Baraka za mwenye Haki - Rabbi Abshalom Longan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙌

  • @berthamkamba6758
    @berthamkamba6758 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu, napenda kusikiliza mahubiri yako. Yananipa Sana nguvu ya kusonga mbele.

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 2 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU alie hai Shaloom

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ohoooo Aleluya Aleluya umenifanya nimejiona niko juu kuliko mchanga kumbe mi.i ni nyota àsante ubarikiwe Yesu kirsto apewe sifa zake

  • @anilindakyanda933
    @anilindakyanda933 5 ปีที่แล้ว

    neema ya Mungu yatutosha

  • @estherbakabona9930
    @estherbakabona9930 5 ปีที่แล้ว +3

    Lazima ni jenge 🏡 Amen
    Ninazo nguvu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 3 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako ndugu yangu

  • @michaelmaterego2489
    @michaelmaterego2489 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ninabarikiwa nawe asante sana pia kukufahamu

  • @liliantitus7067
    @liliantitus7067 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah 🙌

  • @Pdom100
    @Pdom100 4 ปีที่แล้ว

    Shalom,
    Namshukuru Mungu kwa kunipa kusikiliza hekima yake kupitia wewe. Baraka zake ziendelee kutamalaki.

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisaa

  • @judithlutaremwa6859
    @judithlutaremwa6859 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, kweli mwenye haki ataishi na kutawala na kula mema ya nchi

  • @yohanaswalo4716
    @yohanaswalo4716 2 ปีที่แล้ว

    Aminaa!!!👉🇮🇱

  • @haruniphilemon9060
    @haruniphilemon9060 5 ปีที่แล้ว

    Ameen hakikaa sofa na utukufu ni Kwa JEHOVA

  • @estherbakabona9930
    @estherbakabona9930 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuli fundishwa dunia sio kwetu sisi ni wapitaji katika dunia kwetu ni mbingu

    • @beitabrahamnyumbayaabraham2974
      @beitabrahamnyumbayaabraham2974  5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kwa sababu nyingine za kibinadamu ila maandiko ya Warumi 4:13 yanaonesha kuwa Baba yetu Ibrahimu alipewa ahadi ya kuwa mrithi wa ulimwengu alipewa na uzao wake si kwa sheria bali haki aliyokuwa nayo kwa njia ya imani

    • @beitabrahamnyumbayaabraham2974
      @beitabrahamnyumbayaabraham2974  5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kwa sababu nyingine za kibinadamu ila maandiko ya Warumi 4:13 yanaonesha kuwa Baba yetu Ibrahimu alipewa ahadi ya kuwa mrithi wa ulimwengu alipewa na uzao wake si kwa sheria bali haki aliyokuwa nayo kwa njia ya imani

    • @estherbakabona9930
      @estherbakabona9930 5 ปีที่แล้ว

      @@beitabrahamnyumbayaabraham2974 apo Mimi na barikiwa kila siku naku fahamu maandiko sababu tulikua najiwa kumiliki ni anasa na wakristo ni kama maisha ya kristo ilio kuwa ya ukosefu

    • @estherbakabona9930
      @estherbakabona9930 5 ปีที่แล้ว

      @@beitabrahamnyumbayaabraham2974 tangu mimi kufatilia mafundisho yako biashara yangu ime anja Ku guwa na maono yangu yeme komaa ,wewe ni baba yangu ya kiroho, asante. Mungu aku bariki

    • @haruniphilemon9060
      @haruniphilemon9060 5 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 3 ปีที่แล้ว

    Asante YESU hahahaha. Nimepona mm huwaambia watu toka Mungu ametamka miaka 120 hajabadilisha kumbe nayo ni ya waovu hahahaha Asante YESU

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