Hii sehemu naifahamu tokea utotoni mwangu kama sehemu ya wazi tuliyokuwa tukicheza mpira wa miguu. Nilishangaa baadae kuona baada ya miaka mingi pamejengwa kanisa tena kwa mfumo huo huo wa kuanza kuwa shule ya nursery. Huyu anaejiita askofu, aachie tu hiyo sehemu maana ukweli unafahamika na yeye asijipe haki kwani anachofanya ni utapeli mtupu.
Makonda na mkuu wa wilaya wamefanya kile ambacho wameagizwa na mkuu wao kukifanya hapo arusha. Ila watapendwa na wengine watawachukia pia. Lakini Haki imetendeka
Waarusha/Wamasai wengi sana wamepoteza ardhi kubwa sana kizembe Arusha kwasababu wazazi wao zamani walikuwa wakarimu sana ukienda kuomba eneo lakuishi kwa muda unapewa hekari zakutosha HASA ukienda na mbuzi na shuka mbili tatu. Mpaka Leo serikali ikifanya review ya umiliki wa maeneo Arusha wamasai watafaidi
Huo uaskofu kaupataje? Yaani ujipe cheo cha uaskofu mwenyewe ujiite askofu. Acha j Kuharibu vyeo vya watu wewe . Sasa ukajifunze maisha ya kuheshimu mamlaka.
Ila watu hawana aibu Yaani unadhulumu kabisa eneo la mtu Ila wachaga kwenye eneo la ardhi mmeshindikana🙌🤔 Kesi nyingi hata wakati wa slaa,makonda asilimia kubwa wachaga ndo wezi wa ardhi na nyumba
Wewe matako koma wachaga Mpumbavu wewe, ulivyo taahira unafikiri kila mtu mwenye lafudhi hiyo ni mchagga? Kaskazini kuna makabila zaidi ya 15 wenye lafudhi kama hiyo msenge wewe, tukome kabisa hakuna mchagga hapo sio mdai wala mdaiwa
Matapeli wanaojiita maaskofu Biblia inahimiza kufahamu kutofautisha mchungaji na mbwa mwitu Kwasababu mbwa mwitu atapita kwa kuigiza sauti ya mchungaji Bila uchaji wa Mungu, watu watapotea kwa kuwafuata mbwa mwitu
Hicho ni kipimo tosha kwamba Jerry Slaa hakutakiwa kutolewa kwenye ile nafasi na Makonda hakutakiwa aonywe na kuzuiliwa kutatau migogoro ya Aridhi kwa style yake
Bisa ndugu yangu apo mumefanya vizuri kumusinda uyo mujinga maan ayo wajinga wengi ni watapeli lakini watania utapeli yao kupitia bibilia Yaani afukuzwe kabisa mutapeli uyo wasio muogopa mungu
Hujui unachokiabudu, siku ukijua maana ya kuwa mkristo utaokoka. Ndiyo sababu wakristo wengi wamekuwa kama kondoo wasio na mchungaji kwa kuwa hawajui msingi wa imani kwa kukataa kujifunza neno la Mungu na kuwa misukule ya watumishi.
Hili Eneo nalifahamu Sasa kweli Mtu akupe Eneo kubwa hivyo bila Malipo na anaye Watoto kweli cyo halali Bishop Kaaya angekubali tu kukaa na Hao Watoto wakayamaliza Mana ni haki Yao Mbona Yeye umewapa Wake na sehemu cyo Yake!
Em semeni ayo makaratasi kwanzia miaka hiyoooo mpaka leo bado ni mapyaa jmn awape yale yazaman na pia enzi izooo kulikuwa amna izo rim niyale makaratasi marefu yenye mistar
Mchungaji tapeli kaaya achilia viwanja vya familia mbinguni tutakuwa tumechoka sana na baadhi ya wachungaji mtakuwa Kuni nimeona wachungaji wa aina hii ni wengi Sasa km ni kweli mbona unabomolewa?
