LIKIZO _ part 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #kpnazebuu #zebuu #kp #kpwaaquino

ความคิดเห็น • 656

  • @Francine99Francine
    @Francine99Francine หลายเดือนก่อน +23

    Nailla na queen mnanivunja mbavu nakucheka nawakubali sana nawapenda sana mgu aendeleye kuwalinda ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @pauloDanieli-z4p
    @pauloDanieli-z4p หลายเดือนก่อน +28

    Yaani mzee likoma badala ya a bed eti Abedi ,nayla na queen wanajua mbinu za kivita nimeipenda hiyo kp hongera xana

  • @LaurentJulius-qq4jf
    @LaurentJulius-qq4jf หลายเดือนก่อน +5

    Hongereeni sana watto Kwa kutupa burudani nzuri,maua yenu hayo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 หลายเดือนก่อน +15

    Likizo hii jamani imetuletea kitu kinzuri KP hongera sana kaka kwakutu letea hii movie nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 หลายเดือนก่อน +6

    Hahahaahahahahah wewe unapenda mbili mbiliii😂😂😂😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja หลายเดือนก่อน +1

      🤭🤭 vinaumbua😂

    • @AsiaMakame-r7n
      @AsiaMakame-r7n 10 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli 😂😂😂😂😂😂💔

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂😂😂 Mbavu zangu, Hawa watoi wako 🔥🔥🔥🔥🔥pokeani maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹

  • @Zhekhar-j3w
    @Zhekhar-j3w หลายเดือนก่อน +52

    Baada ya kusumbua sana naira na mwenzake hatimae wamekubali kuingia kazini kwa mara nyingine kazi nzuriiiii.....may allah blessing 🙌

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      Hivi hawa ni watoto wake nn?

    • @estermoses7682
      @estermoses7682 หลายเดือนก่อน

      Mtoto wake ni naira​@@GeorgeAkasha-zx2rj

    • @TheresiaRamadhani-f8h
      @TheresiaRamadhani-f8h หลายเดือนก่อน

      Mmoja wake na mwingine nahis ndugu yake likoma ila naila wa kp na zebuu​@@GeorgeAkasha-zx2rj

    • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
      @AugustinhoManyangaunitedboetz3 หลายเดือนก่อน

      Naira wake na queen ni likoma​@@GeorgeAkasha-zx2rj

    • @ONESMOEKinyagaenosi
      @ONESMOEKinyagaenosi หลายเดือนก่อน

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 หลายเดือนก่อน +30

    😅😅😅😅😅aiseee hii movie nzur sn watoto wananogesha

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน +2

    Watoto wanaweza kweli ❤❤❤❤❤😂😂😂😂na Babu yenu mko moto kewli

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado หลายเดือนก่อน +1

    Kama munafanya movie Kali...Ila iyi bwana 🤣🤣🤣🤣🤣kali kweli naipenda saaaana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 หลายเดือนก่อน +57

    😂😂😂😂😂 hawa watoto 🔥🔥 kama wa Yanga 5G💚💛

    • @ElizaLeonad
      @ElizaLeonad หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 หลายเดือนก่อน

      ​@@ElizaLeonad🤣🤣🤣

    • @amaniswedi4641
      @amaniswedi4641 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna nayla na queenie ni balaa😂😂
      2
      3

    • @amaniswedi4641
      @amaniswedi4641 หลายเดือนก่อน

      Ninacheka jamani 😂😂😊😊 halafu ipo part 02

    • @Scholaticatoyi
      @Scholaticatoyi หลายเดือนก่อน

      Yeaah❤😂

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki kipaji cha hawa watt mungu akizudishie🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumekuchaaaa nimekumbuka Ancle jj na wanae nahiyo pandaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤ awawatoto nakosa chakusema mungu awalinde sana

  • @LuckyWilliam-g4u
    @LuckyWilliam-g4u หลายเดือนก่อน +4

    😅😅😅 Hawa watoto kiboko hongera sana🎉🎉🎉🎉

  • @MelkiorySteven
    @MelkiorySteven หลายเดือนก่อน

    Asee watot nime❤❤ bure kaz nzur sana kp na zebuu laz zebuu nzur sana😂😂

  • @JacksonMathew-h3b
    @JacksonMathew-h3b 27 วันที่ผ่านมา

    duuuuuuuuh kp umetisha san baba n hao watot nayla na queen mupewx maua yenu❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ShadyaNjemu
    @ShadyaNjemu หลายเดือนก่อน +64

    Anae mkubali kp na hao watot gonga like

  • @CharoJohnson
    @CharoJohnson หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅😅😅😅jamani watoto wangu munanifrahisha kwelii mfundisheni adabu huyo 😅😅😅😅

  • @StephaniaSelemani
    @StephaniaSelemani หลายเดือนก่อน +4

    Jaman muwekee kila siku tunaenjoy mko vizuri sana

  • @SuleimanVester-yg3es
    @SuleimanVester-yg3es หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaallah mungu awabaliki wakina Queen nailya na kp

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf หลายเดือนก่อน +286

    Kama ww unatazama ukiwa kitandan weka like hapa

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq หลายเดือนก่อน +13

    Aki awa watoto Mungu awalinde mkue zaidi na zaid❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu jmn

  • @MaryamHussein-v8v
    @MaryamHussein-v8v หลายเดือนก่อน +2

    Jamn me na wapenda Sana haw watt ❤❤❤❤🎉🎉🎉 allah awap maisha mema na wamalize mwk salama

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 หลายเดือนก่อน +7

    Ilaaa huyu Queen kachangamkaa balaaaaa😂❤❤❤❤❤

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana หลายเดือนก่อน +1

      Huyu Queen mkubwa kidogo huyo Naiyla hata mwili wa uchanga haujamwisha

  • @عليسالم-ظ7غ
    @عليسالم-ظ7غ หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂Punguzakamdomo naongezamwaka wamapumzikokamakizazindo iki nawapendaburemie❤❤❤

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂Yan nimefurai kuion ten 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 หลายเดือนก่อน +7

    Yani mbio zote umeshindwa pakujificha😂😂😂na mlango ujafunga mashuzi juu 😂😂😂😂

  • @AnnaLabson-l9z
    @AnnaLabson-l9z หลายเดือนก่อน +2

    Jamani kazi nzuri ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉nawapenda hawa watoto

  • @MemoryBandah-j6n
    @MemoryBandah-j6n หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂 kingereza nikazi babu likoma na wajuku wake 😅😅😅

  • @FurahaWarda
    @FurahaWarda หลายเดือนก่อน +39

    Wow ahsantee tuliosubiri kwa hamu saana tujuane kwa ku like

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 หลายเดือนก่อน +3

    Hongeren sana jamani Mungu awaongoze kwa kazi nzuri ❤❤❤

  • @Madammayra
    @Madammayra หลายเดือนก่อน +5

    Siwezi ishi bila zebuu😂tumuone zebuu plz myself i missed her❤

    • @zulfasaid9506
      @zulfasaid9506 หลายเดือนก่อน +1

      Nilikutana nae ana mimba kubwa Naona ataigiza akishajifungua

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t หลายเดือนก่อน +2

    Kivumbi na jasho leo mbavu zangu😂😂😂😂😂😂❤❤🎉🎉 dar najikuta nacheka kwanguvu zote

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe หลายเดือนก่อน +6

    Ao watoto nihatar Sanaa wapewe mauwa yao❤🥰💪🇸🇦👌🇧🇮💯😊

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf หลายเดือนก่อน +10

    Mzee likoma na utajiri duh 😂😂😂af kp na minyambo koma 🫵😂😂

    • @SarahWanyonyi-nu5zc
      @SarahWanyonyi-nu5zc หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @RaelYeko
      @RaelYeko หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ หลายเดือนก่อน +10

    nakubali kaka kazi nzuri ila naira ni moto sanaaa

  • @TabithaShija
    @TabithaShija หลายเดือนก่อน +3

    Kaz nzr vitt vyang😂😂💕💕

  • @EricKambale-j4c
    @EricKambale-j4c หลายเดือนก่อน +2

    ❤ni kiboko ya movie kweli😂😂❤

  • @AnnaSillo-mn8mq
    @AnnaSillo-mn8mq หลายเดือนก่อน +2

    haki hawa watotot wanakufaa kp daaah inanoga mnooo HAPPY NEW YEAR KP NA ZEBU

  • @DolikasiYusufu
    @DolikasiYusufu หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤ nawapendasana watoto awa niimefurai sanakwavipanji

  • @HawaAwadhi-yy7hn
    @HawaAwadhi-yy7hn หลายเดือนก่อน +1

    Yaan aliyetunga hii stori amenigusa sana big up ❤

  • @RachelNgalya
    @RachelNgalya หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ntakufa na kicheko mie siyo kwa how are you hiyo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 หลายเดือนก่อน +1

    Nayla kafanana na kp queen kafanana na zebuu 😂😂😂kama wa kwao file

  • @Awoshy
    @Awoshy หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya utajiri ndio anayopenda mzee Likoma 😂😂😂😂

  • @KatanaMazurui-re9qq
    @KatanaMazurui-re9qq หลายเดือนก่อน

    Ila nailla na queen mnaivunja mbavu sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @JibranMursali
    @JibranMursali หลายเดือนก่อน +3

    Kp punguza kujamba😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SharonNatasha
    @SharonNatasha หลายเดือนก่อน +2

    Kali kama pasi😂😂😂😂 watoto wa 2024 dio hawo 🎉🎉

  • @KhadijaNassor-xr2qo
    @KhadijaNassor-xr2qo หลายเดือนก่อน +1

    Hi move ni noma chukueni mauwa yanu❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 หลายเดือนก่อน +3

    Ila kubwa jinga likanasa alafu kofia ka muuza utumbo😂😂😂 duh 🙌 ...my girls 🎉🎉🎉

  • @AishaEssau-y5w
    @AishaEssau-y5w 4 วันที่ผ่านมา

    Queen na naila mnanivunja mbavu vyivyi watoto ❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AishaEssau-y5w
      @AishaEssau-y5w 4 วันที่ผ่านมา

      na mimi naomba like zangu wa 21 please please please please please please please please please please please musinivunje moyo jamani 💔

  • @FatmaMusaifa
    @FatmaMusaifa หลายเดือนก่อน +4

    😂😂yani hivi vitt dah❤❤

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 หลายเดือนก่อน +3

    Courage Nawapenda san ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @halimajay606
    @halimajay606 หลายเดือนก่อน +5

    Naona mabinti zangu washashiba ice cream 🎉🎉masha Allah Allah awalinde na shari za watu na majini In sha Allah ❤❤

  • @Swamycute-l8o
    @Swamycute-l8o หลายเดือนก่อน +299

    Assalam alaikum ndugu zang bwana yesu asifiwe wakubwa shkamoni wadogo muhali gani kila atakae soma hii comment Allah amjaalie aweze kuvuka mwaka salama na amjaalie aweze kupata hitaji la Moyo wake 🤲🌺🙏🌹💝💝🥀💕🤲🥀🌺❤️🙏👀🤲🥀🤲🥀🌺🤲🤲🤲🤲🤲

    • @Raheema-f5n
      @Raheema-f5n หลายเดือนก่อน +6

      Amen 🙏 ❤❤❤❤

    • @aishaallyaishaally3220
      @aishaallyaishaally3220 หลายเดือนก่อน +7

      Ameen

    • @UwimanaAisha-u5v
      @UwimanaAisha-u5v หลายเดือนก่อน +4

      Allahum amin

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +7

      😂 kumbe kuna mbini mpya ya kutafuta like na hamsemi 😂 HII NDIO DUNIA BWANA Oo Oo Oo, Oo Oo Ooo 🎉 Yaliyopita, kwenye dakika

    • @mejubagu6825
      @mejubagu6825 หลายเดือนก่อน +4

      Walaikum salamu waramathullah wabarakatu

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂 hii likizo nomaa

  • @fatumaseifu-q2v
    @fatumaseifu-q2v หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂😂😂😂 yaan awa watoto ni hatari

  • @FrolaJoseph-b2p
    @FrolaJoseph-b2p หลายเดือนก่อน

    Mayra ni mempenda jaman nikazuri hongeren sana 💝💝💝

  • @SalomeMkosamala-m4i
    @SalomeMkosamala-m4i หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂Tunamtaka na zebuuuuu😢😢

  • @UmmyChilumba
    @UmmyChilumba หลายเดือนก่อน +13

    Atimae vimekubali kushoot baada ya kununuliwa axlimu😂😂😂

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw หลายเดือนก่อน

      Umeona eeh 😂😂🙌hatar balaa 🔥🔥

    • @UmmyChilumba
      @UmmyChilumba หลายเดือนก่อน

      @MwanamkasiBakari-pb2gw nimeona dada🤣🤣🤣

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw หลายเดือนก่อน

      @@UmmyChilumba ila wanafurahsha sana😅😅

  • @Mussa-vz7ff
    @Mussa-vz7ff หลายเดือนก่อน +3

    Miyayusho kp huyo jambaz si anasilaha kwann asivunje halafu mmekaa mmestaeehe km hamna jambaz ndani

  • @EzraSamwelKanyon
    @EzraSamwelKanyon 20 วันที่ผ่านมา +4

    Watoto hao jaman wameipendezexha movie kama upo na mm gonga like

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 หลายเดือนก่อน +4

    Nimerauka vipi napenda hao watoto kwa kweli 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢🎉🎉🎉

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 หลายเดือนก่อน +2

    hatimae wamakumbali 😂😂😂wajuaji nawapeda sana watoto hawa🫶

  • @AndimaDouglas-l3o
    @AndimaDouglas-l3o หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri Jo Na Hao watoto kweli wanafanya acting poa

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx หลายเดือนก่อน +2

    Wajukuu na babu yao mumeweza😂😂😂😂😂

  • @OkatungwA
    @OkatungwA 28 วันที่ผ่านมา

    Mmejipanga kp nimeipenda hii😂😂

  • @Zeena-wc2rd
    @Zeena-wc2rd หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂eti kubwa jinga limesha nasaa😅😅awa watoto

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 kuna rambo na bandame kha!!! Kazi io

  • @HalimaAbubakali-rp5xs
    @HalimaAbubakali-rp5xs หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂et upunguze ka mdomo😂😂duuuh nyie watot nowma chukueni mauwa yenu🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo หลายเดือนก่อน +4

    Hawa wanafaa kuwa n matwins bebs 🥰😆

  • @ZafarAlly-y5y
    @ZafarAlly-y5y หลายเดือนก่อน

    Kp na zebuu mnajua sana hongera na mzee likoma

  • @Zhekhar-j3w
    @Zhekhar-j3w หลายเดือนก่อน +21

    Wakwanza leo😂 naomba like zangu zebuuu🎉🎉

  • @Kasongo-s5v
    @Kasongo-s5v 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂Mze wg likoma wewe ni mupiganyaji sana wa vita njoo tusaidie kwetu congo😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 mbona hayau 👌 jamani Babu mbavu zangu mie

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm หลายเดือนก่อน

    Kp na na watoto wako tixha xana nimeipenda❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnnastaziaThomas-u9q
    @AnnastaziaThomas-u9q หลายเดือนก่อน +1

    Ety kofia Kama muuza utumbo jmn nayla umejua kunichekesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri หลายเดือนก่อน +1

    Mh kp vitasa umevipiga wap wewe😂😂😂😂😂😂

  • @FatumaIssa-g9t
    @FatumaIssa-g9t หลายเดือนก่อน +93

    Yani hawa watoto kuongea kweli 2 kama kuingiza wanajua na wanajua tena km unalikubali hilo gonga like hapo

  • @judithoranga9520
    @judithoranga9520 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂nimefurahia kabisa,, hii nayo ni antdot

  • @SmilingCanoe-xz2xj
    @SmilingCanoe-xz2xj หลายเดือนก่อน

    Queen umetisha hongera Nayra🎉🎉mmetisha kwakweli 😅😅...

