"DADA TWENDE UKALALE KWANGU, MIMI SIO MUHUNI, VIJANA WATAKUFANYIA VIBAYA" | HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- "DADA TWENDE UKALALE KWANGU, MIMI SIO MUHUNI, VIJANA WATAKUFANYIA VIBAYA" | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Watanzania wakalimu saana
Kipindi kisichoishia ubora wake ♥️
Ila huyu dada katisha sana 😊😊 anaweza mnoo anavyolia kama kweli vile 😅😂😂😂
C unajua hao ndo matapeli wa mjini
Mi siyo muhuni 😭😭😭
sema kulwa kaonesha moyo wa upendo sana motown ungempa hata cha ten tu..
#Mimi sio muhuni
noma sana
Bug sanday live tupe fuvu akifanya battle na untouchable iwe mwisho wa mwaka please
Kwahiyo umeona sisi wa tabora ndio tuna shida we kichwaa
Ana support arsenal kombe la dunia 🤣🤣🤣🤣 bora iishe ilo kombe la dunia
Mi siyo muhuni
Wazee sio watu wazuri 🤣🤣
Yan mwaka kimenilza
nikimuangalia mzee akiwa
anaangalia kamera kuna maneno
anaambiwa mpaka akapaniki akaja
kumchukua tu! lalote liwe alijitolea
Mapozi flani ya kinyamwezi vile
Tisha Sanaaa
Tunasubil tuone bado dakika 2
Uone /tuone nn Sasa?
Hiv hay maeneo gani
Njoo chuggah mwana utakuwa kinoma wadau wana hepa naee chap
Hii chalenge ni nzuri sana
Dah darali miyayusho sanaa😂😂😂
Mngemtega boda boda ingekaa poa sana
Kulwa hataki mzaha
😄😄
Si wenyewe twalala na masela kibao daaaaah¡!!! ila kitaa hali mbaya sana
Kombe la Dunia ata Mimi nipo mtibwa sugar
Kulwa ,,,, bongo bhana🤣🤣🤣🤣
Camera Man umakini wa location inaitajika sana Apo. ...kipindi nikizuri.
muwe mnaweka hashtag za kipindi ili tuweze ona shoo za nyuma nyie mnafeli
😂😂😂😂😂😂 nakubali
Jamaa wa arsenal ashaona uck unaingia wanamchanganya tu aelew kinachoendelea dah ila uyo jamaa cjui kama mzma
Ila anaubinadam ndani yake nahisi ni maisha tu ndio yanamfanya anakuwa ivo. Imagine jua kali ivo huna ela ujue siku itaisha vipi au kesho utaamka vipi lazima tu upate hasira na uchanganye mafile😢. Mungu awasaidie vijana wote wanaotafuta kwa jasho uwafungulie milango ya Rizki yarab🤲🏿
Oya uju jamaa Wa Arsenal mna muelewa kweli 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Jamaa dishi limeyumba...😂😂😂😂
Jamaa mwehu
Da jamaa wa Arsenal 😂😂😂😂😂😂da hiv haw mashabik wa Arsenal wanaakil kwel au nd kam rais wao Edo😂😂😂
Nmecheka😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman nakufa na mbavu nipe efu mbili😅😅😅😅😅😅
😁😁😁
Mje na mwanza mtuchanganye kichwa
😂😂😂😂😂😂
Wanaonesha moyo wa kusaidia mngekuwa mna waungia hata 5k/10k wenzenu ndio wanavyofanyaga nchi nyengine
Baada ya interview tunawapa laki mbili
Yani itakua balaa nafasi ni ndogo sana😂😅😂😂
Arsenal 😂😂😂😂
😂😂😂 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤣🤣
Usilie😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Ila madalali pigo zao Huwa zinaniacha hoi
😂😂
wahuni itakuwa balaa 😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
TAZAMA PETE ZA MAJINI ZINAVYO MWAGA PESA LIVE..*#
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
Tisha Sanaaa
🤣🤣
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
TAZAMA PETE ZA MAJINI ZINAVYO MWAGA PESA LIVE..*#
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html