu pia na Mnyika pia.Nikapata picha makubaliano si ya wote.Na hata Dr.Slaa wakati anaondoka nilisema kuwa ni kiongozi mwenye misimamo sahihi kwani hakukubali kumnadi Lowassa baada ya kumchafua majukwaan.Lakini watu walimpinga na kusema ni msaliti.

  • @piusmgeni1434
    @piusmgeni1434 9 ปีที่แล้ว +4

    mm kazi kweli kweli politics is a clean job!

  • @goodlucksemba1145
    @goodlucksemba1145 5 ปีที่แล้ว

    Wanasiasa wa Kiafrika ni shida tupu !!! Wote mpo sawa tu.

  • @francismapugilo4099
    @francismapugilo4099 6 ปีที่แล้ว +1

    Umesema kweli kabisa ,huo ni utapeli kwa Mbowe!!

  • @dicksonbundala8608
    @dicksonbundala8608 7 ปีที่แล้ว +16

    dah kweli huyu mzee ni mtakatifu

  • @gordondavid6063
    @gordondavid6063 5 ปีที่แล้ว +2

    MZee na mkubar sana

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 2 ปีที่แล้ว

    Kosa kubwa chadema walilofanya Chadema ni kumruhusu lowassa ajiunge chadema..wakina tundulissu ni wapiga dili tu..nilihama chadema slaa alipoondoka

  • @chichiboy7954
    @chichiboy7954 5 ปีที่แล้ว

    vizuri sana baba hakika wewe ni mteule

  • @obby5863
    @obby5863 7 ปีที่แล้ว +11

    Rudi nyumbani tujenge nchi Dr,
    Tunahitaji busara zako ukiwa chama chochote.

  • @jamesbalele3522
    @jamesbalele3522 7 ปีที่แล้ว +14

    mzee, uko saw Kabisa, Hakika unamuogopa mungu, president MAGUFULI! mwingize kwenye serikali yako huyu mzee, ili tuvune hekima zakee,

    • @sylviaernest7422
      @sylviaernest7422 6 ปีที่แล้ว

      James Balele kwel jpm achelewi tayari mzee

    • @teresiaasenga5142
      @teresiaasenga5142 6 ปีที่แล้ว

      James Balele huyu tomekubali sana raid wetu mwelewa

    • @kafumugaspal477
      @kafumugaspal477 6 ปีที่แล้ว

      Mimi mwenyewe namkubar Mzee magufur

    • @daudimfinanga6312
      @daudimfinanga6312 5 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga upo nchi gan ww unakurupuka kwan haujui yupo kitengo huyo!

    • @patrickherman1906
      @patrickherman1906 4 ปีที่แล้ว

      Ivi we Daudi uko sawa kweli? Ujinga gani sasa kama hajui asiongeee!? We ndo mjinga ila kuuliza au kuongea co ujinga bali ungemuelewesha tu ndo jambo jema

  • @justinejamangwa5979
    @justinejamangwa5979 6 ปีที่แล้ว

    Ukweli daima utakuweka huru,mzee uko vizuri

  • @modestamboya9382
    @modestamboya9382 5 ปีที่แล้ว

    Aaah wapi? Mkishapewa fungu mnaingilia kwingine. Mnajuana bhana.

  • @alexrichardmgonela539
    @alexrichardmgonela539 4 ปีที่แล้ว

    Waoooo, hii inatuonesha uovu ulivyo

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 3 ปีที่แล้ว

    Dooh!! Leo Chadema imekufa, aisee dah!!

  • @dastanmagogwa5214
    @dastanmagogwa5214 5 ปีที่แล้ว +6

    muzee uliyaona lakini mwenyekiti wetu mbowe akapuuza!

