PART1:MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI 2/ILIBIDI KUFANYA NA MNYAMA/WAZAZI WALINIZIKA WAKIJUA NIMEKUFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • MTU WA MUNGU KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA DAVISTAR MATA MEDIA KWA AJILI YA KUSAIDIA SADAKA YAKO JUU YA KAZI HII IENDELEE KUFANYIKA
    Tunatanguliza shukrani kwako na ubarikiwe sana kwa kusaidia kazi hii ya Mungu tunaomba mchango wako wa kila mwezi kwa ajili ya kazi hii iendelee kufanyika kwa sababu inagharama kubwa zilizo nje ya uwezo wetu,bonyeza link moja kati ya hizi chini kwa kiwango chako ambacho ungependa uwe unachangia kila mwezi
    KUCHANGIA TSH.3000 KILA MWEZI BONYEZA CHINI HAPA
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.5000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.10000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.20000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA 50000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    tafadhari tuma kwa njia ya Mpesa kwa namba +255743053804 jina litakuja Dotto Mataluma/Tigopesa 0672923092 jina litakuja Dotto Mataluma na Airtel money jina litakuja Dotto Mataluma

ความคิดเห็น • 106

  • @stevejeremiah4497
    @stevejeremiah4497 2 ปีที่แล้ว +15

    Najalibu kuwaza, Hivi Mungu akiangalia haya mambo mwanadamu wanayoyafanya hapa duniani anafikilia nini, Mungu katika jina la Yesu nilinde mimi na familia yangu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 2 ปีที่แล้ว +1

      Haya yooote aliyatabiri kwahiyo hupaswi kushangaa bali piga goti utubu.

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว +2

      Nadhani anaumia sana coz kwa kawaida ukizaa mtoto alafu badae akafanya vitu tofauti na ulivyofikiri lazima utaumia sana imagine Mungu amekuumba alafu unamsaliti kiasi hicho nadhani anasikitika sana

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye nimwingi waRehema nakama angehesabu maovu yetu nani angesimama

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye nimwingi waRehema nakama angehesabu maovu yetu nani angesimama

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว

      @@leaherasto929 amen

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +16

    Wajamani tumpe support davistar hata kifedha maana anafanya KAZI nzuri kweli 🔥

  • @opionlinetv5052
    @opionlinetv5052 2 ปีที่แล้ว +10

    Mr.everything pamoja Sana,shuhuda HIZi ni za kweli ..tuendelee kumshikiria Yesu hivi Hivi shetan anakuramba chaap!

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 2 ปีที่แล้ว +11

    huwa napenda kusikiliza story zako kwenye chanel yako kwa vile unaleta watu wanaoongea story za ukweli... big up Davistar...

  • @cheupesewing3549
    @cheupesewing3549 2 ปีที่แล้ว +9

    Hii story inaonekana itakua nzuri sana.

  • @albertinaantonio6265
    @albertinaantonio6265 2 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja sana mr everything💪

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni kubwa kuliko acha Mungu aitwe Mungu 🙏

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 2 ปีที่แล้ว +2

    Davistar mkono wa YESU KRISTO ukufiche na usikupungukie🙏

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว

      Amen Mungu amlinde aingiapo n atokapo

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +5

    huyu jamaa ukimuangalia mdomo na anachokisema ni kweli kabisa

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimetulia ndani Mtu makini sana

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว +1

    Karibu sana tusikie

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +3

    Inaonekana itakuwa story moja ya 🔥 sana kuwahi kutokea Hapa kwa Dav 🌟 matta ukiondoa ya Rwanda magere a.k.a Bakora za kimkakat Na Ile ya mzee wa Gambush Zabron😜

    • @fellyxkhan1890
      @fellyxkhan1890 2 ปีที่แล้ว

      😂🤣😂🤣 unazijuwa kweli hizo nikali sana ni ngumu kutokea kama hizo Gamboshi Zabuloni Bwana misosi na Rwanda Magere mzee Bakora zakimkakati 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣 ila hii Naona itakuwa poa

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว

      @@fellyxkhan1890 Nazijua nilizisikiliza Hadi Mwisho Rwanda magere sikutaman iishe Ila ndo hivo hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 ปีที่แล้ว

      @@womanofsteel1402 ulivutiwa na Bakora za Mkakati....!?

