KUHUSU LISSU, MAKONDA ATAZAMWE KWA JICHO LA TATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @melubokusoro5668
    @melubokusoro5668 11 วันที่ผ่านมา +75

    Uchambuzi Makini Sana! Makonda Hana cha kukwepa Katika Hili, ni Katili mno

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 วันที่ผ่านมา +4

      Na alikuwa mwenyewe anasema yeye sio wanavyomdhania 😢

    • @festomartin8635
      @festomartin8635 11 วันที่ผ่านมา +4

      Bonge la mwongo!. Tundu ni mbingu, Makonda ni ardhi!

    • @haggaikinyau9047
      @haggaikinyau9047 11 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@festomartin8635weee acha kabisa kufananisha mbingu na mtu, mbingu ni mahali patakatifu

    • @danielezekieldaniel365
      @danielezekieldaniel365 11 วันที่ผ่านมา

      Àsante

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 10 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@haggaikinyau9047na wewe unakua kama Makonda huyo anamaanisha anga na ardhi

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 11 วันที่ผ่านมา +32

    Machambuzi mahiri kabisa , Asante Asbet Ngurumo ,Tunakuombea maisha marefu zaidi

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 11 วันที่ผ่านมา +2

      Amen

    • @LovelyBrain-wz7si
      @LovelyBrain-wz7si 11 วันที่ผ่านมา

      Hakuna umahili wowote labda naye kama ni shoga

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 11 วันที่ผ่านมา

      Mchawi wee​@@LovelyBrain-wz7si

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@LovelyBrain-wz7siona ujinga wako sasa mtu anatoa mpaka video za miaka ili kuthibitisha aongeayo unaleta ushoga

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 10 วันที่ผ่านมา

      This is not lovely brain but hatred brain

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 10 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana Kaka Ngurumo kwa uchambuzi makini. Huyo muuaji tunaendelea kuung' amua ukatili wake!

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 12 วันที่ผ่านมา +57

    Mungu aliye mnusuru Tundu! atazidi kutuonyesha walio mfanya hivi alivyo! Mungu atatenda

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 วันที่ผ่านมา +8

      Mungu hadhihakiwi 😢😢😢

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 11 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤​@@adelinelyaruu3036

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 วันที่ผ่านมา +1

      Angalia na wewe usitebdwe kwa kutokutumia akili ya kuzaliwa na kuhukumu kwa kufata upepo bila uthibitisho

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 วันที่ผ่านมา +1

      @@adelinelyaruu3036 kweli kabisa. Mungu atahukumu kwa haki na watu wanaochukua madaraka ya Mungu na kuhukumu wenzao bila facts lazima watawajiibika mbele za Mungu. Mungu hana uchawa wala unafiki

  • @anthonymsowoya1267
    @anthonymsowoya1267 4 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahihi mzee wangu. Makonda sio mtu mzuri kabisaa.

  • @AbdallahiddiKatumbi
    @AbdallahiddiKatumbi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe muheshimiwa ❤❤❤❤

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 11 วันที่ผ่านมา +4

    Asante sana mzee ngurumo wambie mwenye masikio na asikie.

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ogopa Mungu na teknolojia...aisee!! Muda utaamua

  • @kilianjulius9882
    @kilianjulius9882 11 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera hakika umemuumbua kitakwimu,,, koromije hoyeee

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 11 วันที่ผ่านมา +6

    Asante mh, naona wewe huko uliko , hakika umewekwa kwa kusudi la Mungu. Usiache kusaidia hivi pls.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 11 วันที่ผ่านมา +36

    Baadhi ya watanzania nivihiyo sana mnapiga makofi kwa upumbavu huu wa makonda mtu amepigwa risasi Dodoma yeye na CCM wenzake wamefanya tundu lisu alivyo ila kwa kejeli hii Mungu atawalipa wote

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 11 วันที่ผ่านมา +3

      Amen

    • @harounmaarufu3241
      @harounmaarufu3241 11 วันที่ผ่านมา +5

      Dhulma inalipwa hapahapa duniani

    • @DICKSONTimoth-xk7rj
      @DICKSONTimoth-xk7rj 11 วันที่ผ่านมา +1

      Una ushahidi utusaidie sisi kama jeshi la police?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 วันที่ผ่านมา +7

      Yaani watu hawana huruma kabisa.Makonda anajinasibu kuwa yeye ni mcha Mungu.Hivi Makonda ni mcha Mungu kweli?

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 11 วันที่ผ่านมา

      Kuna unayoyajuazaidi utusaidie​@@MathewNathan-yb2bz

  • @edwardmassawe5116
    @edwardmassawe5116 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu hachelewi wala hawahi dunia sio yetu hakika bado naona taifa likipata janga kubwa kama malipizi ya damu na mateso ya watu wa Mungu wa taifa hili.

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 11 วันที่ผ่านมา +30

    Huyu ni zaidi ya mchambuzi....
    Mungu akulinde kwa kazi Yako...hutafuni maneno and that is professional journalism!!

  • @CellularEducation
    @CellularEducation 11 วันที่ผ่านมา +10

    Maelezo ya utetezi yamekuja kwa kuchelewa sana, labda ni katika kuhakikisha muda ni mrefu kiasi kwamba kumbukumbu zetu zisiweze kufuatilia kwa urahisi matukio ya nyuma yanayotajwa. Asante kwauchambuzi, unafikirisha kidogo.

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 11 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe sana mzee uko zaidi ya vizuri

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 11 วันที่ผ่านมา +16

    Nimependa sana hivyo vielelezo.

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 11 วันที่ผ่านมา +10

    Asante sana Ngurumo ,

  • @AnyosTemitope
    @AnyosTemitope 11 วันที่ผ่านมา +3

    Uishi milele honourable Ansbert Ngurumo.kipawa hicho si Kwa damu Wala Kwa nyama,Bali ni Bwana aliekupatia.be grorified thy NAME.

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo 11 วันที่ผ่านมา +14

    Makonda anafikiri Mungu ni Mama Samia,lkn kile alichofanyiwa Lisu alafu Makonda anasimama kwa kejeli alafu kuna mapimbi humo yanakenua meno kama makahaba..naamini hayo maneno yamewaliza watoto wake kwa mala nyingine ila Mungu atamjibu kwa moto..hacha aendelee kutanua mbawa..yule ni baba wa watu na kiumbe cha mwenyezi mungu

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +2

      Naamini hujaona somo ukalielwwa na hivyo unaweza kujikuta unahukumu kwa makosa bila uthibitisho na wewe ukajikuta unahukumiwa na Mungu. Mungu hana propaganda walasiasa wala hapendi kueneza chuki tena zisizo na uthibitisho. Ukahukumiwa wewe. Acha kuiiingiza kwenye mambo usiyoyajua na kutoa jukumu tena hadharani. Mungu anakuona na hapendi
      Mungu anao na yatendekayo gizani tumwachie afanye kazi zake

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 11 วันที่ผ่านมา

      Nami najiuliza kiwango cha weledi na uungwana kwa hao wanaopiga makofi! Bashite ni mwuaji tu, ipo siku. Halafu najiuliza hivyo vikao walivyokiwepo Mbowe na Slaa na kumtenga Tundu Lissu, viliandaliwa na nani?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 12 วันที่ผ่านมา +32

    Asiyejulikana anajsribu kufunika damu kwa unga mungu anamuona

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 12 วันที่ผ่านมา

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

      Una uhakika gani lakini jamani? Mbona unahukumu bila kuwa na fact? Uthibitisho uko wapi? Mimi na wewe hatujui....tusivamie kutoa muhimu ya mchezo tusioujua tusije tukahukumiwa.
      Kama hakuna uthibitisho basi tusipotezane muda kudanganyana. Watu aweke fact mezani tuzione tuzielewe ili tujue nani anasema ukweli. Tusipotoshane tukaanaz kutoa hukumu kwa makosa.
      Mungu anaona

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu anakuona na wewe unayezolewa na upepo unahukimu bila uthibitisho. Hujui kitu unatuhumu mtu. Mungu anakuona na utajibu. Wwwe and a jibu la kumwambia mungu kuwa unathibitishaje hizo taatifa

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 11 วันที่ผ่านมา +25

    Na anamtaja Mungu kabisa. Yaani makonda alaaniwe kabisa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 12 วันที่ผ่านมา +28

