Critical thinking, how he builds his arguments, and the deep knowledge he has on what he talks about makes me want to learn from him more. Baby, thanks for the interview. There were rooms for more questions and speculation.
Woow this guy straigt from god annointed one full of wisdom and brain god bless you pastor tony keep on rocking your part to hit and kill the devil in all spheres of our life your contribution is biiiiiigeer thanks lord for having you
Pastor Tony honestly umeniliza Leo baada ya kusikia sauti yako ktk shajara. God be with U.. God is Good; All the Time God is Good. Mtangazaji hongera sn ...God Job. Pastor Tony neno lako la x-mas hasa last msg imekusa mtima wangu. Mungu atulinde. Amen
Babe please jaaamani naomba urudie hii interview haujaitendea haki hasa kwenye maswahili hiyo mtu anamambo mengi sana ya kutufunza ukiachana na uchungaji tu
Pr ungemjibu TU kuwa YESU ni zaidi ya hizo private jet yeye ni anatupa kuwa mabilionea mm mtu wa MUNGU namwamini yesu nitakupa ushuhuda siku zijazo mm ni bilionea kwa jina la YESU
Mtangazaji anashindwa kuhoji kwasababu akilini mwake anamchukulia poa sana jamaa na kumuona kama mtu maarufutu alietoboa mitandaini, kiasi kwamba anashindwa kuona reality ya Umuhimu wahuyu mtu kwajamii. She is not serious
Tulikuwa na industrial age ambayo ilikuwa na mazingira yake na namna ya kuwasiliana na level of technology pia .... But now tuko Kwa information age, na advanced technologies vitu ambavyo vinaweza kumsaidia Sana MTU kusikika Kwa urahisi kama akihitaji.... So don't ignore the power of social media kukufanya ufike ulipofika pastor....
Wewe ni muongo ukisoma Wakorintho 9:8 Neno linasema maana tuimeijua neema ya Bwana Yesu Kristo jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu,ingawa alikuwa tajiri ili sisi tupate kuwa matajiri kwa umaskini wake.Kwa hiyo huyu jamaa anadanganya.Ndiyo maana ya Injili ya msalaba Yesu Kristo alikuja kama asiye weza kuwawezesha wasio weza waweze,Aliteswa na kutemewa mate ili wewe usidharaulike,Pamoja na ukweli kwamba alikuwa Mungu ange amuru malaika wampiganie hakuna ambaye angemgusa,etc.Nyie watumishi wachumia tumbo ambao mnatumia loop holes za watu kutokulijua neno la Mungu kuwapiga hela.Kuna tofauti ya kuwa muhubiri na motivation speaker wa neno la Mungu.Mtume Paulo anasema sikuja kuwahubiria hekima za kibinadamu bali neno lenye nguvu ya Roho Mtakatifu.
@@olivermfinanga9387 Mimi siamini kwenye kujua neno ndiyo mtaji wa kuanzisha huduma na kuwaibia manyumbu kama wewe ambao ni sombasomba hamna upeo wa kudadisi neno kama Waberoya
Smart people walk together saw him recently and for my first time in Arusha at Mbingu Duniani..social media answer was epic
Pastor Tony Kapola you have rocked it! Yesu uinuliwe Juu Sanaa wewe utupaye Akili kuliko wakufunzi wetu.
Hii Akili ya Kristo ndani yako nimeipenda
Tony ,You have simplified the gospel and made it more relevant to me .
Very good and Critical reasoning… Nadhani mtangazaji angekuwa mwamini(Mkristo) kipindi kingekuwa cha tofauti zaidiii
Church is not a place for perfect people, it's a place for perfecting people👏👏👏
👏🏽💯
Critical thinking, how he builds his arguments, and the deep knowledge he has on what he talks about makes me want to learn from him more. Baby, thanks for the interview. There were rooms for more questions and speculation.
Baba paroko Ton...wa parokia ya Mkuyuni.......safi sanaaa
.P.T big up mchungaji wangu wa mtandao..nakufatiliya mdo..God Azidi kukutumiya..allways uko Top .God .Akulinde 🙏🇰🇪
Amen barikiwa baba.Tunajifunza hekima kubwa kutoka kwako.MUNGU akutunze sana❤❤
The only thing 😌pastor Tony anafanya , the correct and straight answers ila ..this mtangazaj has to learn sthng on this man..
Woow this guy straigt from god annointed one full of wisdom and brain god bless you pastor tony keep on rocking your part to hit and kill the devil in all spheres of our life your contribution is biiiiiigeer thanks lord for having you
Pastor Tony honestly umeniliza Leo baada ya kusikia sauti yako ktk shajara. God be with U.. God is Good; All the Time God is Good. Mtangazaji hongera sn ...God Job. Pastor Tony neno lako la x-mas hasa last msg imekusa mtima wangu. Mungu atulinde. Amen
Pastor You so clever through holy spirit.
Jesus is Glorified,honoured , praised and exalted from his speaking. May God keep you man of God🙏
People are enrolled with envy to close your potentials but for real Mr Tony he has something and a call too. 🔥🔥
Akili Kubwa Sana PT Mungu Ambarikia🙏🙏
Oooh Pastor waoooooh! I met Charles Kababu in Arusha he is a good preacher
Mtanganzanji hata Hana la kuulizaa...arudi masomo 🙏
Mtangazaji huyu nahisi humjui kabisa
Ila kweli, alitakiwa amstudy sana
Angehojiwa na Christian ,Kuna maswali yangeulizwa zaidi.
