Jamani tunajuta kukupoteza wewe ni bongo la mtunzi mzuri sana uko vizuri Sana nyimbo zako ni hatari zinafenya moyoni na kuumiza na kufanya utafakari mengi sana mwisho wake machozi tu
Mama nema île ngoma hata nyumba familia ilikukuwa Natowa machozi iki sikiliza ngoma hiyo hata kwenye filamu hiyo ilikuwa ni hatari sana twenty hapashwe ishi maisha ya ukosefu kama sio uchawi tuna kupenda sana Congo RDC
Oui oui yes yes twenty ni mutu wa akili nyingi sana anajibu kwa mafumbo ila anaongea bya maana sana shida gani iliyo mpata asiendelee ki muziki nawafata toka RDC Congo Bukavu Ville
Wanamziki muda mwingine sio wanataka kuacha mziki ila wanalogana sana. Mf.20:mavoko:feru:asl: chid:na wengineo wengi wako kimya ni hatari sana halafu inauma sana
Watanzania wengi wanamsukumo nyuma Awawezi kujipelekesha wenyewe kama Awajasukumwa na mtu nyuma basi watasukumwa na upande wa pili wanamini sana UCHAWI
Shida wale wanamuziki wazuri na wenye tungo nzuri mashairi yenye kuelimisha hawapewi saport jamaa huyu ni kichwa miziki yake inasikilizika narika zote.miziki ya sasa ni mitusi majungu sijui kizazi hichi kina nasaba na ulutu badhi ya watu hawaioendi hii miziki ya mitusi binafsi sipend tungo zenye kukiuka maadali sijui kwanini minyimbo yenye mitusi inafundisha nini na inapeleka wapi taifa hili.nimapenzi tuuu bora mtunge nyimbo za kuisifi serekali mazuri yanayo fanywa na serekali na kukosoa inapo kosea kistaarabu.
20% unaongea ukweli watu wanakupenda sana hadi leo. wanakuwa wanakwulizaga ulienda wapi? hakuna muziki hadi leo ambao unalingana na mizkiyako ya ki maadhili ya watanzania mizki tunayo kwasasa duuu ni vuris watoto wa taifa na jami kiujumula
Sifa ya moyo Tamaa moyo sifa yake kutamani Tamaa ya moyo.jamaa alicheza na maneno matatu TU kuyapindua na akafungua nayo Ngoma ya Tamaa mbaya Mziki genius 20
Tungo zako na music wako kwa ujumla ni bora sana,bila shaka kizazi kinachofata nyayo zako ni founder tz
Jamani tunajuta kukupoteza wewe ni bongo la mtunzi mzuri sana uko vizuri Sana nyimbo zako ni hatari zinafenya moyoni na kuumiza na kufanya utafakari mengi sana mwisho wake machozi tu
Haya Ndo Maisha Yanavokuwag Mzeh Wangu Kikubw Duwa Mungu Atakupandisha , Ila Pamban Tu 🎉🎉🎉🎉🎉
Uyu 20% anajibiya kwa fumbo,anaakili sana ,am from drc congo🇨🇩 nakukubali sana kaka.
Kweli kabsa 20 pancent nakukubali Sana mwambaa umeimba miziki ya kudumu mpaka mwaka huu 2024
Naomba namba za brother kuna sehemu wanamuitaji sana
I love your songs 20%, your biggest fun from Kenya. I don't mind supporting you my brother, hope the little I have will help you.
Huyu mkaka nampenda sana tngu zamn na nyimbo zake n nzur na zenye kuelimisha sn nmpenda
nampenda sana huyo jamaa na nymbo zake mungu amlinde❤❤❤❤❤❤
Mama nema ningoma yahu kweli san❤❤❤❤❤❤❤❤ nahi penda sas
Mwanangu anampenda Sana nyimbo zako mungu akuinue tena
Ayondomaisha wasanii wengi wajiunga ndomana maishayao nazur
Huyu brother n Poa sana
usikate tamaa bro amkaa ingiya kazini hujazeheka maisha nimaamzi yako 2%
Baba pacongo tnakukumbuka fika sasa nikimuona nema namoneya huruma wimbo mtamu sana
Mama nema île ngoma hata nyumba familia ilikukuwa Natowa machozi iki sikiliza ngoma hiyo hata kwenye filamu hiyo ilikuwa ni hatari sana twenty hapashwe ishi maisha ya ukosefu kama sio uchawi tuna kupenda sana Congo RDC
20 lidu Kafka mziki tunakumiss sana kaka angu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉ongera sana kaka yangu
Usifate vitu ya ulimwengu 20%.bora wenye akili wamekuelewa❤
Pole sana ningetuma ila sina jinsi nipo msumbiji🇲🇿
Oui oui yes yes twenty ni mutu wa akili nyingi sana anajibu kwa mafumbo ila anaongea bya maana sana shida gani iliyo mpata asiendelee ki muziki nawafata toka RDC Congo Bukavu Ville
My friend sana 20% muimbaji muzuri sana kwakutunga nyimbo
Unapotaka kusonga mbele ukiludisha nyuma Usikate Tamaa ,ngoma inatia nguv sana
Nini kilikukuta kimziki mbona ngoma zako tulizisiaga sana RDCONGO🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Pole sana kaka mungu atakusaidia
Nampenda saana huyu
Kaka jamani unatuma Jina gani kwenye mtandao
Mama nema 🔥🔥🔥
Wanamziki muda mwingine sio wanataka kuacha mziki ila wanalogana sana. Mf.20:mavoko:feru:asl: chid:na wengineo wengi wako kimya ni hatari sana halafu inauma sana
Nyimbo zako nzuri sana zaheshima sana❤❤❤❤❤
Niko marekani nimekutafuta baada ya kusikikiza kibao chako.
20% Mon artiste préféré à Tanzanie 🎉
Watanzania wengi wanamsukumo nyuma Awawezi kujipelekesha wenyewe kama Awajasukumwa na mtu nyuma basi watasukumwa na upande wa pili wanamini sana UCHAWI
Nyumba ya urithi naipenda sana
Dah broo mbna alitoaga kazi nzuri na zilipendwa Sana mpaka Sasa baadh ya kazi zake bado zinapendwa, inamaana alipata hakuwekeza ama alikosa kabisa?
Hapo kwa diara nimeparudia Mara 4,4 ebu gonga like Kama umefsnya Kama Mimi
Brother 20 nina kuku Bali sana jitahidi sana kujirudisha
Na muziki ulivyo ukishuka hakunaga kupanda angalia juma muumini,. Angalia mzee yusuph weeks meza kata matikiti
Ilo kweli kwa 20 pacent mi mmuja wapo natokea msumbiji mueda namkubali sasa,,,,,,,
20 Binti kimanzi nimoja yangoma ambayo kwangu ni ualisia wa maisha yanguuuuu
Nguli wa muziki ❤❤
Namuombea arudi kwenye gem la music umekufa
Mama nem ❤❤❤❤
Nakukubali san broo ila nataman urudi mzik tena
Hayo macho vp
Harmonize alitaka akuinue ukakataa
alishawai kumuinua mtu
Huwezi jua kwanini alikataa . Ngumu kujua
@@herybertsabai6503chawa wenzangu yamanisha nn sielewi mimi
Mungu akusimamie
20 mwenye Akili nyingi❤❤❤
Very nice ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮from Burundi lives in Cape town
tumsaidie kwa lipi sasa mgonjwa au
Tatizo Walimwengu ni wabaye mno walikutoa kwa man Walter halafu wakakutelekeza
Kwani Mzee Umekwama wp!??
