''SITAKI TENA KUTEGEMEA VITU HIVI'' Afunguliwa na kuwekwa huru
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Asante Mungu kwa kutupa mtumishi huyu. Tupate wapi tena mtu kama huyu??? Ambaye Roho wa Mungu amejaa ndani yake?
Nami napokea utajiri wa kudumu kwa jina la Yesu
Mungu ni mwema,mtumishi ubarikiwe zaidi
Mungu umkumbe babangu popote yupo naye
Spora Rashidi. Naishi Nairobi Amen, Amen bwana unikumbuke na family yangu,unifuntuwe na Mimi piya na mumewangu.
Sumbe mungu azidi kukulinda katika kazi yako
Asante Mungu wangu ukatende na kwangu baba usinipite 😭😭😭
Mungu mbariki sana mtumishi wako Elibariki Sumbe, kwa kazi yako anayoifanya. Amen
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa mungu
Mungu ni mwema sana
Mungu ni mwema Kila wakati na hajawahi kuwaacha wenye haki wake,nakutukuza mungu nisaidie mm
Amen Amen
Ee Mungu mm na mme wangu Geofrey Khaundi naomba ndoa yetu idumu na Mungu atufunikishe tuweze kujenga nyumba yetu
Mungu uni kumbuke na mimi katika jina la jesu niko Congo Kinshasa
Amene
Ahsantee sana yesu
baba anaupendo sana MUNGU akubariki baba
Mungu azidi kuongezea kwa kazi unayo tusaidiya mu maisha ya binadamu nami niko na fuata kuu mitanda, na nili lota mu ndoto unakuja kwangu hapa Rwanda Kigali, na nikaona una mwita Binti wangu Cynthia Tumbwe anapita mbele yetu uka mwita umuombeye basi mungu na yesu akubariki kwa miujiza anayo fanya amen
Amen mtumishi ipo siku na mimi nitafika hapo nahitaji kufunguliwa zaidi na kujua nafasi yangu kwa Mungu ni ipi maana natamani sana kumtumikia Mungu
Tanzania be blessed with this man of GOD
1
Mungu awafungue wote mliofungwa na shetani ameee
Mungu afunguwe famillia yangu tuwe na umoja
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen
Ahsante yeesuuu
Asante yesu niguse namm
❤❤❤❤
Amani ❤
Mungu awafungue wot mlio fungwa na wachaw amona
Amen Mungukwakufunguwasisiwanadamu
Mungu upewe sifa
Asante sana kwa mtumishi wa Mungu Ku huduma iyi Ila nasi tunahitaji musaada wa maombi sasa mwili inaumizwa
Ameen Ameen glory be to GOD
Kupitia maombi aya na mimi nakombolewa kwa jina la yesu
I love Bishop Sumbe!
Mungu ikumbuke na familia yangu
Sumbe hakika uko mtumishi wa mungu
Nabarikiwa sana
amen amen namimi ninawawomba
Mungu baba niguse na mimi
Hakika Mungu kwetu nikimbilio na nguvu, msaada utakao onekana wakati wa mateso. Sifa na utukufu ni kwako Mungu.
Hadi nasikia amani katika moyo wangu
Amina Amina Asante Mungu
Upendo wamungu kbs
Ameen Ameen ubarikiwe sana mtumishi
Tanzania blessed. With. This. Man. Of Goog
Yesu ni mkuu sana sana
Mungu ni mwema
Mungu akutunze baba yetu ili utukomboe wengi
Huduma sana kumiliki gari zote hizo halafu zinapotea zote kweli watu ni hatari
Karibu kwa Yesu tumuabudu Mungu katka roho na kweli
Glory to God
Thanks Lord for delivering this Man,Utukufu ni kwako Mungu
Mungu wetu atakubariki
😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGU NIFUNGULIEEEEEEEE
Amen amen amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏💙😍💙😍
God is good hallelujah 🤲
Huyu baba history yake nikama ya baba angu kabisa .roho za mizimu imeharibu family yangu
Amen God🙏🏼🙏🏼
Jamni nimeliaa sanaaa hlf nipo kazini nasumbuliwq na vitu jmn kichwa huniuma na mwanangu huumwa ovyoooo
Mungu akakuguse huko ulipo haijalishi upo umbali wa hatua gani lakini Mungu alieponyesha wengine akakuguse na wewe popote ulipo ukapone, mtoto akapone hakika utasimulia matendo makuu ya Mungu endelea kumwamini Mungu hakika hatakuacha wala kukupungukia. Barikiwa sana mpendwa
Amen🙏
Mungu tuwekee tulindie mbariki mtumishiii Sumbe
Wanawake jamn muache kukimbia waume zenu wanapofirisika!mbona penye Rahaa mnakuwa wote???mke ni faraja ya mume.be blessed pastor Sumbe.
Glory to God Amen
I will always be saying this that God bless Bishop Elibariki so much,I love your preachings,,much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naoba maombi nasumbuliwa sana
Yesu ni mueza wa yote tumutumaini yeye
MUNGU azidi kukupa afya njema mtumishi
Nakipenda hiki kipindi mungu aenderee kukuinua mtumishi
Merci k
Huu ushuhuda naangalia Mara ya 3 Mungu nifungue na Mimi usinipite
Barikiwa sana baba
Natamani huyu baba arudi kutoa ushuhuda baadae ya kufunguliwa
⚘Thanks and Praise be to God. Amen
Exactly God is wonderful
Setani ana mamraka yoyote kwa maisha nyangu
Ameeeeeen
Ubarikiwe kakaangu umechagua fungu jema
Aki nimefanyiwa hiyo nami dio mahana atuelewani na ndoa yangu
Amen🙏
Bishop Elibarik sumbe Mimi Nina shida. Nilikuwa nimeolewa Lakin. Mume wangu kaniacha ameoa mke mwingine tulijenga. Nyumba naye tulikuwa tunajinyma kupitia kujenga Leo Mimi nateseka. Nilirudi. Nyumbani mtoto wangu naye ameondolewa. Kwenye ile Mali zangu zote zimetekwa. Na mke aliyenae Nisaidie baba. Sumbe uniombee nafuatilia maombi Yako kwenye you tube
Naombaumwombee mwanangu katika. Masomo hasongi. Mbele kila. Anapotaka. Kufika mwisho anaambiwa. Arudie SoMo lingine afanye. Mtihani Tena mungu msaidie mtoto. Wangu
Balikiwa
Hello
Blessed Pshop sumbe
Amen jina la bwana yesu liinuliwe
Naomba unieleze Alipo mtumishi wa bwana
Amen lakini amutujibu nasisi jaman mutukumbuke nasisi tulio mbali
Namini iposiko namimi nitafunguliwa amina
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Kaka mtumikie Mwenyezi Mungu siku zote usirudi nyuma
Naomba uyu mchungaji aje dar
Naitwa Stephen Olwombo Akoyi tafathali mutumishi wa munngu niombeye bomayetu imefungwa nisaitie kwamaombi
Karibu kwa yesu
mimi nayitwa mama jacki
Nini
Asante YESU akika wewe ni mokozi
🤣
Amen Amen
Amina
Naoba maombi nasumbuliwa sana
Asante Mungu
Amen Amen Amen
Amen amen
Amen
Amen amen
Amen amen