@movittrucksalon Asante sana tafadhari ninaomba unisaidie na Hill pia nimekua nikipaka hii kali mwaka wa pil sasa lakini kwa sasa mbele zimekatika sana ila nyuma ni ndefu sana nifanyaje
@ hakikisha inatimia hair treatments mar kwa mara hasa movit leave in conditioner ili kizuia nywele zisikatike na pia kam ni mpenzi wa kusuka nywele zinazokata nywele mbele acha
asante sana papa
Kazi nzuri
Asante
This is great work.Thanks Bro
Thanks
Good job
Asant
Kazi nzuri kaka mi nlijua anafaa kuingia kwa drier.
Hapana boss curl hautiwi kukaa kwenye drier kabisa
nice
Asante sana
Ok
Asantee sana kaka
Ok
🎉🎉
Kazi nzur kaka
Asante
Unaweka nywele Ikiwa mbichi
Je kama mtu alisha wameka dawa imeotea lkn kwadawa ya moviti hailusiwi kuweka
Mbarikiwe sn movit asantee kwamaelekezo
Asante sana endelea kutumia bidhaa za movit
Nitembelee Arusha
Nakuja
Karibu na huku dodoma
Nitakuja
Naziitaji kk nazipataje
Upo mkoa gab
Unatumia maji baridi?
Ya uvuguvugu kama yapo
Tunaweka Ikiwa imekauka au mbichi
Ikiwa ina unyevu unyevu
Unaweza ukapaka dawa usiweke mawimbi ?
Hapana
Uje na mosh
Nitakuja
Je kam mteja hataki kuweka mawimbi anataka kuchana tu naishia step ya ngap?
@@MiriamMtowisenga-hm1qj kama hataki mawimbi haruhusiwi kuweka curl maana ya curl ni mawimbi mshauri aweke relaxer kama kama hataki mawimbi
Samahan Kaka je Bei kuweka dawa kilakitu kikiwa changu ni Bei gan na akija navifaa vyake pia huwa nibei gan jisaidie natamani kujua
Hizo product zote za curry ni bei Gani?
Tembelea kwenye maduka ya vipodozi ila bei ni ya kawaida san ni rafiki kwa wote
Vipi ukitaka kuretouch jeni lazima uanze kwa kuosha
Ndio osha kwanza nywele
@movittrucksalon Asante sana tafadhari ninaomba unisaidie na Hill pia nimekua nikipaka hii kali mwaka wa pil sasa lakini kwa sasa mbele zimekatika sana ila nyuma ni ndefu sana nifanyaje
@ hakikisha inatimia hair treatments mar kwa mara hasa movit leave in conditioner ili kizuia nywele zisikatike na pia kam ni mpenzi wa kusuka nywele zinazokata nywele mbele acha
@movittrucksalon je nikiweka hii dawa ya kali ninaweza kuzisuka nywele coz sijawahi kuzisuka
Nibei gani iyo seti nzima
Njoo whatsapp no 0678818066
Na wenye nywele fupi ambazo haziwezi kufunga roler
Anaweza zipo loras ndogo kwa ajir ya nywele fupi
Stemming ya curl ni ipi
Movit leave in conditioner hair treatment
Movit nahitaji hizo Epron zenu nazipataje
Wasiliana nani whatsapp 0678818066
Leo nimejifunza kitu kikubwa..kumbe nilikosewa ndo mana nikaanza kuchukia curl..
Asante endelea kutumia bidhaa bora za movit
Hizo rolazi haipatikani kirahisi
Ukizihitaji nichek nitakusaidia kuzipata
Unaweka nywele zikiwa mbichi au unazikausha kwanz
Zikiwa mbichi usizikaushe
Yani teacher kuna Mteja kaja na step 1 peke ake sijui hata nimfanyeje na ela naitaka Daaaah 😅
Hauwezi kufanikiwa bila curling lotion step 2
Niko moshi bidhaa napataje
Kwenye maduka ya vipodozi
Kama mhudumu ni mjamzito anafaa kumfanyia mtu akiwa kavaa mask
Ndio
@@movitsalonchannel asante sana
Asante sana
Good
ARUSHA
Unaweka nywele Ikiwa mbichi
Unaweka nywele Ikiwa mbichi
Ndio