MAJIBU YA DHARAU NA KEJELI YA MUHAMMAD BACHU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024
  • SHEIKH MUHSIN ALI ATHMAN BUTE
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 198

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 24 วันที่ผ่านมา +1

    BACHU ALLAH AMHIFADHI

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu หลายเดือนก่อน +7

    Bacho Allah akuhifafhi

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 16 วันที่ผ่านมา

      Fukuzwa Hutu zanzibar na sahiv kahamia kwa mashoga zake Mombasa na tanga 😂

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 29 วันที่ผ่านมา +2

    Allah amuhifadhi sheikh bachu na azidi kukupa nguvu ya kutuelimisha

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 18 วันที่ผ่านมา

      Pumba kabisa

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah jazakallah akhy Muhammad bachu ujumbe umefika Wacha waliye haki imefika .

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 28 วันที่ผ่านมา +1

    Msishideni hazigatii ulimegu wa umuhimu wa watu ❤❤❤❤❤ babake mungu amuweke peponi❤❤❤ mpaka leo watu wamsikiliza babake❤❤❤❤❤❤❤❤❤hanaadabu sana❤❤❤❤❤❤❤shukrani ustadha musini❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 หลายเดือนก่อน +3

    Buchu Allah akuhifadh ) Hawa wengine hawana elemu sindano zimewaingia Wacha wapige kelele

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 หลายเดือนก่อน +3

    Kwangu mimi ni ukweli wake niliouwona Alhamdulillah Allah amuhifadhi

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 หลายเดือนก่อน +4

    Wallahi naiskitika sana kwa njia ya ndugu yetu anatumia. Allah amhifadhi ndugu Bachu na kiburi. Allah amwafikie kuwa na karibu na watu wema ambao watampa nasaha ya kuwa na adabu kidhogo na heshima.
    Bahati mbaya. Uslubu na njia ambao anaotumia ndugu yetu Bachu siwo njia ya mtumme صلى الله عليه وسلم

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Nyi masufi pambeni na uzushi Wenu yule amumuwezi nkamwe mnachochokasirika anaumbua Yale mnayoyaficha kwenye vitabu anawaambia watu kweli ndo roho zinaenda mbio mbio pamba neni huu so wakati wa kudanganya watu tena

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz 29 วันที่ผ่านมา

      Al akhy, ebu tuoneshe kibri cha Bachu kiko wapi. Bachu amejibu hoja ya Sheikh wenu Said Ali Hassan kwa ufasaha na kwa kujenga hoja sasa kibri kiko wapi, au ulitaka Sheikh wenu asijibiwe kwa kuwa yeye ni mkuuuuuuuubwa sana kama mnavyosema..?
      Amini nakwambia kwenye Uislam Sheikh mkubwa ni yule tu anayefuata njia sahihi na ya haki basi.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 29 วันที่ผ่านมา +1

      @@FaaidaTVtz ni sahihi hawa ndo walivyo masufi kauli ya shekhe haipingwi hata kama kakosea wao wanaichukuwa hivyo hivyo arafu huyu bachu kwakuwa analingania wasoyataka wao ndo kageuka anakibri angekuwa mlinganizi wao asingeambiwa yote hayo

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 29 วันที่ผ่านมา +2

    Shekh Muhammad Bachu ametutowa ujingani kwa mambo mawili la kwanza kwa siku ya arafa ili tupate fadhla za arafa na la pili ni maulidi kupiga matwari na kula pilau Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu

  • @salmananwaralmaisarah1387
    @salmananwaralmaisarah1387 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran sana ustadh...kinachomueka bachu mjini ni hizo dharau na kejeli...hana lengine na kama analo birii alidhihirishe

  • @user-hr9kb7ev1i
    @user-hr9kb7ev1i 27 วันที่ผ่านมา

    Swadakta ndungu yetu Allah atakulipa inshallah kwa hikma zako kwa ilmu unayo soma kwa mafusi,mawahabi hawataki kusoma ndio hawajielewi

