Lengo kuu la Maombi sio kupata mahitaji kutoka kwa Mungu kama anavyojaribu kuweka huyo bro anayedai kumwomba Mungu mara moja inatosha . Maombi ni kuwasiliana na Mungu na kiashiria cha uhusiano ulio hai na endelevu. Maombi ni kumshukuru, kumtukuza na kumsifu na kumwabudu Mungu. Kwa mantiki hiyo hata mara tatu haitoshi. Mfano, Mfalme Daudi alienda hekaluni mara kumi kila siku( zaburi 55:17, zaburi 119 :164)
Itajukua muda mrefu tu sana kitambo tupate kipaji hatari kama cha huyu dada. Namkubali na roho yangu yote. Your number one fan from +254🇰🇪🇰🇪...E.A Oyeeeee!!!!
Huyu kijana vipi si achangamke kuuliza watu maswali kuhusu na maoni ssa mara anawaonesha video badala awaulize watu wenyewe waseme, ila ni mependa kuona rose 🌹 Mungu akuinue juuu zaidi 🙏🙏🇰🇪
Raw talent bila chenga, vocals zinatoka live very classic. Uzidi kubarikiwa Rose Muhando, nime-enjoy program hadi imenibidi kuangalia mara mbili mbili.
Huyo Mzee wa kwanza yupo vizur sana kwa maandiko barikiwe mzee
Huyu baba wa barakoa na kavaa kofia had raaha anamjua sana Yesu na analjua sana neno la Mungu
Leo nimefurai sana kumuona Dada Rose kwenye kipindi Cha wasafi
Tanzania,, east Afrika,,sijui niende mpaka Africa nzima hakuna mwimbaji mzuri wa nyimbo za gospel kama rose muhando anaekataa ni mnafiki
Ni maoni yako 😂😂
Leo nimeipend mnoo #Motown umekutana na baba huyo maneno ya Mungu yote anayajuwa 🔥🔥🔥🔥 #Rose nakupend bure mamy
Huyu mama ana sauti nzuri anaimba live kama kawaida bila hofuuu 🙏🏽🙏🏽😘😘😘❤
Rozi Muhando ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Mama LA mama we love Kenyans🇰🇪
Ni Baraka tele,, Endelea kutuletea Gospel musicians, Wako poa sana
Rose Muhando ni mkweli na Mungu alimteua aendeleze injili ya ukweli, twamwombea kila la heri
Rose anasoma Bible Hadi rahaaa😍😍😍
Rose muhando arudi kwa game aisee. hiki kipaji kikubwa sana
Ako qwa game already visit her TH-cam channel rose muhando official utapata nyimbo zake mpya
Kenyans Team Rose Muhando Tupooooi🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥
Duh rose anaimba😊😊🥰🥰
malikia wa gospel much love
Sikuwahi kujua Rose kumbe anasauti nzur zaid hivi akisikika live duh imenikosha Sanaa hiyo alioyomuimbia kaka nibebe ...
Kwakwel credit kwa m baba wa kwanza he is a vibe....
Our queen love from Kenya😍💯
Bwana yesu asifiwe
Rose Muhando tangu alipokuwa kwaya ya Mamajusi Moshi alikuwa safi sana
Niko Dubai Rose muhando namupenda sana ni mutu wangu Kwa Gospel song
Mama Rose ana Sauti tamuu♥️♥️♥️ oooooooooooh kiatu kivue , kiatu kivueeeeeeh
AjAimba yy hyo ngoma
@@mebotv3638 aliimba na Anastasia mukabwa qwanishida iko waapi
Rose Muhando 🇰🇪🇰🇪
Yaani mnabadilika nyie watu wasafi baba Lao sema daimond mpegari Huyu mwamba
Lengo kuu la Maombi sio kupata mahitaji kutoka kwa Mungu kama anavyojaribu kuweka huyo bro anayedai kumwomba Mungu mara moja inatosha . Maombi ni kuwasiliana na Mungu na kiashiria cha uhusiano ulio hai na endelevu. Maombi ni kumshukuru, kumtukuza na kumsifu na kumwabudu Mungu. Kwa mantiki hiyo hata mara tatu haitoshi. Mfano, Mfalme Daudi alienda hekaluni mara kumi kila siku( zaburi 55:17, zaburi 119 :164)
Itajukua muda mrefu tu sana kitambo tupate kipaji hatari kama cha huyu dada. Namkubali na roho yangu yote. Your number one fan from +254🇰🇪🇰🇪...E.A Oyeeeee!!!!