Kaka yangu nilikukumbuka juzi kumbe upo endelea na mziki Mimi nyimbo zako nazipenda mno 5:23
Shida wale wanamuziki wazuri na wenye tungo nzuri mashairi yenye kuelimisha hawapewi saport jamaa huyu ni kichwa miziki yake inasikilizika narika zote.miziki ya sasa ni mitusi majungu sijui kizazi hichi kina nasaba na ulutu badhi ya watu hawaioendi hii miziki ya mitusi binafsi sipend tungo zenye kukiuka maadali sijui kwanini minyimbo yenye mitusi inafundisha nini na inapeleka wapi taifa hili.nimapenzi tuuu bora mtunge nyimbo za kuisifi serekali mazuri yanayo fanywa na serekali na kukosoa inapo kosea kistaarabu.
Kina nasaba na Ulutu!🤔🖐️ SEMA kina nasaba na Kaumu lutu!??
Chawa wenzangu yamanisha nn sielewi
Kweli maana hata founder tz anamashairi mzuri naona vikwazo vingi mara aende shule kwanza
Manemane❤❤❤🎉🎉
20% unaongea ukweli watu wanakupenda sana hadi leo. wanakuwa wanakwulizaga ulienda wapi?
hakuna muziki hadi leo ambao unalingana na mizkiyako ya ki maadhili ya watanzania mizki tunayo kwasasa duuu ni vuris watoto wa taifa na jami kiujumula
Mtoto tulia iyoo nyimbo inanikosha
Maisha yabongo
Pol sana kaka yangu 20%
Uyu jamaa ❤❤❤ namkubal
Yaani ulivyo mkimbia tu man water na mziki ukakukimbia
Tamaa mbaya
Daaah 20 ashatoa namba wana tufanye kitu
Kipindi unakula bata hukujua kuna Leo na kesho au
Nyimbo zako zipo moyoni naishi congo
Koo ametaka msaada au 😅
Chung tamaambaya
mmhh bloo imekuwaje?
20% parcent é muito inteligente esse senhor
Miaka yanyuma alikuja Tanga na gari yake akiwa na tuzo zake 5 maisha yanaenda Kasi sana
Mbn boomplay sizioni jamn
20 percent kumuelewa inabidi ufikiri sn
🎉🎉
Safi sana msanii wetu
Jamaa mtu mzuri sana
yanini malumbano jamaa alituliza sna kichwa bonge la wimbo aise
Ajira by twenty pacenty
Kwa sasa kuna music aibu sio music
Nenda kalime
Bint kimazi
Oya mimi namkubari huyu mtu
Nampenda sana
Unabaya
Mama neema
Yanini maneno
Unaomba msaada we nimlemavi pambana jomba hukujua Kuna kesho kwan Bata ulikuwa unakula na mimi Ili nikupe msaada
Wewe ujui maisha
Akili huna mb*a wwe😢
M naikubali ulipo niachacha my
Bangi limechangia kl jambo easly easly....pole sn
Zote tnazipenda sana huku burundi
Dah 😢😢🙏
Kwel 20%😅
Naomba naomba ya 20%
Sifa ya moyo Tamaa moyo sifa yake kutamani Tamaa ya moyo.jamaa alicheza na maneno matatu TU kuyapindua na akafungua nayo Ngoma ya Tamaa mbaya Mziki genius 20
Neno la mwisho by 20
Toa Tena kibao baba mtu mashabiki wako tipo ka wote
Akili nyingi twenty paaaaaah 🎉🎉
Ana akili sana 20%
Achangiwe jamanii mnara usome asaidiewe na ware wagojwa kitandani acha ujinga nguvu bado unazo njoo uku urine viaz wewe
Amebadilika masiki
Akili kubwa
Nilitegea ww utakua wangu
Umeshidwa kumuuliza history ya maisha yake alizaliwa wapi, shule, unauliza maswali ya kawaida na ujinga ujinga yasiyo faa
Anaakili uyo bange zime mlevya