Part 07: Siri za Giza za Kijana wa Kigoma Aliyepewa Utajiri na Shetani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Part 07: Siri za Giza za Kijana wa Kigoma Aliyepewa Utajiri na Shetani
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #SIRIZAGIZA #KIJANAMDOGOALIYEPEWAUTAJIRINASHETANI #tikitvkiakilizaidi #kigoma

ความคิดเห็น • 58

  • @tikitvog
    @tikitvog  ปีที่แล้ว +4

    Kutazama kuanzia Part 01 ya mkasa huu bofya link hapa👇👇 Siri za Giza za Kijana wa Kigoma Aliyepewa Utajiri na Shetani
    .
    1. Part 01: th-cam.com/video/mixlOJQC6u0/w-d-xo.html
    .
    2. Part 02: th-cam.com/video/7R2WdMrsJus/w-d-xo.html
    .
    3. Part 03: th-cam.com/video/l2R4HYYFAaY/w-d-xo.html
    .
    4. Part 04: th-cam.com/video/Ph_kK_f6BZY/w-d-xo.html
    .
    5. Part 05: th-cam.com/video/82FyENyWonw/w-d-xo.html
    .
    6. Part 06: th-cam.com/video/iri2K4lXMqg/w-d-xo.html
    .
    7. Part 07: th-cam.com/video/8J1bOEu1Xkg/w-d-xo.html

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +11

    Hii story imenifumza mengi jamani 👏👏

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kijana mtumainie Mungu kwa jambo lako 👏🙏

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni ushuuda andika kitabu

  • @hopekrish5433
    @hopekrish5433 ปีที่แล้ว

    Apo kwenye kugongwa na nyoka uwongo😅😅😅 na mdogo wangu kazaliwa pacha doto aligongwa na nyoka

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +6

    Asante kwa muendelezo

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +9

    Jamaani asante sana Tiki Tv nilikuwa nasubiri sanaaa

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 ปีที่แล้ว +5

    Unachelewesha sana mwendelezo mpaka inakosa ladha ,jitahidi katika hilo

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +8

    WakwanzaaaaaaaaaTiki Tv kiakili zaida❤❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉

    • @habarikamili9408
      @habarikamili9408 ปีที่แล้ว +2

      👏👏👏

    • @swahiliqueen9920
      @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +2

      Hongera nshakupa likes zako

    • @stellah3844
      @stellah3844 ปีที่แล้ว

      ​@@swahiliqueen9920Ahsante mpenz na mm nmekupa like

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว +6

    😳😳😳

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +4

    Nilikua naisubiri kwa hamu kubwa,na inavyotisha umeiposti usiku huu ntalala kweli mm🤔🤔

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 ปีที่แล้ว +6

    Tangu nianze kufuatilia mikasa huu ni zaidi ya mkasa

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 ปีที่แล้ว +4

    Weee nimengoja sana

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +3

    Kwa story hik tiki tv mnastahili tunzo nataman watu wangejua utamu wa hii story jaman 🙌

  • @ninkizaeliezel3905
    @ninkizaeliezel3905 ปีที่แล้ว +1

    Asante YESU KRISTO hata sisi tumeokoka ushilikina sidili kweli tumefilisika Yesu akatukomboa niko Burundi

  • @justloveit5178
    @justloveit5178 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu asifiwe Yeye pekee ndiye Mwokozi, tukitubu dhambi zetu kutoka kwa roho Anatusameha na Anatutakasa na damu Yake takatifu, hakuna dhambi awezi kusamehea.
    When you were dead in your sins and in the uncircumcision of your flesh, God made you alive with Christ. He forgave us all our sins, having canceled the charge of our legal indebtedness, which stood against us and condemned us; he has taken it away, nailing it to the cross. And having disarmed the powers and authorities, he made a public spectacle of them, triumphing over them by the cross.“
    ‭‭Colossians‬ ‭2‬:‭13‬-‭15‬ ‭

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 ปีที่แล้ว +3

    Jaman bro umetucheleweshaya story Jaman

  • @HappyPeramiho
    @HappyPeramiho ปีที่แล้ว +1

    pole Sana kwa mkasa huu wa kutisha ila nataka ujue kitu kimoja hata siku moja shetani na mawakala wake hawajawahi kumsaidia binadamu ila ni kumdanganya tu aingie kwenye mateso kwakuwa Kama hao waganga ambao wewe unasema kazi yao ni kumsaidia mtu mbona mpaka Sasa unateseka na haikukusaidia kitu chochote? Jiulize hapo shetani anawahadaa tu watu ili awaingize kuzimu lakin hakuna msaada hapo.....naomba nikushauri Kama utapata hii comment yangu acha kuhangaika kwenye vituo vya maombi kwakuwa huko utajikuta umeenda kwa waganga wa kienyeji wale wale uliko Toka maana sahzi Kuna uganga ulio soma nao wanatumia biblia na wanajifanya wachungaji.mitume manabii lakin ni waganga wa kienyeji tu..hivyo naomba utafute kanisa lenye nguvu ya Mungu Sana halafu nenda pale abudu hapo lelewa na mchungaji mwenye nguvu ya Mungu haswa uone vile Mungu atakavyo kurehemu dhambi zako na kukufundisha njia yake Kisha kukubariki kwa baraka zake...asante Sana

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 ปีที่แล้ว

    Waa, umenitoa jozii.nikiwa Washington DC states of America 17/08/2023

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma mwisho wa leli duuu hatariiiiii

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +2

    Aisee shayo ubarikiwe sana maana niliisubiria sana hii simulizi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Mateso yote hayo kisa ni uvivu wa kutokufanya kaxi halali?? Itakomaaaa.