    Kuna mishetani hapo inashangilia na kucheka asiyejulikana akimkejeli lisu mungu simama umwaibishe siku moja

    • @YussufPandu-es7ou
      @YussufPandu-es7ou 12 วันที่ผ่านมา +4

      Hata sijuwi wanachekea. Nin? Wakati hilo jambo linasikitisha wanapiga. Makofi ya nini

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +2

      Angalia usije ukaafhibishwa wewe ambaye unahukumu bila kuwa na uthibiyisho. Mungu hapendi.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +2

      @@YussufPandu-es7ou wmeelewa kitu ndiyo maana. Labda wewe hujaelewa. Huna uthibitisho hata mmoja wa kumhukumu mwingine. Mwachemungu anayeona ya gizani na wwwe angalia usiingizwe kwenye mtego usioujua kiini chake.

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@marieconnect6389kwenda wewe

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 11 วันที่ผ่านมา +12

    Hivi kumjibu mtu kuna sifa zipi? Makonda anasema hawezi kumjibu kaka yake Lissu, kwani haya aliyosema si majibu? Ebu anayejua maana ya kumjibu mtu na sifa za majibu atusaidie!

    • @chidybizz8684
      @chidybizz8684 11 วันที่ผ่านมา

      Rudi shule

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 11 วันที่ผ่านมา

      We ni makubwa

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 11 วันที่ผ่านมา

      @@chidybizz8684 Sawa, nakushukuru kwa ushauri wako, nitajisajili shule ya msingi!

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 11 วันที่ผ่านมา

      @@StevenGendo-vx9jo Nakushukuru sana. Kwa maana, kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kimtiacho unajisi, kwa kuwa kina makazi moyoni mwake na akilini mwake ndicho alichozalisha na yeye ndivyo alivyo!

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 11 วันที่ผ่านมา +10

    Namfurahia sana Ngurumo kwani anaogea kwa data bila kumungunya maneno.Tutake tusitake huyu baba ni hazina Siyo mbinafsi.

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 11 วันที่ผ่านมา +7

    CHA MSINGI KAMA UNAJUA TUAMBIE UHALISIA hiyo pia unayotuambia nayo ni propaganda na SIASA.....

    • @BIGBon-d8e
      @BIGBon-d8e 7 วันที่ผ่านมา

      Unazo akili

    • @edwardmassawe5116
      @edwardmassawe5116 5 วันที่ผ่านมา

      Umekunya leo

    • @BIGBon-d8e
      @BIGBon-d8e 5 วันที่ผ่านมา

      @@edwardmassawe5116 unazo akili ni jibu

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tupo pamoja Mzee baba mungu akubark

  • @LumuliKasyupa
    @LumuliKasyupa 11 วันที่ผ่านมา +6

    BRILLIANT, PATRIOTIC AND EDUCATIVE ANALYSIS. BE BLESSED.

  • @fulgencerugaimukamu-vn3wp
    @fulgencerugaimukamu-vn3wp 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ansibert mungu akujalie afya njema

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +7

    Hata wewe uko smart sana na una kipaji Kikubwa Unajua sana jinsi ya kucheza na maneno na clip kucheza na fikra za watu. Nachosema Mimi tumwachie mungu ahukumu sababu mtu huyo huyo unayemshutumu vibaya kuna watu kila siku wananyoosha mikono.kwa mungu kumwombea na kushikuru kutokana na mambo makubwa ya haki aliyowatendea kwa vitendo siyo maneno matupu.

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile 11 วันที่ผ่านมา +3

      Kwa upande wa lisu mungu mwema sana binafsi cjapenda kejeli za makonda

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 11 วันที่ผ่านมา

      Hata Idi Amina , Hitler,nawao walikuwa na watu wanaowapenda,hata shetani anawafuasi wengi sana kama.nyinyi na wanampa sadaka Naye anawapa Mali kama nyie.