Huyu mzee hapana kweli ni mwongo tapeli tu. Kuna mwingine alikua anaitwa Janet Minja alimtapeli mzee mmoja hivyo hivyo Kwa issue ya kanisa Kule Mbuguni/Mirerani
kwendeni huko arusha kuna watu wanajiitaga waarusha yani hawa na wazaramo hawana tofauti mana kazi hawapendi kazi kugombania mali za uridhi kila cku arusha n mali za uridhi ad wanalogana asee arusha saiv mjini saivi n yawachaga mana tunazidi kuwahamisha2 hawa watu wanaojiita waarusha
Wameru mna mambo kwasababu hakuna ardhi ya uongozi wa kijiji au mtaa bila mwenyeji ndani yake,ardhi yoyote ina asili yake! Mchungaji unadiriki kuuziwa ardhi na watu bila kufanya utafiti ni ajabu!
Hao Vipngozi Ambao Yeye Kashinda Inamana Bado Wapo Serikalini Jamani Wanapokea Mishahara Ao Walitakiwa Watimuliwe Kazi Inamana Awana Haki Ya Kubaki Serikalini Ao
Yaani mzee unamupeleka mwenye kiwanja jela ndio uweze kuchukua cha kwao basi imefika mwisho mungu kawajia wanyonge
Walio kubali hakuna ujanjaujanja kwenye haki ya mtu like hapa.
Axanten sana kwa kumtoa mchungaj tapel
❤❤❤❤❤❤@@IreneYohaness
Pokea na hii😂
Zee halioni haya kujiita mchungaji wakati tapeli mkubwa mbwa wee.
Makonda shikamoo!! Asante kwa kazi nzuri unayo ifanya huko.
Hongera kenani wetu kwa kutoa mwanga wa kupatikana haki pia asante makonda na viongozi wote
😂😂😂 Yaaani Arusha mtatuonyesha movie nyingi sana mkifika Epison 100 mtuambie tuwaapee maua zenu🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa na nyundo ajali kazi miwani jicho moja 😂😂😂
Mwenzako anajiita kiboko ya wachawi saivi anawatukana waumini
Hongereni sana,jambaxi limeaibika kwa utapeli.
Asanten sana jaman kwa kumtoa tapel kazi kutoa rushwaaa a2pati aki zetuu😢😢😢 4:37
Hii sehemu naifahamu tokea utotoni mwangu kama sehemu ya wazi tuliyokuwa tukicheza mpira wa miguu. Nilishangaa baadae kuona baada ya miaka mingi pamejengwa kanisa tena kwa mfumo huo huo wa kuanza kuwa shule ya nursery. Huyu anaejiita askofu, aachie tu hiyo sehemu maana ukweli unafahamika na yeye asijipe haki kwani anachofanya ni utapeli mtupu.
Hakiiii imeenda kwa mwenyewe
uyu mzee nilimwona kwa MAKONDA kweli, tena alikuwa na mtoto wake. Asee leo kapata haki yake, dah Mungu amweke sana MAKONDA.
Asanten sana jaman kwa kumtoa tapel kazi kutoa rushwaaa a2pati aki zetuu😢😢😢
Asanten sana jaman kwa kumtoa tapel kazi kutoa rushwaaa a2pati aki zetuu
Alhamdulillah maashallah mmeuondoa ukafr kwenye ardhi ya allah allah awape nguvu
Shoga wewe wachawi nyie kazi kufuga majini tu
Acha zarau alafu jalibu kumuomba mungu Kwa kutumia lugha yako siyo alambudu nn cjui
Makonda na mkuu wa wilaya wamefanya kile ambacho wameagizwa na mkuu wao kukifanya hapo arusha. Ila watapendwa na wengine watawachukia pia. Lakini Haki imetendeka
Wanaomkubali makonda like hapa❤
Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote.Amen
Amen
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Zion kazi yao ni kudhurumu!! 😂
Magufuli alimwambia Cardinali pengo huo mstari asome akiwa kwenye msiba wake chato.. wakati huo alipomwita kwa kumpa sacrament ya kifo hospitalini..
Waarusha/Wamasai wengi sana wamepoteza ardhi kubwa sana kizembe Arusha kwasababu wazazi wao zamani walikuwa wakarimu sana ukienda kuomba eneo lakuishi kwa muda unapewa hekari zakutosha HASA ukienda na mbuzi na shuka mbili tatu. Mpaka Leo serikali ikifanya review ya umiliki wa maeneo Arusha wamasai watafaidi
Kbx
Uyu mzee ata anavyoongea ni tapeli...lkn kwa arusha nduguzangu navyowajua hawataki maneno mingi ni action tuu😂
Askofu tapeli sana hilo. Limevaa kama ibilisi kaka yake hadi meno yamekuwa chakavu. Likafie huko mbali.
Sawa tumekubali ujenge baada ya kuomba Sasa swali linakuja kwako mzee askofu kwa nn unataka kurisisha watoto wako eneo la kuomba😂😂
So kuridhizha2 kawauzia
Ubinafsi wachungaji wachumia tumbo Ongera Mkuu wa mkoa Makonda
Huyu mzee chenga sana, kwa miaka ya 90 angeweza kumiliki hata eka 10 kihalali kwa mitaa ileile kwa hela ndogo
Huo uaskofu kaupataje? Yaani ujipe cheo cha uaskofu mwenyewe ujiite askofu. Acha j
Kuharibu vyeo vya watu wewe . Sasa ukajifunze maisha ya kuheshimu mamlaka.
Asante makonda unafaa sana
Ila watu hawana aibu
Yaani unadhulumu kabisa eneo la mtu
Ila wachaga kwenye eneo la ardhi mmeshindikana🙌🤔
Kesi nyingi hata wakati wa slaa,makonda asilimia kubwa wachaga ndo wezi wa ardhi na nyumba
Wewe matako koma wachaga Mpumbavu wewe, ulivyo taahira unafikiri kila mtu mwenye lafudhi hiyo ni mchagga? Kaskazini kuna makabila zaidi ya 15 wenye lafudhi kama hiyo msenge wewe, tukome kabisa hakuna mchagga hapo sio mdai wala mdaiwa
Mmefanya vizur sana kumtoa tapel
Una uhakika kama ni taperi
@@JoakimMarko sikuhiz mmezid kutaman vya dunia sana,hyu mzee ni tapel
Tapeli af unataka kumuwakilisha Mungu aisee kwa dhuluma za watu
Matapeli wa dini wamezid😢
polenisana kwausumbufu mlopata wanafamiliya mungunimwema hakiyamtunihakiyamtu
Dunia inaelekea wpi maaskofu wamekuwa wapinzani Tena wanyang'anyi wao go Sasa inabidi Kila mtu awe askofu kwake
Matapeli wanaojiita maaskofu
Biblia inahimiza kufahamu kutofautisha mchungaji na mbwa mwitu
Kwasababu mbwa mwitu atapita kwa kuigiza sauti ya mchungaji
Bila uchaji wa Mungu, watu watapotea kwa kuwafuata mbwa mwitu
Mmeru we ulipataje ardhi ya waarusha,kweni milimani,kafuge ngombe urithi meru,sio kwa waarusha,amkomagi kurusha,meru,meru,ndio zenu
Yaani bomoeni kila nyuma ata isibaki ata moja
Wachungaji tenaaah
Hicho ni kipimo tosha kwamba Jerry Slaa hakutakiwa kutolewa kwenye ile nafasi na Makonda hakutakiwa aonywe na kuzuiliwa kutatau migogoro ya Aridhi kwa style yake
Bisa ndugu yangu apo mumefanya vizuri kumusinda uyo mujinga maan ayo wajinga wengi ni watapeli lakini watania utapeli yao kupitia bibilia Yaani afukuzwe kabisa mutapeli uyo wasio muogopa mungu
Mim Bora nisilimu tu maana ukristo ni utapeli sana maana Hawa ndyo viongozi wetu wa kiroho lakn sas hiv kila mchungaji ni tapeli Yani ni mtihani 😭😭😭
Hujui unachokiabudu, siku ukijua maana ya kuwa mkristo utaokoka. Ndiyo sababu wakristo wengi wamekuwa kama kondoo wasio na mchungaji kwa kuwa hawajui msingi wa imani kwa kukataa kujifunza neno la Mungu na kuwa misukule ya watumishi.
Silimu tu
@@geofreymaina3838 ndyo nataka nisilimu niwe muislam
Tafuta kumjua yesu na siyo kufuata mchungaji fulani, Mungu akupe chaguo sahihi 🌷🙏
@@TEDY-MTEMY24 sasa nimtafute nitamwonea wapi wakati nasikia yupo mbinguni
Wachungaji wengi ni matapeli uislamu rahaaaaa
Wanajua hawana mungu wa haki
Ndo ubk n din yko
Hakuna dini ya haki kama ukristo wewe acha nyie waisilamu ni wafuga majini tu hamuna lolote lile wewe
hakuna raha yoyote usidanganye watu😂shida mnazopata unafikiri hatujui😂
Inategemea. Dini Inakataza Kuwatukana Wasiokuwa Dini Yako. Tafuta Maneno Mazuri Yakuandika.
Maelezo ya huyu mzee ni wazi kabisa sio haki yake
Arusha tamaa nyingi mtauana sana na tamaa zenu
Hata dar sio Arusha tu
Bora umesema tena Dar ndio mashindikanaaa
Hata kwenye ukoo wenu wapo watu wa aina hii
Tuna tamaa kama babaako
Nimshupavu kweli
😂😂😂😂😂😂 Ila Arusha mna mambo jamn khaaaaaaaa
Hili Eneo nalifahamu Sasa kweli Mtu akupe Eneo kubwa hivyo bila Malipo na anaye Watoto kweli cyo halali Bishop Kaaya angekubali tu kukaa na Hao Watoto wakayamaliza Mana ni haki Yao Mbona Yeye umewapa Wake na sehemu cyo Yake!
😮😮😮
Mzee acha utapeli
Hawa watumishi wa dini waache kuzingua nawasijifiche kwenye kivuli Cha dini
Hii ni hatari😊😊😊😊
uyo sio mchungaji,labda mchungaji wa wanyama!
Kuwa nahofu ya Mungu Mchungaji
Nafikiri Hatuanzur haki huchelewa ila IPO Silaha , Makonda , Oyeee Bado kumlipa fidia ya kuswekwa mageleza Serikali isimamie hilo
Duu 92 zamani sana
Dah!sio Kwa kivunja kanisa aisee
Em semeni ayo makaratasi kwanzia miaka hiyoooo mpaka leo bado ni mapyaa jmn awape yale yazaman na pia enzi izooo kulikuwa amna izo rim niyale makaratasi marefu yenye mistar
Kweli 😂
Kweli kabisa tapeli huyu
Hata yesu alikasilika baada yakukuta nymb ya baba yake imengeuzwa kuwa nymb ya biaxhara
Nenda kaombe kwenye Kijiji kingine ,Upate kanisa uendelee nauchangaji wako.Usikose makoto .Mwache kutumia dini kudhulumu hki zawatu.
Safi xana tapeli limeumbuka
Wewe toka bwanaaa
Wew mzee huogopi kujiita wew ni askofu,,,duuuuu
Mojaaa ni Mwamba
MAROHO YA ARUSHA KAMA KAWAIDA YAO
Ndio mujue sijawahi kusikia msikiti unajengwa kwa dhulma za watu ila kanisa limejengwa kwa dhulma .uislam ni dini ya hakki❤
Waisram ni wapinga kristo waliotabiliwa na vitabu ya biblia
Wewe ni kilaza
❤❤❤❤
Waislam munajiona watu wa maana ila hakuna watu hovyo sana kama nyie
Kwenda! Wale waislam walikuwa wanagombania msikiti walopewa ardhi bure.
Maaskofu Uchwara komesha kabisa.kazee hakana hata aibuuu
Huyu mzee namjua ni hatari alimtorosha mamdogo yangu ni tapeli hatar
hata mavazi ya yesu wakapigia kura na kuvinyea nyombo vya Bwana divai
Babu unatapeli mpaka uzeen waiii so sad😢
Askofu daaah
Hakiii imeendaa kwa mwenyewee
😢so sad
Kwani Arusha ni nchi gani 😅😅
Mbona hii dini viongozi wao wengi ni matapeli mara kiboko ya wachawi mara mwamposa mara nani yaani kila siku vurugu
Alooooo kaaya Tena jmn😂😂
Mchungaji tapeli kaaya achilia viwanja vya familia mbinguni tutakuwa tumechoka sana na baadhi ya wachungaji mtakuwa Kuni nimeona wachungaji wa aina hii ni wengi Sasa km ni kweli mbona unabomolewa?