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +1

    Tiki tv kiakili zaidi nawapenda mpaka naumwa🥳🥳🥳💃💃

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli stori hii nimeipeñda sababu ina mafundisho makubwa sana hasa wale watu wanaopenda utajiri wa kishetani inabidi wajifunze kupitia stori hii bila shaka itawabadilisha

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 ปีที่แล้ว +1

    Mwanang akimpenda mtu wa kigoma kwa ushuhuda huu nitamkataa kijana huyo

    • @GetrudeMapxashike-m4f
      @GetrudeMapxashike-m4f 9 หลายเดือนก่อน

      Sio kwamba kigoma tu uchawi hupo kila sehemu kila hinchi ndugu yangu hata kwetu hapa mambo kama haya yapo tofauti ya inchi kinachotakiwa nikujua tu kwamba Kuna mkombozi .....mungu tu peke yake

  • @shamsaali982
    @shamsaali982 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema kufanya koşa sio koşa kurudia koşa ndio koşa poleee

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilizaa mapacha na nilishagongwa na nyoka nikalazwa hospitali kwa wiki jee tuseme alikuwa katumwa? Nyoka wa kichawi? Mana umesema mtu Kama huyu nyoka hamgoni atacheza Cheza naye andoke mbona aliningata.

  • @VeronicaOdero-dc1jg
    @VeronicaOdero-dc1jg ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndugu yangu mrudie Mungu yupo kazini Bado atakusamehe na tamaa ni mbaya

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana mdogo Wang umepitia magumu ukiwa na umri mdogo

  • @ninkizaeliezel3905
    @ninkizaeliezel3905 ปีที่แล้ว

    Nacho mushauli aendelee kuomba make nama pastor wa leo wanatumia ushilikina omba utajibiwa hao ni majaribu kwa mukristo yote ataisha

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 10 หลายเดือนก่อน

    Ungeweka no zake achangiwe ata msingi wa biashara pole kaka mungu ni mwema

  • @NYABUMBALEARDERSHIP
    @NYABUMBALEARDERSHIP 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kumulinda sana, hata nasi atulinde sana

  • @NYABUMBALEARDERSHIP
    @NYABUMBALEARDERSHIP 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kumulinda sana, hata nasi atulinde sana

  • @MukabarisaSara
    @MukabarisaSara ปีที่แล้ว

    Mungu akusamehe ndugu akuinuwe

  • @elizabethkisogole34
    @elizabethkisogole34 ปีที่แล้ว +1

    Mr shayo sina cha kukudai, maswali yooote niliyojiuliza umenisaidia kuuliza!!!! Hongera sana, nakusalimia kwa jina la mkasa, mahojiano yaendeleeee

  • @kikiswahili
    @kikiswahili ปีที่แล้ว +1

    Hii story tangu nianze kufuatilia sijawahi ona wala sikia mkasa mkubwa kama wa huyu kijana, yani hadi imenibidi ku shea kwenye magroup ili na wengine wajifunze maana mhh

  • @LaCharmanteL
    @LaCharmanteL ปีที่แล้ว

    😥😢 yooo maskini. Uruma. Mungu akukumbuke kaka. Kweli ndani ya Yesu, kila kitu cha wezekana. Biblia inasema bora mbwa nzima kuliko simba yenye kufa. Maana yake as long as u’re alive, anything is possible. Mungu akuwezeshe. Kweli ushahidi mkubwa. Umeni jenga tena kumtumaini Mungu hata maisha yawe magumu je. Bwana Yesu akukumbuke.

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 10 หลายเดือนก่อน

    Utajiri sio furaha ya maisha.
    Furaha ya maisha ni kumtegemea Allah peke yake

  • @navokisembo
    @navokisembo ปีที่แล้ว

    Duh hii dunia kweli tunatakiwa tuwe na macho ya kiroho watu wanalishwa madudu Yesu tupoganie

  • @swaibakamikazi-tj7py
    @swaibakamikazi-tj7py ปีที่แล้ว

    Ikito ile story ya ule dada alieolewa n jini mkasa wa pil niuuuy jamn kunawatu mnaroh ngum,😢😢😢

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie kuwa na Imani kwake peke yake .Mungu Muumba mbingu na nchi tusaidie sana waja wako

  • @agreysteven
    @agreysteven ปีที่แล้ว

    Aisee hii n noma sana,Dunia kwer tuachi kwa uwezo wa mungu ishiiii

  • @kelvindaudi1063
    @kelvindaudi1063 ปีที่แล้ว

    Duuuhuu asante sana kaka wajina tupo pamoja sana kaka

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 ปีที่แล้ว

    Tik tv kiakili zaidi nakubaliii sanaaa 👍👍👏

  • @AishaSaidi-vv5do
    @AishaSaidi-vv5do ปีที่แล้ว

    😳😳😳

  • @yasminathman7917
    @yasminathman7917 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua nangojea hii part, watching from Kenya tiki ✔️