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 10 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi nzuri mr.Ngurumo japo nahofia usije kutekwa na haya maccm,kuwa makini kk

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 12 วันที่ผ่านมา +24

    Kaka endelea kutuelimisha🎉🎉🎉🥰ila yanayo endelea nchi nzima ni aibu na ina sikitisha sanaaa…bashite mwache aendelee kumdhiaki Mungu😢😢😢

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

      Nahisi unagedhohaki mungu ni wwwe usoyeelewa kutofautisha mchele na chuya. Unabebwa na upepo ambao hata hujui naelekea wapi. Ungalia usimkosee Mungu sababu siku moja utaulizwa utoe vithibitisho na hapo utakuwa peke yako sijui utatoa nini. Utasema ni yule jamaa nilimsikia.
      Angalia sana

    • @cyprianpetetmbonde6374
      @cyprianpetetmbonde6374 11 วันที่ผ่านมา

      Anaropoka sasa midamu ya BINADAMU WATANGANYIKA ila wanaompa jeuri kazi wanayo

    • @cyprianpetetmbonde6374
      @cyprianpetetmbonde6374 11 วันที่ผ่านมา

      Hao wanaompigia makofi inaonesha wazi wanashangilia ukatili waliofanyiwa ushenzi na huyo waoayempigia makofi.

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 11 วันที่ผ่านมา +3

    Umechambua vizuli sana mwandishi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 11 วันที่ผ่านมา +19

    Ogopeni Mungu na Mtandao.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 12 วันที่ผ่านมา +22

    Anajaribu kufunika damu kwa kutumia umga

  • @AmanLaizer-rb5rt
    @AmanLaizer-rb5rt 11 วันที่ผ่านมา +7

    Yupo Mungu anayehukumu kwa haki ipo siku.

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 11 วันที่ผ่านมา +20

    Huyu ansbert ngurumo ni mwandishi nguri sana anajua kuunganisha matukio.we msikilize utajua

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 11 วันที่ผ่านมา +2

      Mwandishi Nguli Sana Ngurumo MUNGU Amlinde Nakumbariki.

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 5 วันที่ผ่านมา +2

    Huwanashangaa sana kuona watanzania wanasema wanampenda makondo makonda ndiyo anayemiliki genge la watekaji tanzania nawatu wanaendelea kumkumbatia

  • @brunothomas3514
    @brunothomas3514 11 วันที่ผ่านมา +4

    NGURUMO BIG UP SANA,MAKONDA ANA MATUKIO SANA YA KIHALIFU

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera Sana mkuu❤

  • @Wakateezo
    @Wakateezo 10 วันที่ผ่านมา +1

    Well done 👍

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 11 วันที่ผ่านมา +8

    Ndugu Makonda anajitetea tu,lakini mambo ya kweli hakuyaeleza vizuri.Pia,haki haozi.Moyoni mwake anajua ukweli kabisa wa kuhusu Ndugu Lissu.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu wetu tusaidie. Tusaidie tuhubiri upendo na misamaha ili tuishi vizur kwa amani. Tusibebwe na roho mbaya wa chuki na fitna kwa tamaa za vyeo.
    . Tukwachie wwwe kazi ya kuhukumu kwa haki sababu wwwe unaona kila hila na.kila zuri analofanya binadamu wako.
    Ee mungu tusaidie. Chuki hazina faida Bali hasara tupu. Tusaidie tuangalia vitu in a positive way kwa faida yetu wenyewe.
    Amina

  • @VitusNdaruhekeye
    @VitusNdaruhekeye 11 วันที่ผ่านมา +7

    Kama anasema hahusiki na anasema mbele za Mungu anayejua kila kitu, na jambo hilo lina ukweli, aangalie sana Mungu hadhihakiwi.

  • @JamalManzi
    @JamalManzi 11 วันที่ผ่านมา +14

    SK Media ni kiungo imara sana stay blessed bro

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 11 วันที่ผ่านมา +4

    Wewe ndiomuongomkubwa usipotoshewatu hunajipya kwahiyowaandishiwote walipangwa

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro 11 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi ukiniambia hujawahi kumuona shetani live nitashangaa sana

  • @mnadanchege7089
    @mnadanchege7089 11 วันที่ผ่านมา +5

    Umeongea vizuri sana. Makonda hana pa kukwepea hapa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +6

    Nahisi wewe ndiye mchonganishi anayependa mbegu ya chuki. Si uhubiri misamaha na upendo na amani kwenye jamii?
    Acha kichocheo chuki bwana. Mungu hapendi hivyo. Usituponze wengine..

