KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KUJUA MTOTO WANGU MDOGO NI MCHAWI ALIANZA KU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KUJUA MTOTO WANGU MDOGO NI MCHAWI ALIANZA KU..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #KILICHONIKUTA #SIKUYAKWANZA #MTOTOMCHAWI #ALIANZAKU #INATISHA #UCHAWI

ความคิดเห็น • 102

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว +6

    Mbona hadi naogopa sasa na nyumbani Niko mwenyewe ntalala kweli😳😳😳🙊🙊

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว +19

    Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatu wapendwa karibuni TK tv na like zangu munipe Kwa wingi wakwanza

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +10

    Tuchunge sana watoto wetu aisee mbona nahisi hadi mwili unanisismka aiseee🙌🙌🙌

  • @esterjeremiah4700
    @esterjeremiah4700 ปีที่แล้ว +11

    Wa pili naombeni like zangu jamani💃

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 ปีที่แล้ว +10

    Uuuuuuuuuuwwwwwwiiiii MUNGU BABA tusamehe na tulindie watoto wetu😭😭😭😭😭😭

  • @jimmykazoya1749
    @jimmykazoya1749 ปีที่แล้ว +8

    Weka Imani yako kwa YESU dada yangu
    YESU ni mkombozi wa wanadamu wote

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +4

    Polesana kwamitihani 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl ปีที่แล้ว +6

    MIMI Namkubal Kelvin shayo anauliza maswali vizur Sana

    • @dianadaudi3380
      @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +1

      Hunishindi mm nampenda kwelii💕💕💕

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho ปีที่แล้ว +5

    23:30 kwanini uyo nurse aseme hivo?? Na kwanini si nurse wa kike?? Ukimuacha mtoto achekiwe na mtu wa kiume iyo pia ni hatari.

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +5

    Yani mtoto mchawi lakini najikuta mapaka namuonea Tena huruma😞😞😞

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge ปีที่แล้ว +6

    Dada mlinzi ni mungu ndoaliekulinda nasi watu wako wakichawani

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +5

    Maskin Mtoto mtoto aliebakwa pole Mdog wangu😭😭😭😭😭😭😭Inshaallah Kwa rehma zake Allah utarejea kwenye hali yako ya kawaida Mama angu eeh Hasbiyallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 ปีที่แล้ว +3

    😳😳😳😳😳😳

  • @jimmykazoya1749
    @jimmykazoya1749 ปีที่แล้ว +3

    YESU Kristo ni njia ya uzima wa milele. Hakuna atakayeingia ufalme wa mbinguni bila kumuamini kwa roho na kweli…

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +4

    Wachawi shikamooni

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว +2

    POLE SANA MADAM HUYO BABU YAKE MKATILI SANA MIAKA 30 JELA SAIZI YAKE NAMBA YAKO YA M.PESA MADAM ?🇹🇿🇬🇷

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH TULINDIE WATOTO WETU

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah 🙄Hasbunallah waniimalwakil Waxhaw jaman hawana huruma Allah tustir waja wako😭🤲🤲

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +5

    ila hii dunia inamambo jaamni 🙌🙌

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 ปีที่แล้ว +2

    Kabla ya kusikilizwa imenistua

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +3

    Me ndo mana nawaambiaga watu usimuamini mtu ukamuachia mtoto wako huwezi kujua huyo mtu ni nani ndo mambo kama haya Sasa mtoto anaambiwa akuuwe ww mama tuwe makini jaman wamama tulinde watoto wetu na tuwaombee sana dunia sio nzuri kabisa hii jaman

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +4

    Asante tiki tv kwa story tamu Yani hapa nilikua boadi nimefurahi sana 👏👏👏

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +4

    Jiji naliogopa sana hilo,yaani hata ukioa! Mke kutulia awe na khofu ya Mungu vinginevyo mtihani

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +4

    Hii story hatari 🔥🔥🔥🔥

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว +2

    Hawa mabibi tuwe nao makini sana tulee watoto wetu wenyewe mabibi wengi hua sio wazuri wanafundisha watoto uchawi wauwe ma'am zao

