KURUDI KWA YESU - Rabbi Abshalom Longan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @PriscaChangoma-jf6tq
    @PriscaChangoma-jf6tq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sema baba atakaesikia afahamu hz siku ni za hatari sana

  • @MwambaDidier-wq4qu
    @MwambaDidier-wq4qu หลายเดือนก่อน

    Mutumishi wa Mungu unatubariri sana kwa neno la Mungu hasa sana ukihubiri neno la Mungu kuhusu unyakuo wa kanisa Ubarikiwe

  • @Vero-z6w
    @Vero-z6w ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba, najifunza sana, nayarudiarudia sana yananijenga sana.

  • @rebeccayona393
    @rebeccayona393 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ni wa ajabu sana. Mungu aibariki Israel na Yerusalemu, Mungu akubariki mtumishi, aibariki Tanzania. Nimempenda Yesu.

  • @onolathandedela9440
    @onolathandedela9440 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba anafundishaaa vzr mnooo

  • @onolathandedela9440
    @onolathandedela9440 2 ปีที่แล้ว

    Hasa somo la kurudi kwa YESU KRISTO

  • @MwambaDidier-wq4qu
    @MwambaDidier-wq4qu 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda israel sana Muniombee ili nami nifike inchi la taifa la Mungu

  • @dorotheabadili4526
    @dorotheabadili4526 5 ปีที่แล้ว +5

    Hakika wakati ni sasa wa masihi kurudi,Bwana Yesu naomba mwisho mwema

  • @Martine-bd3sy
    @Martine-bd3sy 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana baba kwa hii ukweli.ubarikiwe saaaaana na Yesu

  • @roseeeleee
    @roseeeleee 10 หลายเดือนก่อน +1

    Injili ya kweli kabisa siku hizi za mwisho MUNGU atainua mashujaa kama hawa ili ukweli wa neno la MUNGU ujulikane

    • @SnhZjhz
      @SnhZjhz 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 6 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe sana baba kweli tunatakiwa kuishi maisha yenye tumaini

  • @jefwakalama4336
    @jefwakalama4336 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya

  • @Vero-z6w
    @Vero-z6w ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa na kufunguka sana kila ninaposikiliza mafundisho haya. napenda kuyarudiarudia sana

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 10 หลายเดือนก่อน

    Past unanibariki sana baba Mungu akubariki Sana

  • @smartlifefashion
    @smartlifefashion 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu amecharundi yumo ndani yako

  • @CaptainLufumbe
    @CaptainLufumbe 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mjumbe wa nyakati za mwisho

  • @haruniphilemon9060
    @haruniphilemon9060 5 ปีที่แล้ว +3

    Nafatiliaga sana mafundisho yako mazuri sana ,toka Singida nabarikiwa sana

  • @gideanjohnlukwaro7981
    @gideanjohnlukwaro7981 27 วันที่ผ่านมา

    NINABARIKIWA KUNA MENGINE NILIKUWA SIYAJUI KUMBE KICHWA CHA GOLLIAT KILIZIKWA NJE YA JERUSALEM

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw ปีที่แล้ว

    Mungu akusamee Bure tu, Kwakuwapotosha watu wa mungu, kuhusu kutopitia mateso,mateso ni lazima, ndo unyakuzi ufuate,soma 1wantesalonke 4:13-18 soma hayo mandiko mpendwa, achana na maneno pasipo neno,uongo nilazima uingie kanisani ili mungu apate walioa makuni,na kumbuka ya kwamba siku ya hukumu Kila mtu atasimama mwenyewe bila mchungaji

    • @olaislukumay2208
      @olaislukumay2208 8 หลายเดือนก่อน +1

      Dhiki kuu ni baada ya unyakuo Soma vizuri

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 6 หลายเดือนก่อน

      We ndio usome vizuri dhiki kuu itakuja baada ya unyakuo kupita hapo ndio mpinga Kristo anajitangaza wazi wazi

  • @pascaziaz.butoiakasisterp.3897
    @pascaziaz.butoiakasisterp.3897 7 หลายเดือนก่อน

    Injili ya kweli isiyo na janja janja wa utapeli MUNGU AZIDI KUKU TUMIA KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI PAPAA !

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Kwa mahubiri mazrii

  • @elisevikova-qo7mi
    @elisevikova-qo7mi ปีที่แล้ว

    Nakaza mwendo. YESU arudiapo, anikute na jamii langu tukiwa tayari. Mafundisho mazuri kabisa. Tunashukuru.

  • @HabimanaFerdinand-l4y
    @HabimanaFerdinand-l4y 26 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina kubwa

  • @tupokengwala2027
    @tupokengwala2027 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu ni kwa Bwana.

  • @IrakozeDominique
    @IrakozeDominique ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe Rabbi Abshalom umenijenga kabisa

  • @ProvinceProsper
    @ProvinceProsper 7 หลายเดือนก่อน

    Jitaidi sana ndipo utanyakuliwa siku hiyo inatisha

  • @hatangimbabaziSenzoga-kz4nm
    @hatangimbabaziSenzoga-kz4nm 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu na kusihi unipe kujiweka tayari Amena.

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi kwakweli mahubiri yako yana nibariki sana tena sana mungu azidi kuku tumiya

  • @BatronNkolabigawa
    @BatronNkolabigawa ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure, kwa Mara ya kwanza nimekusikia, nimesikia kubarikiwa mno.

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba

  • @amonsekajingo6996
    @amonsekajingo6996 9 หลายเดือนก่อน

    The christians need this. God bless u Rabbi abshallom.!

