MGOMO: WAFANYABIASHARA WAFUNGA MADUKA MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • Wafanyabiashara Jijini Mwanza wameyafunga maduka yao kwa kile wanachoilalamikia masuala mbalimbali yakiwemo ya kikodi.
    #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
    #Follow @radioonetanzania

ความคิดเห็น • 8

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mifumo ya Kodi ya Tanzania inamgandamiza Sana mfanya biashara. Gharama na Kodi ni nyingi sana

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mama kazi iendeleeeee

  • @ushindiushindi5749
    @ushindiushindi5749 6 วันที่ผ่านมา

    Mwanza hiyo

  • @yusuphaman3449
    @yusuphaman3449 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanza Jiji

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 6 วันที่ผ่านมา

    TRA iondolewe serikali iweke mfumo ambao walipa kodi tutalipa na pesa itaingia moja kwa moja hazina sio kupitia kwenye mikono ya vishoka WaTRA

  • @Madeson10
    @Madeson10 6 วันที่ผ่านมา

    Gege

  • @user-wl8fg8ne1f
    @user-wl8fg8ne1f 6 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni mwanza au kariakoo 😁😁😁🫡