Ommy Dimpoz: Alikiba ukaribu umepungua, unamuongeza kwenye list ya Maadui - PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Ommy Dimpoz katika interview hii ameongelea ishu za kutokuwa karibu tena na Alikiba, Maisha anayoishi, Stori za kuacha Muziki na mambo kibao
    Subscribe channel hii LilOmmyTV kuangalia full interview, Like, Comment na Share video hii kwenye WhatsApp Groups na Mitandao yako ya kijamii.
    #LilOmmy #OmmyDimpoz #Podcast

ความคิดเห็น • 86

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana Ommy! Maisha yako Ni maisha yako si lazima yawe Ni matangazo! Hiyo email wangekuwa wasanii Fulani hapa ingetembea kwenye kila chombo Cha habari! Huo Ni ukuaji uliotukuka!

  • @shakirally3899
    @shakirally3899 2 ปีที่แล้ว +5

    King of interview hii ni ya moto sana

  • @moullaommywayneofficial1199
    @moullaommywayneofficial1199 2 ปีที่แล้ว +10

    Woow mr ommy lil ommy na ommy dimpoz nami pia moulla ommy🇧🇮 wanangu wa tz nipe like zangu me number one kuona interview ku like ku comment

  • @habbykhaleed3390
    @habbykhaleed3390 2 ปีที่แล้ว +6

    Nawakubali xana endeleni na urafiki wenu huohuo mungu awape pumzi😍😍😍😍

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 2 ปีที่แล้ว +2

    Huwa napenda ommy anavyoongea upo polite sn Kaka 🙏🙏

  • @abdulnaseer8017
    @abdulnaseer8017 2 ปีที่แล้ว +7

    Perfect interview , both ommy's seem really down to earth, much love from malawi 🇲🇼

  • @alawithebestconcept-as1005
    @alawithebestconcept-as1005 2 ปีที่แล้ว +4

    It's only artist in Tanzanian I like him because he's very honesty man and he's never lie for everythings he saying . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @samueldzombo9626
    @samueldzombo9626 2 ปีที่แล้ว +1

    Ommy keshapotea cha ukweli,mimi ni number one fan wake na ofcourse pia mimi ni fan wa lilly Ommy.Much love from Kenya.

    • @kasimukabeje6919
      @kasimukabeje6919 2 ปีที่แล้ว

      Kapotea Nini Tena wakati ametafuta tobo lingine la kupata hela mzik wa tz haulip inabidi uangalie the way utapata hela

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 ปีที่แล้ว +5

    Humble sana Ommy 🔥🙌

  • @saramosses6701
    @saramosses6701 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Omi anaumuwek mungu sna mbele...

  • @yunusomar7573
    @yunusomar7573 2 ปีที่แล้ว

    This is the 1 of the celebs in tanzania wakiongea hawana kutwenge(kujishauwa) katika kuongea anaongea simple. Kina nyinyi lil ommy muonangea kiswahili lakini mapozi kibao kama dem

  • @logicsmith3085
    @logicsmith3085 2 ปีที่แล้ว +8

    Bro nimekubali this interview
    Love from Burundi 👊👊👊

  • @realnine..
    @realnine.. 2 ปีที่แล้ว +3

    #LilOmmyTV
    The MVP
    Half man Half Amazing 👏 🙌

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson 2 ปีที่แล้ว +6

    King ,,, much respect much

  • @luotrendingnation
    @luotrendingnation ปีที่แล้ว

    Wow

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +8

    Daaah maisha ya bongo magumu eti lily Ommy anunue cheni ya milioni 50 ukooo utampa laana eti mtoto kachanganyikiwa 😂😂😂😂Ommy dimpoz mcheshi sana

  • @ahmedjobs6453
    @ahmedjobs6453 2 ปีที่แล้ว +5

    We realy miss you ommy💪

  • @jacksonnathan7053
    @jacksonnathan7053 2 ปีที่แล้ว +6

    Mvp tambwe fanya utuletee diamond 💎 🙌

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 ปีที่แล้ว +3

    Ommy 🔥🔥🔥

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda ommy kwaajili ya Allah mstaarab sana ,majibu na maswali👍👌 ❤🇨🇭🇹🇿

  • @kunanitv7287
    @kunanitv7287 2 ปีที่แล้ว +2

    Ommy hana nouma yuko good

  • @mwendwamjukuu9468
    @mwendwamjukuu9468 2 ปีที่แล้ว +1

    Namuelewa sana pkp📌

  • @michaelkado1862
    @michaelkado1862 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice interview

  • @issayaemilly8160
    @issayaemilly8160 2 ปีที่แล้ว +5

    The MVP

  • @salmazaidalabrawi3723
    @salmazaidalabrawi3723 2 ปีที่แล้ว

    your same like me ❤ exactly 💯

  • @goldenjunior_tz
    @goldenjunior_tz 2 ปีที่แล้ว +1

    Fact 🔥🔥🔥

  • @princecouturebrand
    @princecouturebrand 2 ปีที่แล้ว

    Interview Kali sana

  • @gutalemohammed5043
    @gutalemohammed5043 2 ปีที่แล้ว +1

    Dollar Moja za kitanzania ....I like it

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 2 ปีที่แล้ว +1

    On the wall also... Logo of GSM.... I saw it

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥 🔥 🔥

  • @aminiomary9516
    @aminiomary9516 2 ปีที่แล้ว

    👍👍noma sana

  • @ozilbar7836
    @ozilbar7836 2 ปีที่แล้ว

    bonge la interview ommy dimpoz

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 2 ปีที่แล้ว

    nimekuelew huyo ndio wew huko sahih u always u

  • @Tec_martin
    @Tec_martin 2 ปีที่แล้ว

    Nomaaaaaa MVP

  • @aziziwailu7531
    @aziziwailu7531 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 2 ปีที่แล้ว +4

