TAHARUKI: RADI YAPIGA KATIKATI YA INTERVIEW AKITOA SIRI MAMA ALIYEAHIDIWA KUFA KIFO CHA MATESO N..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 95

  • @rafiaahmad168
    @rafiaahmad168 ปีที่แล้ว +29

    Wakwanza naomben likes zenu jaman ❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 ปีที่แล้ว +2

    😳😳😳😳🫢🫢Waat?
    Pole sana dadangu mungu ana ww na atakupigania kilakitu kitakua sawa inshallah

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 ปีที่แล้ว +7

    Story tamu sana,tiki TV never disapoint

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +13

    Hii sasa ni hatari kwakweli itakuwa hawataki utoe Siri zao mama Allah akusimamie sana

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +7

    Hii kazi yako kelvin unatakiwa uwe vizuri kila idara coz wengine hawataki siri zao zitolewe naona jamaa akaamua aagize radi akaona mchele unamwagwa kwenye kuku wengi

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +8

    Daaah 🙌🙌🙌

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +17

    Naombeni like hata kama me sio wa kwanza nimechelewa hapo nyuma nilikua namalizia kuoga😂

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 ปีที่แล้ว +9

    Dunia simama nishuke daah aisee pole kunawatu wanamioyo migumu sana jaman

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada kwa changamoto hiz hii ndy dunia nimeogopa mungu awe ni mlinzi wako dada🙏nimejifunzi kitu ila umekuwa na tabasamu tuu ila tabasamu lako huficha maumivu mungu akubariki dada wewe ni shujaaa sana 🙏💪💪

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 11 หลายเดือนก่อน

    Agents of darkness are in hospitals so i'm so grateful to God for the believers he places there as well. There is no one mightier than our Lord and saviour Jesus christ.

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +11

    Naogopa sana jamani Mungu asimame na wewe dada

  • @dinamakuri4436
    @dinamakuri4436 ปีที่แล้ว

    Mungu wabiguni akutete Dada usiogope omba Sana zaidi yasana damu yayesu inene mema just taking pia ikufunike

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +9

    Allahuwakbaru

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +6

    Hizo kwaya wanajikutaga watakatifu ila nyuma ya pazia huwa na uchafu mwingi sana japo siyo wote msinitusi bure maana mnawajua wanoharibikiaga kwenye kwaya na makundi makanisani narudia siyo wote ila wengine ndo unakuta ni vimada wa viongozi wao wa imani na mnajua ni unafiki tu hutawala, msinihukumu narudia siyo wote jamani asanteni,

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Mambo ya ovyo yapo kila maeneo jombi hupo sawa

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 ปีที่แล้ว +1

      Aman Gearge umesahau na kwenye maombi Ile ya usiku siyo wote lkn baadhi Yao wanaendaga kuzini huko

    • @mediavumbi9243
      @mediavumbi9243 ปีที่แล้ว

      Pole dada,kumbe hayonjo yamekukuta?

    • @stellah3844
      @stellah3844 ปีที่แล้ว

      Ni kweli usemavyo weng wanajificha kwenye kivuli cha Dini au kwaya ndyo maana wanakwambia usimuamin binadam mwenzio zaid ya Mungu tu

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +11

    Kemeeni kwa jina la yesu jamani mambo yatukuwa sawa

  • @georgechaisa2586
    @georgechaisa2586 ปีที่แล้ว +2

    Inauma sana. Mungu aingilie kati

  • @sophiamiondoko7098
    @sophiamiondoko7098 ปีที่แล้ว +11

    Wakwanzaa bc kunawatu watasema wanaomba like za kuwa wakwanza

    • @abdallahrashid169
      @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +3

      Nikitizama kweli wewe ndo wakwanza

    • @abdallahrashid169
      @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +3

      Hongera zako mimi hata sijui nimekuwa wangapi

    • @akilimalindevu520
      @akilimalindevu520 ปีที่แล้ว +2

      Hongera zako ila sijui mpo wawili

    • @amangearge9594
      @amangearge9594 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndiyo wakwanza maana hapa inaonesha muda uliocomment umewatangulia wote

    • @amangearge9594
      @amangearge9594 ปีที่แล้ว +1

      Hongera zako

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +5

    Ukiskia kuruka mkojo kukanyaga mavi ndiyo hii maana uliacha mwalimu wa kwaya ukaingia kwa jini ona sasa unawindwa uuwawe hadi radi live Mungu akunusuru kwa hili kwa rehema zake Ameen.

    • @tamarablack254
      @tamarablack254 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🙆aki wewe,your statement is so funny

  • @gloryhamidu9418
    @gloryhamidu9418 ปีที่แล้ว

    Tk tv napenda sanaa storry zenu jamaniiii party2 jamnii isichelew

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +8

    Kweli uchawi upo leo ndo nimeamini radi live😱

    • @emanuelmbaga6848
      @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว

      Hata mimi leo nimeshangaa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

      Uchawi hupo jombi tena duniani kwote omba sana Mungu kila wakati

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +7

    ila kelvin unamoyo me ningekimbia hapo😂😳

    • @habarikamili9408
      @habarikamili9408 ปีที่แล้ว

      Yaani hadi huruma Mungu awanusuru wote jamani nasikia kuna watu wakimbia hapo

  • @ktznews9250
    @ktznews9250 ปีที่แล้ว +6

    Mbona naogopa sasa jamn

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 ปีที่แล้ว +6

    Hilo radi nimestuka

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +7

    🤔🤔

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 ปีที่แล้ว +5

    Daaah Dunia simama nishuke yaani nikajua hayo mambo ya picha kukujia nakukupa taarifa nikadhani ni mm mtu kumbe kweli yapo

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +7

    😳😳😳😳😳

  • @Nothwest
    @Nothwest ปีที่แล้ว

    I have seen you are a strong Christian go to Church ⛪️ In Mombasa Kenya 🇰🇪 for deliverance and prayers New Life Pastor Ezekiel in Mavueni you will be helped 🙏🏿

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 vipi?