  • @daudkipasawinga924
    @daudkipasawinga924 3 ปีที่แล้ว

    SoMo hili ni zuri mno Barikiwa Baba ...SoMo hili limenifanya kujifunza kuishi katika kweli na kumngojea Kristo

  • @lucmtembezi4420
    @lucmtembezi4420 4 ปีที่แล้ว +2

    From Maryland, Baltimore 🇨🇩. God bless you.

  • @joycewakandwa9457
    @joycewakandwa9457 3 ปีที่แล้ว

    Tume shukuru mungu kwa neno la unabii. Nipo south Africa

  • @fidelischinguku1556
    @fidelischinguku1556 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki kwa elimu nzuri

  • @edwardpatrick4100
    @edwardpatrick4100 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mtumishi!!

  • @ezekelebisengimana7356
    @ezekelebisengimana7356 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu aku bariki kabisa.

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 8 หลายเดือนก่อน

    Glory glory hallelujah

  • @azaliamathias414
    @azaliamathias414 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Rabbi🙏

  • @marthahenry7332
    @marthahenry7332 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana Mtumishi Mungu akuinue zaidi, na Mungu atusaidie katika kipindi twende na Bwana

  • @عائشهعائشه-م9ق
    @عائشهعائشه-م9ق 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atunguwe fahamu zetu tuambiwe natusikiye

  • @barakantalenga3195
    @barakantalenga3195 2 ปีที่แล้ว

    Umebarikiwa

  • @leahndumbya
    @leahndumbya 7 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @mankamassawe9410
    @mankamassawe9410 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @jacobsteven2613
    @jacobsteven2613 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu hawataki tena kusikiliza injili ya kuludi yesu wanataka mafanikio nd mana ata coment ni chache yesu utusamehe🙏

    • @haruniphilemon9060
      @haruniphilemon9060 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakika ,unenenaa watu wametekwa na mambo ya dunia

  • @hawaomary1641
    @hawaomary1641 2 ปีที่แล้ว

    Amina,Amina

  • @MwambaDidier-wq4qu
    @MwambaDidier-wq4qu หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bettykageza1964
    @bettykageza1964 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed rabbi

  • @edwardpatrick4100
    @edwardpatrick4100 3 ปีที่แล้ว

    Tunachokiona Izrael, nimekumbuka mahubiri haya siku ile. Nimeamua kurudi kusikiliza tena. Unabii

  • @marthaarnold1283
    @marthaarnold1283 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen Rabbi. Be blessed

    • @alammkini2325
      @alammkini2325 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akubark ,unatuinua sana kiimani hvyo hatuna bud kutia bidii Ktk neema ya Kristo

  • @stephennsarhaza7411
    @stephennsarhaza7411 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanksgiving for your teaching, God bless you more Amen, Amen, Amen

  • @godlivingkimaro2824
    @godlivingkimaro2824 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @ndimamsuya9709
    @ndimamsuya9709 2 ปีที่แล้ว

    Ooooh! Glory to God, I was there at Dodoma Luth Cathedral , Am so blessed!

  • @eunicenangole5740
    @eunicenangole5740 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho Rabbi. Kweli this is what we need to hear and to know. God bless you.

  • @danngailo4396
    @danngailo4396 3 ปีที่แล้ว

    Hakika hakika

  • @leahelias5275
    @leahelias5275 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @azizaaziza468
    @azizaaziza468 3 ปีที่แล้ว

    Amena amena

  • @greenmwasile9769
    @greenmwasile9769 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen be blessed

  • @mercyadisa9030
    @mercyadisa9030 6 หลายเดือนก่อน

    Lakini sisi tulimkubali wayahudi wakamuua.but twapenda waisraeli.

  • @toshanyiti2154
    @toshanyiti2154 9 หลายเดือนก่อน

    MIMI SIO MSABATO😅

  • @Vero-z6w
    @Vero-z6w ปีที่แล้ว +1

    Hakika ninajifunza kitu kikubwa, injili iokoayo ina upinzani mkubwa sana, ila ingekuwa ya kufanikiwa kimwili kungekuwa na coment nyingi, nimeamini ibilisi anajitahidi kupambana na injili isiwafikie watu waokolewe kutoka gizani, amewapiga upofu kabisa watu wasimjue Mung aliye hai, maneno haya ni ya uzima kweli.

  • @neemakameta6479
    @neemakameta6479 5 ปีที่แล้ว +2

    Nayaishi mafundisho yako

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @christinandetaulwa4039
      @christinandetaulwa4039 2 ปีที่แล้ว

      Amen Rabi Longan. Nimrbarikiwa na ujumbe huu. Jumbe za namna hii ni nadra siku hizi. Tunasikia injili za mafanikio tu sasa. From your Old friends Mr and Mrs Urio of Arusha TZ.

    • @priscaelisha3326
      @priscaelisha3326 2 ปีที่แล้ว

      Napenda sana mafundisho yako Nimazuri sana.Barikiwa baba

  • @HBI-TV
    @HBI-TV หลายเดือนก่อน

    Nina swali walio kufa , watakuwa wapi wakati huo

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 8 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa lakini baadhi ya maneno yako yanapingana na biblia hasa unapisema wayahudi wnaamini yesu ni masihi wengi wao hawakuamini mpk leo na bado wanamsubili masihi ndiomana Yesu akasema Nabii hakubaliki kwao akimanisha wayahudi hawatamuamini kirahisi bali mataifa

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina kubwa

  • @emilypendeza2147
    @emilypendeza2147 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vemchannel2018
    @vemchannel2018 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @jeanpaullola9277
    @jeanpaullola9277 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vailethdaniel1241
    @vailethdaniel1241 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen