MANZESE WAFUNGA MADUKA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI YA MBUNGE KITILA MKUMBO 'AMETUTENGA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 36

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mpuuzi anasema kwamba mama hapendi kodi za dhuruma..hivi hajui kwamba masuala yanayohusu kodi na tozo nimaswala yanayomuhusu rais
    Kila kodi lazima rasi asaini halafu inapelekwa bungeni wabunge kazi yao nikusema ndio
    Ikiisha pita inarudi kwasamia samia anasaini sasa inaingia mtaani kufanya kazi
    Halafu haka kadudumtu kanasemanmama hapendi dhuruma
    Kaka huyo sio mama yako

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 3 หลายเดือนก่อน +2

    Msilalamike fanyeni kama kenya acheni kuregeza ulimi myaka yote raiya wa tz wanakuwa kama hawanahaki uaonaikikaribiya uchaguzi wanapita wakiomba kura wakipata tu basi wote waliyobaki hawana haki raiya wanaishi maisha yatabu myaka yote wanapewa maneno matam wanaregeya.simameni mkagombee haki zenu.ila msifanye uharibifu .nendeni ikulu mkaome kuongeya na mama yenu .wa tz mmepooza sana .

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani itatuchukua muda sana kuwa na akili,mnaye muomba ndio anatia Saini,ndio anayekopa nje sasa ninyi.mna akili kusema YETU tunaomba rudini shule vichwa viwe na akili

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu mama mama mama kwani utafikiri wote hapa hamna mama zenu
    Kataeni ushenzi

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa za maauzo yabandari haitoshi nanyinyi mchangie kodi ni ndogo sana mnalipa.
    Badotaisoma number

  • @kadiakirua7621
    @kadiakirua7621 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana boda boda mmeongea kwa hisia sana

    • @DevothaLighton-dl6zi
      @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน

      Hawajaongea CHOCHOTE Cha maana kwakuwa huyo mama wanayemlilia ndio ana kopa nje,anataka akalipe Kwa Kodi yaani apate hela nyie mnasema tunakuomba toa tamko ili kuondoka kodi.pumbavu maansense kuweni na akili nakiongozi wenu huyo

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lipeni Kodi na tuache janja janja Ila Watumishi wasio waadilifu waondolewe faini zingine Sidhani hata kama zinafika Serikalini

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 3 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli mwenye mtaji 50,000,000 unakuja kumdai 700 ,000,000?!!!ww unaedainess hivi kweli una akili?au ww pia una biashara n'a un alipà hivyo? Nindiqué watu wa kodi mnamatatizo gani?Au kwa kuwa mmepewa tu mamlaka hayo?

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 3 หลายเดือนก่อน

    Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ya kija mbazi

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 หลายเดือนก่อน

    Maandamano jamani tunayaita kwa nguvu.. Hali ni tete mno mtaani...

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 3 หลายเดือนก่อน

    Hata sisi wafanyabiashara tunamia msituone kama tunagoma

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน

    Shida ni Samia anabembeleza wez wanafanya wanachokitaka nyinyi ni wajinga et mama yetu wajinga nyie

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ninyi manzese vichwa vigumu,msikilize kiongozi wa mwanza wa wafanyabiashara alivyosema,sheria zibadirishwe.sio mama yetu ssH

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 3 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali inajeuli sana haitaki kusikiliza wananchi,angalieni yanayo jili kenya

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana wadau . 7:00 Tumebaki na kodi za kikoloni zilizo kua zinazuia wazawa kufanya biashara

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu yupo na milion.moja heti kod 450000.tra.lesen 100000.sevilev 108000 bado usafi bado uliznz bado dod ya nyumba kujilipa mwenyewe kiukwel kazi ngum

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli mkuu hii service levy iwe kwa
    Waingizaji wa mizigo na viwanda..kwani mali hiyo hiyo kiwanda kinalipa watu wa jumla na rejareja vilevile kwa kiingereza wanaita double taxation

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน +1

    Servce revy ni sawa na kikokotoo tozo za wafanya biashara mwiguru atawamaliza

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eti mama yetu mpedwa samia stupid sana samia nae ni hivi ni raisi hayo yanatokea kwa sababu mama yetu samia hana level na sifa ya kuwa kiongozi wa taifa kubwa Africa kama bongo

    • @GerardMdui
      @GerardMdui 3 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa sana

  • @peterrandego1489
    @peterrandego1489 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo kwenye Kodi hizo za kiuni ni mwigulu hata magu alimfukuza kwa matendo yake hayo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      Sio mchemba ni Sheria Zetu. Sheria Zetu shida tunatunga bila kuzingatia mazingira fulani fulani. Hivyo zinatoa mwanya wa rushwa na ukandamizaji. Kodi Zetu kipimo kinatakiwa kiendane na mapato sio aina ya biashara. Tatizo mfano lesseni ya hardware kubwa na ndogo viwango sawa. Viwanda vidogo na vikubwa viwango sawa huku ukweli uchumi unatwambia kiwanda kikubwa na kidogo haviwezi kuwa na gharama sawa za uzalishaji. Na mara nyingi viwanda vidogo hûwa na gharama kubwa za uzalishaji. Ila Kwa uzoefu wetu tozo tz Kwa bidhaa zinalinganishwa. Ugonvi mkubwa upo Kati ya TRA na wazalishaji wa bidhaa zinazo zalisha bidhaa zinalipa kodi ya Zuio. Watendaji wanajua kwamba compliance ni ngumu. Iyo inakaribisha rushwa. Tatizo sheria wakati zinatungwa, hatazamwi kimakini na kizalendo. Zingine ni kana kwamba ni hujuma ya uchumi.

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน

    Rais Hana sifa za kuongoza hii nchi amepachikwa tu matzo yoote chazo ni uongoz mbovu Toka juu mbona kpndi Cha magu hatujackia haya

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwenye mama mnazingua

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga mmeambiwa Kila Sheria ya fedha zinazohusu fedha,rais ndio anatia saini.nanyi mnasema mama YETU atusikilize.pumbavu sana manzese

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia out kama ruto

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa wananchi waungwana gomeni mpaka majibu yapatikane sio kuanza kukata tamaa mmoja mmoja hii serikali ina jambo lake! Ndio mpeni masifa ndipo atajibu matatizo ya wananchi kwa maelekezo...

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Dai aki achana na ujane wala mwanamke wala kusifu rais sheria ni kila kitu nchi yetu inaendedhwa kiujima enzi izoo utazani ndipo imezariwatz

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi inashida nyingi mkima hataiyona shamba, mjenzi nae hataiyona mbao

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiona mwezako ananyo lewa ww anza kujitia maji

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Swala sio mama kutamka Shelia zibadilishwa ndio utakuwa msngi wawafanya biashara matamko yanatolewa kila siku hakuna utekelezaji kwasababu matamko na Sheria vinatofautiana

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 3 หลายเดือนก่อน

    Hili mwigulu ni bonge la fisadi

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona mota vieko walitoa