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 11 วันที่ผ่านมา

      Kichwa ngumu. Lakini sio mbaya hata darasani wajinga huwa wanakuwepo

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 วันที่ผ่านมา +1

      @frankhoffa8356 Na wzolewa kwa upepo pia wapo. Kuna watu hawana ubavu wa kutambua upepo mchafu na kufupisha upite. Kuna watu hawajui kuchambua chuya kwenye mchele. Hao lipa upepo ukipata unawazoa tena kirahisi tu.
      Kuna akili za kuzaliwa na za kupewa japo zote ni akili zinatofautiana

    • @boraimanijumamahenge7554
      @boraimanijumamahenge7554 5 วันที่ผ่านมา

      Huyu jamaa sijui anaongelea kitu gani..Kuna baadhi ya Watanzania wanapenda uchochezi akiwemo huyu bwana

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 11 วันที่ผ่านมา +6

    Mwisho WA yote Mungu yupo

  • @festombuya3491
    @festombuya3491 11 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana SK

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 10 วันที่ผ่านมา +1

    Yeye mwenyewe alishasema mahakama hazitoi haki

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 11 วันที่ผ่านมา +7

    Asante Ngurumo

  • @saadune
    @saadune 11 วันที่ผ่านมา +2

    One word defines this presentation , FACT ..... tafakari

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu 11 วันที่ผ่านมา +12

    Leo nimeondoa shaka moyoni mwangu kuhusu tuhuma za makonda kiukweli makonda Hana hatia kazi njema makonda na mungu atakulinda

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 11 วันที่ผ่านมา

      Pole sana,usilolijua ni sawa nausiku wa Giza,omba yasikupate.

  • @MathayoSaid-d4t
    @MathayoSaid-d4t 11 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana ngurumo, apandacho mtu lazima atakivuna, na mungu hazihakiwi.

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 11 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera kwa kitukumbushe na kutufafanulia udumu milele.

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 11 วันที่ผ่านมา +4

    Ngurumo bigup. Wewe ni mwandishi nguli hakika. Makonda ni mpuuzi tu, na waliopiga makofi ni wale wale Maamuma wa kumbukumbu na uchawa.

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe

  • @stonetown578
    @stonetown578 11 วันที่ผ่านมา +9

    Ansbert Ngurumo the great

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 11 วันที่ผ่านมา +9

    Hivi watu wana hakili ya nyumbu? Wanaopiga makofi juu ya maelezo ya makonda wamsikilize Albert ndipo watatambua nani nyumbu

    • @isacktesha6659
      @isacktesha6659 11 วันที่ผ่านมา +3

      Wale ni machawa kaka

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 11 วันที่ผ่านมา +2

      Ni wapenda maovu wenzie na bashite

  • @kariankeirelionka1831
    @kariankeirelionka1831 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ajawahi kuruhu uongo wa kiasi hicho,,,,Kibinadam ikishindikana Huwa tunaishia kumwachia Mungu,,,,, Mungu mwema anaendelea kumtunza Lisu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani acheni uchonganishi. Ukuu wa mkoa siyo cheo kidogo. Ni kiongozi wa ulinzi kama sikosei.
    Mbona unachagua clip za kuonesha ambazo unaziunganisha na uchochezi?
    Mbona zile clip za kuonesha anavyokemea madawa ya kulevya na majambazi huoneshi?
    Na zipo nyingi sana.

    • @dougleo2108
      @dougleo2108 11 วันที่ผ่านมา

      Cheo kikubwa ndo uwe muuwaji?

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 12 วันที่ผ่านมา +18

    Upuuzi mtupu kudanganya watu.. Ati uko juu kisiasa kwa lisu🙄🙄

    • @evelina9621
      @evelina9621 12 วันที่ผ่านมา

      Watu.wanadhahaki.lisu.kuna.watu.hapa.tanzania.akili
      Yao.insona.makubwa.inafanya.kazi.kufikiri.mambo.yakuomngoza
      Ichi
      Wengi.tanzania
      Hwapati.nafasi.watu.wanatumbukia.shimoni.

