Ni usiku wa saa 5.00 Alhamisi 15.02.2018,nasikiliza tenzi hii namba 9,inanikumbusha miaka kadhaa nikiwa Kisarawe Pwani,baadhi ya ndugu tuliokua pamoja leo hii hatunao duniani lakini Yesu bado yuko karibu yangu,ni rafiki.Barikiwa sana kaka Dinu Zeno,tenzi hii inanikumbusha mengi
Yesu kwetu ni Rafiki, Huambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya; Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia? Haifai kufa moyo, Dua atasikia. Hakuna mwingine mwema Wakutuhurumia; Atujua tu dhaifu; Maombi asikia. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kwendelea, Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia. Watu wangekudharau Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia.
Ubarikiwe mara dufu,napenda sana Tenzi za Rohoni,hasa zikiimbwa kwa ustadi,umeitendea haki Tenzi hii,sauti zimepangwa vema sana,nimebarikiwa sana,Mungu akubariki Dinu Zeno
Yesu kwetu ni rafiki, Huambiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya; Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. 2. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia. Haifai kufa moyo, Dua atasikia Hakuna mwingine mwema Wa kutuhurumia; Atujua tu dhaifu; Maombi asikia. 3. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kuendelea, Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia, Watu wange kudharau, Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia
Hakika "YESU" ni rafiki ' kumcha Mwenyezi Mungu ni uhai kweli: amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza wala hatapatwa na baa lolote. Methal 19: 23 barikiwa Mtumishi wa Mungu
kwakupitia wimbo huu nimeamini hakuna rafiki kama yesu ubarikiwe mtumishi
Ni usiku wa saa 5.00 Alhamisi 15.02.2018,nasikiliza tenzi hii namba 9,inanikumbusha miaka
kadhaa nikiwa Kisarawe Pwani,baadhi ya ndugu tuliokua pamoja leo hii hatunao duniani lakini Yesu bado yuko karibu yangu,ni rafiki.Barikiwa sana kaka Dinu Zeno,tenzi hii inanikumbusha mengi
kupitia wimbo huu nimejifunza yesu kwetu ni rafiki kama ukimuomba kwa imani
Yesu kwetu ni Rafiki,
Huambiwa haja pia;
Tukiomba kwa Babaye
Maombi asikia;
Lakini twajikosesha,
Twajitweka vibaya;
Kwamba tulimwomba Mungu
Dua angesikia.
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo,
Dua atasikia.
Hakuna mwingine mwema
Wakutuhurumia;
Atujua tu dhaifu;
Maombi asikia.
Je, hunayo hata nguvu,
Huwezi kwendelea,
Ujapodharauliwa
Ujaporushwa pia.
Watu wangekudharau
Wapendao dunia,
Hukwambata mikononi,
Dua atasikia.
Amen
kweli huu Wimbo unanibariki sana najisikia kupata nguvu Mpya kila ninapo ufungua ubarikiwe mtumishi wa bwana.
Selestini Mnegelwa amen Kweli nirafiki
Ukiomba kwa babaye maombi huskia👍👍👍😥😥😥🇰🇪
Yesu n rafiki wa kweli msaada wakaribu mfariji na kimbilio letu wakati wa dhoruba
Je hunayo hata nguvu ,huwezi kuendelea ! watu wangekudharau ,wapendao dunia !Hukwambata mikononi 'Dua atasikia!
Huu wimbo ni zaidi hisia
Hakika huwa unanigusa mno
Mungu akubariki mno!
nikweli yesu ni rafiki wa kweli ktk maisha yangu yote.
Nawe nakuweka kwenye maombi akuepushe na hili ngonjwa la Corona.Binafsi nabarikiwa Sana na nyimbo zako hasa napokuwa kwenye matatizo.
Bwana ni mwema
Nikisikiliza wimbo huu, najisikia kuzama kabisa. Mungu akuzidishie upako kwenye nyimbo zako maana zinabariki mno. Mungu sana.
