🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 2 SIMULIZI YA SARA - MAY 21

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • 🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 2 SIMULIZI YA SARA - MAY 21
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

ความคิดเห็น • 51

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 หลายเดือนก่อน +1

    jmni Veronica 😅😆😄 wajua kweli kusimulia oh goodness this girl is something else..just love her😄😀

  • @NaomiHoya
    @NaomiHoya 4 หลายเดือนก่อน +8

    Dada Vero tumekula wakongwe nianza kufatilia tangu 2019

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน +2

      nipo hapa 2018 enzi za simulizi ya anna

    • @JanethJaneth-b5f
      @JanethJaneth-b5f 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi 2011

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน

      @@JanethJaneth-b5f mmmmh simulizi gani ya mwaka 2011?

    • @lovenessmjaka9754
      @lovenessmjaka9754 4 หลายเดือนก่อน

      Da vero ameanza simuliz toka 2019 story ya Deborah naikumbuka msichana alimwagiwa tindikali ila iki kipindi nimeanza kukisikiliza toka enzi ya marehem bikira wa kisukuma set, mpoki na ema kapanga

  • @andrewseleli2331
    @andrewseleli2331 4 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha ni safari ndefu sanaa🥹🥹

  • @MiriamOnesmo-uw3fy
    @MiriamOnesmo-uw3fy 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jmn dada Veronica nakpenda xna

  • @MwanahamisiMuya
    @MwanahamisiMuya 4 หลายเดือนก่อน

    Da Vero mm nakupenda mno unasimulia vizur sana nimeanza kukufatilia toka mwaka 2013 Yan kipindi icho upo pless power

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 4 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi tam sana aisee

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eheee sara mwanzo mzuri, ngoja nisubiri mbeleni itakuwaje

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 4 หลายเดือนก่อน

    Najikuta nalia jamani 😭he's so lovely

  • @janethesawala6842
    @janethesawala6842 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wengine wapenzi wetu wanaona aibu kutupeleka wanakoishi hongera sana kwa mume wa Sarah kwa kujiamini.

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa kwenye kulima ndipo chanzo chasie kuja kutupa funzo

    • @hildasilumbe1390
      @hildasilumbe1390 4 หลายเดือนก่อน

      Kwenda kulima🤭🤭🤭🤭

  • @MwanahamisiMuya
    @MwanahamisiMuya 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nimeanza kumfatilia Vero toka mwaka 2013

  • @yohanabarinaba
    @yohanabarinaba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unafeli sanaaa maneno mengi songa na story acha maneno

    • @mariamufadhili9245
      @mariamufadhili9245 4 หลายเดือนก่อน

      Kuwa mpole

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน

      kumekucha 😂😂😂😂

    • @vee4296
      @vee4296 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani mpaka raha

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sarah subili kupigwa Tukio

  • @marthaurio2329
    @marthaurio2329 4 หลายเดือนก่อน

    Hlw da vero

  • @annastaziamkolongo3093
    @annastaziamkolongo3093 4 หลายเดือนก่อน +2

    Da vero kwa vile umeolewa basi unaingea sana au kuna watu unawachamba mbona hueleweki kwani ndoa ni pepo ya Mbinguni simukia simulizi acha kebehi

  • @LilianMnyanyi-jd8ut
    @LilianMnyanyi-jd8ut 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndio mwanaume

  • @sirajshelali6209
    @sirajshelali6209 4 หลายเดือนก่อน +1

    Penzi bichi mpaka kesho!

  • @ZainabSaif-sr9jj
    @ZainabSaif-sr9jj 4 หลายเดือนก่อน

    Na mm sikati tamaa ipo siku nitakutananaye wa kunipenda na kujua majukumu yk km baba wa familia km alivompata sara mungu awasimamie ktk ndoa yk asiingie kidudu mtu

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 4 หลายเดือนก่อน +1

      mpak imekuj kwa vero lazim kun tukio 😂😂😂😂 we ngoj

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 4 หลายเดือนก่อน +1

      sara alipigwa tukio lazima ☺☺

    • @GraceKibelenge
      @GraceKibelenge 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 ila ww​@@faidhamyovela179

    • @GraceKibelenge
      @GraceKibelenge 4 หลายเดือนก่อน

      ​@faidhamyovela😂😂😂😂 unais Kuna nn179

    • @happynessswai3922
      @happynessswai3922 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo Kuna jambo lazima
      Kwa Vero story ikifika mara nyingi kalizwa mtu😢

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 4 หลายเดือนก่อน

    Akija hiyo jamaa mkata umeme basi tuonane kesho😂😂

  • @josephchibehe499
    @josephchibehe499 4 หลายเดือนก่อน

    yaaaaan umekua na maneno meng kama una funda kuliko kusimulia,na hayo matangazo bas dah tunakosa ule utamu wa preiz power

    • @Deedlr4767
      @Deedlr4767 4 หลายเดือนก่อน

      😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @lisawilliam2491
      @lisawilliam2491 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣sanaaaa

    • @mariamwashokera1088
      @mariamwashokera1088 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @tumpeernest9690
      @tumpeernest9690 4 หลายเดือนก่อน

      Sa mbona ni kama umekasirika😂😂

    • @PendoMacha-ib6oc
      @PendoMacha-ib6oc 4 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣😅

  • @HanifaRashid-kt8ww
    @HanifaRashid-kt8ww 4 หลายเดือนก่อน

    kunakoereke sara unaenda kupigwa tukio iro hutokuja kuamini

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 4 หลายเดือนก่อน

    Hasante