TAMKO RASMI LA MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KARIAKOO "TUFUNGUE MADUKA/ TUMUHESHIMU RAIS"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 98

  • @user-fk6mt5ib6g
    @user-fk6mt5ib6g 5 วันที่ผ่านมา +14

    Huyu anatakiwa kuondoka uongozini mapema kabla hajawaangusha.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni Mwenyekiti wa wafanyabiashara au Msaliti wa wafanyabiashara?? wafungue maduka kwa vigezo vipi?? kero za wafanyabiashara zimeshatatuliwa tayari??? sheria ya service levy imefutwa?? na je sheria kandamizi ya mapato ya mwaka 2022 imeondolewa?? au umepewa ahadi tupu nawe unakubali!! wewe ni msaliti wa wafanyabiashara imabidi ujiuzuru..

  • @thomasmichaellukumai-ny7se
    @thomasmichaellukumai-ny7se 5 วันที่ผ่านมา +5

    Mbona hataki Kuwait's wafanyabiashara uyu anabiashara kweli tafuteni kiongozi mpya

  • @amosmwampamba
    @amosmwampamba 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli mwenyekit huyu mmmh!! Kama hajalamba rushwa bac katishiwa na wakubwa

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 4 วันที่ผ่านมา +1

    Story hiyo sasa unatoa, TRA wakija hapo kudai kodi watakwambia cc hatufanyi kwa kauli za kisiasa, tunaangalia sheria ya kodi inasemaje. Hapo waga mnakosa majibu. Ishi n sheria za kodi zibadilishwe chapu ili mfanyabiashara alipe kodi kutokana na biashara anayofanya. We service lev kutoka 120000 kwa mwaka hadi 240000 kwa mwaka, mara mbili zaidi kwann, mkope hela bila kutushrikisha na hatujui zinaend wap af mpandishe kodi cc ndo tulipe hyo mikopo ya serikali, nyooo

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe hufai kuwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara hata saa moja.

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 5 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa ni kibaka tayari hili ni tatizo kwa Wafanyabiashara apigwe chini haraka sanaa hana jipya huyu kasharamba

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mheshimiwa Mwigulu alisema kwenye hotuba yake alisema TRA wanatekeleza sheria zilizotungwa bungeni.Bora tupitie hizo sheria na wataalam kwa kushirikiana na TRA na tupeleke bungeni .inawezekana tukapata suluhisho. Na vilevile City service levy infayiwe marekebisho

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 4 วันที่ผ่านมา +1

    Serikali ndo inatakiwa kuwabembeleza wananchi sio wananchi kubembeleza serikali,nasio ombi wala fadhila kwa serikali kutimiza majukumu yake ni lazima kutimiza wajibu wao

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mmekaa kucfiasifia tu badala ya kuwasikiliza wafanya biashara hii nchi

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 5 วันที่ผ่านมา +4

    Yale yale. Kila anayongea lazima amshukuru rais kana kwamba ndiye Mungu. Kwanini chawa wanaongezeka na rais hafanyi lolote?

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 4 วันที่ผ่านมา

      Kwani hujui rais ni mungu..?
      Kwamujibu wa katiba kilakitu ni mali ya Rais hata shule zimeandikwa ofisi ya Rais shule Fulani
      Rais akiamua kukubomolea nyumba Yako atakubomolea kwahivyo lazima tumshukuru ila siku tukijielewa tutakataa rais asiwe mungu kilamtu awesawasawa

  • @josephfrancis9943
    @josephfrancis9943 5 วันที่ผ่านมา +3

    Ww unanuka rushwa msalit mkataeni huyu hafai kuwakiongoz wa wafanyabiashara

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sevice lev ni dhuruma kubwa, nakumbuka zamani hizo, choo cha soko tulikuwa hatulipii, soko lilifagiliwa na wahudumu wa soko, takataka,zilizolewa na wahudumu hao, hapo tulistahiri kulipa sevice lev, siku hizi kila kitu tunalipa wenyewe, sasa hiyo sevice lev nalipia kitu gani? Maana hakuna huduma nisiyolipia moja kwa moja!

  • @abeidsabuni5026
    @abeidsabuni5026 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wataheshimika pale ambapo matatizo ya walalamikaji yatafanyiwa kazi.... Alieshiba hamjui mwenye njaa kwakweli.....

  • @babuummary7723
    @babuummary7723 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kiburi kwenye ela ya mtu acha ujinga ww acha kushobokea hao wanasiasa utaumia

  • @AdiaMwinyi
    @AdiaMwinyi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Bado akuna unachokiongea sis km laia tumeshachoka na izo kodi za kila haina mpka maisha yamekua magum tunataka kodi ishuke asilimia 40% ibaki asilimia 60%

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hyo siyo mwenyekiti,tayari ameungia kwenye mfumo😂😂

  • @RashidiDaudy-ez6zt
    @RashidiDaudy-ez6zt 5 วันที่ผ่านมา +1

    kwa nini mnaenda kuongelea chumbani masuala ya watu wengi waambie waje wenyewe tuongee nao

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kapokea bahasha huyo.

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna mwenyekiti hapo anatia huruma ili iweje, tumeanza kuchoka kenya wameanza

  • @lodnessEnterprises779
    @lodnessEnterprises779 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mhhhh ndio mwenyekiti huyo tunayemtegemea awasemee watu, duh

  • @user-dh1eg4bu9o
    @user-dh1eg4bu9o 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wamelamba asali mbona hajaongelea hoja ya faini milioni 15 hayo anayo yasema niyaleyale danganya toto ya waziri mkuu makajana naleo wanatundanya Tena

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dodoma tena mgomo dar solution dom 😂😂😂

  • @juliusernest8363
    @juliusernest8363 4 วันที่ผ่านมา

    Eti mama aone tuna nidhamu, ya nini? Katupa mtaji? Kenge kweli wew.

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu วันที่ผ่านมา

    Apo kiongozi akuna fanyeni hima mbadilishe uyo mtakuja kujuta

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 4 วันที่ผ่านมา

    Ndugu maduka yakiendelea kufunga shida itazidi kwa wote ni pamoja na wafanyabiashara. Ni hii faini ya 150000000 ni hatari.tunawaomba wabunge watulinde

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 4 วันที่ผ่านมา

    Sikuelewi hata kidogo,
    Hivi babu Rama alivyokufa ulichukua hatua gani

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 5 วันที่ผ่านมา +3

    Chawa uyo

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi Wafanyabiashara Munamuamini vp huyu Chawa Pro? Huyu atawaingiza Mkenge kama alivofanya hapo nyuma

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 วันที่ผ่านมา

    Kama rais hamuheshimu mfanya biashara inakuaje mfanya biashara amuheshimu huyu mzanzibar

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 4 วันที่ผ่านมา

    Kwani wamachinga si walipewa vicard na Magufuli!? Walivilipia elfu ishirini!? Sasa kwanini unasema hawajulikani.

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 4 วันที่ผ่านมา

    Waziri wa fedha ajiuzuru.. nchi haiendeshwi kwa kuwanyonga wanyonge

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 4 วันที่ผ่านมา

    Wafanya biashara Wote Tanzania Tafuteni Mwenyekiti, huyo sie kabisa

  • @ramadhanzenj9111
    @ramadhanzenj9111 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona leo umeongea pumba nyingi siku ile mulipoongea na waziri mkuu Kariakoo si alisema mambo yote yatashughurikiwa mbona bado yako pale pale vipi kuhusu yule mfanyabiashara aliyekuwa anaidai Tra milioni mia tisa toka utawala wa Magufuri kama ni wasikivu walimulipa na nilisikia ashakufa sasa unatutisha na sura ya pili ya Mama ndiyo nini sasa

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 4 วันที่ผ่านมา

    Kada tunakujua sana hovyo kabisa

  • @ImanSimion
    @ImanSimion 5 วันที่ผ่านมา

    Waongo,,waongo,,waongo,,waongoo,waongo wakubwa,mtatuharibianchi kwakutosimamia watu wanyonge,,mnaongea kama mnajua uchungu,,wabiashara matapeli,,

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwege tuu fukuzeni Hana maana ya kuwa kiongozi mnateseka yeye anaona poa tuu anatafuta madaraka kwa huruma kuongelea ubinafsi wake sio wafanya biashara

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 4 วันที่ผ่านมา

    Mm naona masikio tuu nd yanaongea

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 5 วันที่ผ่านมา

    Chawa wa ccm hafai fanyeni kama kwa ancle Ruto

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 5 วันที่ผ่านมา

    Ni vizuri wafanyabiashara kuelewana na serikali na pia kuyafahamu mazingira mapya ya biashara yajayo

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu วันที่ผ่านมา

    Kazi ipo apo

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 4 วันที่ผ่านมา

    Na ww ushanunuliwa wenzako wanasema hujafisha kero zao kama mwnykt wao lakn kuna sintofaham kama wenye viti ndo nyie mnanunulika kirahis hvo mtalipa kod zisizoeleweka had mnyeee

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 4 วันที่ผ่านมา

    hivi wewe kumuheshimu nama ndio umeona suruhusho haki za wafanya buashara ziko wapi hakuna anaemzarau mama isipokuwa haki zetu ziko wapi?kodi zimekuwa mzigo hazilipiki hari ya biashara nimbaya hakuna wateja

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 4 วันที่ผ่านมา

    Kulikua na haja gani ya kushukuru wote ulowashukuru

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 วันที่ผ่านมา

    Acheni msifungue hata mwaka

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 วันที่ผ่านมา

    Namna kitu

  • @TimotheoSoteli
    @TimotheoSoteli 4 วันที่ผ่านมา

    Nitarudi kukaa Tanzania 🇹🇿 Rais akiwa mwingine

  • @user-wt1cg7hj9z
    @user-wt1cg7hj9z 4 วันที่ผ่านมา

    Ww unaogopa.

  • @halidomar9874
    @halidomar9874 5 วันที่ผ่านมา

    Mkuu nahii habar ya kupewa maden yanyuma

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwanasiasa

  • @mahamudumbaruku5237
    @mahamudumbaruku5237 5 วันที่ผ่านมา

    Mnalalamika kuwa utitili wa kodi nyinyi mbna mnajisaau sana ukienda kununua mzigo wa laki 5 eti nikuandikie laki 1 mtende aki kwanza nyinyi wafanya biashara ndo mdai aki yenu nyinyi amtendi aki

    • @mamsha
      @mamsha 4 วันที่ผ่านมา

      Kitu usichokijua mzigo woooote huo za hizo Tozo na Kodi mlipaji wa mwisho ni weww Mtumiaji wa mwisho. Pia hiyo bidhaa moja inalipiwa lukuki ya kodi ukianza na Ushuru wa kutoa mzigo bandarini, Makadirio dukani, PAYEE pamoja na hiyo asilimia inayokatwa kwenye mashine ya EFD ambayo inakatwa asilimia kwa ulichokiuza na siyo Faida uliyoipata kwa bidhaa hiyo. So, kwa bidhaa hiyo moja tu ina mlundikano wa Kodi na Tozo

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 4 วันที่ผ่านมา

    Msifungue 😂 Machinga wapo watauzaa. Maana nyie mkifunga mnajikomo coz ao machinga mnawauzia nyie vitu ili wao wauzee usoni mwenu saivi imekuwa chungu😂

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 4 วันที่ผ่านมา

    Hafaiiiiiiiiiiii

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 4 วันที่ผ่านมา

    Mtien kamba huyu kichaa au au chawa

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 5 วันที่ผ่านมา

    Na wewe mwenyekiti mbona unasahau halaka sana mh.waziri mkuu aliunda tume haijaleta majibu sasa na leo kamishina ameunda tume tena hizo tume kila siku zinaundwa hazina maana kabisa na wewe mkt umeonyesha usaliti hata kama unatishwa na wakuu ungetulia tu

  • @RashidiDaudy-ez6zt
    @RashidiDaudy-ez6zt 5 วันที่ผ่านมา

    viongoz wa ovyo kabisa nyinyi

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 วันที่ผ่านมา

    Kkooo ndio sehemu namba Moja kwa kutokulipa. Kodi ,mzigo wa milioni 3 unapewa risti ya 50,000/ namba Moja kwa kukwepa Kodi kkooo😊

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 วันที่ผ่านมา

      Na wewe unayepokea risiti ya 50,000/- kwa mzigo wa mil.3/- umeripoti kwa TRA au polisi? Usiandike kutaka kunogesha soga, huo ni umbea!

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 4 วันที่ผ่านมา

    M/kiti wawafanyabiashara sisi wafanyabiashara wenzio wawe wanatoa list,mimi huwanaumia sana ninaponunuakitu nibembeleze kupewa list au unaambiwa mtandao hauposawa.Naona mnataka mpate fair kwenye serkali ila nyinyi mnaiumiza serkali msipotoa list.

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 4 วันที่ผ่านมา

      Bro kama hujajua ukitoa list kwa watu WENGI ndivyo serikali inakuona kwenye mfumo kwamba ww unauza sana pia unamahela sana wanakuongezea kodi

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 4 วันที่ผ่านมา

    uyu jamaa anakula rushwaaaa

  • @josephcharles6315
    @josephcharles6315 4 วันที่ผ่านมา

    Kuma lako sasa

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna viongozi hapo

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 4 วันที่ผ่านมา

    huyu anakula rushwaaa

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 5 วันที่ผ่านมา

    Kila siku ivoivo

  • @nestor384
    @nestor384 5 วันที่ผ่านมา

    Porojo za kisiasa..