Jina lenyewe,saurrooo,,n A town, ucpime,
Huyu mzee hapana kweli ni mwongo tapeli tu. Kuna mwingine alikua anaitwa Janet Minja alimtapeli mzee mmoja hivyo hivyo Kwa issue ya kanisa Kule Mbuguni/Mirerani
Duuuh Ila MOYONI KANISA lipo nao wakiwa waelewa hata Hilo jengo sio shida
Sasa Mzee Ungewaita Uwape Pesa sio ujanja Ujanja watoto wana Uchungu
@@djamanitvonline3623 kvx
Hawa wachungaji ni majizi🤭
Apana mzee peyana haki ya wanyonge
Yaaani waporaji ni wengi hata sisikwetu kunawizi wa arfhi tumeibiwa na kijiji na chama mapinduzi
kwendeni huko arusha kuna watu wanajiitaga waarusha yani hawa na wazaramo hawana tofauti mana kazi hawapendi kazi kugombania mali za uridhi kila cku arusha n mali za uridhi ad wanalogana asee arusha saiv mjini saivi n yawachaga mana tunazidi kuwahamisha2 hawa watu wanaojiita waarusha
DUH! KUMBE KINA KIBOKO YA MCHAWI WENGINE BADO WAPO?!
Mzee mbinguni utapasikia
Angemtimua na wakabaki na zile mali fidia ya muda wote aliokaa pale.
Ukishaona viongozi wa dini wanaomba kuchaguliwa kuwa viongozi ktk serekali ukubali kuwa dunia imeyumba
Wameru mna mambo kwasababu hakuna ardhi ya uongozi wa kijiji au mtaa bila mwenyeji ndani yake,ardhi yoyote ina asili yake! Mchungaji unadiriki kuuziwa ardhi na watu bila kufanya utafiti ni ajabu!
Wewe ni mwizi mchungaji mzima mwizi Kuna eneo la Laki unakichaa wemzee
Ww Mzee inaelekea ni tapeli Tena mwizi unaowaibia wanyonge maelezo yako ni muongo
MWANZO 6: : BWANA AKAONA MAWAZO YA MWANADAMU NI MABAYA TUU SIKU ZOTE AKAHUZUNIKA MOYO ,BWANA AKAGHAIRI KUWA A MEMFANYA MWANADAMU
Inaumiza mnabomoa kanisa😢
Nimesoma chekechea hapo Mbugani mwaka 1991
Halafu nyie mnaobomoa nyumba nunueni ile gari ya kubomoa mannyumba badala ya kutumia nguvu nyingi
Unapenda kitongaaaa
Wanapotumia mikono ni gharama nafuu kulikoni kukodi grader la kuvunja.
Wachungaji matapeli sanaaa
Hao Vipngozi Ambao Yeye Kashinda Inamana Bado Wapo Serikalini Jamani Wanapokea Mishahara Ao Walitakiwa Watimuliwe Kazi Inamana Awana Haki Ya Kubaki Serikalini Ao
How do you invest on land with conflicts? Tanzanians wake up
OYa wanangu naombeni bati moja nyumba yangu inavuja😂😂😂
😂😂
😂😂😂 chukua,chagua unayotaka apo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila hii dini astaghafulilah
Bakwata ina kesi maelfu huko kwenye mabaraza ya ardhi kuliko taasisi yoyote ya kidini ila huoni hilo
Askofu ulisomea wapi? Mwizi tu..
Kuvunja nyumba kubwa kama hii bila escavetor ni hatari kwa watu
Huyu minja mwenyewe n mwizi
Kakuibia matak yakoo au
Kaaya ni ukooo kabila la Wameru.
Mzee ni mmeru.
Hiyo mizimu imepigwa
Yani huyo tapeli nguvu aliyo tumiya kujenga sindio nguvu angetumia kutafuta vyakwake duh aibu