JINSI YA KUWEKA DAWA YA NYWELE(relaxer)YA MOVIT STEP by STEP KITAALAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • #hairstyle #natural #nywele #style #stichi #kusuka #yeboyebo ‪@movituganda1793‬ ‪@movitproductsafrica8984‬ #trending #tanzania #urembo #relaxer

ความคิดเห็น • 10

  • @PhinaJovany
    @PhinaJovany 4 วันที่ผ่านมา

    Natumia sana bidhaa zen

  • @EmmyEzekiel-s2n
    @EmmyEzekiel-s2n 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera mafunzo mazuri

  • @priscanyaluke2461
    @priscanyaluke2461 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo setting lotion inapatikana kkoo?

    • @movittrucksalon
      @movittrucksalon  14 วันที่ผ่านมา

      Ndio ipo whtsapp 0678818066 kwa maelekezo zaidi

  • @priscanyaluke2461
    @priscanyaluke2461 14 วันที่ผ่านมา +1

    Relaxer zenu hamna za nywele laini na ngumu? Au unaweza kuweka hata MTU mwenye nywele laini Ila muda ndio unatofautiana?

    • @movittrucksalon
      @movittrucksalon  14 วันที่ผ่านมา

      Ndio unaweza kuweka whatsapp 0678818066 kwa maelekezo zaid asante

  • @hassanMohamed-cn7zc
    @hassanMohamed-cn7zc 9 วันที่ผ่านมา

    Sasa inakuwaje na yy anataka kueka relaxar na vigezo ndio hana tunamsaidiaje

    • @movittrucksalon
      @movittrucksalon  9 วันที่ผ่านมา

      Jaribu kumpa adhari inayoweza kujitokeza asipozingatia vigezo na mpe faida atakayopata akiwa na vigezo vya kuweka relaxer kwenye nywele zake lazima atakuelewa maana yeye mwenyewe hapendi kuharibu nywele zake au afya yake. Asante

    • @hassanMohamed-cn7zc
      @hassanMohamed-cn7zc 9 วันที่ผ่านมา

      @@movittrucksalon shukran sana