Ndugu yangu nakuusia pamoja na kutanguliza kwanza kuiusia nafsi yangu juu ya suala zima la kumcha na kumuogopa Allah kariim mola wetu mlezi mola wetu kipenzi
Ndugu yangu kipenzi katika iiman alikiba nakuusia na nakuomba kwa hisani ya moyo wako na hisani ya imaan yako usiimbe au usifanye colabo na wanawake au wasichana au mabinti wakiwa wamevaa nusu uchi au wakiwa uchi hats kama utapata pesa nyingi kiasi gani
Simaanishi wavae hijaab au niqaab au jalaabiib hapana wavae mavazi ya heshima hats kama ni skirt basi skirt iwe ndefu pana au gauni pana refu lakini sio wavae mavazi ya nusu uchi au wawe uchi kabisa
😂😂😂 Maisha Bhana yaninipaga Raha sana Nakumbuka kipindi Cha Mwanzo wa Aso zangu Kuna Mtu alinambiaga kwakiburi hicho Hautafika Mbali Sasa Chakushangaza Yeye asie nakiburi Namimi mwenye Kiburi wato Hatujafika Mabali kwaiyo tukiangaliana tunabakua😂😂😂 Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Bariki Kazi Zetu amin
Nachompendes kiba sio muoga kasema kama jay melody kamfunika ni viziri wala hakutaka kuvimba kwake ni kawaida na anapenda wanaoimba sio wengine waoga kisa kifunikwa
Aagh fanya mziki wewe acha kuwataka wengine waonekane wabaya kama video zako mbayaa usilete maneno janja janjaa invest pesaa kijana video ujui ata kuvaa unataka kushindana na watu aata jaymelody tu anakushinda quality ya video
Alikiba jua kujibu maswali vizuri wewe,,, sema kuongea siyo kila mtu kapewa kuongea,,,huyu jamaa hajuagi kujibu😢😢😢,, umeulizwa kuhusu wazo la kuanzisha redio unajibu kuwa na roho mbaya😂😂😂😂😂😂
Sasa wamekwambia wanataka kufika popote liziki ya mwenzio uwezi ilalia mlango wazi pambania maisha yako acha kiele ele mkuuu au wendo moja ya wake wa p didy
Ndugu yangu nakuusia pamoja na kutanguliza kwanza kuiusia nafsi yangu juu ya suala zima la kumcha na kumuogopa Allah kariim mola wetu mlezi mola wetu kipenzi
Jambo zuri sana nna imani amekusikia
Nampenda sana sana huyu kaka anajuwa kuimbaa na aheshima nzur
Katikaaa interview za alikibaaa naonaaa hiii amejibuuu kiutuzimaaa sanaaaa
Kingkiba unashine sana aisee! 🎉🎉🎉🎉
@@mrsinia3064 kingkibaka#
Mfalme ni Mfalme na ni Mmoja tu!Salute KING.YOOOOH!
King anazeek na u handsome wake😍😍😍😍
namkubali sana king kiba
Baada ya EP hii ndio nimegundua kuwa Ali Kiba ni kiboko
Nakubali sana kiba unatumia akili sana
King kiba majibu yamenyooka sana kwenye hii interview ✌️✌️
Naipendaaaaaa sana iyiiiii Huwezi Jitekenya mwenyewe alafu ukachekaaaaaa😂😂😂 KIBABAAAAAAA Niko CONGO UVIRAAA Mimi Mdogo wako niliye kupokea ulivyo kuja congo uvira iyiiiii umeongea kama yote Mzaziiiii😂❤❤ OWA utukuze cheooo Babaaa😂😂😂😂
Tamu sana
King 🤴
Nakukubali😮😮😮
King 👑
KING 👑🙌
Nimependa apo
Wameenda mbele yetu😅😅😅
King m mmoja
King of good music🙌🏾
King kibaa true boy
King kiba kweli ni mwalimu aisee
Jamaa fundi sana
Kibaka ❤❤
He is real
🔥🔥🔥🎧🎶
Sawa
🎉🎉🎉🎉🎉maua yako king kibaaa🎉🎉
Ila huyu mwamba anasauti fulani unique
❤
Kingkiba salute
King🔥🔥
Nakupenda Hadi naumwa😢😢
First one🎉
Namuita mimii kiba kibabaaa❤
Upo juu
❤🎉❤🎉❤🎉
King ni moja wale wengine wambieni waende kwa P DIDDY 😂😂😂😂😂
Ali Salehe Crown
King kiba 🥰
Yeeeh baba
The king.
Alikiba masta
Nakubali sana King
Ndugu yangu kipenzi katika iiman alikiba nakuusia na nakuomba kwa hisani ya moyo wako na hisani ya imaan yako usiimbe au usifanye colabo na wanawake au wasichana au mabinti wakiwa wamevaa nusu uchi au wakiwa uchi hats kama utapata pesa nyingi kiasi gani
🎉🎉🎉
Simaanishi wavae hijaab au niqaab au jalaabiib hapana wavae mavazi ya heshima hats kama ni skirt basi skirt iwe ndefu pana au gauni pana refu lakini sio wavae mavazi ya nusu uchi au wawe uchi kabisa
nilidhani Alikiba kwa kua anamiliki Media yake ndio basi tena kuonekana huku....