Angehojiwa na Christian ,Kuna maswali yangeulizwa zaidi.
Wooow thats my pastor❤
Hii imeenda kabisa PT. Akili nyingi sana
Tony ,umenifuza mengi siku yajua kwa wahubiri wengi, uko sawa sana na ubarikiwe sana, Niko Kenya
Nice interview...Hallelujah, Glory to Jesus!
Ur good Pastor Tony...u preach what we deserve to eat bro. Good Bless You
Ahhahahahahaa he's very smart hakuna swali lililokosa jibu. Babay K next time try to be extra kwa wageni wengine🪓
Mungu azidi kukubariki na kukuinua pastor Tony.
The fact that he answers relating to the scriptures...God is more glorified through him
correct pastor ryoba alikua anajua kuishi na watu,
Babe please jaaamani naomba urudie hii interview haujaitendea haki hasa kwenye maswahili hiyo mtu anamambo mengi sana ya kutufunza ukiachana na uchungaji tu
True man of God
Big conscious man of God.🙏🙏
Swilla removes better people on the earth❤
Bro unajibu maswal very technical ur so generous
This pastor is smart upstairs
Amen hongera pastor wetu
Full of Knowledge 💯😍
Mungu azidi kukujalia kulijua neno lake Naam lizid kukuponya
Hallelujah
Almighty God is so great.
Waoow!❤
masha allah ❤
Yesu alikuwa na ghorofa ufukweni
Pr ungemjibu TU kuwa YESU ni zaidi ya hizo private jet yeye ni anatupa kuwa mabilionea mm mtu wa MUNGU namwamini yesu nitakupa ushuhuda siku zijazo mm ni bilionea kwa jina la YESU
Kweli kabisaaaa unasikiluzwa na wazee na wanakupenda sana
God is good all the time
Amen 🙏🏾 Pastor
Nakufurahia sana mtumishi wa Mungu
thats ma pastor
Barikiwa pastor una akili sana....alitakiwa kuhojiwa na mkristo tena born again.
Amen!
Mchungaji mwenye kibali, ukihubiri Mimi na jamii yangu tuna barikiwa
Akili kubwaaaaa mnooo
So unprofessional , she keeps repeating herself
Mtangazaji umetuangusha huna maswali kabisa
🙏
Amen 👏👏👏👏
Amen
Huyu dada jaman anaulizaa nin??mbona mmmhy maswali haya kiru
Mtangazaji anashindwa kuhoji kwasababu akilini mwake anamchukulia poa sana jamaa na kumuona kama mtu maarufutu alietoboa mitandaini, kiasi kwamba anashindwa kuona reality ya Umuhimu wahuyu mtu kwajamii. She is not serious
Tulikuwa na industrial age ambayo ilikuwa na mazingira yake na namna ya kuwasiliana na level of technology pia ....
But now tuko Kwa information age, na advanced technologies vitu ambavyo vinaweza kumsaidia Sana MTU kusikika Kwa urahisi kama akihitaji.... So don't ignore the power of social media kukufanya ufike ulipofika pastor....
Good
Waooo
Mahubiru hapa,technic talking let see the end will just....
Huyu mtumishi na kuelewa kinomaaaa
❤
KWANI MTANGAZAJI TATIZO NI NINI MHUBIRI KUWA NA MALI ; Mbona wapo Wengi sanaaa wahubiri hawana mali.??
Pastor in town 😢😢😢
Wewe ni muongo ukisoma Wakorintho 9:8 Neno linasema maana tuimeijua neema ya Bwana Yesu Kristo jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu,ingawa alikuwa tajiri ili sisi tupate kuwa matajiri kwa umaskini wake.Kwa hiyo huyu jamaa anadanganya.Ndiyo maana ya Injili ya msalaba Yesu Kristo alikuja kama asiye weza kuwawezesha wasio weza waweze,Aliteswa na kutemewa mate ili wewe usidharaulike,Pamoja na ukweli kwamba alikuwa Mungu ange amuru malaika wampiganie hakuna ambaye angemgusa,etc.Nyie watumishi wachumia tumbo ambao mnatumia loop holes za watu kutokulijua neno la Mungu kuwapiga hela.Kuna tofauti ya kuwa muhubiri na motivation speaker wa neno la Mungu.Mtume Paulo anasema sikuja kuwahubiria hekima za kibinadamu bali neno lenye nguvu ya Roho Mtakatifu.
Kumbe ww una ku motivate 😂 utateseka sana ndugu
Mbona makasiriko mengi mzee
Mbona umetuandkia gazeti ndugu😁😂 unaonekana unahasira sana pole
Pole san bro ndy hvo Mungu kamuinua ww unayejua neno Zaid yke endelea kuchomwa jua😂
@@olivermfinanga9387 Mimi siamini kwenye kujua neno ndiyo mtaji wa kuanzisha huduma na kuwaibia manyumbu kama wewe ambao ni sombasomba hamna upeo wa kudadisi neno kama Waberoya
Secular media lazima muwe mnaweka watu waliokoka kuinterview wahubr mungewa tumia kina huruma au kapiga and other born again there kongole
Halafu unaacha kumuonya mwanamke kavaa suruali kweli?
Hayo ni maelekezo yako..
Not satisfied with pastor ton answers because to some extent he lied
Mmmh ???
True but unfortunately he has met with group of people who knows nothing about scriptures
Ww unaleta ukuaji tu kwendraaa
Woow Thats my Pastor❤
Good
Amen!