MOHAMMAD ISSA UISLAMU NA UMAGHARIBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @abdallahhashim8961
    @abdallahhashim8961 6 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah, Allah akupe umri mrefu kwa manufaa ya umma wa kiislamu.

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 ปีที่แล้ว +1

    JazakumAllahu khairan sheikh,

  • @hafsaaismail2823
    @hafsaaismail2823 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante shekhe kutufunua masikio M,mungu akupe uhai mrefu.

  • @ismailramadhani3813
    @ismailramadhani3813 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shekh ,Mohammed issa mnatufungua sisi vitu vingi kila kher

  • @Halimabintmafitah
    @Halimabintmafitah 8 ปีที่แล้ว +11

    Allah akujaze kheri duniani hadi akhera. akuzidishie ghilmu yenye manufaa uzidi kutuelimisha

  • @user-id5sf9zj7g
    @user-id5sf9zj7g 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah sheikh Muhammed Issa akulipe pepo kwa mawaidha yako matamu

  • @hastyholyweed9791
    @hastyholyweed9791 ปีที่แล้ว +1

    Commenting here is totally swadaqa 🥺.God bless us all

  • @khamislee9614
    @khamislee9614 6 ปีที่แล้ว +10

    Sheik Hii knowledge ni adimu sana. Sio masheikh wote walio na hii knowledge. Actually Tunajifunza mengi

  • @rehemambufu3749
    @rehemambufu3749 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah hakupe siha njema na umri wenye manufaa na shufaha uzidi kutia kiza

  • @fahadjuma5150
    @fahadjuma5150 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sana Sheikh kwa Elimu hiyo

  • @farufaria7901
    @farufaria7901 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alaykum naomba email ya sheikh Mohammed Issa au any contact, mm nimwafunzi wake

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother

  • @CCGW0RLD
    @CCGW0RLD 7 ปีที่แล้ว +3

    I just checked out your channel, dopeeeeeee, stay blessed !!!

  • @abdalamsembwa5435
    @abdalamsembwa5435 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana canal iyi kwa kupata dawa ya kujaza imani zetu.

  • @swabriali4583
    @swabriali4583 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Mola akubarik sheikh

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu

  • @abdallahthabit692
    @abdallahthabit692 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah akulipe kwa elmu unayotupa

  • @ummua5006
    @ummua5006 5 ปีที่แล้ว +2

    Baaraka Allaahu fiikum

  • @soudmoshmnyika5813
    @soudmoshmnyika5813 5 ปีที่แล้ว +2

    asallam allaykum brothers and sisters, sheikh huyu anatufungua vichwa vyetu, democracy ndio gonjwa kubwa sana kwa waislam, lakin sheikh huyu siku hizi hamna mawaidha haya

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 4 ปีที่แล้ว +1

    Uliyecheki Elimu hii 2020 tujuane

  • @naftalimhemi4163
    @naftalimhemi4163 2 ปีที่แล้ว

    Wonderful

  • @hassaneid7176
    @hassaneid7176 6 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam aleykum nimejifunza mengi shk.

  • @tommariam4393
    @tommariam4393 6 ปีที่แล้ว +5

    Dhahri ni kweli tupu unachosema sheikh lkn makafiri hawafaulu.

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 ปีที่แล้ว

    Shehe tunakupenda mawaidha yako yanacheza kote ni ya ukomboz kwa jamii, sheih Mohammed issa tunakupenda

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH

  • @jumamisimbo8891
    @jumamisimbo8891 8 ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekh

    • @akrabfaid1433
      @akrabfaid1433 7 ปีที่แล้ว

      Allah akujaalie kila la kheri.......Pia naomba muweke ile vidio ya Memorandum of understanding ya Tanzania.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว

    Cobras si yiko mlangoni wakuingia ndani ta umoja wa mataifa nainaonekana vizuri mno !!!

  • @bashitemakonda1540
    @bashitemakonda1540 7 ปีที่แล้ว +3

    sheikh asiekuelewa ww basi huyo atoelewa tena

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Tunajifunza mengi katika ma sheikh

  • @allymasoud5475
    @allymasoud5475 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar

  • @Jouniorkids_
    @Jouniorkids_ 8 ปีที่แล้ว +2

    nimejifunzaa

  • @gideonsamwel9198
    @gideonsamwel9198 5 ปีที่แล้ว +1

    Ww mohamedi issa fikira zako ziko sawa lakini ni muoga

    • @kassimlesso970
      @kassimlesso970 5 ปีที่แล้ว

      Angalia fikra zake katika mada zake kwenye sid za jiwe jeusi, mikataba ya maridhiano baina ya makanisa na serikali n, k

    • @gideonsamwel9198
      @gideonsamwel9198 5 ปีที่แล้ว

      Mbona ww unaogopa wanadam?kwa sasa?

  • @bakaribarisa3059
    @bakaribarisa3059 3 ปีที่แล้ว

    Bakari Barisa

  • @bashitemakonda1540
    @bashitemakonda1540 7 ปีที่แล้ว

    Sheikh Tumejifunza

  • @jumannejabil7018
    @jumannejabil7018 3 ปีที่แล้ว

    hi ndiodunia

  • @festoanton9584
    @festoanton9584 3 ปีที่แล้ว

    Uko wapi sheikhe siku hizi au dunia imekumeza

  • @ramsomidundo3158
    @ramsomidundo3158 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 ปีที่แล้ว

    Hii clip imepitwa na wakati

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  ปีที่แล้ว

      UKO NA YAKO MPYA?

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 ปีที่แล้ว

      @@AKASHA.P ya unazungumzia et uislamu unakua kwa kasi ilikua zaman watu wamestuka ingia you tube uone warabu wanavyouacha

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu ปีที่แล้ว

    Tunafaidika sana na darasa hii. Masheikh badilishini mawaidha, leteni mawaidha kama haya yenye kulinda imani. Namna ya KUPATA udhu tunajua, kusali na hija tunajua, lakini imani zetu tutazilindaaje hiyo ndio kazi ya Masheikh kwa sasa.
    Sheikh Muhammad Hali ndio hii tutawezaaje kufaulu?

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 5 ปีที่แล้ว

    Ustadh upo wap muda san husikiki

  • @allychale2885
    @allychale2885 ปีที่แล้ว

    Ayo ndio yanayotokea Ukraine kupewa silaha na pesa

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh umeongea ukweli mtupu,huyo obama ndio alikuja kupigania usenge na usagaji sema watakuelewa wachache sana..

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe dini yenu uislamu inasapoti ugaidi na ww pia unaunga mkono ss kuna dini hapo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 4 ปีที่แล้ว +1

      Uislam ni mfumo mzima wa maisha ya binadam , jiulize aliepiga bomu la Hiroshima ni nani? Nani alie muua gadaf ,nani anae sababisha vita nchi za Waarab ili aibe mafuta, Waislam wako sahihi kujilinda tuache usimba na yanga

    • @mohammedsaid4674
      @mohammedsaid4674 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuna jambo huelewi apo kaka,ama pia ww ni miongoni mwa hao wamagharib

    • @jimj8285
      @jimj8285 2 ปีที่แล้ว

      David Gasper hahaaaa,hivi unajua mama yako yupo wapi dk Hii!!! Anafirwa na walevi pale baa,nyau wewe!!! Tena eti ananyonya mboo mpaka anakojolewa shahawa mdomoni??? Anaolewa alfu kumi tuu Kwa kunyonya mboo!!!