JAY MOE ; AMEFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MANGWEAR | COUNTRY WIZZY NI MRITHI | MAMA ALINIACHA | P MAJANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 36

  • @japhetkarori5230
    @japhetkarori5230 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo mtangazaji ungea na heshima broo..unaongea na baba ako apo😁😁

  • @HumphreyMaona
    @HumphreyMaona 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchopanga fundi

  • @mugadimon3563
    @mugadimon3563 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mchopanga ataendelea kuwaumiza sana vijana

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ngwea huwezi kumfananisha na country jmn nyinyi......ngwea he was so unique kbs kbs.

  • @harunkayuni3994
    @harunkayuni3994 4 หลายเดือนก่อน

    Irambo sec school ilitoa mastaa kibao wengine walikuja kuwa wacheza mpira ktk vilabu vyetu enzi zile

  • @LOLANDSIWALE
    @LOLANDSIWALE 5 หลายเดือนก่อน +3

    Yuko Mbele ya Muda Sana

  • @AugustinoValerian
    @AugustinoValerian 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nikimsikiza Jay Moe ni kama Namsikiza P Funk. wana sound sawa

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huju J ni legend Sana... Ukisikiliza interview yake unapata kitu🎉🎉

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 4 หลายเดือนก่อน

    jay moe anastahili kuitwa 𝐥𝐞𝐠𝐞𝐧𝐝𝐚𝐫𝐲

  • @ChembaBoy
    @ChembaBoy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Interview kali sana I appreciate that guy it's my fucking favorite rap in Tanzania 🇹🇿 Holla machintanga from south Africa 🇿🇦

  • @AMwamzola
    @AMwamzola 4 หลายเดือนก่อน

    Ila ndio ivyo allah alimpenda zaid na wakati wake ulikwisha wakuish duniani

  • @SHEDRACKILOMO
    @SHEDRACKILOMO 5 หลายเดือนก่อน +2

    Anko

  • @ombenyjonny1830
    @ombenyjonny1830 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jay moe namkubali sana mwana nimeanza kumfatilia kitambo sana mpaka leo mwana anajua kabisaa mnyama

  • @AMwamzola
    @AMwamzola 4 หลายเดือนก่อน

    Marehemu ngwair alikua hatar biashara ile

  • @benjaminjackson8567
    @benjaminjackson8567 4 หลายเดือนก่อน

    Always he is the best rapper in Tz🙏🏿🙏🏿

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mo ni mtu mbaya sana vijana jipangeni 🔥🔥🔥🔥

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii wq zamani vichwani wako vzr ila wa sahv weupeee

  • @JamalRamadhani
    @JamalRamadhani 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dar broo heshima yko sna🎉🎉

  • @fotycows3830
    @fotycows3830 4 หลายเดือนก่อน +1

    More technic

  • @fabianjulius5274
    @fabianjulius5274 5 หลายเดือนก่อน +2

    My best rapper

  • @abellamutiganzi7278
    @abellamutiganzi7278 4 หลายเดือนก่อน

    J moo ubazingua bro,,,kipindi icho Dr ilikua na nyumba za udongo,mashamba kama yote babu yangu alikua anaishi manzenze anaenda shambani msasani kote nyumba zaudongo bro

  • @official_dyzzy2949
    @official_dyzzy2949 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nomaah sana💯

  • @SaimonKalemera-im5dq
    @SaimonKalemera-im5dq 4 หลายเดือนก่อน

    Moccasin ❤🏆

  • @yusufsuwi5350
    @yusufsuwi5350 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aminia mbakiaji

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 5 หลายเดือนก่อน +3

    J moe ni among the few anaeweza kujibu maswali vizuuuri sana.🙌🏾🔥

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 หลายเดือนก่อน

    Legend Jay Moe 🙌

  • @osiahstimah
    @osiahstimah 4 หลายเดือนก่อน +1

    We proud of you #famous

  • @abdalamhamed3586
    @abdalamhamed3586 5 หลายเดือนก่อน +1

    J moe my all time rapper

  • @Pclaver12
    @Pclaver12 5 หลายเดือนก่อน +1

    Moccasin

  • @Respecttheogs
    @Respecttheogs 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @OmarySaidi-w5w
    @OmarySaidi-w5w 5 หลายเดือนก่อน

    Country wizzy is the best rapper in East Africa 🚀

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 5 หลายเดือนก่อน

    Muimbaji yoyote akifariki akiwa bado yuko kwenye pick ,juu, huwa watu wanasema angekuwepi angefika mbali lakini wapi wengi ambao walitamba na sasa ni wakawaida. Hata namba moja wa tz angetiweka wakati ule wa nyinbo zake kamwambie sasa hivi wangekuwa wanamaema vizuri watu wote

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 5 หลายเดือนก่อน

      assume child benz angekufa 2010......

    • @stephenziro8530
      @stephenziro8530 4 หลายเดือนก่อน

      Lakini si Kwa ngwea😂😂 huyo jamaaa hata tactics zake hakuna mwenye nazo mpka saa hii, hakua anaforce vitu