Amina, mnafanya kazi nzuri sana jamani endeleeni kabisa na nyimbo zingine, YESU ANARUDI, tuimbe milele siku moja, Imani huja kwa kusikia , kusikia NENO la MUNGU
Asante bwana yesu kwasbbu damu yako bwana yesu inaponya ikapite kwenye afya yangu itkase kila kiungo kmoja kmja kwenye mwli wangu.niwe mzm maana ww watosha amen
Amina, mnafanya kazi nzuri sana jamani endeleeni kabisa na nyimbo zingine, YESU ANARUDI, tuimbe milele siku moja, Imani huja kwa kusikia , kusikia NENO la MUNGU
Sawa. Bwana atuwezeshe
Wakioga wenyetaka husafiwa kweli🙏🙏🙏
Asante bwana yesu kwasbbu damu yako bwana yesu inaponya ikapite kwenye afya yangu itkase kila kiungo kmoja kmja kwenye mwli wangu.niwe mzm maana ww watosha amen
Amen amen amen
Amen
Amina
Nimeamka nasikia huu wimbo nimekuja kuutafuta
Japan huu ndiouimbaji tunataka unao sisimua motor mbarikiwe sana tutaabudu mbingun tukiwa nayesu wetu
Nice song 🎉🎉🎉
I love this hymn .
Thank you Jesus for your blood that washed us white as snow .
Amen
Amina. Pasaka njema 2022.
Amen
Hakika mtu wa Mungu tumeiona kazi
Kweli "yanisafi ndani hiyo damu ya YESU Kristo iliyomwagika msalabani"
Mungu azidi kukubariki
Amen
Barikiwa mtumishi wimbo umenivusha nilikuwa na mzigo ndani nikasia saut ndani inaniambia niutafute huu wimbo nimepata nguvu mpya barikiwa
Bwana ni mwema. Utiwe nguvu zaidi na zaidi
❤Amen
MUNGU aliyehai awabarikini Sana Sana na kuwatunza na kuwapatia mnachostahili🙏🙏🙏
Amee Damu inanibariki San mungu akubariki sana
Ameen
Mungu Azidi kukulinda Uncle yangu,,, Unasauti nzuri sana,, Mungu Akubariki.
barikiwa sana mtumishi wa kristo usichoke kumwimbia BWANA WAKO
Amen. Asante sana
Ameeeen, Damu nzuri inang'arisha hakika utukufu kwa Bwana wetu🙏🙏, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen
Asante Yesu Amen Amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi nabarikiwa na nyimbo zako huku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu akujalie neema
Amen
❤❤❤❤❤
Just love your this hyms in kiswahili Amen be blessed 🔥🔥🔥🔥🙏🙏👐👐❤️❤️❤️🙌🙌
Thank you
Ubarikiwe
🧎🧎🧎Am humbled to Jesus Christ 🙏🙏🙏, Glory unto him ☝️
Damu imebubujika ,usafisha kabisa
Nabalikiwa sana na nyimbo zako mtumishi ,,,mungu azidi kukuinua 🙏🙏🙏
Asante sana na Mungu wa Mbinguni atusaidie hakika.
Amen Amen
Amen karibu saaaana kuungana nasi
Amen Damu imebubujika. Barikiweni sana ndugu zangu kwa Jina La Yesu
Amen asante sana
Lovely!
Hii nyimbo naeza sikiza mchana mzima na nisichoke ninzur kweli
Utukufu ni kwa Mungu hakika.
Kazi ya msalaba ni wasi..
Damu yake ya OSHA uvundo wote wa dhambi.
Njoo nawe utatakazws
Mimi ninampenda yesu
A
M
E
N
Amen
Bless you
Ameeen and you too
So sweet a song❤
Real
hello zenu i am thomas i like your songs
Thank you very much.
Thank you very much
Amen 🙏🏾
Nabarikiwa na huduma yako kaka Mungu wa mbinguni akutunze
Amen. Nawe pia
Amen🙏
Nimebarikiwa Sana na nyimbo hii.
Amen
Dino Zenu is Gospel and Gospel is Dino Zenu
Hahahaha. To God be the Glory
kaka Mungu akubariki sana hii ni amazing sound generated by holly spirit utukufu kwa Mungu
Bwana ni mwema. Asante sana.
Aminaaaaa
Barikiwen sana kwa hili nyimbo nzuri inabariki sana
Amen
There are songs sung and you so fast go into repentance mode
Thanks a lot, ye composers.
We thank God Almight
Andikeni maneno,kutusaidia
Hongera kakaangu nyimbo nzuri Mungu awe pamoja nawe
Amen nanyi pia
Damu ya yesu ilyotukomboa
Hakika
Sauti imejaa safi barikiwa sana mt
Amen
Nzuri
Amen
Stay blessed servant of God.
Amen
Hakika yanisafi ndani,,!!! Amina sana,,,, kaka zangu Mungu awabariki kwa Kazi nzuri hakika mtajalipwa,,
Amen
God bless you for good powerfully song
Thank you. To God be the Glory
Hongera sana Kaka Zeno. Wimbo umejaa neema. Imeweza
Ooooo Bwana ni mwema sana
Mungu azidi kukubariki Mtumishi Dinu Zeno
Asante sana. Unaweza kutuma link yake kwa rafiki wengi uwezavyo ili Mungu awahudumie zaidi. Kama unaona ni vyema fanya kwa moyo wa kupenda kabisa.
Amina ndg naona uko na Ndg Nelson Mboya mkimtukuza Bwana Yesu(Emmanuel)
@@emmanuelmwangoka1740 Hakika
@@emmanuelmwangoka1740 Hakika
@@emmanuelmwangoka1740 Hakika
This glorious song brought great childhood memories tukiimba Nyimbo za Tenzi Za Rohoni. Glory to God forever and ever. Be blessed.
Amen
👏
Barikiwa sana na mungu wa mbinguni
Amen
Ameeen Ameeen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Dinu Zenu
Amen
May God bless you brother i love all Ur songs 🙌🙏🙏
Thank you. God bless you too
lovely lovely lovely....
To God be the Glory
Amen Glory, May God continue eleveting you man of God . I knew this song through a friend be blessed 🙏
Thank you very much
Be blessed man of God.the song is inspired alot🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Nimependa sana
Amen
Good voice,may God bless you
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍😍
Halleluyah Glory be unto the most High God in the name of Jesus. Shalom bro.
Shaloom
Mungu abaliki🙏
Hakika
Amen ubarikiwe sana
Amen
Hongera Sana mtumishi mungu atakulipa Kwa utumishi huu
Amen. Asante sana
This voice is angelic...
To God be the Glory
@@DinuZeno Hi l love the song... please how can l get the background music only please 🙏
I like the singing
Thank you
nzuli sana
Bwana ni mwema
Amen! God bless you
Amen
God bless you servant of God
barikiwa
Amen
Balikiwa sana Zeno
Amen
Kaka nitakutafuta tufanye kazi
Karibu
Kazi Njema & I pray kwamba siku moja uje kufanyia shooting USA. Blessings ndugu Zeno!
Mkiniwezesha naweza kuja bila shida na nitafurahi na kushukuru kwa Mungu kwa hilo.
Blessed 🙏😇😇😇😇
Amen
Blessed
Amen
Amen
Ubarikiwe
Amen amen and amen
Amen
Amen