MASHA LOVE AMWAGA MACHOZI, AMUANGUKIA WAZIRI GWAJIMA "NIMEFUNGWA KIFUNGO CHA NJE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 113

  • @MoiseBatende-r8z
    @MoiseBatende-r8z 11 วันที่ผ่านมา +9

    Kusema kweli masha love ni murebo kabisa beautiful

  • @jochachallengetv7061
    @jochachallengetv7061 11 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana Masha yatapita, zingatia Mila na desturi zetu za kitanzania pindi unapowasilisha maudhui y'ako.

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima 11 วันที่ผ่านมา +10

    Sipendi kabisa masha tabia zako ayo maziwa unavyoyafanya unajizalilisha sana. DUNIANI TUNAPITA tu mche mwenyezi

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 วันที่ผ่านมา

      Maziwa yamekuaje! Kajiumba?

    • @thetrailerzone2791
      @thetrailerzone2791 10 วันที่ผ่านมา

      Jibu zuri sana😅​@@humbleshoal

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@humbleshoaluoni anavyoyafanyaga mbona hadija yusuf anayo Tena makubwa mbona anayastili

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 9 วันที่ผ่านมา

      @@TatoTato-t7s
      Utakua una yako mwenzetu

    • @AwaShaban
      @AwaShaban 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@humbleshoalwe ndio unayako uwenda una maadili ndio maana unafuraia ujinga

  • @OmanOman-t5p
    @OmanOman-t5p 11 วันที่ผ่านมา +5

    Pole sana masha sisi tunajuwa kama unapambana kwaajili yafamiliya zetu watu hawajui pole sana kipenz

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 11 วันที่ผ่านมา

      Acheni kutetea ujng Acha wazir amuonyee

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu 11 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@kennethbenjamin275kuonywa ni kawaida maana hakuna mkamilifu,namuombea kama kweli aache inshaAllah🙏

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 10 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana Dada yangu 😭😭😭 Utavuka hili ni Faraja Utavuka Salama

  • @chikumustafa
    @chikumustafa 11 วันที่ผ่านมา +6

    Yani mm ulikuwa unanikera sana mche mungu wewe ukikutwa na umauti je ukiwa uchi pale unajuwa unakufa lini

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 11 วันที่ผ่านมา +6

    Asallam maalequ Masha Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha llove you so much Allahadulilah Allahadulilah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala 11 วันที่ผ่านมา +4

    Masha love uko vizuri kuweza kuomba msamaha redioni good

    • @mustyngongo-m7q
      @mustyngongo-m7q 8 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli anajua km umsahei una roho ya plasiki

  • @GraceMaftaha
    @GraceMaftaha 8 วันที่ผ่านมา +1

    Pole San dada angu masha nimekuelew xna ndug yangu

  • @aliciamwalimu582
    @aliciamwalimu582 3 วันที่ผ่านมา

    Duuuuuuuh kweli police kiboko,masha leo kawa mdogo ka piriton 🤣🤣🤣🤣ila nakupenda uko natural,twende kilion

  • @LeahMgaya-z2j
    @LeahMgaya-z2j 11 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana mwanangu Masha love yote mwachie mungu

  • @sameerchudasama42
    @sameerchudasama42 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wanajitia kujiliza mtandaoni baadae wanaendelea vilevile watiwe adabu ili iwe fundisho kwa wengine lakini wanapojiliza mnawaonea huruma baada ya mwezi wanacharuka upya

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 11 วันที่ผ่านมา +7

    Na hayo maziwa pia uyastiri Masha wewe ni binti mzuri jiheshimu sio saa zote unafanya jioja wanachopuka sasa nao wanawaiga vizuri munavunja maadili😢😢

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu 11 วันที่ผ่านมา

      Mbna ameacha mida tu😢

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 11 วันที่ผ่านมา

      @Jasminadamu
      M/mungu amzidishie

  • @salmaomar7979
    @salmaomar7979 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kama umaarufu ushaupata ayo maziwa usiyaonyeshe tena sio vizuri mpaka kwa Allah

