Kuweza kupata Chanel hii ya mchungaji si kwa bahati ila ni Kwa vile Mungu anipendavyo na angependa nisiteseke zaidi.Kwa kweli Mungu atupenda.Asante mchungaji.zidi kutumika na Mungu kufungua watu macho ili wakaweze kujifungua popote walipofungwa katika Jina la Yesu Kristo.
Asante Sana mchungaji somo lako limenibariki Sana Sana tena limekuwa jipya maskioni mwangu nilikuwa gizani kabisa kuhusu aridhi, nitaendelea kukufuatilia mafundisho yako.
Ninachoona kwangu katika SoMo hili kuvunjika kwa ndoa yangu chemchem nimeiona EEE Bwana Yesu yaliyonenwa juu ya vyanzo vya nafasi yangu nayafuta kwa jina la Yesu
George swai nafuatilia mafundisho yamatumizi sunbella,kutoka mozambique,sasa Mimi nifanyeje kuhusu udongo,ktk biashara zangu ,naziona nguvu zakunifungua ktk mafundisho haya
Hakika fundisho nimelielewa vzr n Mungu w mbingu n nchi aendelee kukutumia mtumishi w Jehovah kw utukufu w jina lake n kw viwango vy tofauti kbs n vy juu zaidi ktk ulimwengu w roho
Unaloongelea falme na mamlaka,ilo linanihusu,kiukweli naumwa,siwezi ata kumwogesha mwanangu,naumimia,tuko nyumba za kupanga,watotto wanasoma,mume kasimamishwa kazi,nilikua nafanya kazi tunalea watoto,Leo nimelala ni mgonjwa,nimekata tamaa nisaidie,natwa Magret Niko Arusha,mume Mackdonald naitaji msaada Mtumishi nitoke nilipo,nimeugua miezi nameugua,
@@realityofchristchurch jamani naomba mnipe tafsiri Kila nikisikia mahubiri na maombi ya mtumishi lazima nipitiwe na usingizi naota vitu vya ajabu dhen nakemea katika ulimwengu was roho Sana Sana alaf naachiwa mpaka naogopa kusikiliza mahubiri jaman, Kama someone la majini mahaba mtumishi alisema tushike kidole Cha ndoa nikashika katikati ya maombi nikasinzia Kishanikawa naivua Pete kwenye ndoto Pete haitoki baadae ikatoweka

Mungu akubariki Mtumishi Kwa mafundisho haya yakutufungua macho🙏🙏🙏
Asante mtumishi kwa neno zuri la ufunguo wa ufahamu
Amina,mafundisho ni ya muda kidogo lakini ujembe uliopo ni hazina kwetu...Nabarikiwa mno na Mungu aseme na ardhi yeyotte ile nikayoikanyaga nk. Amen
Kupitia ww mchungaji nimejua vtu vngi sana Mungu azid kukuinua zaidi na zaidi tuzid kufaidi matunda yako.
Amen
Nimenifunza kitu ubarikie
MUNGU Asant maana mafundisho ya mtumishi wako yananifungua sanaaa Asante Yesu
Mungu akubariki sana Mtumishi.
Aminaaa mtumishi wa Mungu
Tume barikiwa mutumishi wa Mungu Kwa maubiri haya .
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu. Umenisaidia sana. Ni Pascal Muzuri kutoka Congo Goma
Sunbella I love ur teaching, ur one of a kind n a true Man of God
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kuna vitu sikuwahi kuifahamu Mungu azidi kukuinua viwango hadi viwango,,,
Amina kyando
Napataje mfululizo wa masomo yote hadi mwisho kuna jambo kubwa nimelipata BARIKIWA
For now I think am blessed and my life will change alot from now
Amen mtumishi barikiwa sana
Wote tumeokoka ila tumezidiana neema 🙏🏼☝🏾
Karibu Arusha mtumishi
Mungu wa mbinguni azidi kukulinda na kukubariki mtumishi wa Wake
Kumbe tatitzo ni ardhi Asante yesu nabalikiwa sana
Mungu akupe maisha maarefu Mtumishi kiukweli ufahamu wangu unafunguliwa
hakika kipo Cha kujifunza kupitia Somo hili asante sana mtumishi wa Mungu
Asante Sana mchungaji somo lako limenibariki Sana Sana tena limekuwa jipya maskioni mwangu nilikuwa gizani kabisa kuhusu aridhi, nitaendelea kukufuatilia mafundisho yako.
Asante yesu
Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya sifa na utukufu wake... Mungu amesema na mimi 100% kupitia hili somo.. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏
Asante sana mtumishi
Nabarikiwa na neno mungu aendelee kukutumia
Barikiwa mtumishi kupitia hili neno yani limeniinua kiwango kingine cha juu
Neno hili MUNGU kalileta kw kusudi lake ili 2pone Amen 2napokea uchaji wa MUNGU
God bless you.I have heard all your preachings and I like it
Umeniponya na neno hili!!!
Asante kwa mafundisho mazuri sana
Ubarikiwe mtumishi...nakuelewaga sana baba
Ameni,nmepokea hyo mungu akutie nguvu mutumishi
Nakuomba ukiandika jina Mungu anza na herufi kubwa kama nilivyoandika Mimi inapendeza said mtu wa Mungu
Hakika umenifundisha Mambo mengi Sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Nimejifunza kitu.asante baba mtumishi
Mungu azidi kukutumia Pastor nabarikiwa sana na mahubiri yako
Duh Mtumishi wengi tunaumwa hatujui tunateswa na nini nimetibiwa na Kuombewa sana nakuomba unisaidie,mume kaachishwa kazi akinihudumia,naitwa Magreth
Mwenyezi Mungu akutunze,Hakika mafunzo uyatoayo yananifungua akili na mawazo na kujifunza kitu muhimu Sana.🙏
Asante mtumishi wa Mungu kwa somo hili limenifaa na kunibariki neema ya yesu Kristo ikutoshe.