    • @mohammadumarzavallah9719
      @mohammadumarzavallah9719 ปีที่แล้ว

      Sasa utawajuaje kama mchawi

    • @sashamakoiso880
      @sashamakoiso880 ปีที่แล้ว

      @@mohammadumarzavallah9719 hapo Sasa ndo pagumu🤔🤔

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Acha kuwa na akili hiyo wewe unamjuaje mtu mchawi na hauna experience yeyote haufahamu kuwa wachawi wanaweza wakamuingiza mtoto wako uchawini angali mama yako na baba yako si wachawi, acha kuwa na akili ya ovyo wewe

  • @onelove6065
    @onelove6065 ปีที่แล้ว +3

    Tiki tv 🔥🌱

    • @dariamushi9356
      @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +1

      Congole kwonaises👏👏👏👏🔥🔥

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +3

    Aisee pole sana ant endelea kumuomba M/Mungu ataendelea kukusaidia

  • @ralmazidi6978
    @ralmazidi6978 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume halei mimba mimba umelea mwenyewe mwanamme analeta huduma tu

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada Yani mtoto wa kwanza kaingizwa uchawi wapili kabakwa miaka sita 😳😳unamoyo sna me sijui ningefanya nn nahisi ningeshakua mirembe

    • @zawiyatasha5098
      @zawiyatasha5098 ปีที่แล้ว

      Uyo toka mama yao kafa maisha yao yamekua magumu sanaa nawajua jirani zangu hatriiii

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah mtihani wallahi , pole sana mpendwa kwa majanga ya watoto wako
    Jengine hakuna ndoa inavunjika pasipo kuachika kwa kutamkiwa ama kwakuandikiwa talaka hata ukae miaka kumi ishirini mia mpk huyo bwana akuache, tusomeni jamani ndugu zangu ktk iyman ili tuiyelewe dini yetu,
    Wewe ni muislamu uwende ukafanyiwe dua na masheikh na sio kwenda kanisani, tuishi kama mtume wetu alivyotufunisha.

    • @abdallahrashid169
      @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว

      Hivi nyie mnaosema kwenda kanisani kosa mnamatatizo gani wakati mungu ni mmoja kwa hiyo heri aende kwa waganga kuliko kwenda kanisani kama anapata msaada,hebu tuacheni hayo Mambo ya kujifanya tunazijua sana hizo dini na dini zote tuliletewa hata mababu zetu walilazimishwa tu kuzipokea 🏃🏃🏃

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 ปีที่แล้ว +2

      @@abdallahrashid169 nimekushangaa sana comment yako na jila lako nivitu vili tofauti subhanallah, haina haja yakubishana na asiejielewa.pole sana

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 ปีที่แล้ว

      ​@@abdallahrashid169 ww Abduli upo sawa lakini kutokana nailijinalako inavyoonyesha ww nimuuslam ila mbona unaongea pumba?? Allah akusaidie

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo kajipachika tu jina majinuna wahade

  • @kevindaud9069
    @kevindaud9069 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada usijali mungu ni mwema sana dada

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 ปีที่แล้ว +2

    Dah mthn inaskitisha

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +3

    Haya nayo mazito 😳😳😳

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +3

    Pole kwa mapito mdogo wangu

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge ปีที่แล้ว +3

    Unasema we no muislamu. Inakuaje uende kanisani? Huoni umejiletea balaa. Au uislamu jina

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Sasa bila kwenda kanisani angejuaje kama mtoto wake mchawi? Sasa huko alipo sindiko kwenye magwiji uchawi wakupitiliza,.

    • @jamespatrick4931
      @jamespatrick4931 ปีที่แล้ว

      Uislam haukumsaidia ,ndo maana akakimbilia kwa Yesu kwaiyo yuko sahihi kabisaa

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh😳😳😳😳😳😳

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว +7

    Mungu bado anakupenda angeshakuua huyo mwanao🙌😳😳😳

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +3

    Dada weye kiboko, kuxaa kila mtoto na babake,ni aibu utaonekana wewe malaya

    • @zawiyatasha5098
      @zawiyatasha5098 ปีที่แล้ว

      Kwanza ameaza umaraya mdogo sanaa namjua

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Hadi naogopa

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto mdogo lakini anamazito khaaah 😳😳😳😳😳😳😳😳

    • @samjabri2611
      @samjabri2611 ปีที่แล้ว +1

      Yani mtiani mabibi wengine

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +2

    Subhana llah. Daaahhhhh niliwahi kuona kuwa USEMBE ni kinga nzuri sana kwa wachawi unaumwaga ndani kwenye pembe nne mchawi ananasa hapohapo

