SUNGWI /ep 1/ Full Episode
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2024
- #snakeboy #clamvevo #chinga #wronghouse #diamondplatnumz
Sungwi Ni Movie Inayo Muelezea Kiongozi Ambaye Anawetesa Na Kuwa Nyanyasa Wananchi Wake Na Anatokea Kijana Mgeni Ambae Anakuja Kuwa Msaada Kwenye Kijiji Hicho - บันเทิง
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA SERIES YANGU MPYA🙏❤️
Aiseeee hîiii kaliii saàaaana nimeikubari mnooo
Much respect 🔥🔥 dubu tz
Pamoja sana kaka unaweza 🎉🎉🎉
Hapo pawa dubu tz
Ok brother,,we are happy .
Waooooo piga kelele kwa Kaka Dubu hanaga kazi mbovu kama unamkubali basi tujuwane🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kwakweli namkubali saaana Dubu❤
🎉
Kwa kweli namkubali sana dubu Hana baya❣️
Kizuri kula na nduguyo nyangwengwe
Uyu mwanaume munafki kwajifu nampendaga ungepata mwanaume odari❤️❤️❤️🌹🇧🇮
Kambaleee sem unainogesha movie kambale big up bro
🙏🥰
Ninavyowapendeni❤😂😂😂asante sana kw kutuletea hii kwa hakika mnatuburudisha.....yaani nyie watu wamaana sana🤣🤣🤣❤️👏👏
Aujawahi kikosea movie nzuri sana ❤❤🎉🎉🙌🙌
🙏❤️
Tena sanaaa wallahi ❤ nzuriii
Sungwi nimekubali raha ya ngoma 🙌🙌🙌🇲🇿
Dubu wakimbize nione like
Hongera dubu tumeipokea wewe huna kitu kibaya na mimi siwez kukukosa nawapenda sana❤❤❤
❤️❤️
Jamani Dubu kama dubu One love Huna baya ......My best actor ever ukiwa na Hajra sichoki kuzifwatilia Movie zenu hazikinaishi Mashaallah 🥰🥰🥰
🙏🥰
Naikubal sana hii movie hongereni sana mpo vzr ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️
Likes zangu kutoka kenya 🇰🇪 😍
🥰
@@OfficialDubu_tzhongera sanaa,,,bro wanguu
Bro na kukubali muko vizuli sana 💥💥💥💥💥
Kutoka Burundi Asate Sana Team Dubu ❤❤❤❤ Hongera Tena 🎉🎉🎉🎉
🙏❤️
weee dubuu weweee unahatari nitakupa sapoti mwanzobmwisho❤❤❤❤❤
🙏🥰🥰
Hata mimi
nakubali sana movie za dubu ..much love from kenya 🇰🇪🔥✊
🙏🙏
Ww Tena mabuti kila demu mzuri wallah ww una bahati mabuti mabuti nakupenda🌹washindwa kutogoza mwanamke watogozea wezio ww kweli mweh wallah Tena mabuti dubu nakupenda San kazi zako upo zizur ww Tena mabuti kampoza chifuu gani mdagaji tu hay poa nilala dubu nishamaliza kazi za warabu nikiamga nitaendela np na ww mwazo mwisho nisalimy San mabuti namab zangu hizo mwambay anicheka mwajuma mabuti
Ndo tumeanza hivyo dube the best 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
❤️
Wallah hii kali sana🔥👏👏👏
🙏🙏
Kaz nzur sana 🔥💥💥
🙏🙏
Likes Zangu from USA 🇺🇸 ❤
👍👍👍uko sawa sungwi pambana Mungu atakupigania katika mafanikio yako
❤️
Haha haha halafu wew 😂😂😂😂
💪
Iyi ni moto 🔥🔥🔥 wa kuoteya mbali wazeee
🙏
Safi sana broh❤❤🎉🎉
❤️
Kazi safi dubu mungu akuzidishie akili n maarifa ❤❤❤
Amiin ❤️
Mashaallah kakangu uko poa
Aloooh unyama san 👊❤️big up
Nakubal xana kka big up super talent from this generation
🙏🙏
Safi Sana kaka dubu upo juu kaka big up sana
🙏
Kazi nzuri kaka jitahidi kuwahisha kazi
❤️
inapedeza saaana KK budi moto😂😂😂😂
Afu wewe umeniumizia chifu wangu sijapenda😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hatimae Karejea Dubu Tz Nakukubal Mzee
💪
Wakwanza naomba like zng
Ila dubu sina neno kaka zaid ya kukupa hongera sana yaan umetisha 🎉🎉🎉🎉🎉taaam kinoma
🙏🙏
Sungwi Kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,, inakubalika
Wow good job love ❤😊
🤲🥰
Safii sana kk
😂😂😂 nyani kama nyani akaoje na yeye
Tumepelekwa kjjn na dubu🤲🤲😁😁tunasubili Kaz nzur iendelee
Hii ni kali sana nimeikubali ,hapo dubu anatakiwa awe na nguvu ya atar
Jamaa anaboa huyu kuekti km mwanamke anaharibu movie
Uyu nae sa mtu yuwatia udambuudambu ati anaboa tulia uko
Kali sana Dubu❤
🙏❤️
Woow kaz sat sna nawamimia next
uko vzr kaka dubu naomba like zng
Dub hauch3lewish dio maan nakukubali
Daah nimeipenda sanaaaah, Dubu saf sana
🙏
Aja tuone kaa itapendesa na kusisimuwa kenya bado tunakupenda
Ur the best kaka kwenye hizi movie❤❤
🙏❤️
Jaman hii season ni traaaaam mpaka basi ❤
❤️
Tupo pamoja broh dubu kukusapoti kazi ya mikono yako 👊🏾
💪
Mbona kama nimeelewa kazi ,inavutia maua🎉🎉 yenu wote kwa pamoja
Kaza nzur tumeanza vzr naona leta mwendelezo kwa wakati
Oyoooooo mzigo mpya asante dubu
🥰
Sema nn!