  • @sharifsayyidalmahdal
    @sharifsayyidalmahdal 29 วันที่ผ่านมา +1

    Haki ilifika Allah amhifadhi bachu

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيك يا أخي العزيز
    Maneno mazuri nto
    جزاكم الله خيرا
    Allah amhifadhi Sheikh Ustad Hasan.
    Ningependa sana angepeleka nguvu zake ndugu yetu Bachu kwa mambo ambao yataleta manufaa badala ya kuwashambuliya wanaziwoni
    Dharau na kudhalilisha watu siwo katika mafundisho ya Bwana Mtumme Muhammad صلى الله عليه وسلم

  • @swalehmohamedwaziri7499
    @swalehmohamedwaziri7499 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shallah maelezo mufti
    Nyama za maulamaa Zina simu.

  • @saidijuma-b9v
    @saidijuma-b9v 23 วันที่ผ่านมา

    mungu akuhifadhi sheikh letu

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 24 วันที่ผ่านมา +1

    HAMUWEZI TUDANGANYA WATU TUSHAA ELIMIKA NA BACHU ALLAH AMHIFADHI

  • @user-uy8en4fj6r
    @user-uy8en4fj6r 28 วันที่ผ่านมา +1

    Wallah mahabi mwabambanya hamna ilimu wallah mana mkizunguza nahau hamzipaty mwapiga nnje

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 28 วันที่ผ่านมา

      Maadam quran na sunna za mtume tunazo uelewa nahau twawaachia nyie makhurafi

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 28 วันที่ผ่านมา

    Asalamu aleykum ya allah huyu bachu nimrogo😊😊😊😊😊

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน

    الله يحفظك سيخنا محمد با جو

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl หลายเดือนก่อน +12

    Sheikh Muhammad bachu ametutoa kwenye ujinga

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 หลายเดือนก่อน

      Maoni ya kubalika

    • @user-ix8bu3yy5z
      @user-ix8bu3yy5z หลายเดือนก่อน

      Mohd bachu amesingizia sheikh uthaymeen na kufanya uthaymeen ni mtu wa kauli mbili mbili

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

      Mashallah

    • @DiudaKozi-qu8sl
      @DiudaKozi-qu8sl หลายเดือนก่อน +2

      Sheikh Muhammad bachu yuko vizuri sanaaaaaa.Ameniondoa kwenye wajinga wa kitwariqa na kisufi

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 หลายเดือนก่อน

      Kkkkk bado mwa zama kwa uchinga pole mana chongo ni mfalme kwa vipofu

  • @KhamisQays-ur1dm
    @KhamisQays-ur1dm หลายเดือนก่อน

    Ahasanta Habibi Barakallahu fiyk

  • @waladulikhlaas7870
    @waladulikhlaas7870 หลายเดือนก่อน

    Mashallaah shukran sana ustadh muhsin....Bachu akajifunze adabu kwanza...na tutamnyorosha...Na msa pia tutamtoa

    • @suleimanahmadaali5989
      @suleimanahmadaali5989 27 วันที่ผ่านมา

      Acha ubaguzi ndugu yangu, uislamu umekataza kubagua watu kwa utaifa, urangi, ukabila, usehemu
      Hayo ni maneno ya wasio kua waislamu, eti msa tutamtoa ndo umesema nin sasa

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi ost letu,endelea kufanya twakuelewa vzr sna❤

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 27 วันที่ผ่านมา

    Hayaaaa fuateni ara yenuuuuuuuuuuu mausufi

  • @MaulidiJongo
    @MaulidiJongo 10 วันที่ผ่านมา

    Bach Bado allh ajampa uwongof ila tumuombe allh san

  • @WilliamMaina-xh4sf
    @WilliamMaina-xh4sf หลายเดือนก่อน

    Mchenni Allah, mitandao mmejaza uislamu-siasa za makundi jameni, barabara ya sawa na malengo ya uwepo wa mwanadamu imesahaulika

  • @user-go3bk6wr8u
    @user-go3bk6wr8u 26 วันที่ผ่านมา

    masufi mnatabu.