    • @RhodaKibona-w9j
      @RhodaKibona-w9j 11 วันที่ผ่านมา

      Wagratia6:8maana yeye apandaye kwa mwili wake, katka mwili wake,atavuna uharbifu, bali yeye apandaye kwa
      Roho katika
      Roho atavuna uzima wa milele...
      Roho atavuna

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 11 วันที่ผ่านมา +16

    Makonda anaweweseka ataumbuka tu siku si nyingi

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

      Angalia usije kuumbuka wewe. Huna uhakika wa unachokisema sababu hata hao nao hawana uthibitsho wa kuweka mezani.. Inawezekana ni propagandaza kisiasa tu za kutafuta kiki. Mungu anaona hata vinavyofanyika kwanje giza sisi hatuoni. Tumwachie Mungu ahukumu kwa haki.
      Mimi na wewe tutajibebesha dhambi za bure kabisa za kuhukumu mambo tusiyoyaelewa undani wake. Hatujui dhamira za watu ni zip hasa. Tusivamie tusiyiyajua tutaumbuka sisi

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +3

      Upande wangu naona Makonda haweweseki, tena anaongea kwa kujiamini sababu anajiamini ndani ya nafsi yake. Kwanza ukimsilikiza kwa makini anamtaja sana Mungu bila wasiwasi wala unafiki sababu anajiamini na anachosema.
      Wote lissu na makonda ni ndugu zetu, nawapenda sana ni binadamu wenzangu na ni wapambanaji. Kwa swala la kurusha lawama Kali namna Ile bila uthibitisho wa uhakika hapo sijakubaliana kabisa wala sitazolewa na upepo sababu wamwogope Mungu wetu ambaye yupo makini ana uwezo huo. Mungu hana propaganda wala upendeleo kama binadamu.

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani sihawahawa kina Lisu ndiowalitakakumuua Dr Silaa

    • @gangan4618
      @gangan4618 11 วันที่ผ่านมา +1

      1+1=2, makenge ya kijani na makonda hawanaga AKILI, MUNGU MKUU YUPO. "TIME NOW TELLS". Kwa wachungaji anakoenda makonda ni WAGANGA WAKE, WANAFANYA UCHAWI KWENYE MADHABAHU NDO ITAFAHAMIKA TU, WALA SI MBALI BALI KARIBU. AMINA.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@gangan4618 duh umehukimu hadi mungu hana cha kuhukumu tena. Pole kwa maumovu, kila.myu anaumizwa kivyake lakini kazi ya hukumu tungemwachie mungu sababu anaona hata pale tusipoona sisi.
      Mungu hadhihaliwi. Usije ukabeba mzigo wa dhambi usiokuhusu sababu tu umehuku binadamu asiyemjua bila ushahidi wa kutosha. Tusifate upepo thsioujua ndugu yangu haya mambo ni mazito sana.
      Only God knows the truth.

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 11 วันที่ผ่านมา

    Umetisha❤

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 11 วันที่ผ่านมา +7

    Wewe huwezi kujilinganisha na Lisu

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 11 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa ni ziro kubwa, hajui kamaliza lini Shule, waandishi wa habari msimlee huyu jamaa nihatari Kwa taifa

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 11 วันที่ผ่านมา +13

    Hongera Sana Kwa uchambuzi makini. Stay blessed

    • @cosmaskusekwa2327
      @cosmaskusekwa2327 11 วันที่ผ่านมา

      Anachambua utumbo wake mwenyewe acha kufunika mbwa

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 11 วันที่ผ่านมา +6

    Tundu Lisu kuwa mchanga kwenye siasa si hoja. Kwani kutangulia ni kufika?

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa akili zako makonda anamuzidi lisu kisiasa

    • @MtanganyikaTanganyika
      @MtanganyikaTanganyika 11 วันที่ผ่านมา

      Mwehu wewe

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 วันที่ผ่านมา +1

      Zingatia tarehe na matukio yanayotajwa. Baini uwongo. MUKTADHA, tafadhali!

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 11 วันที่ผ่านมา

      @@philemonsnyanda9450 uko sawa

  • @gangan4618
    @gangan4618 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsant, kaka Ngurumo STAY BLESSED BY ALMIGHTY GOD. AMEN.

