SUNGWI /EP 2/ Full Episode

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #snakeboy #clamvevo #chinga #wronghouse #diamondplatnumz
    Sungwi Ni Movie Inayo Muelezea Kiongozi Ambaye Anawetesa Na Kuwa Nyanyasa Wananchi Wake Na Anatokea Kijana Mgeni Ambae Anakuja Kuwa Msaada Kwenye Kijiji Hicho

ความคิดเห็น • 488

  • @AndasonMartine-vz2bq
    @AndasonMartine-vz2bq 5 หลายเดือนก่อน +34

    Ipo poa!!
    Pia ni furaha yenu kuona tunalalamabkuwa inchelewa, ila angalie msitupoteze mashabiki wenu.

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  5 หลายเดือนก่อน +16

      Tunashukuru Sana Kwa Support Ila Hatupendi pia kuchelewa maana kuwahi ndio mafanikio zaidi kwetu ila kuna vitu vipo nyuma ni vigumu kuelezea but tunawaomba mtusupport na mtutie moyo nasio kutulaumu tu🙏❤️

    • @AndasonMartine-vz2bq
      @AndasonMartine-vz2bq 5 หลายเดือนก่อน +5

      @OfficialDubu_tz
      Tupo pamoja ndo mana mara kadhaa tulijaribu kusachi part2 ila waap, Nimeelewa.

    • @MeryJoseph-lt6fw
      @MeryJoseph-lt6fw 5 หลายเดือนก่อน

      Phone number

    • @Nae5thefixer
      @Nae5thefixer 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@OfficialDubu_tz Aisee Kaka kweli tunaisubiri Full Movie kwa hamu aisee maana hii hapa inatufanya tunakua na Kiuu, Love From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @NellyNeema-sj1wq
      @NellyNeema-sj1wq 5 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kaka dubu🎉🎉🎉 pambaneni msikate tamaa kila kitu kitakua sawa na in shaa Allah changamoto Allah Ataziepusha...kazi ni nzuri❤❤❤

  • @jayvannyclassic191
    @jayvannyclassic191 5 หลายเดือนก่อน +16

    Kama unakubali hii series gonga like,,,more love from 254

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj 5 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu jamaa Dubu namwaminia Sana kwa uigizaji wake❤❤❤😂

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mapinduzi Kwa cram na Steve mweusi safi sana Mungu awe nanyi team nzima

  • @Terminatorbatogwantama0416
    @Terminatorbatogwantama0416 5 หลายเดือนก่อน

    We zombie,dubu na hajira kidoti,umetisha mwambaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khamisimramba5008
    @khamisimramba5008 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kila mtu anagombania cheo nakila mtu anamawazo mabaya ya uongozi nategea mwendekezo kazi nzuri sana hongeten 🎉❤

  • @alabizoshazb5678
    @alabizoshazb5678 5 หลายเดือนก่อน +10

    kazi iko vizuri🔥🔥 ila mnachelewesha sana mwisho mnapunguza morali wa mashabiki#from Kenya

  • @fatumasaidmajero2050
    @fatumasaidmajero2050 5 หลายเดือนก่อน +3

    Big up bro mungu azidi kukupa kibali much love from Saudi Arabia ❤❤❤❤

  • @johannesnyabara2527
    @johannesnyabara2527 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie watu nawapongeza kwa kazi nzuri, mmefanya siku hizi mm ni mfuatiliaji mzuri wa muvi za nyumbani Tanzania hasa kazi zenu.
    Hongereni sana

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Piso kali,nikilla ok nikiamka fine😂😂😂😂😂😂😂😂.safi sana dubu mung akuongoze inshaallah

  • @nasraally4740
    @nasraally4740 5 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooh nilikua naisubiri kwa hamu sana SUNGWI🥰 hongera sana Dubu kazi nzuri sana ♥️♥️♥️🎉🎉🎉🙌🙌🙌

  • @PrincessAminathy001Maalim
    @PrincessAminathy001Maalim 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awazidishie Inshallah kwa kazi nzuri Mashaallah 😊😊 Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Nguvu na fikra za kila aina mtuongezeee Movie tamu tamu tuuu Mashaallah 🥰🥰❤❤❤Hongereni Team Dubu❤❤

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe3753 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kakangukazi zuri🎉🎉

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dubu kazi nzuri sana Mungu azidi kukuongeza kwenye kazi yako izidi kuwa imara 🤲big up brother dubu ww pamoja na team yako🎉🎉

  • @AgathaCostantino
    @AgathaCostantino 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda uyo babu mfupi ananikosha 😂😂 eti unaona donge panda juu ukazibe😅😅

  • @ChanceRiziki
    @ChanceRiziki 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu dubuuuuuu🎉🎉🎉🎉 ume ni maliza kazi zako nzuri sana

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah congratulations dubu much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MARYAM808ZING
    @MARYAM808ZING 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mdada bonge yuko vizuri san, wot mko poa ila huyu mganga WA mapiano abadilishe uwongeaji aongee kawaida2 itakua vizur zaidi , hongeren kazi nzuri san nawapenda❤

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 5 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤kaz nzur love you from kanya to Qatar 🥰

  • @ekadoboy1591
    @ekadoboy1591 5 หลายเดือนก่อน

    bonge la movie wakuu pamoja sanaa nipo sambamba na nyie,one love

  • @bettynyasuguta5816
    @bettynyasuguta5816 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi bro we know what you go through to entertain us❤ Take your flowers 😊

  • @ErickClement-jc3xu
    @ErickClement-jc3xu 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri muwaishe Bas man

  • @bramwelsituma6375
    @bramwelsituma6375 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wow kazi njema dubu ,🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 tunaipenda sana.be blessed

  • @ZubedaRamadhan-tv1pq
    @ZubedaRamadhan-tv1pq 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka kwakanzi nzuri. Mungu. Azidi kukuongoza. Ishallha na chamachako

  • @MarieMutambala
    @MarieMutambala 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤kazi nzuri dubu ❤❤❤❤

  • @MwahanjeNdegwaNdegwa
    @MwahanjeNdegwaNdegwa 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri msanii wetu DUBU
    lete vitu brother

  • @PeninaYohana
    @PeninaYohana 5 หลายเดือนก่อน

    Alooo minilikua nasubir episode 2 kwa ham jmn hatima kaz nzurii 🥰🔥

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kambale hongera sn kwaku tufuraisha sn km mtoto wa kike

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 5 หลายเดือนก่อน +3

    Dubu kazi nzuri sanaaaa ijapokua unachelewa kutoa episode nyingine jitahidi kaka pia mda uko mfupi jameni hongera ❤❤❤ from Kenya

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 4 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur dubu mungu akupe ubunifu zaid na afya njema tuenjoy pamoja na kujifunza ❤❤🎉🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 5 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana dubu ❤❤❤

  • @kibibimlaula2526
    @kibibimlaula2526 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yani dubu unajua mpka unajua tena mashallah ❤

  • @Thenoiseboy045
    @Thenoiseboy045 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ndege wa moto,,,,kazi Safi,,,, 👍 mdomo koma🤗

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 5 หลายเดือนก่อน +1

    Well done dubů n kikosi kizima salam kwa nyani much love san❤❤❤❤

  • @Nailah736
    @Nailah736 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mie sio wa kwanza ila nimejaribu kuwai asante sana dubu lkn usicheleweshe mno nazipenda sana movie zako

  • @Nzoyikorera
    @Nzoyikorera 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera bwana dubu kazi safi tunawapenda from burundi❤

  • @norahkenedy9581
    @norahkenedy9581 5 หลายเดือนก่อน

    Haya jamani mie ni mwisho kutoka congo🇨🇩🇨🇩😂😂🎂

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi zako ni nzuri sana ila kaka tuangushie mzg mapema maana unatuchelewesha sana

  • @fatumamilimo7336
    @fatumamilimo7336 5 หลายเดือนก่อน +2

    mnachelewesha sana jamani

  • @EmmyMo
    @EmmyMo 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂kwakipi ulichonacho we kibongee🎉🎉🎉

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyaningwengwe nakupenda ukisema eti:alafu wewe🤣🤣🤣🤣

  • @amidukasimu4964
    @amidukasimu4964 5 หลายเดือนก่อน +2

    Daha asee nime jitaidi kuisubilia adi nime toka kwenye wifi duh asee tukutane kesho apo dubu 😂😂😂😂😂😂

  • @Ghaderfwn-b3u
    @Ghaderfwn-b3u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Dubu nakupenda sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwa kazi Yako nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  5 หลายเดือนก่อน +1

