ROHO ZA MIZIMU ZAHARIBIWA KWENYE FAMILIA HII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2021
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Ubarikiwe milele kwa kazi yake Mumbaji mbingu na nchii❤ Mungu wa Ibrahim.
Mungu ibariki Israel Mungu ibariki Vuka yordan
Napokea uponyaji wa kila eneo langu la maisha yangu in Jesus Mighty Name
Kwajina la yesu sisi tupokee uponyaji mimi na familia yangu yote utepushe na maadui wambaya wakae kando na sisi
Mungu akutunze mchungaji sumbe
Jamani natamani siku nikimuona sumbe maisha yangu familia yangu itaoshwa kwa damu ya yesu jamani
Hatanami Nina teseka sana
Mategemeo Mungu ndani ya mutumishi wake
Mungu naomba anifungue miguu yangu
Mungu akuzidishi nouba baba
ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Napokea uponyaji kwa jina la yesu
Amina
Na pokea uponyaji kwa jina la yesu,,,,,,, mmi niko Kenya
Napokea
Naitwa wastara rajabu juma naishi Zanzibar mtumishi naumwa Sana naitaji namba nije huko kanisani
Baba Mutumishi niombeye nipate bwana mwema kutoka kwa Yesu kwakweri baba mimi nimefungwa kwasipo kujuwa naomba maombi kutoka kwako baba🙏
I'love you papa sumbe
Mungu aniokoe na magonjwa
Mungu nifungue vifungo vyote nilivyofungwa vyakichawi vya kishilikina vyote nilivyo favyiwa kupitia maombi na mahubili yake nifungunge ktk Jina la YESU KRISTO Amen.
Mtumishi ubarikiwe
NAISHIWA maneno, MUNGU naomba usiniache,peke yangu siwezi
Asante baba 🙌🙏
Hakika naona mkono wa Mungu juu ya uchumi wangu pamoja na familia yangu ikazidi kuuona mkono wako
Mungu na Mimi na familia yangu na mume wangu na uzao wangu tunaachiwa
Mutumushi wamungu tunapenda sana mungu agutume uku Uburundi tunamtani kukuona
Amen
Mungu naomba nipokee uponyaji usiku waleo kwajina lako
Eimeen.... Mungu nifungulie milango ya mafanikio
Analo panga mungu mwanadamu hawez kupanguw👏🙏👏🙏🙏
Nnaombeni maelekezo nawapenda Sana Naona nikma pia roho za mafatilzi zpoo
Amen in the name of Jesus.
Aminaaa
A'm much blessed with this service,
Mungu atukubuke Sana kupitiya mutumishi wangu matatizi nimegi kwawateule wa mungu
Mutukubuke Sana watumishi
Natama nikuone ili maisha yangu yakombolewe
Baba ubarikiwe,tukombowe mtumishi,
Uchumi wangu ufunguke kwa jina la Yesu amen
Ameen
Kwajina la yesu na sisi tu pokee uponyaji mimi na familia yangu yote
Navuka na mimi kwa kwa jina la yesu kristo na mume wangu John kaonekane kwa kwako na la yesu kristo
Pa pa j'ai besoin d' être guéri
Mungu na anisikie na mm katikat ya hao,na anitakase
Asante Baba yangu alakini naitaji Maombi
Amen Pastor mungu azidi kuku bariki
Amen...utukufu kwa bwana yesu
in the name of jesus
Naomba ya mchungaji
Mtumishi was Mungu...tunaomba uje na huku korogwe tanga tunahitaji huduma yako.🙏🙏
Mtumsh wa mungu singda tunanjaa mungu
Mungu ni mwema
Kwa jina la yesu pia mimi nipokee uponyaji
Mungu akubariki sana mtumishi
Ubarikiw mtumishi napenda sana mahubiri yako
Nimepokea Uponyaji Kwa Jina La YESU niko KENYA 🙏🙏🙏
Ishindwe kwa Jina la Yesu, napokea uponyaji kwa Jina la Yesu, mtoto wangu afunguliwe na maroho mbaya za kusimu, in the Mighty Name of Jesus christ Amen.
Only hands of the lord
Amen mungu ni mwema 🙏🙏🙏
Ee mungu wangu nibariki na mim
Nic
Kweli kabisa Baba
mungu ni mwema
Amen nguvu za gixa haxina mamlaka katika maisha yetu,,, nami naomba maombi sababu njia zangu zimekataa kufunguka najaribu but wapi ,,,, plx nikumbuke kwa maombi mtumishi wa Mungu
Amen🙏🙏🙏you are the best
Ee MUNGU nisaidie
Habar baba mchungaji naitaji msaada wa maombi naumwa sana
Yesu nisaidie
Atanamm nihivo
Nimejifunza kitu hata kwenye familia yetu tumekulia maisha hayo Mungu tufungue .
Mungu zidi kunifunguwa maisha yangu
Mungu anafanya kazi
Eeh mungu wangu tuokowe sisi waja wako.
Emungu tusaidie kwenye maisha ya sasa
Ooooooooh niombee bishop hivyo ndivyo mali yangu upotea kumpeee!!!!!!!!! please please pray for me my family no peace
Baba mungu akubaliki leo nimepokea kitu
eeh mungu bariki family yngu
Nami mama yangu anaitaji maombi nimungojwa sana mumuombe najua atapona kwajinala yesu
Mungu nisaidie
Ee Mungu nikumbuke na mimi
Yesu wangu tusaidie
Mtumishi.Niko.kama.huyu.mama.nikumbuke..kwa.maombi...zaidi.nimejaa.madeni.zaidi.ya/6na.nimesidwa.kuyalipa.mpaka.watoto.walinitokoka.Amen.Niko.Kenya.nikumbukr
Eeee Mungu Nikumbuke na Familia yangu
Ameeen
Ulimwengu wa giza inatesa saaaana wanadamu. Yesu pekee ndio msaada wetu wa kweli.
Unapatikana wapi baba
Kanisa lipo wap
@@amandasilver4941 arusha
Mungu isimamie family yangu
📖📖📖🙌🙌🙏🙏👏🇹🇿
Emungu simaia famiria yangu
Bwana tusaidie
Niombee nifunguliwe mimi na familia yangu
🙏🙏🙏
Ameen in Jesus name
Hata mimi mchungaji niombee pamoja na Familia yangu na pia bwana yangu at ukubuke na zile roho zimemkamata Mungu aishiye Mbiguni na damu yake takatifu zilirundi kuzimu in the mighty n holy name of God Amen, May Jehovah in heaven intervine through your life man of God n may he guides you and your family n continue to strengthened ur heart and soul in Jesus name amen i ur minister n because here in Saudi Arabian is only msilims so we househelp we stayed in the house until our contract ends then we go back to our countries n my country is Kenya a mother of three children since my husband chased us out, I hv been ahousegirl for twelve years only to take responsibility of my children without any responsibility from his father but God is always faithful, mercyful and more caring for those who wait n humbling themselves before him📖👌🙏♥️🤲👍
Mchungaji naomba nimbee Mimi ni mwimbaji nimetoa DVD lakini nilizundua albam hapakua nawatu sikupata kitu napia nimetengwa na ndugu zangu hata wanacheka wanasema hauta fanikiwa nampaka. Mwanaume tumetengana kaniachia watoto pesa Sina nikifanya biashara sifanikiwi mchungaji
Baba ninahitaji maombi yako ninaitwa hellen moshi ninaomba uniombee na umwombee binti yangu Faith
Iye
Hii safari ya utumishi ukaikamilishe sawasawa na maapenzi yake Mungu. Kama ulivyoianza vyema ukaikamilishe vyema kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Lini mtapata Kibali cha kuja Dar- es- salaam ? Nami nifunguliwe na vizuizi/ kuzuiliwa
Kweli mchungaji
Ubarikiwe baba
Na mimi Niko Congo naitaji musaada wa maombi.
Jiji
Niko katika hali hiyo mcungaji, unisaidiye Niko drc sud kivu
Nami naitanji maombi aomaombezi
Sifa na shangwe zikurudiliye ewe baba
9aa
papa nabariwa sana mimipiya nitapona jeee?
Yesu wangu nikumbuke mimi najamayangu yote