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +3

    Ukweli tu unuma.. haki watu wanaielewa sasa... hadithi nyingi za uwongo za watu watwarika zinabainishwa simameni kwenye haki alokujanayo mtume enyi watu wa twarika. Acheni ibada za kuzuwa zuwa فان كل بدهة ضلالة

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +1

    Hasira nyingi sana

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 29 วันที่ผ่านมา

    Shekh Muhammad Bachu amewashinda ilimu nyinyi Muna chuki zenu muogopeni Allah Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu

    • @slimshah9460
      @slimshah9460 29 วันที่ผ่านมา

      Ilimu gani kama si kejeli

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +3

    Kupitia vitu vingi sana alhamdulillha tumemjua ikiwemo ujinga ulodhihir kwenye maulid na kukataza baadhi ya vitu vya kijinga ikiwa pa1 na masufi kuwaaminisha wa2 kwamba Mtume wa Allah aonekana hata ukiwa macho.

  • @abdallamassoud53
    @abdallamassoud53 หลายเดือนก่อน

    Kutukana mashekh

  • @user-uy8en4fj6r
    @user-uy8en4fj6r 28 วันที่ผ่านมา

    Wafahamishe ukwell shekhe muhsin huyo mkosefu wa adabu m.s bachu na mungo akuhifadh shekhe muhsin tuzidi kufaidika

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

      Watumwa wa fikra wa bachu Hawana haja ya kusikiliza hoja Bali ni ujuha kwenda mbele

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b หลายเดือนก่อน +5

    Bachu nikipenzi chetu allah amuhifadhi katutoa kwenye ujinga

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 28 วันที่ผ่านมา

      Sana Wallah

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@Hamis-ks1syANAKUTIA KWENYE UJINGA SIO KUKUTOA

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +2

    Eeee bwana hajazarauliwa munatengeneza huruma

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN หลายเดือนก่อน

    Musidanganywe na comments zetu ndio zikawapamoyo wa kutukanana na kukashfiana mitandaoni.

  • @TaufiqMeneja
    @TaufiqMeneja หลายเดือนก่อน +2

    Sisi wasikilizaji tuna Ona Mohammed Bachu yuwajitahidi kututoa kwenye ujinga sisi waislamu wadogo wadogo ambao hatukubahatika kupata elmu... Fatwa za Bachu Zina nguvu kuliko zenu....

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 27 วันที่ผ่านมา

      Wewe bado mjinga ndio mana jitahidi usome

  • @DhaharanMussa
    @DhaharanMussa หลายเดือนก่อน

    Mawahabi wote wamenyimwa ufahamu,ndio maana wengi wamekuwa magaid

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh หลายเดือนก่อน

    Shida ya buchu hajielewi

    • @slimshah9460
      @slimshah9460 29 วันที่ผ่านมา

      Chizi fresh

  • @abdulmalikali1501
    @abdulmalikali1501 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Habib wetu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +1

    Munamtetea

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน

    Angalieni nyinyi masufi makhurafi hamtaki kufanyiwa raddi kwa uzushi wenu sasa lazima mwambiwe ila mkikosa kuambiwa ndo mnasema eti dharau mkiwasoma masheikh zetu mtajua kua nynyi wanafunzi tuu kubalini kurudi nyuma mfanye tawba kwa Allah sababu ya uzushi mmezidisha sana

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 27 วันที่ผ่านมา

      Umesikiliza ukaelewa lkn au umeziba masikio

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 27 วันที่ผ่านมา

    Acheni porojo

  • @ahmadabdallah740
    @ahmadabdallah740 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamumsemi al hatimy alipokua akimtukana sheikh ali bahero ama vile ni mwenzanu muogopeni Allah na kueni na uadilifu

    • @KakaOmmy-xx6pi
      @KakaOmmy-xx6pi หลายเดือนก่อน

      Nasoma comments alafu nawafuatilia sana .( huenda wamesahau)

  • @user-qe3dl9ox5b
    @user-qe3dl9ox5b หลายเดือนก่อน +3

    Sh muhammad bachu yuko vizuri sana

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 หลายเดือนก่อน

      NDIO KWA UPUMBAVU HAKUNA KAMA YEYE.

