ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

NGUVU YA MSAMAHA, na mtumishi wa Mungu Bienvenu WANZIRE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 เม.ย. 2020
  • Mungu kwa uwezo wake mkuu, anaweza kutendea mwanadamu kila kitu kizuri, Mungu ili abariki mwanadamu, haitaji ushauri wa mtu yeyote, amesema kwenye Biblia, msiposamehe hamtasamehewa ; ina maana Mungu anauliza ruhusa kwako, ukiisha samehe ndipo Mungu pia atakupa msamaha.
    Matayo 6:14-15
    mara nyingi wanadamu tunashindwa kuona mkono wa Mungu katika maisha yetu sababu ya kushindwa kusamehe,
    unapo tazama video hii, Mungu akukumbushe wapi ulishindwa kusamehe, baadae uweze kutoa msamaha kwa alie kukosea na utaona atakavyokutendea makubwa maishani mwako.
    usikose ku subscribe channel hit, ku share ili tuendelee kubarikiwa kwa pamoja.
    kwa mawasiliano, maoni au ushauri, tupigie kwa +255687925538 +255652451063. fb: bienvenu wanzire. instagram: bienve ministries online

ความคิดเห็น • 20