    MVP ...Much respect from 🇶🇦🇶🇦

  • @evelynensanga3330
    @evelynensanga3330 2 ปีที่แล้ว +2

    Ha! Sasa ommy itakuwaje ukiowa mke ama ukiwa nawatoto? utapata shida ndugu yangu kwagisi unapenda kitu kiwe kama unakitaka Hmmmm hapa kazi ipo

  • @dtv6734
    @dtv6734 2 ปีที่แล้ว +1

    tatizo Dimpoz anaOngea sanA !!!!!

  • @Sharifu_musssa1988
    @Sharifu_musssa1988 2 ปีที่แล้ว

    I like

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 ปีที่แล้ว

    👊👊👊👍

  • @tuliadamson3422
    @tuliadamson3422 2 ปีที่แล้ว

    Wooow

  • @aboymoon9972
    @aboymoon9972 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo track suit nimeielewa broo

  • @jacintahwanjiku7691
    @jacintahwanjiku7691 2 ปีที่แล้ว

    I wish Ali Ange understand hivyo ommni anavyosema about his funs Alikiba angukuwa ameniunderstand vile....

  • @directornyambi9888
    @directornyambi9888 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimekua wakwanza

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 ปีที่แล้ว

    Huna watoto wew,,Ukizaa utaelewa TU huo ugonjwa wako WA usafi kuwa hauna ila unajifanyisha

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 2 ปีที่แล้ว

    dimpoz 🇹🇿🇹🇿

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh usd dollar 10,000 per night masaa 8 kulala milioni 23 naenda mbinguni

  • @sasquaremusic3140
    @sasquaremusic3140 2 ปีที่แล้ว

    Mambo VIP bro please mtafute spark alieimba na tunda tunahitaji kujua mengi juu yake Ana kitu yule mtafute bro

  • @msurymaulidy180
    @msurymaulidy180 2 ปีที่แล้ว

    M nakukubar

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️

  • @waziribakari6067
    @waziribakari6067 2 ปีที่แล้ว

    Tambweeeee💣

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 2 ปีที่แล้ว +1

    Duu kaka Angu ommy
    Uta owakeli kwausafi uo
    Lakini nyota zenu ndoziko
    Ivyo mpo kama sisi tuma
    Ana mimi mwenyewe ugo
    Viwangu mkubwa kuusu
    Uchafu yaani mpaka wana
    Niona kama naringa lakini
    Wanaonijua wa najua toka
    Mdogo niko ivyo washani
    Zoea Shida kawasonijua
    Yaani akiigia mtutu akitoka
    Lazima niweke tenasawa

  • @shanzuagencyshanzuagency3845
    @shanzuagencyshanzuagency3845 2 ปีที่แล้ว +4

    Ommy dimpozz anaimba sana lakini ananiboa sana kuongea sana unaulizwa kitu ww unaongea sana watu wengine kama sisi hatutaki meme mingi

    • @watchme5678
      @watchme5678 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🙌

    • @yunusrnb5227
      @yunusrnb5227 2 ปีที่แล้ว

      Sasa unataka binadamu wote wawe Kama wewe?

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว

    Nadhn hyo ya usaf inaweza kuwa nd sabb ykuchlewa kuoa

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว

    😘😘😘

  • @sayna98
    @sayna98 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukatili mwingi

  • @ochutrendmwonekano5619
    @ochutrendmwonekano5619 2 ปีที่แล้ว

    Unyama

  • @danpool5816
    @danpool5816 2 ปีที่แล้ว

    🤲🇰🇪🔥🙌

  • @rakhimrahman6684
    @rakhimrahman6684 2 ปีที่แล้ว +2

    Mjanja huyu😀😀hahaa kafikilia,,Harmo,,Mondi,,Kiba,,Marioo,,no😷😓😀😀hahaa amuweka mfano Roma mkatoliki on out of plan😀😀✌🏿😅

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee usaf ulioptiliza

  • @nenengopoos5476
    @nenengopoos5476 2 ปีที่แล้ว

    We mke huwezi wewwe

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 2 ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @stefanoruki2050
    @stefanoruki2050 2 ปีที่แล้ว +2

    Wendini gani kaka

  • @berahinoalimas719
    @berahinoalimas719 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakufuata awe platnumz basi tumuone apa

  • @asyakareem2416
    @asyakareem2416 2 ปีที่แล้ว

    Usafi ni muhimu lakin

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 ปีที่แล้ว +1

    He definitely got OCD 🤣🤣🤣

  • @YED-B
    @YED-B 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi kuwa na mwana mke wewe mshenzi

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 2 ปีที่แล้ว

    Bibi ya Ommy Dimpoz ana shida