Ua so creative more than more mpaka unakera dubu
🙏❤️
kali sana,,watching from kenya 🇰🇪❤
Saivi wabongo munajua kunifurahisha sana ongereni sana mungu awape nguvu
🙏🙏
Dubu uo mzigo wa uyo demu balaaaaaaa😅😅😅😅😅
Tuliwamisi sana karibuni tena❤❤❤❤❤❤❤❤❤.mkumba umepigaje hapo kw usafiri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤️
Dubu nmekupenda aky ulivomnyoosha chief una Kaz mbovu dubu🤝
🙏❤️
Hongera sana team dubu mko vyema. Mungu azid kuwapa maarifa
🙏🙏
Wow much love san wallah broo🎉🎉🎉
🙏
Yaani dubu we nihatari sana pokea maua yako❤❤❤❤❤❤
❤️
Hongereni sana Dubu nawafwata toka DRCongo
🙏
From Burundi nipo hapa
❤️
Tafadhal nipen like zang Leo wamwisho
Hajra kazi nzuri sana am proud of u
🥰🙏
Huyo chief angekuwa mm ningemfanya ajutie maisha yke
Nyaningwengwe wangu❤😂
Dubu umetisha sana kk
Mwanangu nimeona no 1 hongera
Asante Mama angu ❤️
La communauté congolaise 🇨🇩vous remercie pour le travail que vous faites.
Dubu is back why unakua late mkuu. Sokoni wateja NI wengi ubunifu tuu. Yote kwa yote asante na Mungu awatilie baraka kazi za mikono yenu🤲🤲🤲🤲🤲🙏
🤲🤲🥰
Wa kwanza from Zanzibariiii
🤝
nipo pia nipeni likes zamgu
Kaz nzuriiiii
Safi sana kazoe uyo chifu😂😂
Kaz nzur🎉🎉🎉❤
🙏❤️
Dubu karejea na kazi nyingine👏🏾👏🏾wangapi tunaifatilia☝️☝️
🙏
Aise dubu umetisha sana mkuu big congratulations
🙏
Dubu the man ❤❤❤pende sana kazi zako
🥰🥰
Dubu 🎉🎉🎉 nakubali sana movies sako🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥 waching from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤️
Much love from Qatar 🇶🇦🇹🇿
❤️
Dubu unafanya kazi nzuri sana ,Mungu akuzidishie baraka
Keep going...ni nzur
Here we go again 🔥🔥 movie nzuri udugu wangu dubu❤️🔥🔥chifu amepata dawa yake 😹 😹keep moving 💪💪 much love from 🇰🇪🇸🇦
🙏🙏
Nakubali kazi zenu nawapenda bure❤❤
❤️
Powa sana kaka dubu ❤❤❤❤
🙏❤️
Kaz nzuri love from Tokyo Japan🎉
🤣🤣
😂😂😅🏃🏽♂️🙌🏾
Series nzuri sana tuko pamoja mpaka mwisho ❤❤❤🇧🇮🇧🇮
🙏🙏
Kazi poa ❤❤
🙏
Wakwanza nipe like zangu😂😂😂😂
❤️
Toa ushauri like za nn
🎉🎉🎉🎉🎉good job bro dubu
Kaka dubu uko 🔥 🔥
🤝
👍
Kazi yko haijawahi kuwa mbovu, Much Love 💓
🙏🥰
Kali kabisa ila usicheleweshe next episode plzz
nakubali kazi yenu wakuu🙏🙏🙏
🙏
Hii kali 😂😂wacha niangalie sasa 🔥 juu ya 🔥 hongera dubu kwa kazi mpya 🎉🎉🎉
🙏🥰
Umetisha kakah 🎉🎉🎉🎉