  • @OdethaFesto
    @OdethaFesto 5 วันที่ผ่านมา

    Polee da masha😢

  • @ZuwainaSd
    @ZuwainaSd 11 วันที่ผ่านมา +1

    Masha sio nifa masha nakupend sana kwa kujuwa makosa yako

  • @OmanOman-t5p
    @OmanOman-t5p 11 วันที่ผ่านมา +1

    Polesana watu wanaroho mabaya nimeumiya sana pambana masha

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 11 วันที่ผ่านมา +3

    Pole Masha... Utaeleweka

  • @tusaamon3216
    @tusaamon3216 10 วันที่ผ่านมา

    Pole Masha love , mapito tu yatapita hakuna binadamu alie kamilika

  • @RahmaAngwazi
    @RahmaAngwazi 11 วันที่ผ่านมา +2

    Masha anaakili na point lisha ya kujichetua

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeumia alivyosema amekua bila wazazi.

  • @monicatemu6804
    @monicatemu6804 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana Mashalove

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pole masha 😢 kidogo namie nilie jamani😢 wekuatu mtu mstaarb

  • @browndebora2195
    @browndebora2195 8 วันที่ผ่านมา

    masha ni mstaarabu sana

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Sana Masha ❤

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 11 วันที่ผ่านมา +2

    Uwe unavaa nguo za mahadiri na wewe masha mbona wewe ni dada mzuri tu pole sn ila najua umejifunza

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 10 วันที่ผ่านมา +1

    dada ang co ww tu uliefiwa na wazazi tupo wengi ila mbona wenzio hatupo hivyo..hujijue tu wee ni mzur acha kujizalilisha mitandaoni bhana fanya kaz ambayo unaona huwez kumkosea MUNGU wala kukwaza wengine..naamin MUNGU atakubarik

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 11 วันที่ผ่านมา +3

    na wewe masha huna maadili unaonyesha uchi miziwa nje kwanini unatembea na vichupiwacha ujinga

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 11 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo mnajichetua sana watu wawewachoka kwanini muwe mnaadui hadi mchukiwe ni matajiri sana ama😂😂😂acheni ufara bhna badilikeni

  • @Abuu_Ars
    @Abuu_Ars 11 วันที่ผ่านมา +1

    Apewe maishaa

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 10 วันที่ผ่านมา

    Pole mpemba

  • @tabithakitundu8736
    @tabithakitundu8736 11 วันที่ผ่านมา

    Masha mtoto mzuri anaonyeka

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kabsaa😂

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 11 วันที่ผ่านมา

    Pole san masha😢

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 วันที่ผ่านมา

    TANZANIA SIYO HOLLYWOOOD KWA KINA PIDDY JAMANI. HII NI NCHI YENYE MAADILI.😢😢

  • @JasmniAbduli
    @JasmniAbduli 5 วันที่ผ่านมา

    uyu nifeer ni km ametoka kwenye family ambayo haina adabu sababu kupata vipesa kidogo amekuwa wa kuingilia kaz za watu na kujiona yy ni mkosoaji

  • @hameedakwt8088
    @hameedakwt8088 11 วันที่ผ่านมา

    Pol saan masha

  • @chikumustafa
    @chikumustafa 11 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani uwezi kuza kitu bila kuvua nguo mbona mnazalilisha wanawake Yani tunawachukiwa mno amjui tuuu

    • @Fatmamachelenga
      @Fatmamachelenga 10 วันที่ผ่านมา +1

      Huyuu anazid kutembeaa uchi

    • @queenofireland898
      @queenofireland898 10 วันที่ผ่านมา

      Si ndo hvyo basi inakera

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 7 วันที่ผ่านมา

      Wanazalilishwa na nani kwani ni watoto wadogo hao?

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 11 วันที่ผ่านมา

    Mwanamke anavaa uchi hajiheshim mshenz wew kwani ukijistri unapungukiwa na nin

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 11 วันที่ผ่านมา

    Nikweli masha ni mama son yaan mama muuza watoto wawatu

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 10 วันที่ผ่านมา

    Jamn mbna kashaanza kubadilika na anajutia huyu ni binadamu kam sisi ila hat me naumia san hii ni dunia ila inatupotosha san

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 11 วันที่ผ่านมา

    Polesana

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 9 วันที่ผ่านมา +3

    Ila Masha mzuri Sana Aseee... Tatizo vurugu vurugu zake mitandaoni... 😂
    Tulia achana na hulka za Mjini...

