Alikiba: Mfalme huwa mmoja tu labda afe, Mi Sio Tembo, Mi ni KING, Nafuga Wanyama
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Alikiba ameizungumzia album yake mpya 'Only One King' Kufanya kazi na Patoranking, Tanasha Dona, Wizkid, Davido na kautaja wimbo wake pendwa kwenye album yake, 'MFALME Huwa ni mmoja tu, Labda Afe' ameongea King Kiba kwenye interview hii. Tuache kumpenda Ali, tukupende wewe? Kujiita majina ya wanyama, Mi sio Tembo (Nafunga wanyama)
Tazama full interview ya King Kiba kwenye Swahili Radio Podcast, kujua mengi, Ameongelea pia ukaribu wake na Ommy Dimpoz, Wema Sepetu na swala la kufanya muziki wa AMAPIANO 'Sifanyi muziki wa trend, Nitaufanya bora zaidi' ushauri wake kwa wasanii wa Bongo Fleva 'Tuache kumpenda Ali, tukupende wewe kwa sababu una style kama yake' Muziki pesa yake iko mbali sana, Utapoteza mabilioni! 'Mke wangu na familia yangu inanisapoti vizuri sana'
'Sitaki anaenichukia anichukie zaidi, sitaki anayenipenda nikamkwaza'
#LilOmmy #Alikiba #Podcast #SwahiliRadio
Let's Connect
/ lilommy
/ lilommy
/ lilommyfanpage
lilommy.com/
Nimependa sana lilommy ulivofanya.bila kuficha watu walitegemea uta deal na maswali ya kishamba kuhusu diamond na alikiba.lakini umeonesha kitu tofauti wala haujauliza kile watu wengi walikuwa wanafikiria safi sana lilommy nimependa kazi nzuri
Mwanangu kingkiba album yko kpande cha kahama inachafuaa knyama congrats mobu kwko bro
Tisha Sana me mwenyewe nipo kahama naona📯📣
Jamani kama unamkubali king Ali gonga like
Sasa ndo interview ya kibabe sio kila interview Daimond sjui nan na nan zaidi ya mwingine. Big up the MVP wa Omy
Woow Lil Ommy umenifurahisha sana comment yangu imeifanyia kazi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
TANGU ICHI KIPINDI KIANZE IYII EPISODE KAFANYA KING KIBA NDO KALI KULIKO ZOTE 🔥🔥🔥
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Nakupenda bure king Kiba mwenye sauti yake mwenye busara zake 🔥🔥🔥💃💃💃💃🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yaani hadi lilommy kasema kuna kitu kilikuwa kinamiss
Waacheni king na king wawe🔥🔥🔥🔥
King kiba king of interviews East africa to the world from 254
Yes only one King.... Nilikuwa naisubiri kwa hamu Sana hii interview
Nakupenda Sana kingkiba.Maisha marefu Mfalme me na ww damudamu😀😍
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Amazing little ommy showing maturity dealing with his clients and funs. Big up to you bro i salute.
King ni mmoja tu yaan asie kupenda wew Ali ni mchawi
Hongera king nipo omani nakupenda sana
Nimesubiri sana hii siku...thanks sana lil ommy...nakupenda sana king 🤴kiba
Kwanza ommy kufanya interview na mfalme sio kazi ndogo alafu interview imekuwa pw sana mzee big up 2 u
King kibaaa wetu mpoleee afu mziki mzuriii afu huna makuuu ❤
Daaah!! Yaan king kiba ni mtu smart sanaaa
That's why namkubali kila cku🔥🔥🔥
Hapo ingekua ni wale wenzetu...???
Halafu kiba ni mtu mzima kiakili lkn wale watoto kule bado hawajakua, hope wataamua kukua siku 1
Fact
Namimi nilikuwa naisubiri sana uko Drc Congo 🇨🇩 nafurai sana king Yukon vizuri félicitation à toi mon artiste 🔥 préféré 🙏 on est ensemble 🤝🇨🇩🇨🇩
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
@@maimunampole9894 👌
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
Unyama sana kaka umetisha only one king as u said kwenye tawala zako unatawala hadi wanyama kizazi sana..👏💥
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
King of intervieu and King of bongo fleva Alikiba
ktk Interview zote za Ali kiba hii ni nzuri Zaidi
Naitwa Aly Barnabas Ndumbalo Msanii Wa Hip hop Mtoto wa Baba Luce pia Muza mbao BUGURUNI RELINI We are The same There Studio And May God Bless You There Studio Haaalah.
Kingkiba ni balaa 💣💣💥nobody can stop him! !