    • @khamiisathmaan4362
      @khamiisathmaan4362 หลายเดือนก่อน

      Wewe mtume hakuwahi kumtukana muislam wala hakuna swahaba wala taabi-ina bali mtume amekataza kumtukana muislamu nufaasiq

    • @khamiisathmaan4362
      @khamiisathmaan4362 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama waongoka kwa ufaasiq Kasome dini yako uijue usitegemee darsa ndo zitakazokutoa kwenye ujinga

  • @allyhamza9969
    @allyhamza9969 หลายเดือนก่อน

    naswaha yangu tusivunje udugu wetu kwa jambo la kupita.Eid itakuja na itaondoka ila udugu ukiondoka ni ngumu kuurudisha

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww หลายเดือนก่อน

    Piga ujumbe shekh bachu tunafahamu kwakuwa wazi ktk adila zakujitosheleza undeni yenu arafa

  • @mngwaliis-haka5348
    @mngwaliis-haka5348 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amuhifadhi sheikh Hajji upepo

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +1

    Yaani masufi bna Akimrekebisha mwasema anamtukana baba ake akikaa kimya nongwa mnatakaje sasa?

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 หลายเดือนก่อน

    Haki imefika ndiomaana mwatapatapa Sasa ndiomaa mwapingana wenyewe. Kwa wenyewe mbona mmemhalifu kadh wenu

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 24 วันที่ผ่านมา

    MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA

  • @Aradyassane
    @Aradyassane หลายเดือนก่อน

    Fungueni kitabu

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 หลายเดือนก่อน

    Huyu Bachu hajui kama nyama za wana zuoni zina Sumu. Mtizameni tu mwisho wake.

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 หลายเดือนก่อน

    Kawaida anaesema kweli huchukiwa nyinyi hamutaki ukweli

  • @user-qv9ep6wq1t
    @user-qv9ep6wq1t หลายเดือนก่อน +1

    Nawaona mawahabi wanavyo haha kukoment ila safarihii wasipewe nafasi jino kwa jino hadi waelewe

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

      Kazi mzr mashallah kama wakiachwa wanazidi sifa

  • @mngwaliis-haka5348
    @mngwaliis-haka5348 หลายเดือนก่อน

    Bachu aende akasome

    • @slimshah9460
      @slimshah9460 29 วันที่ผ่านมา

      Alifu kwa kijiti😂

  • @chidolakhatib7847
    @chidolakhatib7847 หลายเดือนก่อน

    Mukiambiwa ukweli wakuumeni ehhhh bachu Atawanyoosha Allah atazidi kumpa Elmu Mumjue makusudio yake kwenu …

  • @NURRPRODUCTION
    @NURRPRODUCTION หลายเดือนก่อน

    Ustadh huyu jamaa lazma aambiwe ,anaumbungufu sana wa elimu

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 หลายเดือนก่อน +1

    SHEKH unamuita BACHU ni muongo lakini wewe pia mbona wasema uongo umesema BACHU ametukana mashekh ili iwe hukusema uongo hebu tuambie tusi Gani ametukana mashekh mbona nyinyi watu wa Bidaa mwapenda kutumia hili neno kuwa anatukana mashekh

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 หลายเดือนก่อน

    We mwenyewe ni mrongo kama nihivyo

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e หลายเดือนก่อน

    Sheik kua makini na MAWAHABI watakulipua.

  • @JamalAli-tz6pj
    @JamalAli-tz6pj หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa hatutaki kusoma sasa tukimsikia bachu twaona asoma jamani tusomeni bachu bado hajujua swarfa na nakhau sawa wafuasi wa bachu acheni kutukana watu

  • @harithhemed9920
    @harithhemed9920 หลายเดือนก่อน

    ww shekh nafkiri ungekaa na kusoma kuliko vijembe bachu anafungua vitabu sio maneno tu

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 หลายเดือนก่อน

    Mfuateni kadhi wenu acha ubishi

  • @Abutwalhamwanyuki
    @Abutwalhamwanyuki หลายเดือนก่อน

    Huna hoja kumbee,;

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 27 วันที่ผ่านมา

    Alikuwa haradiwi ni mtume muhammad sala na Salam ziwe juu yake tuuuu

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 หลายเดือนก่อน

    Bachu kawaida yake hajuwi kuongeya kistaarabu mpaka atiye dharau na kijeli hivo ndivo amezowe

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 หลายเดือนก่อน

    Hivi maana ya matusi unaijua kweli au wajisemea tu,unajua maana ya hojja unaelewa kweli

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

      Matusi zaidi mnayajua nyny sababu ndio kz yenu

  • @swalehmohamedwaziri7499
    @swalehmohamedwaziri7499 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi hawana inswaf na wapenda kubaranganiza mambo walaghai hawajali kudanganya bora maslahi yao yende

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

    Si nilisema kuwa atajibiwa mm na huyu kijana naona ni kama akili zake ni za kifyetu bachu kashabachuliwa akabachuka

  • @FaaidaTVtz
    @FaaidaTVtz หลายเดือนก่อน +1

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Mtoa hoja umejitahidi katika kumtetea sheikh wako Ustadh Said Ali Hassan laakin haujavunja hoja ya Muhammad Bachu hata moja.
    Ustadh Said Ali Hassan ametoa hoja yake hadharani kwenye media sasa wewe ulitaka ajibiwe msikitini kwake peke yake.? Kwa ukubwa unaompamba nao asingethubutu kupotosha hadharani kuhusu Arafa, Sheikh Bachu yuko sahihi kumjibu hadharani kwa sababu kakosea hadharani na wala hakumvunjia heshima kama unavyotaka wewe ionekane. Kama heshima amejivunjia yeye mwenyewe kwa kuanza kupotosha hadharani.

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b หลายเดือนก่อน

    Nimikufwatilia kwakweli masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnachesha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 หลายเดือนก่อน

    Katukanwa wap kwn pamewekwa sawa tu

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

    Masufi mmepoteza wafuasi kupitia kina bachu na kina bahero mungu awalipe

    • @darajanida
      @darajanida หลายเดือนก่อน

      kila mtu anakaburi lake ndugu yangu epukana na upotovu wa mawahabi

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida mawahabi wanatuambia tufuate sunnah ya mtume s.a.w na tuebukane na bid'a na hio si kitu mbaya, lakini masufi wanatuhimiza tuombe makaburi na tufanye kila namna ya bid'a kama maulidi na hio ni kupotosha ummah

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

    Juzi aliwatweza kina suyutwi ghazali na sultwaan auliyaa kwa ile klip yke alotoa juzi mpka nkashangaa

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

    Uyo bachu hana adabu, yeye kwnz hana sheikh

  • @albayaanmschool8451
    @albayaanmschool8451 หลายเดือนก่อน +1

    Na mtume aliambiwa vivyo hivyo antukana miungu ya makuraish kisa kufafanua haqqi

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo nyie hamuezi kuanzisha mada mpaka bachu aongee ndio mupate mada? Na hamupati usingizi kufikiria vipi mummalize bachu? Basi Allah atamlinda kwa husda na chuki zenu mpaka haqqi ifahamike

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official หลายเดือนก่อน

    ukiongea usiwe na hasira kia mpole ili jamii isijue kua umekasirika

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r 29 วันที่ผ่านมา

    masufi hamna kitu ni mbwe mbwe tu zenu.

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b หลายเดือนก่อน

    Nyinyi hamna elim nibala bala tu

  • @hassankarata8135
    @hassankarata8135 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu unatuchanganya mbona kila kitu bachu hutufundishi bachu kakosea hapa kateneza hapa

  • @sultanmohammed4157
    @sultanmohammed4157 หลายเดือนก่อน +1

    Backu ni mjinga katika dini yake. Hanailim hana heshema.

    • @KakaOmmy-xx6pi
      @KakaOmmy-xx6pi หลายเดือนก่อน

      Sio vivuri kuwatukana masheikh kama humuamn bas sio lazima umufuatilie

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz หลายเดือนก่อน +1

      Wewe mwenye Elimu ebu mjibu Bachu sasa kwa hoja ya kielimu.