  • @noelapanga
    @noelapanga 9 วันที่ผ่านมา

    mbona nalia lkn, pole dada na hongera kutambua kosa na kukiru na kuomba msamaha, wewe ni mtu mwema

  • @Thatgurl-l8n
    @Thatgurl-l8n 11 วันที่ผ่านมา

    Masha ni msikivu.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 วันที่ผ่านมา

    Waziri huyu mngemfunga japo miezi 6 aheshimu uke wa mwanamke

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ila masha acha kuvaa nguo za uvhi kuonnyesha matiti yako

  • @wangitv
    @wangitv 9 วันที่ผ่านมา +2

    Pole Masha from Germany

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 10 วันที่ผ่านมา

    Mmezidi

  • @verobecamfipa8655
    @verobecamfipa8655 10 วันที่ผ่านมา

    Angewekwa selo ata miezi sita awe na eshima kila siku yeye kutembea uchi ukiuliza et najitafutia ridhki shenzi kabisaaaaa uyu anatudhalilisha sana wanawake

    • @jacklinedausen
      @jacklinedausen 10 วันที่ผ่านมา

      Kunadhambi ya kutembea uchi alafu kunadhambi ya kusengenya...kikubwa ni kumwomba mungu atupe mwisho mwema

  • @SaotmAlohtm
    @SaotmAlohtm 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ungejisitiri.atana.kimutandiotuu.dada.aguwewe.simwisilamu

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 11 วันที่ผ่านมา

    Hawa viongozi wabongo bana

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb 10 วันที่ผ่านมา

    Malufuku kujichetua na kuonyesha minyonyo yako

  • @DianaNyange
    @DianaNyange 11 วันที่ผ่านมา

    Wewe hunagashida kabisa!wewe unajitafutiaga pesa kwamdomowako namaziwa yako hayo basi!hunasikendombaya mashalove...wala usiliye kabisa hayo nimamboyakawaida kwawanadamu huwayanatokeya

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 10 วันที่ผ่านมา

    Sasa miye nashangaa wauwaji mambo ya maana awayafuatili lakini yakijiga wapo wanasaka tonge😂😂kata mauno uko😂😂 maana miye naona sikuizi watu wanapost ujinga awakamatwi ila Damu yako kama iliguswa na kunguni kwisha😂😂😂

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 11 วันที่ผ่านมา

    Kwa mie naona ww umezid kukaa uch tu hayo mengine wanakusingizia

  • @EzraAmon
    @EzraAmon 11 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mda mwingine mna akili nzuriii

  • @husa8849
    @husa8849 8 วันที่ผ่านมา

    Wafanyavema kukili

  • @verobecamfipa8655
    @verobecamfipa8655 10 วันที่ผ่านมา

    Mnafki uyu atari ap analia coz ana kesi ili asamehewe tu ana lolote

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 11 วันที่ผ่านมา

    Pole kipnz

  • @LishazMacho
    @LishazMacho 10 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyie kina juma mnajua cfa za wahaya nyie😂😂 huyo niffer ana tabia za kihaya anapenda sifa sana,akihisi kila anachofanya atasifiwa wahaya wanapendaga kuniona wanajua kilakitu na wamekamilika😂😂

  • @shaurimtanda8285
    @shaurimtanda8285 11 วันที่ผ่านมา

    sasa manyonyo yatapumua maana si kwa mitikisiko ile

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 11 วันที่ผ่านมา +1

    wangapi walikufa wazazi wao wakiwa wanatoka tumboni ww nimchafu kabisa ktk nchi

    • @ClementinaHabineza
      @ClementinaHabineza 11 วันที่ผ่านมา

      Hapana isiseme hvo kwa mutoto wa mwenzio pole Masha nakupenda mwanangu

    • @AholeLifilima
      @AholeLifilima 11 วันที่ผ่านมา

      Asiseme nn kasema ukweri uo msemo na ww umezaa ndo unaalibu vizazi ukweri usemwe anatabia za ajabu uyu dada​@@ClementinaHabineza

  • @OCHUMASIHI
    @OCHUMASIHI 9 วันที่ผ่านมา

    Anakataa nn hy km hauzi malaya wkt kwny page alikuwa anawapost malaya wk uchi c mr moja wl mr mbili machendu hy