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Tambweee thé mvp half man half Amazing
Wowowww🔥🔥🔥 #kingkiba# @alikiba
Am Mohammed from Kenya aminia asili mia mia show nikali big up brother the mvp hamna bongo nzima wee ndo mkali waoooo👊👊👊👊
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Tumechelewa wapi kwa king wetu from buja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Trending number 10 sasa sio Jambo Dogo big up 🙏🇹🇿
Nakubali sana kaka liliommy
King's music for life 👑👑
King kiba 👑👑👑
Nakubal San Kiba 🔥🔥 semanin wadau sisemi 😂🏃♂️
Yes yes #kingkiba🤟🏾❤️ napenda iyoo boss wangu
The only 1king. Much love from Nairobi
Nice one interview ya moto only one king tz Est africa good job Lil ommy nice bro
King ako humble sanaa🔥🙌🎶👑🔥
#OnlyOneKing
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
King of interview amepatana na king Kiba💪💪
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Kazi nzuri bro the MVP LilOmmy uko vizuri kwenye interview
jamaaa yuko really sana salute kiba🤴
Kizazi sana#king kiba🇰🇪🇰🇪🤝
#onlyoneking is the best album alikikibani KING kweli kwel ana vitu vingi sana vya kutoa elimu sana but me kama shabiki aki wa dam namuomba2 kwenye vitu vya kitaifa naomba aparticpate hata awe dogo anderground awape tu company
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Bonge la Interview mzee nimependa kiba kajibu maswali vizuri
Nakubali💯King ni mmoja tu
Salute king kiba
Jamaa anajua kukera sana mfalme anaweza funga wanyama wa kila aina 😂😂😂😂😂😂
Mungu kakujaza busara sana ww kaka Allah akupe maisha marefu💞
Such great interview,the only 1 King Kiba,big up Tambwe for the day interview with King 👑
The MVP much respect brother 🇧🇮 🇧🇮
Love you my zanzibar beautiful island hakuna matata 🌊🏖🚣♂️🐠🏝
Good interview from MVP LILY OMMY. Hongereni sana king kiba na Lily ommy
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
Yes you did liliomy🔥🔥🔥🔥
Only one king and half man half man king of interview good interview
👑 kiba anafuga had wanyama wote Simba na Tembo😂😂😂😂
Mweye ITABIDI tuungane twende kwa mama samiya suluhu hassan awaonganishe mnatiya haya nyiyiwote wa Islam, ALLY RAJABU NASSIBU MUUNGANE MUMUOGOPE MUNGU JAPO HATA KIDOGO INSHA ALLAH HAKUNA CHAKUSHINDIKANA
I just love the special of zanzibar
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
Welcome
Staki uwe na njaa"kutoka ndan ya moyo kabisa hyo" be blessed king"
King Kiba 🔥🔥🔥🔥🔥 Mozambique 🇲🇿
The only one king Yebabaaa🔥🔥🔥
& King of interview Lil ommy
Mfalme mmoja t TZ anaetambulika afande sele uyo Kiba uwo uking kautoa wap kashindana nan ata awe king nyambaf zke km anautaka ashindane n diamond bas mbn anamkwepa acovope
@@abrabiznez859 acha makasiriko utakufa mapema jana dume 😏
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
@@abrabiznez859 utoto unakutesa
@@abrabiznez859 diamond ni simba, harmo ni tembo, rey ni chui na haaao wooote kawafuga mfalme..sasa huwezi lazimisha king kushindana na mnyama aliyemfuga. easy as that, its nature n u can nothing about it
King kiba i salute you bro, one love from kenya
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
Yan watu wenye ushabiki wa kijinga buana hivi hawa wanaosema king hashirik tuzo kubwa anazidiwa na harmonize hawaon pamoja navyote anavyojifanyia lakin wanam compare na hao waendao Zaid kimataifa hata katika competation niyeye na wao kwann sio mwingine sas akifanya nahuko nje atawazibia kabisa that's why yupo busy kusubili watambe maana hata bila kumsifia social mioyon wanaujua ukwel nayeye anajifaham♥️♥️♥️my king 🙏 for the album
Sijuutii kumushabikiya King kiba
Only one King 🤴🔥🔥🔥🔥🔥🌏
Alikiba anajua Sana much love
King Of Interviews the Tz most wanted alongside Yebabaaa
Teamkings music right here olaah
This guy is a hell of interviewer💪🏿kali sana
LilOmmy uko makini sana bro,,big up sana
King of Swahili Nation ❤️
😁😁😁 bùpé
@@georgewmk7601 wa'uca bibyú
The #Mvp king of interview
Kweli king nimoja tuuu king ur 🔥
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
King of bongo flava 🎧🎶 uvaaji wake Ni tofauti na wasanii yeye anavaa kiboss zaidi
Kenya in da house 🏠 for King Kiba big up bro
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
@@maimunampole9894 what is it about maimuna ....
Humble man 4ever ❤️❤️
Nimekua naisubiri hii interview kwa hamu kubwa, kinghimself👑👌🙌😋
King kibaaaaaaaaaaaaaa mfalme ni mmoja2😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2 crowned Kings,king of interviews and king of bongo flavor
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
Yeah ni kweli king zanzibar ni nzuri sana pamoja na watt wake
Umatisha sana king sisi nashabiki zako tunakupenda kwa sababu ni mtu mmoja muelewa sana na una majigambo kabisa..
*Kama unamkubali Ali Kiba bonyeza*
👇
th-cam.com/video/Zw8UI6PdIQ4/w-d-xo.html
I loveeeee you King Kiba ❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
Full package king kiba❤❤
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
❤❤Asha Ally
King kiba🔥🔥
Such an humble person #onlyoneking
th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
THE KING OF INTERVIEWS AND THE ONLY ONE KING👑👑👑👑👑👑🌏🌏🌏🌏🌏🔥🔥🔥🔥🔥
🎙️ shukran kwa Kiba 🎧 🌎 🎙️......
Only one King
Hyu jmaaa anajielewa Sana halaf Yuko social Sana aisee
#rahaaaaa #mrrajjy tunakukubali lil ommy poa sanaaaaaaa fireeeeee
The MVP
Kingkiba 👑💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯👍
Kizazi Sana alikiba umetisha kwenye albam
Half man half amazing 🙏🙏🙏
Sema lilommy mnyawezi sana yaan.
The mvp
King kama king 🔥 🔥
BIG THINKER & MASTER MIND KINGS ON CONVERSATION
Hongera sana King Kiba..wewe unajitambua sana ndo mana umefika mbali
Lili ommy ulikua umetugandisha mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤴🤴🤴🤴🤴🤴🔥🔥🔥
Nakukubali xna king
King 👑 kiba 🚦wasimame kwanza
King Masta
OnlyOne King Forever 🇲🇿🇹🇿🔥💯
Hawakuweziiiii brother