@@patrickmaina5459 mwenye haki ataishi kwa Imani umekamilishwa katika Kristo we Kaa tu ndan ya kristo ndan ya kristo SS ni wakamilifu Msiogope enyi watoto wadogo ni mapenz ya Baba yenu kuwapa ufalme
Mmm!! Kuna vitu huwezi Ami ala bac inakubid tu uamin kwasababu namuami davister kwamba hawezi kuhoji uongo sababu Ni man of God ingawa naye Ni binadamu.
Katika mafundisho ya kikristo hakuna nyota mbaya wala nyota kuchafuliwa. Ni wewe ukitaka maisha yako yaende vizuri ni Kumpokea Yesu ili akusaidie jinsi ya Kuishi hapa duniani.
Waafrika tumezidi uchawi..mungu tusaidie! kwahiyo uenda ajali zote zinasababshwa na wachawi tu.
Hakuna damu ina nguvu kuliko damu ya Yesu Yesu ndio njia
Hawa watu wakutoka kuzimu waache kutuuzia uwoga eti ukistuka wanakuchukua😂😂😂😂😂Kwan Mungu Huwa ametuacha hivo????
Eee mungu hapendi tuogope kitu chochote
@@kahindiwanje90 lakin ss ni Binadamu sio wakamilifu......
.
@@patrickmaina5459 mwenye haki ataishi kwa Imani umekamilishwa katika Kristo we Kaa tu ndan ya kristo ndan ya kristo SS ni wakamilifu
Msiogope enyi watoto wadogo ni mapenz ya Baba yenu kuwapa ufalme
Davista Mata,ww NI mtu WA MUNGU hongera Sana,dah kazi upiga Sana
Hi ndio story sasa yakusisimuwa. Davista miaka yakobe👊
Kwa nini awaendi msikitini
Inasemekana nguvu ya mashehe haina madhala kwao
We can't wait for this, Davistar 🙌 😍🤩🤩🤩🤩
Ipo cku mbeleni wataibuka watakao SEMA walizamisha precision air. Watanzania hatujambo
Mmm!! Kuna vitu huwezi Ami ala bac inakubid tu uamin kwasababu namuami davister kwamba hawezi kuhoji uongo sababu Ni man of God ingawa naye Ni binadamu.
Je hawa watu wanaokufa wanaenda kuzim au?
MTUMISHI HUNATOA USHUUDA ABAYO MTU ASIYE ELEWA ATAELEWA CHOCHOTE DUNIANI AMEEN.AMEEN🤲🇹🇿🇬🇷🙏
Waaaaaaah
Mapepo ya utambuzi ni shida kubwa
Na niulize nyota nzuri ni ipi, hivi kwani kuna nyota mbaya pia
Katika mafundisho ya kikristo hakuna nyota mbaya wala nyota kuchafuliwa.
Ni wewe ukitaka maisha yako yaende vizuri ni Kumpokea Yesu ili akusaidie jinsi ya Kuishi hapa duniani.
Mmmh
Kama kweli aliua watu ashtakiwe ajibu mashitaka.
Serikali haitambui uchawi 😆😆😆😆 kwaiyo waliokufa ni wameenda na maji tuokoke tu tusigeuke supu ya wazeee wa kaz
@@nurudaud3993 Amen.
😂😂
@@nurudaud3993 Alafu kuokoka ni rahis sana, sijui wengine wanafeli wap 😃
@@nurudaud3993 😂😂😂