  • @yunusmtonga2257
    @yunusmtonga2257 5 ปีที่แล้ว

    mzee anangaa kuku time kubali hongera slaa

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 ปีที่แล้ว

    MWENDELEZO TAFADHALI... 🙏🙏

  • @emanuelshula6030
    @emanuelshula6030 7 ปีที่แล้ว +7

    Dr.alikuwa na hoja ya msingi

  • @mchomvuthuma8329
    @mchomvuthuma8329 7 ปีที่แล้ว +13

    Magufuli
    mpe
    kazi
    Silaha
    awanyooshe
    hao

  • @simonjonas9592
    @simonjonas9592 5 ปีที่แล้ว +3

    Hotuba hii sio ya leo ni yasiku nyingi.. Milardo anatukumbusha yanayoenderea leo kwamatokeo ya zamani..

    • @ernestrafaeli1980
      @ernestrafaeli1980 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo utaondoka tena kwasababu usiee taka kajatena huko utaondoka tena

  • @maxmbotta5734
    @maxmbotta5734 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kabisa baba

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    "Kuna maisha baada ya siasa" by Hon Lowasa.

  • @sanyengekiyumba1417
    @sanyengekiyumba1417 6 ปีที่แล้ว

    Mungu yumwema

  • @peterlema1604
    @peterlema1604 5 ปีที่แล้ว +16

    Baba hapa ndo naanza kuona ulikuwa unaangalia mbali.

  • @michakazojet1146
    @michakazojet1146 6 ปีที่แล้ว +1

    mbeba box huku canada mungu amekuonaa ila upo kwenye mtego baada ya 2020 au kabla watakutimua tuu ila umeongea point

  • @haddgome4682
    @haddgome4682 9 ปีที่แล้ว +3

    nimeipenda kwa 99 ktk 100

  • @atusheatushe7038
    @atusheatushe7038 5 ปีที่แล้ว +12

    Gwanjima ameanza zamani ee uhuni wasiasa masikofu waleo nishida sana

  • @shafiimpilika2858
    @shafiimpilika2858 5 ปีที่แล้ว +2

    kama wewe unanihonga milioni miatano je wewe unazo ngapi ? hapo imenigusa mzee GOD akubaliki sana.

    • @fordmbala702
      @fordmbala702 5 ปีที่แล้ว

      Yametimia mzee ludi sasa

  • @peteralfonce5848
    @peteralfonce5848 5 ปีที่แล้ว +1

    DOKTA UKO POWA SANA KUACHANA NA WAHUNI WAKINA MBOWE MAJIZI HAOO.KAMA CHADEMA MMECHUKIA MTAJIJU

  • @charliejames1979
    @charliejames1979 9 ปีที่แล้ว

    Toka #umoja_classic 92.9 iringa kaz kaz dam dam milelee endelea kutuhabarisha mtu wangu wa nguvu

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว +3

    Chadema mkiacha hisia za kiupinzani Mtamkumbuka huyu mzee...alijivua kiana na sababu zake zimetimia...

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Uliamua kuachana na siasa za maji taka za chadema hao ni wasaka tonge wenzio walitaka lowasa awamwagie pesa hawakujua kuwa huyo ni ccm damu sasa baadae alirudi nyumbani kumenoga ccm oyee kazi inaendelea

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 6 หลายเดือนก่อน

    Gwajima is typing............!

  • @juliasmwitahiikwelininjaay349
    @juliasmwitahiikwelininjaay349 5 ปีที่แล้ว +3

    Amini kuwa unaweza kuona kitu nichekundu,ila MWANA siasa akaja kukuaminisha kuwa nicheuzi na ukaamini hivyo. Achana huyu MTU anaye itwa mwanasiasa.

  • @kayenzemzynzyo3393
    @kayenzemzynzyo3393 9 ปีที่แล้ว +2

    Nanakupongeza Sana milladiayo

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 5 ปีที่แล้ว +8

    Baada ya lowassa kurudi ccm nimesikiliza hii kwel silaa ulikuwa na mapenz na nch

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

      Nyie mnatekwa akili mara moja mh ndio maana mnanulika haraka kwa kudumazwa kiakili