BAADHI YA WAISLAMU ZANZIBAR WASWALI EID AL ADHA (2024)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 16

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน

    ahsanteni al fatah kwa matangazo haya,allah akulipeni kher.
    nimeona matangazo yenu pia kwa lugha ya kiingereza hongeren sana.
    naomba pia muandae na kwa lugha ya kiarabu pia.

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ مشاء الله تبرك الرحمن edd maqbul inshallah

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @z34-kp9qq
    @z34-kp9qq 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillaah... Allaah awalipe kheri wazaz wetu waliatoka mbl sana

  • @user-dl1mg2qf4n
    @user-dl1mg2qf4n 2 หลายเดือนก่อน

    Elimu ni bahari, acha kila mtu alieumbwa aogelee sehemu aipendayo,ilimradi tufikie malengo ya kumtukuza Mungu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh maneno mazuri umeyasema. Idd siyo kukesha kwenye Mabaa na ulevi na uhuni njiani mpaka Alfajiri.

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 2 หลายเดือนก่อน

    Mtihani mkubwa Sana Allah atuongoze njia iliyo nyoka

    • @user-kq7mp8qz9e
      @user-kq7mp8qz9e 2 หลายเดือนก่อน +1

      mtihani wann usie naelimu yeyote

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 2 หลายเดือนก่อน

      Mtihani gani tena?hemu fafanuwa vizur

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-kq7mp8qz9emakhawareej hao mawahabi 😂

    • @SalumMkumba-wj2wl
      @SalumMkumba-wj2wl 2 หลายเดือนก่อน

      Hawariju ni wewe ambae haujaswali leo ukafunga arafa na hakuna arafa mbili ingieni darsamjue na bila elm huwezi elewa chochote

    • @LUBAINAMOHDRAJAB
      @LUBAINAMOHDRAJAB 2 หลายเดือนก่อน

      Eid mubaarak

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tutafika tu

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu ni umma mmoja khilafa hazisaidii au kuekeana chuki na kumuona mwenzake hajui anajua yeye tu kila mmoja ajue kuwa atafufuliwa peke yake na ataulizwa yale ya kwake aliyotenda duniani.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

    Siku ya Idd ni siku ya kuvaa nguo nzuri na ukiwa una uwezo vaa ya ghali khasa ndio Idd. Idd ni furaha.

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 2 หลายเดือนก่อน

    Serikari.nayo.ina.iddi.yake.?