King kiba
Mpaka wavae mavazi ya heshima
Alikiba is alright
😂😅hamuja fikiya Congo kwanza. Muache kujitiya ku Nigeria
Family iyo
King
King is really for all time
😂😂😂 Maisha Bhana yaninipaga Raha sana Nakumbuka kipindi Cha Mwanzo wa Aso zangu Kuna Mtu alinambiaga kwakiburi hicho Hautafika Mbali Sasa Chakushangaza Yeye asie nakiburi Namimi mwenye Kiburi wato Hatujafika Mabali kwaiyo tukiangaliana tunabakua😂😂😂 Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Bariki Kazi Zetu amin
Big time Shekhe
Nic san king
Nachompendes kiba sio muoga kasema kama jay melody kamfunika ni viziri wala hakutaka kuvimba kwake ni kawaida na anapenda wanaoimba sio wengine waoga kisa kifunikwa
kaka kiba we m2 sana mika20 atuja way sikia ata siku moja kwamba ume shikwa tako ila awa ndugu zetu wanaingia miji kwa pupa wana kutana matango poliii
❤❤❤❤
Tommy flavour yup wap
Wasanii wa TZ ni Kinde king 🤴 na mario basi
Alikiba
Much love from +974
Acheni ku paka mambo msio yajua nyinyi ni watanzania
*chuma kama mwamba baba yao hujawahi imba ujinga kaka mimi ni mtoto wa 1877*
Nice one
Acheni wivu, fanya kazi ionekane si bifu mara kuna robot, ata mkiungana kwa mondi bado saaaaaaanaàaaaaa.
Rudini kwa mola wenu mziku hela mnzozpta kwenye mziki ni gharam kwenu nyinyi waislam
😆😆😆😆😆King haeni kwa Diddy kabsaa
Nini😂😂
Huyu nae r kely kamuacha kweli?😂😂
@@barakasandey1980r Kelly Hana skendo za kula masela, Didi ndio Mzee wa kudidi
😅😅😅😅😅😅😅😅hata hatakanyaga anga zake
Kiba
Nomaaaaa
alikiba hajui kufany interview, hajui kujib maswali, anaulizw hich anatoa maelekez mengin aaakh, cjui hamn mtu wakumwambia
Mafate ukamwambie wewe boss unaushauli mzuri maana walomzunguka Awana Akiri wewe unazo
Sawa
Duuuuuuuuh haya ndio yanakuwaga machaw uzeen
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
King uchape mwingi
Oy nashangaa mnamzumngumzia Mond si mlimfungia au shobo nying sna
Ata alingi😅😅
Afu kuna watu wanasema anadharau
Clouds nyie ndo mnaoleta hizi tim kweny mzik Tz
Inatakiwa uwe ubaya ubwela 😢
R. Kelly nae alikamatwa ata fally pupa nae akutoka salama kwa R Kelly
Ukimkataa Didy je R Kelly alikuachaje ikiwa yeye ndio mapema kabisa kala nondo?
Wewe pambana na hali yako, Did kashamfanya Mond kubalini tuh
R Kelly kesi yake ni kutafuna under 18 young girls nasio kuwala wenzie kama Diddy
Hivi yule R kely nae kapita nae huyu ama
Saf
Acha ku tafuta ya watu fanya yako jamaa acha lawama alafu una sema utaki kuja judges watu...😶🌫️😶🌫️😶🌫️
Mbona ninyi hamsapotiani
Ngurue huyu
Huyu nae r kelly ajapita nae kwelii?
😂😂😂
Muziki ni pesa Sasa hivi haijarishi unapiga muziki wa aina gani ...
So wewe unazo hizo pesa ama wewe pia ni chakula cha Diddy😅😅😅
@@jumakibwana1810 mkundu wa mama Ako wee Kwan Mimi mpiga mziki kenge wee tafuta pesa ya kula ona ulivyo pauka mbwa
Aagh fanya mziki wewe acha kuwataka wengine waonekane wabaya kama video zako mbayaa usilete maneno janja janjaa invest pesaa kijana video ujui ata kuvaa unataka kushindana na watu aata jaymelody tu anakushinda quality ya video
rapper mkali ajae ni mimi plzz🙏🏾 ni follow kama utaki hama Tz🇹🇿
piga maombi sana 😂
Daaah mwamba kaza sana unamiaka 6 lakn eeeeee😂
Sudi acha usenge babu sisi tunaskiliza vitu vya maana
Mwamba
chungeni huyu,didy kaua simba
Alikiba jua kujibu maswali vizuri wewe,,, sema kuongea siyo kila mtu kapewa kuongea,,,huyu jamaa hajuagi kujibu😢😢😢,, umeulizwa kuhusu wazo la kuanzisha redio unajibu kuwa na roho mbaya😂😂😂😂😂😂
Hiyo bongo flava mpige mpaka mufe hautafika popote coz bongo flava ni copy ya muziki wa afro na bolingo ndani yake
Sasa wamekwambia wanataka kufika popote liziki ya mwenzio uwezi ilalia mlango wazi pambania maisha yako acha kiele ele mkuuu au wendo moja ya wake wa p didy
Nyinyi mnaofika mbali tumeshawajua kumbe mnaendaga kwa Diddy, sisi mtuache na bongo yetu nyinyi wa Diddy endeleeni😊
Mkataa chake ni mtumwa basi kaa ukijua ww ni mtumwa
Huyo aliefika mbari ni nani au ndio yupo kwa bby oil
Msani wako daimond ni demu wa diddy😂😂😂😂😂
Tunaomba alikiba afundishwe kuvaa asee kma ni gym sahv anaenda ajitahd bx kuvaa kma msanii bhna duuh
Mbona yupo poa tu, au cjakuelewa avaaje labda
Kwani wasani wanavaa vp et
@@Sampovoice8088
Unataka avae hereni labda, mi nampenda yupo simple
Avae bikin aende kwa diddy au😢
Kwani kavaa uchi 🤣🤣🤣 ila mond ndoanajua kuvaa achakufata mkumbo kila mtu ana life style yake
nice interview but that is salim kikekes media you are just a front man
King
Yeee baba
🎉🎉🎉