  • @JumaSaid-i7j
    @JumaSaid-i7j 29 วันที่ผ่านมา +4

    Awa watoto na wapenda sana jamani naomba like ata moja

  • @eunicejefwa1935
    @eunicejefwa1935 หลายเดือนก่อน +3

    Sijachukua mali ndugu jambazi😂😂😂😂

  • @Kwizeraadam-e7y
    @Kwizeraadam-e7y หลายเดือนก่อน +8

    Kp wallahi weye nirofa Sana baba yaani unachekesha hadi najikojoleya

  • @conradmpenda3187
    @conradmpenda3187 หลายเดือนก่อน +3

    Malizieni zote watoto huku wameipenda hii season. Muda si mrefu wanafungua shule wengine wanaishi boarding. Kwahiyo wapeni Raha kabla hawajafungua wamebakiza siku chache sana🙏

    • @kpwaaquino
      @kpwaaquino หลายเดือนก่อน

      Sawa na Hii ni Zawadi kwao🎉🎉

  • @JudyPeter-c6j
    @JudyPeter-c6j หลายเดือนก่อน +7

    Daah hzo sounds mnaweka znafurahisha sana yanin mie nmeachia, mkono juu mwendo wa mateka😂

  • @khadija2113
    @khadija2113 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂watoto mnavitmbwi sana jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂wajuku na babu yenu munamambo😂😂😂😂

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 หลายเดือนก่อน +14

    Kp kwa kujijambia🙌🙌🙌

    • @GilbertSambaya
      @GilbertSambaya หลายเดือนก่อน

      Kbsa 😅😅😅😅 anajamb san bn 🎉🎉🎉🎉

  • @MoosesKuloba
    @MoosesKuloba หลายเดือนก่อน +3

    Leo ni leo zebu na kp wametuletea waigizaji wa😊 ajabu

  • @ChanelleIrakoze-p9n
    @ChanelleIrakoze-p9n 19 วันที่ผ่านมา

    Haya wuu 😂😂 Iyo vita vya majimaji bilifanya makosa kwl 🇧🇮

  • @jennifercharls4991
    @jennifercharls4991 หลายเดือนก่อน +4

    Nani amesikia mali gani ndugu jambazi😂😂😂😂

  • @Rebeccanjohn
    @Rebeccanjohn หลายเดือนก่อน +5

    Nawapenda sana nom ❤❤❤

  • @Focasnyari
    @Focasnyari หลายเดือนก่อน +9

    Mpaka watoto warudi shule kp atakuwa ashachanganyikiwa

  • @RafhaelMutha
    @RafhaelMutha หลายเดือนก่อน +1

    Nani anamtambua mzee Likoma🎉😂😂piga 👍 How ya wooo😅😅😅

  • @AdijaOmarOmar
    @AdijaOmarOmar 12 วันที่ผ่านมา +1

    Awa watoto ni noma sana

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂lkoma tamaa ilkuponza hata kwa mr money ilkua jiwe

  • @NanaTz-r2c
    @NanaTz-r2c หลายเดือนก่อน

    Hahahaha nimecheka sana watoto wanavipaji awa 😂😂😂

  • @tuyengel1874
    @tuyengel1874 23 วันที่ผ่านมา

    A cat = chapati 😂😂😂😂, yani daaaahhh maua yenu kabisa❤❤❤🎉

  • @LilianWanyonyi-d3k
    @LilianWanyonyi-d3k หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana nayla n queen