Asante mtumishi kwa mafundisho y'akol nabarikiwa Sana ,mungu azidi kukutumia Amina
Barikiwa mtumishi
Amina, nimepata kitu ktk ujumbe huu
Pst joshua muthama from kenya am very much Blessed
Asante kea somo
Ninachoona kwangu katika SoMo hili kuvunjika kwa ndoa yangu chemchem nimeiona EEE Bwana Yesu yaliyonenwa juu ya vyanzo vya nafasi yangu nayafuta kwa jina la Yesu
Asante kwa neno
Nimebarikiwa Sana sana
Mungu akubariki na akutunze baba yangu
POWER 🔥🔥🔥🔥
Blessed Dady Bella 📌🕊️🤍
Amen amen
Barikiwa sana mchungaji
George swai nafuatilia mafundisho yamatumizi sunbella,kutoka mozambique,sasa Mimi nifanyeje kuhusu udongo,ktk biashara zangu ,naziona nguvu zakunifungua ktk mafundisho haya
Nabalikiwa sana
This is true, ushindi mwingine ni kuachilia
Mungu akubariki sana mchungaji
Thank u man of God
amina kwa kutufundisha
Asante Jehova kwa ajili ya Mchungaji Kyando.
Asante mchungaji, naweza kupata namba niongee nawee mchungaji, nahitaji msaada wako. Annah kutoka Kenya.
Amina baba
Thanks so much my JESUS🔥🔥🔥🙏🙏🙏
11111111111211111
Hakika mtumishi wa Bwana masomo yako ni mazuri yamenifungua...Mungu azidi kukutumia ili kuokoa roho za watu...
Asantesana mutumishi wamungu
Kweli kabisa babaa
tuned
Hi Bible knowledge
Mtumisho Jonathan
Hilo somo la papai kuna situation kama iyo kwenye familia yangu nitakuja kwa maombi, ubarikiwe
Amen Pastor.
I’m blessed
Najiungamanisha na Madhabau yako MUNGU naamin kileulichlkikusudia kimekuwa Amein
Katika jina la YESU muovu yeyote hatakanyaga ktk ardhi ya nyumbani kwangu akatoka salama.
❤❤❤
Hakika fundisho nimelielewa vzr n Mungu w mbingu n nchi aendelee kukutumia mtumishi w Jehovah kw utukufu w jina lake n kw viwango vy tofauti kbs n vy juu zaidi ktk ulimwengu w roho
Soma tamu
Amen
Mafundisho yamenibaliki sana niayangu naamini nikikutana naww nitafunguliwa naomba niongeze takuonaje nipo mtwara
Amen n amen...🙏🙏🙏
Kumb 32:1 36:24
My name is Judy I would love to be in contact with Pstr Sunbella
Habari dada sorry kama ulipata namba za pastor Sunbella naomba
Natamani uje Moshi mwezi wa saba Mtumishi
Hata mimi niliwahi kutana na changamoto hiyo ardhi ilikuwa imelaaniwa na shangazi mtu .mama weee sitaki kusema yaliyonikuta
Adventurers song ads
Unaloongelea falme na mamlaka,ilo linanihusu,kiukweli naumwa,siwezi ata kumwogesha mwanangu,naumimia,tuko nyumba za kupanga,watotto wanasoma,mume kasimamishwa kazi,nilikua nafanya kazi tunalea watoto,Leo nimelala ni mgonjwa,nimekata tamaa nisaidie,natwa Magret Niko Arusha,mume Mackdonald naitaji msaada Mtumishi nitoke nilipo,nimeugua miezi nameugua,
Upo arusha sehemu gani nambie
Usikate tamaa yuko baba yetu wa mbinguni Ana jibu kuomba kwetu.
Unaendeleaje??? Omba sana , nenda hata kwa mwl Onesmo
Nahitaji kufika hapo mtumishi nahitaji direction
Dar es salaam tupo Sinza mori mkabala na ofisi za Tamwa.
Dodoma ni kila Jumatano katika ukumbi wa Dear mama njia panda ya Area C
@@realityofchristchurch jamani naomba mnipe tafsiri Kila nikisikia mahubiri na maombi ya mtumishi lazima nipitiwe na usingizi naota vitu vya ajabu dhen nakemea katika ulimwengu was roho Sana Sana alaf naachiwa mpaka naogopa kusikiliza mahubiri jaman, Kama someone la majini mahaba mtumishi alisema tushike kidole Cha ndoa nikashika katikati ya maombi nikasinzia Kishanikawa naivua Pete kwenye ndoto Pete haitoki baadae ikatoweka
@@realityofchristchurch nahitaji maombi kwakweli nipo katavi mpanda
Nimeangalia somo ambalo nahisi limenifunga kabisa ni hili maadui tunaopambana nao,ila siku ya pili na tatu sijaona
Vitu vyote vilikuwa ni maji
Amina baba nabarikiwa sana
Barikiwa Sana mchungaji
Amen pastor 🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amina