Jamani wimbo huu wa zamani sana asante kwa kuniamsha kiroho
barikiwa sana mtumishi wa Mungu wimbo huu imenifariji sana
Amen
Hakika ni rafiki kweli kweli. Mbarikiwe
Amina mtumishi napenda nyimbo zako xana
Yesu kwetu ni rafiki🙏🙏🙏
Rafiki Wa maisha yetu ni yesu
mungu akubariki sana mtumishi wa mungu.nabarikiwa na nyimbo hii nikiwa lebanon
Amen unanigusa pamtima wangu mungu awabalik
Naupenda Sana wimbo huu mungu akubarikii uendelee mbelee
Nyimbo imenigusa Sana mungu akubariki mtumishi🙏🙏🙏
Great SONGS its you JESUS MY FRIEND.let be your song friends
Song appealing.congrats dinu zenu
Amen
Hakuna mwingine mwema wa kutuhurumia zaidi ya Yesu,maombi anasikia,ubarikiwe sana mtumishi
Kweli kwetu Yesu ni rafiki, ubarikiwe sana mtumishi
Nabalikiwa Sana na huu wimbo,Mungu akubaliki
very true nahisi amani nikisikiza nyimbo zako ,mlungu akulinde kila wakati na kila saa
Uko njema dinu, hivi uko pande zipi mchungaji wangu
ubalikiwe mtumishi nabalikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako zinani faliji sana mpaka natoka machozi yafulaha
It is a blessing song of the soul
nashukuru sana moyoni nina rafiki Yesu
Amen
Huu wimbo hunibariki sana...
Barikiwa zaidi na zaidi
Ameen Sana najihisi laha sanaaaa😀😃😀😀
Barikiwa sana utavuna usipozimia moyo
mbarikiwe sana wimbo unanibarki sana
Nabarikiwa sana na huu wimbo 🙏 ...haifai kufa moyo..ubarikiwe sanaa.
Amen. Haifai
baraka za mungu ziwe nanyi nyote
nyimbo nzur Sana barikiwa saaana, nahitaji
Mmenikumbusha mbali sana mungu awabaliki
Kwer yesu kwetu nirafik wa kweerrr
Munguakubaliki Sana Mtnumishi wnyimbo zako zinanifal
nimefalijika sana koz nilikua na huzuni ila sasa nina amani kupitia wimbo huuu ubalikiw
Iam really blessed with this so ng let god continue to bless you
Ubarikiwe mara dufu,napenda sana Tenzi za Rohoni,hasa zikiimbwa kwa ustadi,umeitendea haki Tenzi hii,sauti zimepangwa vema sana,nimebarikiwa sana,Mungu akubariki Dinu Zeno
Bwana ni mwema
barikiwa sana mtumish wa mungu dinu zenno
amen barikiwa sana mtumishi kwanyimbo nzuri
uɓarikiwe sana mtumishi wa mungu Ɗinu zeno
Jesus is our true friend.Human friendship is based on selfishness.But Jesus is honest and genuine.
Real
Amen
Mungu akubariki sana mwimbaji
amina ubarikiwe sana kaka yangu
baraka kaka huu wimbo hufanya nitokwe na machozi
mungu awabariki sana wimbo huu ni mzuri mno
Nabarikiwa sana Mungu azid kukupa hatua kaka ang
Ameen iam blessed iam pregnant my baby hear this song he is very happy kick my stomach a lot..stay blessed
Yesu kwetu ni rafiki, Huambiwa haja pia;
Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia;
Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya;
Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.
2. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.
Haifai kufa moyo, Dua atasikia
Hakuna mwingine mwema Wa kutuhurumia;
Atujua tu dhaifu; Maombi asikia.
3. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kuendelea,
Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia, Watu wange kudharau,
Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia
I appreciate
@@aleNotDelon amen
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌👍👍👍
Yesu kristo pekee ndiye rafiki wa kweli popote pale hatuachi peke yetu
Ubarikiwe wimbo mzuri unanifariji na majaribu niliyonayo
Yesu kwetu ni rafika,..." hakuna mwengine wakutuhurumia ila ni yeye" ....kwa umbali umenitoa nasema asante mungu.
Robie Robie barikiwa sana
Hata urushwe kuleeeeee, bado watapata taabu sana maana Yesu kwetu ni rafiki
Ameeen.
Emiliana Simba
Yesu ndiye rafiki wa kweli kabisa
My first time to hear your voice my brother .Am blessed nkiwa Cambridge Canada
Kwa yesu kuna raha jamani😍
mko vizuri jamani mbarikiwe
The best friend Ever!!!!
Ameeeen
Yesu ni rafiki yetu!!! Penda sana!!! Huu wimbo!!! Haleluyaaaaaa!!!
asubuhi njema na yeye baraka ubarikiwe sana
nakuombea kwa Mungu afya njema
Amen I am blessed be blessed you too God add you more days brother.
Hakika "YESU" ni rafiki ' kumcha Mwenyezi Mungu ni uhai kweli: amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza wala hatapatwa na baa lolote. Methal 19: 23 barikiwa Mtumishi wa Mungu
Ameeen Nema Ngowi
Amima
Hakika yesu ndiye rafiki hamna mwingine
wooow yesu ndie rafiki wa kweli nabarikiwa sana chukua baraka zako mtumishi nakutakia maisha marefu
Yesu kwetu ni rafiki hakika tena.
amina ubarikiwe sana
mungu awabariki
Very encouraging song a love this
Yesu kwetu ni rafiki ukimuomba hakika anasikia Amen barikiwa
Ubarikiwe Dinu Zenu! napenda hasa hapa! Je hunayo hata nguvu,Huwezi kuendelea! Watu wangekudharau 'wapendao Dunia !Hukwambata mikono !Dua angesikia !
Hakika Yesu kwetu ni Rafiki mwema sana
Mungu akubariki.kaka kazi njema
watu wangekudharau, wapendao dunia, hukwambata mikononi dua atasikia.umenitia moyo, Yesu ndiye rafiki wa kweli.
Yesu tu njoo rafiki wa kweli
Kwa matatizo nimepitia nanimeona Yesu tu njoo akuniacha Asante Yesu kwa kuwa rafiki wa kweli kweli kwa maisha yangu 🙏🙏
kabisa yesu nirafiki wakweli shallom mungu nimwema
usiku mwema mungu awalinde wote
Pole
Halléluia Halléluia 🎉❤🙌🙌🙌
Amen
Amina Sana mungu akuongezee ufahamu nmebarikiwa saaana
Mungu akubariki denu zenu!.
Amina
ubarikiwe kila nisikiapo wimbo huu namkumbuka shangazi yangu kipenzi sku anazikwa
Ubarikiwe mtumishi Wa MUNGU anayeishi milele
May God bless you brother's i really like this songs
Amen
Amen rafiki wa kweli ni Yesu pekee waoh!
Ameen.
lmma l lmmaculate
Hakika YESU kwangu ni zaidi ya rafiki. Ubarikiwe sana mwimbaji
nikutakie jumapili njema mungu akubariki
Yesu ndie rafiki wa kweli
Mungu akumbariki sana
Hiyo wimbo ninaipenda sana
Nabarikiwa sana nisikiapo wimbo huu, Mungu awatie nguvu
Amen amen
Silvester Mathias
God bless you from leah martin
nice song,be blessed man of God,keep it up
Amen
Oooohooo my God.Good song
usiku mwema kaka ulale salama mungu akulinde
Ameeni nabarikiwa sana Niskiapo huduma zako Mungu Akuinue na zaid
Eee rafiki yangu Yesu 🙏
God bless you for these songs you sing 🎶 they bless me a lot I always listen to them and I feel blessed 🙏🙏keep it up
Amen