AHMED ANASIMULIA YOTE KILICHOMTOKEA BAHARINI/ MAAJABU/ MIAKA 15 KITANDANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 ปีที่แล้ว +10

    kaka yangu una imani sana mwenyezi akuzidishie

  • @matatamwaipopo9285
    @matatamwaipopo9285 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana bro mwenyezi mungu hakufanyie wepesi

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 ปีที่แล้ว +2

    nampenda sana ahmed kwakupokea mtihani mwenyezi akupe afwan

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +2

    Poleeni saana kwakweli Allah akufanyie wepesi ndugu

  • @zahraalhabsi7931
    @zahraalhabsi7931 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulillah m/mungu akufanyie wepesi lnshaallah katika maradhi yk yarab na akuzidishie afya njema lnshaallah,mashallah l love u bcoz u'r not gv up 💪💕m/mungu azidi kukupa shifaah 🤲

  • @lusajokamundu1459
    @lusajokamundu1459 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ndugu inshallah utarudi ktk hali yko ya kawaida

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ndugu yangu. Endelea kumuamini Mwenyezi Mungu. Pole.

  • @hamidarukingamarukingama7010
    @hamidarukingamarukingama7010 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdullillah Allah akuwekee wepesi

  • @khamisroro4589
    @khamisroro4589 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah atakufanyia wepes biidhnillahi in shaa Allah
    Na pia Dar 24 niwashkuru kuwatembelea wagonjwa iwe na muendelezo musiwe ni ktk michezo tu. Allah awajaalie muwe na muendelezo mzr in shaa Allah

  • @musafirinzeyimana7269
    @musafirinzeyimana7269 ปีที่แล้ว +3

    Allahu akbar. Inshaallah ipo siku utainuka bi idhinallah.

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa tulikuwa tukichezanae mpira ufukweni, maji yakijaa basi tuna davin Allah qarim wepesi utapatikana insha Allah tanga one

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 ปีที่แล้ว +2

    Allah atkufnyia wepes in shaa Allah urud ktk hali yko Allah ni muwez w yote 🤲

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +9

    miaka 15 binadamu yupo.kitandani.sisi. wazima tunaenda na kurudi.tunashindwa kutenga mda kumshukuru. alau.kwa swala 5 tupo.kuhangaika na Dunia tu tukumbuke.afya ni.neema kubwa

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 8 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishiye imani kaka yetu tuna kupenda saaana dada zako kwa ajili ya allah

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 ปีที่แล้ว +3

    Allah ampe subra Ahmed

  • @SarahKherdin
    @SarahKherdin 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe jannah yako Aameen yaa raab be strong

  • @yustarpaul5572
    @yustarpaul5572 ปีที่แล้ว +2

    🙏❤ Mungu akujaalie

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 ปีที่แล้ว +2

    EVERY ONE HAS A STORY
    TO TELL IN LIFE
    BIG UP GUYS
    MUCH LOVE FROM UGANDA

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว +2

    Allah anakupenda atakuafu

  • @anawa4326
    @anawa4326 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH akupe shifaa na Subra Amen

  • @FatumaJuma-jr7oc
    @FatumaJuma-jr7oc 6 หลายเดือนก่อน

    Allah atakufanyia wepesi sababu yeye ndie muweza wa yote hapa duniani na akhera mungu yupo inshallah

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 ปีที่แล้ว +2

    Bradha mimi nasema kwamba mungu yupo nandio kila kitu hapa duniani allah ndio kila kitu kwamwenye kumtumainia nakuahakikishia ipo siku isio najina utasimama tena na nimeng tumejifunxa kwako hasa sisi tusio kalibu na allah mi niseme tu itoshe kua nifunxo kwasisi wazima tujue kia sisi ni binadam tunamwisho wa maisha lakini sikumoja utasimama bila hata yahospitar

  • @jumabakary2796
    @jumabakary2796 ปีที่แล้ว

    In Sha Allah,Mola akupe nguvu, subira na akuafu ameen

  • @hassanabdullah2191
    @hassanabdullah2191 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe shifaa ya araka

  • @HassanAlfarsy
    @HassanAlfarsy 9 หลายเดือนก่อน

    pole sana kaka 😢allah akupe moyo wa subra inshaallah

  • @مسمس-د2ز
    @مسمس-د2ز 8 หลายเดือนก่อน

    inshallah Allah akufanyie wepes iliuweze kusimama tena

  • @nanahmahmoud7621
    @nanahmahmoud7621 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta nalia Allah akuafu kaka yng 😭😭😭😭

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 หลายเดือนก่อน

    Alaf ni handsome haswaaa

  • @TimaIsmael-n5q
    @TimaIsmael-n5q 2 หลายเดือนก่อน

    Aa niko Mombasa mungu. Akupe shefaa ni mimi mamako

  • @MosesMoses-lx8pk
    @MosesMoses-lx8pk ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema siku zote

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 10 หลายเดือนก่อน

    الله يحيك ويحفظك أخي احمد

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว

    Amwite Yesu Kristo, dk 0 tu atasimama. Hyo sio Hali ya kawaida.

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 2 หลายเดือนก่อน

      We usiniambie😂

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +1

    Allah atamponyesha kwa uwezo wa Allah…

  • @AllyBakar-jr7pu
    @AllyBakar-jr7pu ปีที่แล้ว

    Jina la sheikh

  • @abuuustaz9337
    @abuuustaz9337 ปีที่แล้ว +1

    Allah ni muweza anafanya atakalo bila hata sekunde allah akuponye ndugu tunakupenda usijali utapona

  • @kwizeralajoie3619
    @kwizeralajoie3619 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye zimungu atasidikukujaliya

  • @zahrasaid5462
    @zahrasaid5462 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atakuaf

  • @kheriabdu7763
    @kheriabdu7763 ปีที่แล้ว

    Na katika kumi hili la rehema.basi Munyezimungu akupe Rehema

  • @KAZZABOY
    @KAZZABOY ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 10 หลายเดือนก่อน

    الله يشيفك

  • @raelchepchirchir1079
    @raelchepchirchir1079 ปีที่แล้ว

    Anywe maji ya ajabu Toka Pemba

  • @p.matabaro
    @p.matabaro 11 หลายเดือนก่อน

    Watu wanakufa na dini zao kuliko kwenda kwa Mganga. Stop being stupid. Wako waganga wengi wanatibu ilo tatizo. I’m not trying to be rude, I was just passing

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 6 หลายเดือนก่อน

      waganga waongo sana

  • @KAZZABOY
    @KAZZABOY ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