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Mpeleke shule za dini

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Akakutane na magwiji wenzake sio

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu mm nilimpeleka kwa bibi yake napenda kumuona nikawa simuelewi kabisa mtoto usiku tukilala anaamka anaanza kupiga kelele anasema bibi niache tangu hapo nilimchukua na mpaka leo sitaki akae na bibi ake kabisa

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka nasisimka hapa

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Ahsante bro Kelvin

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Ndoa ya kiislam bado mke wa mtu

  • @beatricenekesanekesa3101
    @beatricenekesanekesa3101 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu moto ulao naponya

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu ปีที่แล้ว

    pole dada.Nakuomba rudi kwa maombi mlilie Mungu afute hilo jina la uchawi juu ya mwanao na uombe kibali juu ya mwanao naamini kabisa mwanao atakubalika asome.

  • @sashamakoiso880
    @sashamakoiso880 ปีที่แล้ว +2

    Dunia simama nishuke 😱😱😞

  • @jameskahamba4023
    @jameskahamba4023 ปีที่แล้ว

    pole sana dadaangu, ila katika simlizi hii nimejifunza kua maombi yana nguvu sana,
    na kingine, ni kwamba makonda alikua ni mtu poa sana hasa kwa maskini, hongera sana Poul makonda MUNGU akulinde huko uliko,
    kwa kosa kama hilo la kumbaka mtoto wa miaka 6 kosa kama hilo hata likifanywa na mtoto wangu wa kumzaa afungwe na afie jela

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jaman 😱😱😱😱

  • @winifiridamayala4692
    @winifiridamayala4692 ปีที่แล้ว

    Huyu Dada waligomba kwaajili ya kajala

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kitu kinaniumaga kusikia mtu mzima anaenda kumbaka mtoto mdogo hivi watu wazima wenzie wanakua wameisha au nn hua nasikiaga hasira sna

    • @theofanialudovick8166
      @theofanialudovick8166 ปีที่แล้ว

      Anaogopa kuhonga

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV ปีที่แล้ว +1

      Humjui shetani wewe, hiyo ni roho tu chafu ili kuharibu maisha ya huyo mtoto. Huyo mtu anakuwa na roho zinazomtumikisha, hata yeye haelewi, mmh! Dunia hii bila Yesu matatizo matupu!!!

  • @rozina2161
    @rozina2161 ปีที่แล้ว +2

    Kidini ikipita miezi 3 mwanamme bila kukupigia cmu kukuhudumia hiyo ni talaka tosha ata asipokwambia ckutaki hiyo pia nitalaka tosha waruhusiwa kuoleka kwengine

    • @asiakheir8684
      @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

      Kwadini gani,uislam hapana hausemihivo

    • @saebajoma8419
      @saebajoma8419 ปีที่แล้ว

      Mmmhh siyo kweli

  • @Nothwest
    @Nothwest ปีที่แล้ว

    Stop zooming it disturbs ⛔️

  • @farhatomar78
    @farhatomar78 ปีที่แล้ว +2

    Utaendaje kanisani? Wewe si muislamu!!!

    • @minaeli5989
      @minaeli5989 ปีที่แล้ว +3

      Mi namuelewa ni katika kuhangaika

    • @dianadaudi3380
      @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo Bora angeenda kwa waganga wakienyeji,msiwe hivyo nyie Waislam na mungu wetu sote nimmoja kama kanisani unaweza saidika kwa nn usiende?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka aende kwa waganga

    • @farhatomar78
      @farhatomar78 ปีที่แล้ว +1

      He makubwa, kwani ww sehem za tiba unazozijua ni kanisa na waganga tuuu?

    • @farhatomar78
      @farhatomar78 ปีที่แล้ว +1

      Umeona wp muislamu na kanisa

  • @careenroeschli4747
    @careenroeschli4747 ปีที่แล้ว +1

    Duuu!! Pole sana

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว +1

    😳😳😳😳😳🤔🤔🤔

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV ปีที่แล้ว +1

    Huyo dada naweza pata namba zake za cm???? Please.....

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV ปีที่แล้ว +1

    Yesu anakuhitaji wewe, okoka......!!!

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +4

    Hata mm nikiambiwa mwanangu mchawi siwezi kuamini aisee kunavitu ukiambiwa haviingii kabisa akilini

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 ปีที่แล้ว

    Subhanna Allah innalilah wainnalilah rajiun

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว

    Pole mwaya