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo 11 วันที่ผ่านมา

    Ila niffer roho mbaya tuu

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 11 วันที่ผ่านมา +2

    Masha alikuwa anauzwa na gigy😂😂😂😂 sasa hawako karibu tena. Atakuwa amebadilika

    • @Pianharoun-nt7zh
      @Pianharoun-nt7zh 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mliuzwa wote au 😏😏

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 11 วันที่ผ่านมา

      Umbea moto hawakujui lakini unajifanyaunayajua mambo Yao naumbeawamtandaoni mnauaikiliza sana nakuuamini etialikuaanauzwa ulikwepo shobo TU kujifanyaunawajuasana kulikowaowanavojijua

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 11 วันที่ผ่านมา

      @@Pianharoun-nt7zh ninamjua mtu ana ukaribu naye🤣🤣🤣🤣🤣.

    • @Pianharoun-nt7zh
      @Pianharoun-nt7zh 10 วันที่ผ่านมา

      @@Zainab_salat aaah hapo sawah

  • @AshaRashid-f5j
    @AshaRashid-f5j 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani na Mimi namtafuta gwajima Mimi nimeolewa lakini inafikia hatuwa Mimi nauzwa watu nyumba nnazopanga natafutiwa wanaume jamani ni haki nna wtt wnne mume anasafir jamani inauma imefikia hatua mm atafute mtu mim nirikodiwe watanzia wenza ngu niokoeni wenzangu nimechoka ni

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mmmmmh

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 11 วันที่ผ่านมา

      Nenda kwenye page yake insta mtumie sms atakujibu tena na namba zake za kutuma ujumbe huwa anazitoa nenda fasta pole 😢

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 11 วันที่ผ่านมา +1

      anayekutafutia mwanaume au wanaume ni nani yako, je ni mume wako au ni hapo ulipo panga, halafu umeisha wahi kutoa taarifa kwenye chombo chochote cha sheria nakushauri emu nenda utoe taarifa kama unauhakika na unachokisema

    • @AshaRashid-f5j
      @AshaRashid-f5j 10 วันที่ผ่านมา

      @@zanzibamjimpya17 naogopa

    • @AshaRashid-f5j
      @AshaRashid-f5j 10 วันที่ผ่านมา

      @@zanzibamjimpya17 wakiendelea ntaenda lakini siwezi kufanya ila nimechoka nivitendo ambovyo vilishanitokea kwahiyo navipuuza

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 11 วันที่ผ่านมา +1

    Urizidi kukaa uchi

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mno mno yaani alikuwa anatukwaza wanawake kwa kujiweka uchi

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe masha una akili

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 11 วันที่ผ่านมา

    Mara ngapi wasamehewa wewe?

    • @AwaShaban
      @AwaShaban 11 วันที่ผ่านมา

      Watu kama hao wanatuharibia vizazi vyetu acheni kumwambia pole tumpe ongera zake Muheshimiwa kwakufanya kazi nzur

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 11 วันที่ผ่านมา +10

    Siuseme tu unauza malaya 😂😂😂😂😂😂kwani kuuza nyanya huwez unalia unafki 😂😂😂😂😂mjinga

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 11 วันที่ผ่านมา +2

      Akiacha kiukweli haina shida maana sote twakosea ila vzr ni kuacha pale unapokatazwa

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 วันที่ผ่านมา

      Una ushahidi na wewe au unacheka cheka tu!

    • @emmasonanjawe9042
      @emmasonanjawe9042 10 วันที่ผ่านมา

      Alishawahi kuku uza???

    • @gracemaile4309
      @gracemaile4309 10 วันที่ผ่านมา +1

      Uyo ni hater liach tuu

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 9 วันที่ผ่านมา

      Usmuhukumu mwenzio kwa jambo usilokua nauhakika

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 11 วันที่ผ่านมา

    Uyu majiriti kama buru la tembo mpumbavu sana wivu wako baraka kwa niffer

    • @NaseMangala
      @NaseMangala 11 วันที่ผ่านมา

      Acha upuuzi wewe

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 7 วันที่ผ่านมา

      Kajambre mbele uko teke kuleeee