Nyie kipndi cha leo kitamu
#big up sanya
Rose Muhando my best...kenyans we support you❤❤❤
thank you
Queen Wa Gospel Music East Africa Love You Mummy 😘😘😘 ❤️❤️❤️❤️
Mama Rose barikiwa
Mama wetu huku kenya 🔥🔥🔥🔥🔥
Lots of love Rose ❤️❤️❤️❤️❤️
Never thought I'd see Rose Muhando and Mo Sanya
Roseeeeeeee muhando
Mungu akupe maish marefu mtumishi
I luv the way rose walks ... She's so so cute nakupenda bure rose yo so cute
Imekuwa poa sana
Be blessed mom Rose love you mnoooo
Mama LA mama Rose Muhando
Rose muhando nampenda sana
Jaman huuyu mzee wa barakoa amekoshaa
😂😂😂😂😂
Sote tulio angalii hikii kipindi tumebarikiwaa ameen😂😂😂😂🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mama Rose uko saw mungu akupe ngufu
Mambo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💜💜 Roze
Rose ni mzuri jmn ..ubarikiwe
I love her voice 😭 😍
She Has An Angelic Voice
@@Momo_96 yeah 🥰🥰
Me too
Me too
Awesome rose 👌🏽💯
Daaaaaaah hii imebamba sana
Huyu kijana vipi si achangamke kuuliza watu maswali kuhusu na maoni ssa mara anawaonesha video badala awaulize watu wenyewe waseme, ila ni mependa kuona rose 🌹 Mungu akuinue juuu zaidi 🙏🙏🇰🇪
Nimependa hii
2023 Muhando is very very talented...❤️
Rose Muhando God bless you Mama.
Raw talent bila chenga, vocals zinatoka live very classic.
Uzidi kubarikiwa Rose Muhando, nime-enjoy program hadi imenibidi kuangalia mara mbili mbili.
Sauti nzuri kwel kwel!!! Da rosee
Nakubari 🇧🇮🇧🇮🇦🇪
Nakupenda sana Rose nakupenda sana
Mungu akubariki sana mama rozi muhando
Aseee it's so amazing, Rose Muhando nakupenda sana, #kenya#Trm#team kubwa#Jesus in control....
Yani Rose ka kariri Bible yote amaa😍😍😍
I love rose🤗..💝
Dada rozi nakupenda nikisema nakupenda haitoshi but jua hivyo dada
Kubali sana
Da rosependa sana
Kipindihiki kiendelee nakupenda sana
Rose ntazd kukupenda mm kiukweli
Nakupendaga San rozi muhando
ivi nikwel diamond ana mla zuchu
Rose ni legend🔥🔥🔥 tokea Mimi dogo nimeziskia nyinbo zake Hadi Leo namuona live n direct
Wooow nimempenda sana buree huyu dada
🥰🥰nampenda Rose siku zoteee❤❤
Rose Mhando yuko Sawa
Big up to mama Rose
Mungu aendelee kukulinda dada Rose 🥰🥰🥰🥰
Wow! God bless you! Bro ana hat... full of Holyghost and the Joy of the Lord........God bless You Rose Muhando!
Naona Mzee anataka kupandisha Roho mtakatifu
Nimependa interview nitawapataje
Our Mum love u so much 😘mmmmmmuaa!😘
Yes yes yes ... mzee yuko smart kwa bible
Rose kama rose
The show is like kaa rada on citizen tv
Rose Ana sauti poa sana
Kali sana kwakweli Kristo yesu Ni Mungu Mzima
Jmn kipindi kizuli sana nimefrai sana
Hahahahahahaa nimependa sana huyo mzee na rose watoe wimbo
😁😁😁
I love you Rose..💓💓💓
Hivi ni kweli 🤔🤔🤔🤔nakipenda Sana hiki kipindi ❤️❤️
Rose mama Lao
Her Voice ❤️❤️🙌🏽🙌🏽God bless her 🙌🏽
I like your voice ♥ ❤ 😍
Love you rose
Wow, this woman is talented.
Waoooh! Glory to God
Duuuu baba noma bibiliya ame iweka kichwani
Nakipenda hiki kipindi guys. Bonge la idea yani. Big up sanaaaaaaaa naenjoy mnoooooooo
Hivi Ni Kweli Mo Town Sanja Daymond Hajakununulia Ata IST Sio Powa Kabisaaaaaaaaaaaaaq
Much love Rose😍
Rose muhando Kenya awenzi simama ivyo watu watanjaa sana but Tz bona kawaida tu Rose akai msaani apo. Bona sioni shagwe
Nashindwa
Mungu akuinue zaid mama
Karibu uimbe 😂😂😂😂
Nakupenda Sana Rozy mihando....naomba collabo moja nawe....
Naomba mnijibu
Hiyo voice jamani
Babu anapenda kucheka uyu