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +3

    Story fire 🔥 let's go ahead mr davistar mata we love you and we learn a lot ❤️

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 2 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana Mr everything kwa stori zako

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 ปีที่แล้ว

    Nimewahi💃💃

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 ปีที่แล้ว

    Store 🔥

  • @adamjonasi8078
    @adamjonasi8078 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr everything for everybody 💪💪💪

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  2 ปีที่แล้ว +1

      😄😄😄 Mr everything for every body naichukua hii

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM 🤣🤣🤣

  • @angelmariaotieno2253
    @angelmariaotieno2253 2 ปีที่แล้ว

    Davistar 🔥🔥🔥🔥

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 2 ปีที่แล้ว

    Hi inaonekana 🔥 Sana....tuende nayo

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +1

    Davistar ebu uliza uyu ndugu kuhusu maji,vitambaa na mafuta za upako ambazo utengezwa kuzimu

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว +1

    Dunia ina mambo kweli kweli,

    • @Patience.67
      @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

      Mengi zingine mungu angetufungua macho,wacha tu

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 ปีที่แล้ว

    ogopasanamtu ukiwa mtoto anamwitamtotowako mchumba niajentisana

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr DM ukifanikiwa kumpata Mchungaji Amiel Katekela itakua poa sana ili hawa waislam wanao bisha bisha wajue ukweli ili wamfute Yesu waachane na Allha wanapoteza muda huko waliko sijui ni kitu gani kinawafanya wanakua wagumu kuelewa

    • @eliyaerick9205
      @eliyaerick9205 2 ปีที่แล้ว

      Point Sana
      Davista mtafute na amieli katekela ana madini mazito Sana

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  2 ปีที่แล้ว +1

      Waliofanya nae kipindi kwenye hiyo channel wamemkataza kufanya kipindi kwetu

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 2 ปีที่แล้ว +1

      Hii mumpyaaaaaaaaaaaa why wamkataze na wao wanaitangaza injiri ili watu wamrudie mungu sasa mm niko nae kwenye group na yy ndo admin hizo sms nitazituma na kumpigia sm hawataamin mpaka watoe sababu kwann hawatak na nitaalika mpaka rafiki tuwadistable mpaka aje hapa kuna watu wana muhitaji huku kwa dav

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว

      @@shizaarfred4059 Hata mimi nipo group No 1 la Whatsap sasa sio wote wamaangalia Promover ila huku kwa DM atawafikia watu wengi zaidi na wakabadilika

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 2 ปีที่แล้ว

      @@charlesmapunda5905 kabis 🤔ujue hii inashangaza kidogo ikiwa nikutangaza enjili ili watu wapone kwa nn anakataza au ni vile ameweka mkeke wakumchangia ? Vifaa vya kazi hata huku angetoa no zake mwenye kuguswa angechanga mana hata kule s lazia ila ukiguswa .Swali ninabaki pale pale kwanini aziiye wengine wasisikie au kuka kitu anapata kupitia kwamtumishi? Kwamba akisikika kwingine atakosa .Mbona kuna watumishi walisha anzia promove TV na hawakusikika ila walisikiwa na wengi na mapokeo makubwa walipo kuja huku mfano shekhe Omar mnyeshani na alielezea kwa undani kuliko kule hata mwingine kama sijakosea shekhe hasani yule wakigoma Naikemea roho ya ubinafi kwa yule present na akamwachike katekela aje na huku watu wapone kwa jina la YESU alihai

  • @sebastianmahilane24
    @sebastianmahilane24 2 ปีที่แล้ว

    Kuweni makini sana huo ni uongo na mimi namfahamu sana huyo kijana

  • @sinaloa5698
    @sinaloa5698 2 ปีที่แล้ว +1

    Watazamaji nimedondosha buku langu nani kaliona

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

    Jamani waliona uko na nyota Kubwa Sana Yani hii story inatufunza tukome majirani kabisa haswa wanao zoeana na watoto wetu

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 2 ปีที่แล้ว

    yaani hilo swala la Yesu ni Mungu hapa usililete bana

    • @mbwaggermndali2038
      @mbwaggermndali2038 2 ปีที่แล้ว

      Hizi story Staa ni Yesu na ndo Mungu muumbaji.......kw hiyo bila yeye hii stori isingetokea.

    • @mbwaggermndali2038
      @mbwaggermndali2038 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwamba lazma atajwe😊😊

    • @djbless6201
      @djbless6201 2 ปีที่แล้ว +1

      Baki na imani yako sikiliza ushuhuda pita hivi YESU ni kila kitu

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 ปีที่แล้ว

    ,🔥🔥🔥🔥📌🔨

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว

    Hii dunia tunaishi kwakweli inatisha kuna vitu vinafanyika kwa ulimwengu wa giza hatari sana..suluhusho nikumkimbilia Mungu watu aliye juu mbinguni tu??

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 2 ปีที่แล้ว

    Unaposikia Habari kama izi jua dunia imefikia mwisho wake ⏰

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Sasa unafikiri mambo hayo yalianza jana hayo mambo ya kishetani yapo toka enzi na enzi nasi mambo mapya

  • @allyciza
    @allyciza 2 ปีที่แล้ว

    Davista bwana unaogopa kupiga mfano wa mkono zuba jicho moja nå mengine
    Kwani wewe si una moto 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mona-zx1sb
    @Mona-zx1sb 2 ปีที่แล้ว

    👂👂♥️♥️

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 2 ปีที่แล้ว

    Wee Davistar tuletee story za Mabaharia wasafiri zitupe motivation za kimaisha hiz story zako za wachawi zimetusinya halaf nizakimbwiga na hazitupi motivation zozote I'M FROM KENYA+254

    • @stanleywaweru1714
      @stanleywaweru1714 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @stanleywaweru1714
      @stanleywaweru1714 ปีที่แล้ว

      Hamad Mohamed
      Wewe nenda ukatafute motivation stories kwa channel zingine, wachàna na davister aelimishe wale wanataka kufahamu mambo ya kiroho kupitia shuhuda kama hizi
      🤣🤣🤣🤣🤣☹️

    • @hamadmohamed3056
      @hamadmohamed3056 ปีที่แล้ว

      @@stanleywaweru1714 mm kitambo sana nishawachana na story za Davistar manake I gain nothing from his stories and I don't wanna waste my time!

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว

      @@hamadmohamed3056 " how can you waste your time? Time will waste you man!!! Kama hakusaidiii ni wewe sisi anatusaidia

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 2 ปีที่แล้ว

    Part 2 sangapi

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 2 ปีที่แล้ว

    Yani Dunia inamambo

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

    Me nawaza iyo sku ya mwisho YESU atatuchomaje jamani sisi wanadamu mbona maasi ya ajabu ajabu aya

    • @mzeemselem1657
      @mzeemselem1657 6 หลายเดือนก่อน

      Uliambiwa na nani yesu anachoma watu ye mwenyewe siku ya kiama ikifika itakua ana maswali ya kujibu mbona nyinyi mlimuita yeye mungu ilhali yeye pia ana mungu wake yesu ni issa na issa ni mtume wa Mwenyezi mungu

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 2 ปีที่แล้ว

    1111 strong numbers ever

  • @milley7185
    @milley7185 2 ปีที่แล้ว

    Huyumiwi kweli na watumishi wa kanisani naujua huo mchezo wa mitume

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

      what you mean??

    • @milley7185
      @milley7185 2 ปีที่แล้ว

      @@jesusislord9190 nitafute Wana hiyo michezo wanakulaza na sauti ndani za miungu ya watu wengi ...na wanaanza kukutumikiksha au kukuonesha jinsi unavyotiana au chochote utakachoangalia kwa tv baadae unakiona kiko ndNi kwa uhalisia wa kawaida wkt mwingine wanakuonesha wewe ukitiana hiyo michezo wanYo mitume popote unapokwenda kwa mganga Wana wewe tu utakuwa unawasikia wanAkuweka trade kama vile unapoend kwa mganga ,,wachawi wanakmwabia tuachie mbuzi wetu na mitume hivo hivo Wana hizo tqbia nina mkanda wote walishanilaza na miungu na kutembea na taa yao ya uchawi wa madhabahu popote ninapokwenda...

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

      @@milley7185 sijakataa kwasababu iko hivi... watumishi wa uongo wapo na waukweli wapo..so inaweza kuwa kweli lakini kwangu namtumikia MUNGU wa kweli..ambae hakuna....utabiri..