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 ปีที่แล้ว

    Amin, Amin 🙏🙏 ubarikiwe sana

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +8

    Nipe like kama umesikia mtu anaita mamaaa kweli ni Mungu hapa duniani

  • @faridaabdallah7424
    @faridaabdallah7424 ปีที่แล้ว +8

    🤔🤔🤔

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว

    Madam sehemu ya kukaa kupata kinywaji na mapokezi ya hotel huijui au ulikua unataka mwenyewe? Mambo mengine????🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷unanifulaisha sana mashwali yako mdogo wangu shayo🙏🙏🙏

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +7

    Ni nn Tena mungu wangu radi Tena 😳😳😳

  • @janetnyabuto9612
    @janetnyabuto9612 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +9

    Leo wa kwanza wamekua wawili rafia na Sofia sa tumpe nani like😂☑️

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 ปีที่แล้ว

    Dada Rebeka nilipoteza no zako naomba nitafute dada Mimi scola

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 ปีที่แล้ว +2

    Part two isichelewe plz

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +9

    Duhh huyo ni jini kweli jamani natamani kurudisha muda nyuma nikwambie usikubali jamaaani 😭😭😭😭

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo kitu kwa huku tanga kuna watu wanaita kombola la babu

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo hayo makanisa yote ni ya kishetani na waasherati????

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 ปีที่แล้ว +2

    Jamani wangapi tumeogopa😲😲😲😲

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว +2

    Ukisikia kufa hufi ila chamoto utakiona ndiyo hii sasa dahh Ee Mungu saidia watu wako

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢😢😢

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Hii

  • @adeodataaugustine9776
    @adeodataaugustine9776 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mpendwa, endelea kumwamini Mungu mtetezi wako Yu hai! atakupigania wewe ni shujaa

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 ปีที่แล้ว

    muendelezo please

  • @sasamama7934
    @sasamama7934 ปีที่แล้ว

    Huyu mama anafanan na marehem mama zabibu katika kipindi cha zaher maximum tv

  • @BeatrecLwekela-ek8uj
    @BeatrecLwekela-ek8uj ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 ปีที่แล้ว

    Kweli una roho mbaya.....Kwnn umukatae mtoto

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 ปีที่แล้ว

    Lkn toka mwanzo ROHO MTAKATIFU alikuonyesha kuwa hizo msg ni za jini, wewe ukakaidi. Nakushauri tu dadangu muombe MUNGU Toba atakusaidia.

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfiru llah 🥺🥺🥺Eee 🧐😳😳 nimeshtuka 🧐🧐🧐🧐

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 ปีที่แล้ว

    🥺🥺🥺🥺🥺

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @christinainnocent3240
    @christinainnocent3240 ปีที่แล้ว

    Dada pole sana ila maelezo yawe sahihi unaposema ulienda kazini dispensary private hospital unakua unataja vitu viwili tofauti. Dispensary na private hospital

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa ,tena Mimi nimeshangaa ,kwani darasa la nane MTU anaweza kasomea nesi ?jameni kwetu huwezi lazima ufike kidato cha NNE,basi kwao kuzuri

    • @rebeccanghwasa7387
      @rebeccanghwasa7387 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu mbarikiwe sana kwa kusikiliza habari yangu.
      Nieleweke kuwa nilikosea kusema hosp.
      Nikabadiri nikasema ni Dispensaries
      Zamani ulikuwa unaomba kwenda kusoma nursing daresay la 7 hapa Tanzania.
      Poleni kwa kuwachanganya

    • @rebeccanghwasa7387
      @rebeccanghwasa7387 ปีที่แล้ว

      Ni maelezo sahihi kabisa

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b ปีที่แล้ว +1

      @@rebeccanghwasa7387 asante pia ,tumekuelewa twaomba mwendelezo WA haya maelezo yako

    • @rebeccanghwasa7387
      @rebeccanghwasa7387 ปีที่แล้ว

      Nashukuru kwa maelezo haya ni kwenye certificate ndo nilisoma na darasa la saba ila diploma sikuelezea nilipokuwa huku Dar ndo nilianza kusoma fomu one hadi nikamaliza form 6.
      Ni kweli nisingesoma diploma nikiwa darasa la saba.
      Mnisamehe nina maumivu ya mgongo so nilitaka nimalize mapema ndo baadhi ya vitu siku fafanua.

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +1

    Haya mambo yapo Ila muombe mungu sana ni jini hilo

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 ปีที่แล้ว

    Huwez kufa usihofu hofu huleta madhara sana mpuuzie ushirikina Ni kitu Cha kijinga Wala sio Cha kuchukua akili zako hivyo