MAOMBI YA KUOMBA MUNGU ABADILI HISTORIA YA MAISHA YAKO - INNOCENT MORRIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @ruthmshereja3976
    @ruthmshereja3976 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eeb Mungu Baba ninakuomba ukabadilishe historia ya biashara yangu,amen

  • @najmahamisi-mr8pg
    @najmahamisi-mr8pg 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU naomba ubadishe historian ya maisha yangu

  • @ruthmshereja3976
    @ruthmshereja3976 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninakuomba Baba ukambadilishe hata mume wangu,ukawabadilishe watoto wangu,ukabadilishe hata Historia ya uchumi wangu,ukabadilishe kazi yangu, ukaniheshimishe Jehova,ukambadilishe mdogo wangu, ukabalishe afya yangu ya roho na mwili,amen.

  • @JosephinaNankoko
    @JosephinaNankoko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba badilisha historia ya maisha yangu

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unaweza yote badilisha kabisa maisha yangu aina zote yawe yako tu ,nipe Roho wako aniongoze,fungua kilochofungwa,kuzuiliwa ,kuandamwa,madeni ya kudai na kudaiwa ,uzao wa kutosha wako Mungu amen

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU baba badilisha maisha mabaya na kuwa ya baraka❤

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante yesu kubadirisha history ya ndowa yangu watoto wangu mume wangu ndugu zangu kazini kwangu biashala zangu mafanyikio yangu , Asante yesu kubadirisha history ya maombi kuomba kusoma bibilia Asante yesu kubadirisha kila kitu changu nakufufuwa kila kitu kiricho kufa nakukifanya kuwa hai tena 👏🏾👏🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫶🏾

  • @mariamwakamela574
    @mariamwakamela574 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Baba naomba leo badilisha historia ya maisha yangu leo katika jina la Yesu

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu badilisha Histria ya maisha ya watoto wa wangu katika masomo yao kwa jina la yesu kristo

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh MUNGU naomba ubadilishe historia ya maisha yangu katika Jina La YESU KRISTO ALIYE HAI AMINA

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oh babayangu wa binguni naomba ubatilishe hisitiria yangu katika jina la yesu

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu nakuomba badilisha history ya maisha yetu. Mungu badilisha kibao hiki cha maisha Yangu

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 2 หลายเดือนก่อน +2

    yesu na kuomba ibadilishe Histria ya maisha yangu

  • @edsonkiwonde6675
    @edsonkiwonde6675 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu badilisha historian ya mume wangu amepata ajali mbaya mala mboli nawatoto wangu nafamilia yangu amen

  • @ruthmshereja3976
    @ruthmshereja3976 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninakuomba ukabadilishe Historia ya maisha yangu,kwa Jina la Yesu

  • @charitykabeu2142
    @charitykabeu2142 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu badilisha historia ya maisha ya mtoto wangu afaulu kwa masomo yake🤲🤲🤲🤲

  • @TUNUMNGONIGANI
    @TUNUMNGONIGANI 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa kubadirisha istoria ya maisha yangu na istoria za familia yetu na uzao wetu tupate ndoa tujenge na biashara zisonge mbere zikue na kuongezeka sana Amen 🙏🙏

  • @Elizabethmuronji
    @Elizabethmuronji 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu batilisha isitoria ya maisha yangu

  • @FloraKajumulla
    @FloraKajumulla 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu badili historia ya maisha ya watoto wangu ktk masomo yao ktk jina la Yesu.

  • @MankaAlly
    @MankaAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu naomba ubadilishe historia ya maisha yangu historia ya maisha ya watoto wangu ,historia ya maisha ya familia yetu,historia ya biashara yangu,uchumi wangu,mahusiano yangu

  • @berthakanyopa7860
    @berthakanyopa7860 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu naomba badilishs historia ya maisha yangu, badili historia ya familia yangu, badili historia ya ukoo wangu

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu uliyebadilisha historia ya maisha yangu yote Mungu mbali huyu mtumishi wako na familia yake yote

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba.badili histo lia ya maisha yangu watoto wangu mume wangu na kaka zangu wote

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba ubadilishe hisitolia maisha yetu

  • @IkeLubuva
    @IkeLubuva หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kubadili historia ya Watoto wangu David na Dennis

  • @AnithaPaul-2580
    @AnithaPaul-2580 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu badili historia ya maisha yangu na ya familia yangu 🙏🏾

  • @Acc-ey6ie
    @Acc-ey6ie 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba ubadirishe historia ya maisha yangu

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amen,
    Ubarikiwe Sana Mtumishi, Tuko Pamoja "

  • @TUNUMNGONIGANI
    @TUNUMNGONIGANI 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU badili istolia ya maisha yangu🙏🙏

  • @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz
    @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu Badilisha historia ya Maisha yangu

  • @neemamushumbusi3695
    @neemamushumbusi3695 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu badiri historia yangu na ya mwanangu na familia kwa ujumla

  • @EvelyneNdabunga
    @EvelyneNdabunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu badirisha historia ya maisha ya familia yangu

  • @SolangePélagie
    @SolangePélagie 2 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu badili historia yamaishayangu mwaimwaka

  • @SamwelKubeni
    @SamwelKubeni 2 หลายเดือนก่อน

    Yehova badilisha historya ya maisha yangu

  • @LucyIvory-wf4jj
    @LucyIvory-wf4jj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba badilisha maisha ya jeremia aokoke akugeukie wewe aokoke

  • @LucyIvory-wf4jj
    @LucyIvory-wf4jj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba badilisha historia yamama p namume wake ktk ndoa yao

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen 🙏🙏

  • @NizereOrnella
    @NizereOrnella 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anisaidiye

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @janethbatenga8195
    @janethbatenga8195 หลายเดือนก่อน

    Change my history and allow to meet my destiny helpers🙏🏻

  • @janethbatenga8195
    @janethbatenga8195 หลายเดือนก่อน

    Amen
    We are blessed through your teaching🙏🏻

  • @mechasabina4672
    @mechasabina4672 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu badirisha historia y watoto wangu. Wazazi wangu dadangu dungu zangu katika jina la Yesu kristo Amen

  • @e2012ize
    @e2012ize 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana

  • @e2012ize
    @e2012ize 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz
    @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz 6 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeen

  • @emmyteyani4194
    @emmyteyani4194 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU badilisha historia MAISHA yng kwa kila sehem, MUNGU badilisha historia ya MAISHA ya watoto wng kwa kila sehem, MUNGU badilisha historia ya MAISHA ya ndoa yng kwa kila sehem,, MUNGU badilisha historia ya ukoo wng kwa kila sehem, MUNGU badilisha historia ya MAISHA ya uchumi wng kwa kila sehem, MUNGU badilisha historia ya wokovu wng kwa kila sehem.AMEEEEN🙏

  • @edsonkiwonde6675
    @edsonkiwonde6675 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mimi nmeokoka

  • @RizikiRemy-n9k
    @RizikiRemy-n9k 2 หลายเดือนก่อน +1

    HEEE MUNGU WA IBRAHIM NA ISAC NA JACOB BADILISHA CV, YANGU NA WATOTO WANGU.

  • @christineadhiambo3496
    @christineadhiambo3496 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @neemamushumbusi3695
    @neemamushumbusi3695 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen