Mungu ndie aliye piga kura musimuingize mungu lini uliona tanzania ikawa na uwezo wa kutoa misada kwa mataifa mengine kwanza inauwezo gani hayo ni majigambo yasiyo na maana wakati sisi ndio tunatakiwa tupewe misada daaa kweli baadhi ya watanzania hawajui tunavyo danganywa hii Tanzania ya leo iweze kutoa misada kwa mataifa mengine wakati tanzania kwenyewe kunawatu wanahitaji kusaidiwa lakini hawasaidiwi.
Maendeleo yanakelele zaidi ya maneno matupu ya wapinzani wasio na hekima!! chapa kazi J.P.M tuko pamoja!! Watanzania hawahitaji kelele za vyama vya siasa.(wapinzani mjitafakali) watanzania wanahitaji Maendeleo.(ukiwa na hekima utajiunga na timu Maendeleo kwa maslahi ya Taifa letu)
THE BIGGEST BOSS NASRI
Hongera sana Mzee kwa kuwaeleza ukweli maana wengi wanaect hawaoni
sisi tunayaona piga kazi baba.
Ona TV hongereni mna uwezo mzuri kutangaza mnatoa video bora zinazoonekana vizuri, Mh. Rais kaeleweka sawa sawa
Tupendane, tumuunge Rais Magufuli mkono Kwani ni MUNGU ndiye aliyemchagua kupitia sisi
Mungu ndie aliye piga kura musimuingize mungu lini uliona tanzania ikawa na uwezo wa kutoa misada kwa mataifa mengine kwanza inauwezo gani hayo ni majigambo yasiyo na maana wakati sisi ndio tunatakiwa tupewe misada daaa kweli baadhi ya watanzania hawajui tunavyo danganywa hii Tanzania ya leo iweze kutoa misada kwa mataifa mengine wakati tanzania kwenyewe kunawatu wanahitaji kusaidiwa lakini hawasaidiwi.
Tu comments wap Akuna uchaguzi tena hapa
Raisi tawara mika 10000 unafaa kabisa Mungu amesha kupitisha na wenyewivu wakomaye mshahara wao upo Rum6:23
Hapa kazi tu
Uwo ndo uongoz unackiliza changamoto za wananchi
Maendeleo yanakelele zaidi ya maneno matupu ya wapinzani wasio na hekima!!
chapa kazi J.P.M
tuko pamoja!!
Watanzania hawahitaji kelele za vyama vya siasa.(wapinzani mjitafakali)
watanzania wanahitaji Maendeleo.(ukiwa na hekima utajiunga na timu Maendeleo kwa maslahi ya Taifa letu)
Freddy Mello hizo kelele za vyama vya siasa zinapigiwaga wapi ?
watu hawataki hata kukoment ..
ww mwenyewe umeshacoment
Tunakukubali natutakuongezea miaka 30 ili uendelee kuleta maendeleo
pigakazi
usiwasikirize
wapinzani
hawanarorote
angarizo
kuamacho
na
risu