      🥰🥰

    • @Ghaderfwn-b3u
      @Ghaderfwn-b3u 5 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDubu_tz napenda sana kazi zako uko jasiri aki mola akuzidishie🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah dubu hii kali sana wallah nimeipenda jamani ila nammiss nyani gwegwe

  • @NDUWIMANAMoussa-h1l
    @NDUWIMANAMoussa-h1l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Moto 😅😅😅 Unaupig mwingi

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daah watoto wa TZ warembo kinoma

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 5 หลายเดือนก่อน +3

    On time wacha nienjoy mwenyewe kaka kazi nzuri mno ❤❤🎉🎉🎉

  • @SamTabu-qh3nq
    @SamTabu-qh3nq 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka dubu napenda sana kazi zako nataman siku moja nikifanikiwa kufika dar nifanye kaz na wew

  • @graphitenumz
    @graphitenumz 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hajira Kidoti na Dubu Mtakuwa wapenzi ...Naomba Jibu Dubu

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 5 หลายเดือนก่อน

    Dubu kwa kila hatua nipo na wewe,,,,Allah akujaalie vivyo hivyo...ila nakuomba kitu kimoja ,,pole kwa kukuingilia kazi yako safi,,naomba huyo chief awe akienda sehemu ako na walinzi angalau wa3 kuonyesha ni mtu hatari na mwenye kuheshimika zaidi,,,Ahmed kutoka Kenya,,,shukrn 🙏🙏

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dubu nakuamini sana chif asikutishi hujawahi kushindwa.from 🇧🇮

  • @rajabuhamzambagonyonge3257
    @rajabuhamzambagonyonge3257 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duh so pw kaka huna kaz mbovu kaka sema umeipangilia vzr mmno tukupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢

  • @mwanamisishaban4083
    @mwanamisishaban4083 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi njuzi sana mungu awatie nguvu mzidi kutupa vitu vizuri kila siku tuko pamoja kaka💓💓

  • @MarthaMichael-ix5pb
    @MarthaMichael-ix5pb หลายเดือนก่อน +1

    Nipen lake zangu jmn ❤❤❤❤❤

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vzr upewe mauwa yako🎉🎉🎉🌷🌷🌷🌷🌷🌷

  • @MR_BAD_SHOOT
    @MR_BAD_SHOOT 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mbona unachelewesha tena kaka , wakwanza from Burundi 🇧🇮

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hadi ndio nashindwa kuelewa 😂😂😂

    • @janetkyumbe7154
      @janetkyumbe7154 5 หลายเดือนก่อน +1

      Basi jibu jamni tujue tatizo lipo wapi sisi ma fans wako

  • @stevenkomba4621
    @stevenkomba4621 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana mzee

  • @EdwardDismass
    @EdwardDismass 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ongereni kwa kazi nzuri ira munacherewesha sana

  • @Spagles
    @Spagles 5 หลายเดือนก่อน +1

    Waigizaji WanaDrama nyingi sana 😂😂😂😂

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahahaha we kambale ww

  • @aysha9932
    @aysha9932 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nwapenda hajra na Dubu🥰❤️ kaz safi sana

  • @rishedynassor6170
    @rishedynassor6170 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz nzur nakubal

  • @LovenessMwaipaja
    @LovenessMwaipaja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pisi zinazoluhusiwa kujiremba humu kujeni apa😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @pur-ple-girll-304
      @pur-ple-girll-304 5 หลายเดือนก่อน

      Unataka kujiremba akuone nani😂😂

    • @LovenessMwaipaja
      @LovenessMwaipaja 5 หลายเดือนก่อน

      @@pur-ple-girll-304 dubu 🌚🌚😂🤣🤣🤣

  • @SalhaRashid-o1r
    @SalhaRashid-o1r 4 หลายเดือนก่อน

    Dadake na mfalme uko vzr sana nakpnda bure shka maua yko,🌹🌹🌹🌹

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana Kazi nzuri 🔥🔥

  • @MamyLily-f2i
    @MamyLily-f2i 5 หลายเดือนก่อน +4

    Sungwi 🎉ni nzuri sana

  • @EdikingMoz
    @EdikingMoz 5 หลายเดือนก่อน +4

    Napenda sana movie zako kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @josephngereza3536
    @josephngereza3536 4 หลายเดือนก่อน +1

    kuna kiumbe wanamuita Sonji 🔥🔥🔥

  • @Awoshy
    @Awoshy 5 หลายเดือนก่อน

    Like kwa pisi kali ya himaya 😂😂😂🤣🤣🤣chifu kapigwa kitu kizito mara paaaaaap🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍👏

    • @erickmeshac3135
      @erickmeshac3135 5 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣eti chuchu saa sita,we huogopi,unaitaka yako🤣🤣🤣

  • @MussaHaule-tn3xw
    @MussaHaule-tn3xw 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dubu kaz nzuri sana lkn jitahid kuwaisha

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sijachelewa sana 😂😂 niko area sasa maua Yako dubu 🎉🎉🎉

  • @JackobPatroba
    @JackobPatroba 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kari sana dah

  • @zenasalumu8570
    @zenasalumu8570 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuondolee hizo changamoto zilizopo nyuma, ili tusonge mbele sambamba❤

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana dubu kazi nzuri sana

  • @jonathansimovwe4013
    @jonathansimovwe4013 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzr sana endeleya
    nakufwatilia toka Zambia

  • @Thenoiseboy045
    @Thenoiseboy045 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Safi 👍

  • @Miriamerasmas-rk7nz
    @Miriamerasmas-rk7nz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dubu kiukwel unafanya kazi nzuri sana honger sna kaka

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waah mambo moto aise kaz safi sna nawamimia wadau

  • @AbdulMahmud-ut7ee
    @AbdulMahmud-ut7ee 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dubu anafanyanya vizuri

  • @LeoniaDaniel-hy2lg
    @LeoniaDaniel-hy2lg 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka,kwa kazi nzurii mungu aendelee kukutunza zaidi,na kukutia nguvuu,,

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Woow hata bado naendelea kuangalia eti imeisha 😅😅kazi safi sana..

  • @nasrymashauri3559
    @nasrymashauri3559 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ilo neno Chief ni neno geni kwetu mngemuita Mtemi tu

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 4 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha tena np hap wif yenu kwa mabuti kutoka oman moja wsif bure za warabu mabuti ni chawa zaid ya chawa kwa chifu huu 🔥🔥🔥🔥 mabuti love me mwana

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 5 หลายเดือนก่อน +1

    Much Congratulations Dubu🎉🎉🎉🎉

  • @AbinasBujiku-qm1ys
    @AbinasBujiku-qm1ys 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bongo mnatisha sana siku izi

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri Kaka dubu nakupenda sana kutoka kenya 🇰🇪

  • @menzedickaliera4634
    @menzedickaliera4634 5 หลายเดือนก่อน

    Big up team tubu good video

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umekuja bila gad ngoja nikugawie wastan bila idadi😂
    Mko vizuri

  • @EsterMwalongo-yp8in
    @EsterMwalongo-yp8in 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uso wako umejaa bwibwi 😂😂😂😂😂

  • @IvoSteven
    @IvoSteven 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri dubu nakupenda

  • @salhkiyagi
    @salhkiyagi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niliimis san jaman🎉🎉🎉 asante kaka dubu

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  5 หลายเดือนก่อน +1

      ❤️

    • @salhkiyagi
      @salhkiyagi 5 หลายเดือนก่อน

      ❤️❤️❤️❤️❤️😜

  • @AminaAndrea-g8o
    @AminaAndrea-g8o 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tim dubu mpo❤❤❤❤

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera dubu naku pp enda Bure salimie nyani ngwengwe 😅😍😘🥰🥰

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 5 หลายเดือนก่อน +1

    God job Dubu ❤❤🇴🇲

  • @GhUy-u7s
    @GhUy-u7s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tia bidii dubu kaz nzuri sana

  • @robertcheruiyot318
    @robertcheruiyot318 5 หลายเดือนก่อน +1

    Awa waremboo wako waremboo Na figure tamuu sana kuliko hii junga bii skari

  • @benjagabril9994
    @benjagabril9994 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mozambique 🇲🇿 tunakufatilia mzee

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila dadake chifu banaaa,😂😂😂😂anajua sana,nimependa uigizaji wake😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪eti we huogopi, unaitaka yako 🤣🤣🤣🤣🤣,kali sana,🇰🇪

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Afu dadake Chief bhana 😀 yaani wanifurahisha sana kwenye Na fasi yako unaifanzia vyema hipasavyo,ati ni kilala Fine ni kiamka Okay,chuchu saa sita .