ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Bandari ya Dar kuanza ujenzi “Lazima …, Zaidi ya Meli 25 zinakaa wiki mbili mpaka tatu ...”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2024
  • Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema pamoja na maboresho yaliyofanywa katika bandari ya Dar es Salaam, kuna haja ya kuongezwa gati namba 13 hadi 15 ili kuongeza ufanisi wa bandari hiyo.
    Katika kufanikisha kazi hiyo, Profesa Mbarawa amezikaribisha kampuni za uwekezaji kutoka Misri kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye ujenzi wa magati hayo.
    Profesa Mbarawa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Februari 19, 2024 katika kikao cha Wizara ya Uchukuzi ya Tanzania na Misri kilichohusu ushirikiano wa uwekezaji katika sekta ya uchukuzi.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot

ความคิดเห็น • 1