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 2 ปีที่แล้ว

    Devestar uwe unafupisha maaelezo mwanzo wa kumueleza mtoa ushuhuda

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 2 ปีที่แล้ว

    Duh kaua watu wote ao?? Alitumia bomu la anatomy nini😂😂😂 .bora Mungu kakutoa huko .

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

    Mmm kitambo ulikua ukipewa zawadi hata na jirani Ile kichapo utapewa na mamangu sasa naelewa

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo 666, haitamkwi kibinadam, mia sita sitini na sita, inatamkwa sita sita sita.

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe zile videos za wanamziki wahku Dunian zinazooenye watu kujipanga nakuweka mikono mitani Ni uwakilishi wa mambo ya huko kuzim

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 ปีที่แล้ว

    Hizi ndo story sasa

  • @chazmchokozi5374
    @chazmchokozi5374 2 ปีที่แล้ว

    Story konk Davis ongea vipande👀

  • @daudiayubu4464
    @daudiayubu4464 2 ปีที่แล้ว

    We jamaa nikama hauko makini nakazi yako yani haujatulia mara unakunywa Maji mara unaangalia Smu.Acha hizo mambo tulia kua makini bhana

  • @robsonsadiki
    @robsonsadiki 2 ปีที่แล้ว

    Fichua siri za shetani

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 2 ปีที่แล้ว

    Tuko tunaendrea kupata kuelewa yaliyochificha gizan

  • @tututz100
    @tututz100 2 ปีที่แล้ว +1

    MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI

    • @stanleywaweru1714
      @stanleywaweru1714 ปีที่แล้ว

      ☹️☹️☹️☹️☹️😭😭😭😭😭

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 2 ปีที่แล้ว

    Hiii nikali san

  • @aldiphoncealbogast5372
    @aldiphoncealbogast5372 2 ปีที่แล้ว

    Davista mbona kila story yamtu alie toka uko anampenda yesu akuna ata waupande wapil kaka.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 2 ปีที่แล้ว +1

      hao upande wa pili ni wamoja na huko wanakotoka

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ปีที่แล้ว

    SHETANI NI MUONGOOOOO.

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว

    Santa

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 2 ปีที่แล้ว

    Ongea kuhusu Mikasa mambo ya imani achana nayo Yesu ni Mungu tangu lini bana acha zako bana sawa ongea ila usiseme Yesu ni Mungu please una kosea sana

    • @djbless6201
      @djbless6201 2 ปีที่แล้ว

      hiyo ni kulingana na imani yako shikilia unachoamini don't crush

    • @djbless6201
      @djbless6201 2 ปีที่แล้ว

      hajakosea yupo sahihi

    • @johndevi2153
      @johndevi2153 2 ปีที่แล้ว

      Yesu ni Mungu Kama unataka nikufundishe umwelewe Yesu nipe namba zako

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 2 ปีที่แล้ว

      @@johndevi2153 siwezi amini ata kidogo mi na jua Yesu ni nabii wa mwenyezi Mungu huo uMungu kaupata wapi

  • @queenmalibu1030
    @queenmalibu1030 2 ปีที่แล้ว

    Kwenda uko your stories are just overrated it's exhausting, rename hii chanel yako Iwe ni ya vituko na sarakasi

    • @gracemkanta738
      @gracemkanta738 2 ปีที่แล้ว +2

      Kama haujawahi jifunza kitu, kama haujawahi barikiwa kupitia story za mapito ya watu na haujawahi kuwa na ndugu au mtu wa karibu aliyepitia haya yote,nakushauri utulie. Ukishindwa kutulia usidharau na kukashifu juhudi za kaka wa watu. Better unsubscribe na usimfatilie na sarakasi zake. But U might be next kuleta story yako😂

    • @chazmchokozi5374
      @chazmchokozi5374 2 ปีที่แล้ว

      Leta hizo sarakasi tuzione Kama hujifunzi kitu acha kujitoa hakili

    • @frankchande3063
      @frankchande3063 2 ปีที่แล้ว

      Si uondoke kwan lazima kusikiliza,watoto wa nje ya ndoa mna shida sana kwenye ufahamu