Ni neema kubwa kupata viongozi Bora kama Hawa wenye uzalendo Wa nchi Yao na Uwezo mkubwa Kwa ajili ya maendeleo ya nchi , allah azidi kukulinda na akuzidishe baraka tele
Iyo besi 0 mbona iliisha zamani na Magu ndo aliijenga Apo mnaleta siasa tu akuna jipya,Mngejenga Bandari ya kisasa Bagamoyo kwa ela zetu ningewasifu kwa cc tunao ijua iyo Bandari akuna ata cha maana mlicho kifanya besi zote 11 kajenga mkoloni
Ufafanuzi mzuri, ni sifa kwa taifa kuwa na vijana wazalendo wenye uelewa mkubwa wa biashara muhimu kama hii. Mwenyezi Mungu akuongoze ,Aamyn .
Ni neema kubwa kupata viongozi Bora kama Hawa wenye uzalendo Wa nchi Yao na Uwezo mkubwa Kwa ajili ya maendeleo ya nchi , allah azidi kukulinda na akuzidishe baraka tele
Iyo besi 0 mbona iliisha zamani na Magu ndo aliijenga Apo mnaleta siasa tu akuna jipya,Mngejenga Bandari ya kisasa Bagamoyo kwa ela zetu ningewasifu kwa cc tunao ijua iyo Bandari akuna ata cha maana mlicho kifanya besi zote 11 kajenga mkoloni
Na Ukarabati Wote huo lkn Mukamua Kuuzia Mwarabu na Kutuachia Sisi Madeni tuhangaike nayo Siyo?
Usichokielewa usikizungumzie😂😂
Shenzi type bandari nzuri hivyo na nchi ilishapiga hatua harafu 2017 dmgp mnakamslisha Kisha geti mnauza
Sasa Kwa nn meli za kontena zinakaa sana kusubiri foleni
Magufuli alianza hii kitu, ndo inakamilika Leo? Duh
Come down..
❤❤
Pumbvu zenu kumbe mnaweza wapuuuzi nyie