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 24 วันที่ผ่านมา

    MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA NA BAATWIRI

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe umekuja kuvunja hoja ya shekh au umekuja kutupotezea muda tu na maneno tupu kama waweza Lete hoja nanibara zilizoaomwa Sio maneno tupuu bila hata kunukuu KITABU hata kimoja unasema unathibitusha kitu Gani na huna hatq KITABU wathibitisha Kwa maneno tupu unamuita mtu muongo Kwa maneno tupu

  • @issahabdallah9018
    @issahabdallah9018 หลายเดือนก่อน

    punguzeni makasiriko. Ama mlete markaz nzima imraddi bachu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

      Uyo bachu ndio wakuletewa markazi.

  • @hassankarata8135
    @hassankarata8135 หลายเดือนก่อน +1

    Jenga hoja acha porojo

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 หลายเดือนก่อน

    Musimlaumu Sanaa bachu sababu atolewa chambo yeye na Ali abubakar Kisha ikionekana kimya Ndio nayy Ali apate topical in ya Kuongea cku ya ijumaa lkn ikijibiwa ivo mwampa kazi mwezeni

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน

    kinachoendelea sasa kwa masufi ni wivu wa kuona mtoto mdogo ana elimu kubwa na tunakwambieni mtoto anajituma sana kutafuta elimu ni haki yake kuwafunika na nyinyi someni tu mtakua kama yeye

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 28 วันที่ผ่านมา

      Uyo bachu ana elimu ipi? Watu wa kuonewa wivu huwaoni mwehu weye? Mzee bachu ana elimu gani ya kufanyiwa chuki mjinga wew? Em nitajie japo kitabu Cha kutawadha mkojo tu Cha bachu ukitaja kitabu Cha kutawadha mkojo Cha bachu niwekee na namba yako niitume muawamala. 1m

    • @khamisjuma7616
      @khamisjuma7616 28 วันที่ผ่านมา

      @@HemedSerious hasira hasara wala matusi si fani yangu yakurejee mwenyewe mijineno yako mibovu

  • @user-rp4eb5xw1z
    @user-rp4eb5xw1z 4 วันที่ผ่านมา

    Elim ndoimefanya tukamjua Bach ispokua mnapoaambiwa ukweli mnaanza zaypuuzi

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN หลายเดือนก่อน

    Mashekhe acheni ayo mambo yenu ya ufasiki munayofanyiana mitandaoni kama kik nyote mshapata na viewer wengi mushawapata, hebu tafuteni mambo bora kwa waislam muwafnye.

  • @rushu1232
    @rushu1232 หลายเดือนก่อน +1

    Kisha nyinyi munao support bachu kwanini amefukuzwa Zanzibar sababu ya ufedhuli na kukosa adab.

    • @Biziman-pu4kf
      @Biziman-pu4kf หลายเดือนก่อน

      Nipe habari ndungu nikweli amefukuzwa

    • @rushu1232
      @rushu1232 หลายเดือนก่อน

      @@Biziman-pu4kf haruhusiwi kutoa khutba wala muhadhara na shida sio mtu wakusomesha amezowea ufedhuli ndio akaja msa kwenye jaa la taka.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

    Ukweli lazima udhihirishwe hata kama mtaita dharau...no more misleading of people in 21st century

  • @litimbaify
    @litimbaify หลายเดือนก่อน

    Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli mwache Bachu atufungue macho na hamturudishi tena gizani endeleeni na kukaa gizani!

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp หลายเดือนก่อน

    Hajatukanwa shehe yeyote yule
    Lete vitabu acha chuki

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

    Ameweka huyo wenu ndio kuwaonyesha shehe wenu humjui

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex 26 วันที่ผ่านมา

    Na ww wataka ujibiwe na bachu hujawa na kiwango cha kijibizana na bachu

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 หลายเดือนก่อน

    Hapa naona kaja na mipasho haina aya wala Hadisi

  • @user-uy8en4fj6r
    @user-uy8en4fj6r 28 วันที่ผ่านมา

    Kwanza bachu akizungumza wallah hana nahau na iliuyafamu maneno ya mtume lazima uwe na nahau kasome nahau weweeeee mbana nahau tu hujui utakuja masialla hayoo wewe

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp หลายเดือนก่อน

    Tupe vitabu acha maneno