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 11 วันที่ผ่านมา +5

    Mahhkama ipi wananchi watapata haki wewe si ndio uliosema mahakama hazitendi haki hasa kwa nyie viongozi
    Mpeleke mahakamani kama kansema uongo wewe ni muuwaji kuna siku utabeba mslaba wako

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie ni wachambuzi msio na macho ya kiroho mnachambua matokeo badala ya kuchambua chanzo cha tatizo, sio kila mwenye mwili ni mtu, tunajua kunavita kati ya Nuru Maguf na kundi lake na Giza Ki na ninyi kundi lake.

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mchonganishi. Nimzushi huna swaga. Historia zako za kitoto

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 11 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe tuna wenyeviti wa kamati ya ulinzi ambao hata mgambo hawajapitia

  • @clemencehaleluya3434
    @clemencehaleluya3434 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hiy makonda mmeshitaki wapi? Marekani? au Mungu ama mtaendelea kubwabwaja Kila siku makonda makonda! msimtishie Kila mtu atakufa. Ninyi wenyewe ndo mnafanyiana hivyo! Mnasingizia mtoto wa watu!

  • @RashidiMajilanga-x4l
    @RashidiMajilanga-x4l 11 วันที่ผ่านมา +8

    Mimi ni ccm ,lakini huu uchambuzi nimeukubali

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mnafiki siyo CCM wewe

    • @clemencehaleluya3434
      @clemencehaleluya3434 11 วันที่ผ่านมา

      Si ishu ya uccm wala uchadema. ishu ni ukweli na ukweli ni mahakamani, bila kumshitaki tunajuaje nani ni mkweli, ama ukweli ni kubwabwaja Kwa kulazimisha Kwa lazima tumwone makonda mbaya?

    • @GabrielMwakasege-sx9wv
      @GabrielMwakasege-sx9wv 6 วันที่ผ่านมา

      @@adiaygo8546 ww fungu la kukosa

  • @benjamingaliatano7291
    @benjamingaliatano7291 10 วันที่ผ่านมา

    Be blessed kaka, ufafanuzi toshelevu

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 8 วันที่ผ่านมา

    Ila naamini katika Mungu mtaongea sana muda ukifika Mungu atakuwa nasi na kumbukeni hakuna chenye kisichokuwa na mwisho na iko siku na si nyingi

  • @stanslauschacha2833
    @stanslauschacha2833 9 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa sana, hakika lile jukwaa aliliandaa maalum kwa ajili ya kujisafisha na ndio maana hata maswali aliyokuwa anaulizwa ni ya makandokando yake. Na kwa tuliobahatika kuwa na saikolojia ya uchunguzi unaona muonekano wake haukuwa na mfanano na maelezo yake. Alikuwa analazimisha kujitetea ila uso na mwili wake vikawa vinazungumza lugha nyingine

  • @neisphormabula7286
    @neisphormabula7286 4 วันที่ผ่านมา

    Kwa sura na umri ulio nao sikutaraji hayo unayoyaongea dhidi ya makonda yangetoka kinywani mwako pole sana

  • @JosephSanga-j4q
    @JosephSanga-j4q 11 วันที่ผ่านมา +6

    Tuna wanahabari wa hovyo sana,kama watu wameitwa Arusha na hatujui nauli za kwenda huko wamepewa na nani?!na mbaya zaidi watu wanashangilia kabisa majibu ya Makonda,in short ni press ilikuwa arranged kimkakati,this is unethics of journalists

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 11 วันที่ผ่านมา

      Ndo kitu chukushangaza Sana Nauli Wametoa Wapi Na Wengi Watakua Wamepanda Ndege Kabisa.

    • @JosephSanga-j4q
      @JosephSanga-j4q 9 วันที่ผ่านมา

      @qonquererqanquerer1781 kabisa watakuwa wamekwea pipa kwenda kumshangilia jamaa

  • @renatusikanoni4203
    @renatusikanoni4203 11 วันที่ผ่านมา +1

    Maneno hayo ni ya Mathayo 16:17B kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni ... Ubarikiwe sana kwa maneno yako sahihi.

  • @selwinnamaumbo6847
    @selwinnamaumbo6847 11 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda anazungumzia hali ya kisiasa sio kiafya muelewe vzr

  • @mcutanorsonvanwillson2991
    @mcutanorsonvanwillson2991 10 วันที่ผ่านมา

    Lakn kuna wakat ,,unaamua kufanya japo sahihi kwa maslah ya walio wengi,na anatokea mtu ambaye anataka kukurudisha nyuma bila sbb ya msingi,,huyo unapaswa kumpunguza

  • @GabrielBoniface-pe3kc
    @GabrielBoniface-pe3kc 7 วันที่ผ่านมา

    Mi niliona tu, wakati anarushiwa mishale ya kifo alikuwa anapambana nayo sana kuikwepa huyo ipo siku atakutana nacho nimtuhumiwa mtarajiwa ni swala la mda tu mungu wetu huwa ni mwaminifu

  • @EmanuelHosana-q2e
    @EmanuelHosana-q2e 11 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda anajiona ana akili mno.....Sisi tunaomjua tunaona ni mjinga asiye jielewa

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi maccm na rais wenu mnamsikia Mh.Ngurumo?
    Au tuongeze sauti?
    Samia must go for sure

  • @WilliamMlama
    @WilliamMlama 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hali aliyonayo kisiasa nadhani hujamwelewa vzr makonda. Si halo ya ulemavu

    • @gangan4618
      @gangan4618 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kenge wa kijani wewe Huna akili km makonda, sisi wenyewe tumemsikia makonda akimkejeli na kumwita mh Tundu Lissu " mlemavu anaehangaika" KWA DHARAU KUBWA KAMA NDO ALIVYOZALIWA?!!! Mashetani km wewe HAMJAWAHI KUWA NA AKILI YA KUMBUKUMBU.

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 11 วันที่ผ่านมา +1

    Vituko vingine bhana(umechambua vyema asnt)

  • @ErnestLaiza-g6m
    @ErnestLaiza-g6m 6 วันที่ผ่านมา

    Walahi kwel nimekuamini❤

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ni rahisi kuona uzuri wa binadamu kwa sababu huwa unaonekana haraka. ni rahisi kubaini unafiki na ukweli. Unafiki haudumu lakini ukweli utadumu sababu ni.mature ya mtu.
    Binadamu wengi akiwemo mimi na wewe makonda na hao ambao hukutaka maovu yao sote tunajua hatuko watakatifu. Nii ngumu kubaini uovu unaofanyika gizani balda itokee mtu atamke wenyewe kama Ile ishu ya nusu mkate nk au yaonekana matendo yake. Vinginevyo tutabakia kuungaunga na tukibahatisha tu bila kuwa na uthibitisho kamili. Mengine ni Mungu tu mwenye uhakika.
    Mh. Lissu nimemkubali sana tena sana kwa kuthuibutu kutoa ukweli hadharani kuhusu habari ya nusu mkate na rushwa kwenye chama chake. Kwa hapo nimemwelewa na nimempenda sana. Hakuna kitu kizuri.kama kujikosoa na kujiambia ukweli sababu uponyaji unaanza hapo. Kama asingetamka yeye ingrkuwa ngumu kujua Tungehehukumu kwa makosa sana

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 11 วันที่ผ่านมา +6

    Ni chizi pekeee anaewezaaa kukubalii makondaa anachosemaaa,,, ety anajilinganisha lisu kisiasaa duuuu hii nchi balaa

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 9 วันที่ผ่านมา

    Safi sana❤❤❤

  • @fikiaupeo
    @fikiaupeo 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hatari sana. Hata sijui Cha kusema😢😢

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 11 วันที่ผ่านมา +2

    Things fall apart by Chinua Achebe

  • @germinusn
    @germinusn 9 วันที่ผ่านมา

    Hapa huyu anajiosha tu. Tanzania tujitahidi kutazama na kuiangalia nchi yetu

  • @corporatethugsent7380
    @corporatethugsent7380 12 วันที่ผ่านมา +1

    I feel so bad right now father ngurumo here from frankfurt GR dah

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo misumari ni nchi 3000. Na unaigonga bila ganzi

  • @Piussimon-n4z
    @Piussimon-n4z 9 วันที่ผ่านมา

    hakupaswa kumkejeli Kwa Hali aliyonayo Kwa SASa hata kama yeye hajahusika

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 10 วันที่ผ่านมา

    Watu wa Mungu wanaitwa mashetani hapo ndo utaona kuwa upande wakushoto Ni waongo na wanaweza kumuua Makonda bure