MATESO YA MWENYE HAKI NI MENGI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 16

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 ปีที่แล้ว

    Mchungaji,, Asante kwa ujumbe huu mzuri, umenifungua mawazo yangu kabisa,, Asante Mchungaji Magoti, MUNGU wetu akuzidishie maono na uchambuzi mzuri wa maandiko MATAKATIFU,,, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @doreenamos9994
    @doreenamos9994 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mtumishi wa Mungu...mahubiri yamenibariki sanaaa,pastor Magoti umeongea na maisha yangu kabisa,😭😭🙏🙏🙏ubarikiwe sana

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah asantee Mungu kwa MAFUNUO HAYA MAGUMU, Ombi langu YESU naomba IMARISHA IMANI YNGU KWAKO.

  • @mijashushu9321
    @mijashushu9321 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee magoti kwani uliniona?
    Namshukuru Mungu kwa somo hili nimefumbua macho yangu .
    Nilikuwa sijui kabisa. Nilikuwa nikilalamika sana. Sasa sitalalamika tena kabisa.
    Mungu akubariki kwa somo zuri ajabu

  • @habibaipanda6192
    @habibaipanda6192 4 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeen baba

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Amen

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 2 ปีที่แล้ว

    Amen God bless you pastor

  • @linetnyaga2368
    @linetnyaga2368 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi kwa neno la bwana

  • @enocknyambaso9035
    @enocknyambaso9035 4 ปีที่แล้ว +1

    BARAKA

  • @Roseokongo355
    @Roseokongo355 ปีที่แล้ว

    Amen,God save me from my troubles in Jesus name.

  • @rosaliamutuku4120
    @rosaliamutuku4120 4 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Pastor for sharing...God Bless

  • @makuruchacha3401
    @makuruchacha3401 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Mary-rn9db
    @Mary-rn9db ปีที่แล้ว

    Kufutwa kazi na wakubwa

  • @sophiaandrew9230
    @sophiaandrew9230 2 ปีที่แล้ว

    Nimekufuatilia mafundisho yako nayaelewa napataje namba yako