  • @user-gh4mg2wn8y
    @user-gh4mg2wn8y 5 วันที่ผ่านมา

    Msaliti mkubwa huyu

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu.fala.kama.duka.kafungue.lako..ccm.bye.bye

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 5 วันที่ผ่านมา

    Acha uchawa ccm Wana dhalau huyo ni usalama kama akina zito COVID tuna sela tatu hiyo ya machinga mama lishe kuvamia Barabara milango ya watu kasmu na mama wame semaje? Hawa ni moto zoje sela siyo siyo majungu ya mwigulu na chalamila

  • @ImanSimion
    @ImanSimion 5 วันที่ผ่านมา

    Jamaahuyo Hana chakusaidia watu,,

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 4 วันที่ผ่านมา

    Wale wale 😂😂😂😂

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 4 วันที่ผ่านมา

    Mnalalamika kuwa faini ya M 15 usipotoa list eti ni kubwa mno,unawasiwasi gani kama wewe ni mwaminifu??hao wanaolalamika niwalewatoa rushwa kwamba hata akikamatwa hajatoa list na kwa vile faini ni ndogo anawezakuilipa au akashawishi atoekidogo kama rushwa.Serkali iliangaliehili faini ya M 15 ni sawakabisa.

    • @mamsha
      @mamsha 4 วันที่ผ่านมา

      Mtaji wako ni Mil 7 hadi 10 labda, halafu upigwe FAINI hiyo ya Mil 15. My dear tutakukuta wapi? Think wisely aiseeee

  • @ndimilamandago7060
    @ndimilamandago7060 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wafanyabiashara wanaomba=
    - vat ilipwe bandarini.
    -viwandani
    -uwanja wa ndege
    Na kwenye usafiri wa Tren

    • @user-fk4st8qj2k
      @user-fk4st8qj2k 4 วันที่ผ่านมา

      Wewe siyo mtanzani, Huna uzalendohatakidoho

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 5 วันที่ผ่านมา

    Usalama huyo

  • @user-ny6xw4ps4r
    @user-ny6xw4ps4r 5 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu ni Mwenyekiti msalit hafai kabisa

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 5 วันที่ผ่านมา

      We ndio msaliti hujui nn inaendelea huyo jamaa kafanya kazi kubwa sana na mambo mengi yametatuliwa kwa ajili ya huyo .

    • @user-ny6xw4ps4r
      @user-ny6xw4ps4r 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@AllyMaya-yj3xd pole sana hujui wewe labda ameacha kuwatetea wafanya biashara amegeuka kujipebdekeza kwa serikali akiacha uccm wake anaweza kuwa kiongozi mzuri ila kwa sasa hamna kitu hapo

    • @stephanokanyika6321
      @stephanokanyika6321 5 วันที่ผ่านมา

      Mimi ninacho jua uyo bwana atakuwa ameminywa sio hivyo tu

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 5 วันที่ผ่านมา

      nakubaliana nawe huyu ni msaliti unapewa ahadi tupu unalubali?? kero za wafanyabiashata zinafahamika haziitaji vikao..

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 4 วันที่ผ่านมา

    Ni vizuri maduka yakafunguliwa. Si maduka yote yanafungwa. Maeneo ambayo maduka hayajafungwa sasa hivi wanauza sana. Hivyo ni vizuri tukawasikiliza viongozi wetu wa wafanyabiashara tufungue maduka.

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 5 วันที่ผ่านมา

    Fala wewe umekula hela

  • @christophersimoni1434
    @christophersimoni1434 4 วันที่ผ่านมา

    pumbavu

  • @joelpole8274
    @joelpole8274 5 วันที่ผ่านมา

    Mimi nipo mikoani ivi m/kiti mbona ana masikio kama ya punda? Au ya sungura? Mh?

    • @veronicamokiwa4315
      @veronicamokiwa4315 5 วันที่ผ่านมา

      Mwogope Mungu ndie muumbaji

    • @margarethhovokela2412
      @margarethhovokela2412 5 วันที่ผ่านมา

      Tusifike huko kwenye umbilical la mtu.Hapo unamkosea sana Mungu kama unaamini Mungu.

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 5 วันที่ผ่านมา

    Una shida wewe

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwenyekiti mpumbavu sana ni chawa mkubwa sana,hawa viongozi hawafai kabisa

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 4 วันที่ผ่านมา

    Uyu ni sinichi afai kuwakiongozi