MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA YA KUHUKUMU MIUNGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @kitundubarikimisholi7329
    @kitundubarikimisholi7329 2 ปีที่แล้ว +3

    Atukuzwe Mungu juu mbinguni na katika huduma ya Mana.Kwakweli tunatiwa Nuru na kupokea ufahamu.
    Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Bwana.

  • @neemaanthony8608
    @neemaanthony8608 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi kwa neno,, mimi niko kwenye kifungo kwa neno lako nifunguliwe

  • @bensonsalum6297
    @bensonsalum6297 2 ปีที่แล้ว

    Mwl Mungu akubarikii sana
    Apatee kukutumia zaidii

  • @doreenmusee6908
    @doreenmusee6908 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu you are on fire...Hallelujah damu ya Yesu lazima initetee in Jesus Name....listening with faith from Dubai Mwalimu

  • @joycemuro6505
    @joycemuro6505 2 ปีที่แล้ว

    Kutoka songea nabarikiwa amen amen

  • @danielkinisa9928
    @danielkinisa9928 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi Wa MUNGU kwa Mafundisho mazuri ya neno la BWANA

  • @neemabatraham1073
    @neemabatraham1073 2 ปีที่แล้ว

    Nimepata kitu kikubwaa saana hata kama nilishasikiliza narejea kusikiliza Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.

  • @eddiepeter1618
    @eddiepeter1618 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu..barikiwa sana

  • @margretchipkwemoi8297
    @margretchipkwemoi8297 2 ปีที่แล้ว +5

    Ameeeen nafatia ubatikiwe mtumishi wamungu 🇰🇪🇰🇪🙏🙏🧜🧜

    • @abelzulu7604
      @abelzulu7604 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @gustavepatrick1592
      @gustavepatrick1592 2 ปีที่แล้ว

      Bwana azidi kukutumia kwasababu umekuwa baraka kwetu sisi ambao tulikuwa tumekata tama kumbe yupo mungu

  • @robertbugali6327
    @robertbugali6327 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee Mungu Baba,ee yesu mwana wa Mungu , naomba rehema nisamehewe uovu wangu Mimi na familia yangu,ukoo wangu tumetenda dhambi bwana tusamehe . Amen 🙏

    • @ashantimoleta7798
      @ashantimoleta7798 2 ปีที่แล้ว

      Bwana Asifiwe Bwana Asifiwe kwa jina la YESU KRSTO Akatukuzwe MUNGU wetu Aliye umba mbingu na Nchi na watumish wake Aliye wapa kipawa cha Neno lake 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇮🇹🇪🇸🇹🇿

    • @godwellmassawe2616
      @godwellmassawe2616 2 ปีที่แล้ว

      Hakika mungu anafanya kazi na mtumishi wake mungu ampe maisha marefu Amen

  • @rhodanangoma7386
    @rhodanangoma7386 ปีที่แล้ว

    Ameeen ! Mwl

  • @atupavyemgaya1465
    @atupavyemgaya1465 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu Kwa kusema nami kupitia mtumishi wako mahakama

  • @joancherop8715
    @joancherop8715 2 ปีที่แล้ว

    Thise powerful God bless you man of God,ninapo tumia hii mwili wa Yesu na Damu ya Yesuu naamini Mungu amenikomboa

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuhitaji Ee Yesu !!

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 6 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @emmanuelmichael3012
    @emmanuelmichael3012 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo nilipokumbuka Yesu alivyosema neno langu ni chakula

  • @pendaelysumari6733
    @pendaelysumari6733 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen ubarikiwe

  • @monicathadeus5473
    @monicathadeus5473 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina!!

  • @christianelectronicmusic5587
    @christianelectronicmusic5587 2 ปีที่แล้ว

    Amina masihi wa BWANA

  • @AgnesMgina-ud6ho
    @AgnesMgina-ud6ho ปีที่แล้ว

    Jamani nilikua naomba mwendelezo wa hili somo

  • @africamwakatebe1413
    @africamwakatebe1413 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @prisca4612
    @prisca4612 2 ปีที่แล้ว

    Amen!!!!!

  • @danielkinisa9928
    @danielkinisa9928 2 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu nawaambia hakuna mkamilifu, lakini nawaomba kina dada kina kaka, acheni kujiongezea urembo katika miili yenu. ASIJE MTU AKAKATALIWA KATIKA LANGO LA MBINGUNI SABABU YA HAYO.

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @magrethmicheal4663
    @magrethmicheal4663 2 ปีที่แล้ว

    YESUUU😭😭😭😭😭😭😭😭😭VERY POWERFULL

  • @vumiliajulias6625
    @vumiliajulias6625 2 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaa

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

    • @andongolilemwakibwili9650
      @andongolilemwakibwili9650 2 ปีที่แล้ว

      Nafuatilia na ninapokea na NIMEBARIKIWA SANA. ASAÑTE SANA Bwana Yesu kwa kumtumia mtumishi wako.

  • @gracymsofu3230
    @gracymsofu3230 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @upendo82
    @upendo82 2 ปีที่แล้ว

    Ufunuo wa ajabu sana

  • @jastinpiniel4447
    @jastinpiniel4447 2 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @johnjosephat6846
    @johnjosephat6846 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌

  • @aureliekatempa9519
    @aureliekatempa9519 2 ปีที่แล้ว

    Naitaji uponyaji

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว

    MWAMBIE DIANA MWAKASEGE AACHE KUVAA NYELE BANDIA NA ASIPAKE DAWA KICHWANI MWAKE.
    Mwanzo 1:31

    • @doreenmusee6908
      @doreenmusee6908 2 ปีที่แล้ว

      With the powerful message,all you see is what people are wearing .. my brother your eyes need eye salve... the blood of Jesus deliver you from this religious critical spirit...God help you

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว +1

      @@doreenmusee6908
      GOD didn't mistaken to create you as who you are. Unless you lack some organ's to complete you as normal human, but beauty increasing to the flesh given to you, endanger your way to heaven.

    • @christinaemmanuels
      @christinaemmanuels 2 ปีที่แล้ว

      @@endtimes9850 Very true

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 2 ปีที่แล้ว +1

      @@doreenmusee6908 That's not a religion it is written in the bible. Mtu akikukumbusha jambo muhimu ujue ametimiza agizo la Yesu kuhusu upendo. Na usizanie kila muhubiri mzuri amekamilika.

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen